fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Watu sita wamefariki huku wengine watano wakipata upofu baada ya kudaiwa kunywa pombe iliyokuwa imekwisha muda wa matumizi in
Watu sita wamefariki huku wengine watano wakipata upofu baada ya kudaiwa kunywa pombe iliyokuwa imekwisha muda wa matumizi inayojulikana kwa jina la "California" katika Kijiji cha Kangai, Mwea Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya. Ndugu wa marehemu wameeleza kuwa majeruhi wote ni wa familia moja, watano walifariki papo hapo na mmoja alifariki wakati wakipelekwa hospitalini. Miongoni mwa wale waliopatwa na upofu kutokana na pombe hiyo hatari walikuwa wanaume wanne wa rika tofauti na mwanamke mmoja ambaye ni mzee. Akifafanua sababu ya kifo na upofu, Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Afya ya Kaunti ya Kirinyaga, George Karoki, amesema kwamba pombe waliyokunywa ilikuwa na ethanol na hivyo wagonjwa walianza kupata uoni hafifu.

"Alikiba ndo King of Bongo Fleva, amekaa kwenye game miaka 20, Diamond hajafikisha miaka 20 kwenye game, Diamond yeye ni king
"Alikiba ndo King of Bongo Fleva, amekaa kwenye game miaka 20, Diamond hajafikisha miaka 20 kwenye game, Diamond yeye ni king of entertainment industry" Master J

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+6
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

photo content

STAR BOYS WAMEKUTANA. Wizkid 🇳🇬 x Bukayo Saka 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 mara baada ya Arsenal kuondoka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi y
+1
STAR BOYS WAMEKUTANA. Wizkid 🇳🇬 x Bukayo Saka 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 mara baada ya Arsenal kuondoka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool katika dimba la Emirates.

⚠️🥰 Kwa uzuri na mvuto huo mpya wa Wastara unaambiwa mabinti wa Kikorea na Kichina watasubiri sana, warembo wa Kibongo ni le
⚠️🥰 Kwa uzuri na mvuto huo mpya wa Wastara unaambiwa mabinti wa Kikorea na Kichina watasubiri sana, warembo wa Kibongo ni levo nyingine kabisa

⚠️😳 "Hakuna kitu kinavunja moyo kwenye mapenzi kama tabia ya usaliti, hii tabia inachosha sana ikizidi hasa kwa anayesalitiw
⚠️😳 "Hakuna kitu kinavunja moyo kwenye mapenzi kama tabia ya usaliti, hii tabia inachosha sana ikizidi hasa kwa anayesalitiwa" - amesema Diva katika kipindi cha Lavidavi, Wasafi FM

KIMETOKEA NINI KWA DIAMOND? Diamondplatnumz ameachia video ya #Mapoz lakini kitu Cha kushangaza Video hiyo Hadi muda huu Ina
KIMETOKEA NINI KWA DIAMOND? Diamondplatnumz ameachia video ya #Mapoz lakini kitu Cha kushangaza Video hiyo Hadi muda huu Ina views Elfu 7 ndani ya Lisaa limoja KIMETOKEA NINI au ndio yule Popo 🤔

Mwanadada huyo pichani amefariki dunia baada ya kupata ajali maeneo ya Segerea jijini Dar es salaam alipokuwa anawahi kwenye
Mwanadada huyo pichani amefariki dunia baada ya kupata ajali maeneo ya Segerea jijini Dar es salaam alipokuwa anawahi kwenye show ya Chino. Mwili umehifadhiwa Mwananyala na Siku ya Alhamisi utasafirishwa kuelekea Moshi Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.

Ikiwa jana ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, Mke wa Aristote ametengeneza keki yenye mfanano na sura yake, ame
Ikiwa jana ilikuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, Mke wa Aristote ametengeneza keki yenye mfanano na sura yake, amejipatia?

"Watanzania acheni ushamba, kwa hatua aliyofikia mke wangu mlipaswa kumpongeza na sio kuichamba keki yake, anastahili pongezi
"Watanzania acheni ushamba, kwa hatua aliyofikia mke wangu mlipaswa kumpongeza na sio kuichamba keki yake, anastahili pongezi kwasababu amebuni kitu kikubwa ambacho hakijawaji kufanyika Tanzania. Na niwaambie tu tayari keki imeshakatwa imeliwa taratibu na kila kitu kimeliwa kuanzia nywele, pua, kope, hereni, macho hadi masikio, ni keki tamu na ya chocolate"- Aristote amemtetea mkewe

Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa huduma ya ‘Tafadhali Nipi
Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa huduma ya ‘Tafadhali Nipigie,’ Kenneth Makate. Aidha, mahakama imeiamuru Vodacom imlipe Makate kati ya asilimia 5 hadi 7.5 ya jumla ya mapato yaliyotokana na huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 18 iliyotumika, pamoja na riba.

