fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Baada kupigwa kibuti na aliyekuwa mpenzi wake, Mwanaume mmoja huko Chicago nchini Marekani kwa hasira alienda kununua gari kw
Baada kupigwa kibuti na aliyekuwa mpenzi wake, Mwanaume mmoja huko Chicago nchini Marekani kwa hasira alienda kununua gari kwa $600 (Tsh 1,494,638) na akalisajili kwa jina la mpenzi wake huyo wa zamani, kisha akaenda kuliegesha uwanja wa ndege makusudi na kutokomea. Baada ya gari hiyo kukaa muda mrefu Bi.dada aliyemuacha jamaa huyo aliletewa bili ya maegesho ya takribani $100K (Tsh milioni 249,106,400) na kuambiwa akatoe gari yake hiyo haraka kwani kadri inavyokaa gharama zinazidi kuwa kubwa zaidi.

BIASHARA: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kitendo cha Serikali kupitisha Kod
BIASHARA: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kitendo cha Serikali kupitisha Kodi ya Matangazo Madogo ya Mitandaoni kitawarudisha nyuma Wafanyabiashara wanaotarajia kufungua Maduka siku za mbele Kauli ya Mbowe inakuja baada ya Kampuni ya META inayomiliki Mitandao ya Facebook, Instagram, WhatsApp na Thread kutangaza kuwa Wafanyabiashara wanaotangaza Bidhaa zao kupitia Mitandao wataanza kukatwa 18% ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kuanzia Desemba 1, 2023 Amesema "Serikali