Bilionea MNigeria Femi Otedola alipoulizwa kwenye interview, ya Simu na Mtangazaji wa Radio, "Sir ni kitu gani unachokumbuka kilichokufanya uwe na furaha maishani?" Femi alijibu: "Nimepitia hatua nne za furaha katika maisha yangu na mwishowe nilielewa maana ya furaha ya kweli." Hatua ya Kwanza ilikuwa ni kutafuta Mali na kulimbikiza. Lakini katika hatua hii sikupata furaha niliyoihitaji. Nikaingia hatua ya pili ya kujinunulia vitu vya thamani. Lakini niligundua kuwa vitu vyote hivi vinakupa furaha ya muda tu ambayo haidumu. Nikaingia hatua ya tatu ya kufanya miradi mikubwa. Ni katika hatua hii nilikuwa ninasambaza 95% ya Diesel Nigeria yote na Africa Kwa ujumla. Pia nilikuwa mmiliki mkubwa wa Vessel Africa na Asia. Lakini pia hapa sikupata furaha niliyokuwa nimeifikiria. Hatua ya nne ilikuwa ni kipindi ambacho Rafiki aliniomba kununua Wheelchairs Kwa ajili ya watoto walemavu. Walikuwa kama watoto 200 hivi. Baada ya kuombwa na rafiki yangu nilinunua Wheelchairs 200 mara moja. Lakini pia aliniomba niambatane naye ili nikawakabidhi watoto zile wheelchairs. Nilijiandaa nikaambatana naye. Nikawagawia zile wheel chairs Kwa mikono yangu mwenyewe. Niliona furaha ikitawala kwenye nyuso za hawa watoto. Nikawaona wamekaa kwenye wheelchairs, wakizunguka na kufurahia. Ilikuwa ni kama wako Picnic wakisherehekea ushindi wa bahati nasibu. NiIihisi furaha ya kweli ndani yangu. Nilipotaka kuondoka mtoto mmoja alinishika miguu yangu. Nilijaribu kujinasua taratibu lakini alinikazia macho akinitazama usoni. Niliinama chini nikamuuliza, kuna kitu kingine unahitaji? Jibu alilolitoa mtoto huyu sio tu kwamba lilinipa furaha bali pia lilinifanya nibadili kabisa mtazamo wangu juu ya maisha. Mtoto huyu alisema: *"Ninakuangalia ili niikumbuke Sura yako, siku nikikukuta mbinguni niweze kukutambua na kukushukuru tena."* Je Wewe mwenzangu, utakumbukwa Kwa lipi utakapoondoka kwenye hiyo Kampuni, Ofisi, Biashara, Kazini au mahali unapoishi? Je kuna Mtu atatamani kuuona uso wako tena siku za usoni?.

photo content

⚠️😳 Mwanadada huyo wa nchini Guinea ambaye anaishi Marekani ameibuka wazi kueleza sababu za kusitisha kuwatumia pesa ndugu zake waliopo Afrika Katika clip iliyosambaa ameonekana akieleza kuwa kila wakati na kwa mara ya mwisho kutembelea Guinea nchi anayotoka ilikuwa miaka 8 iliyopita ndio akagundua amekuwa akidhamini maisha ya juu ya kifahari wanayoishi ndugu zake wengi, maisha ambayo yeye binafsi aliyeko Marekani na kufanya kazi haishi maisha ya aina hiyo Amesema kimsingi kwa kiasi kikubwa yeye ndie alikuwa akitegemewa kuwalisha, kuwalipia kodi na hata wakiumwa yeye ndie alitegemewa kutuma pesa za matibabu yao Afrika, lakini bado wengi wa wanafamilia yake waliishi maisha ya gharama za juu kuliko uwezo wao ikiwemo kwenda kutengenezwa nywele na kucha katika saluni za gharama kubwa mno Ameingia ndani kwa kusema kutwa ndugu zake wanakunywa juisi, maisha ya starehe kwenda klabu kila wakati wameyaendekeza, wanavuta shisha pekee kwa $15 (Tsh.38,000) , Yeye binafsi amekuwa makini ikiwemo kubana matumizi vizuri katika nyakati ngumu ila ndugu zake walio Afrika hawajisumbui kuhusu suala la kubana matumizi sababu wanaamini tuna mtu anaishi Marekani atatutumia pesa waendelee kula maisha ya kifahari Ndio akaamua kubwaga manyanga, hawasaidii tena, kwasasa anasaidia tu labda kukitokea dharura

photo content

WASANII WENGINE WAMEWEKEWA MASHARTI YA KISHIRIKINA~JOH MAKINI👇 Msanii wa hiphop kutoka kundi la WEUSI nchini Tanzania,Joh Ma
WASANII WENGINE WAMEWEKEWA MASHARTI YA KISHIRIKINA~JOH MAKINI👇 Msanii wa hiphop kutoka kundi la WEUSI nchini Tanzania,Joh Makini ametia neno kwa wasanii wanaokubali kushiriki kufanya nyimbo kisha badae kukwepa mzigo wa kusukuma(Promotion) kazi hizo.Joh siku kadhaa akiwa amewachia kazi yake mpya kwa jina FORMULA aliyowashirikisha wasanii BIEN(Kenya) pamoja na JAY MELODY(Tanzania),kazi hiyo inaonekana kaachiwa mzigo wa kuisukuma mwenyewe,upande wa Bien kaonekana ku post mara katika mtandao wake wa instagram wakati Jay haja post chochote katika instagram ya kwake isipokua ngoma yake BARIDI pamoja na MAPOZI aliyoshirikishwa na DIAMOND PLATNUMZ.Joh Makini kupitia akaunti yake ya twitter alisema hivi...`Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho safi unapofika wakati wa kushiriki promo kwa faida ya pande zote,unakuta mtu kawekewa masharti magumu kama utajiri wa kishirikina #Formula' ~ JOH MAKINI

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/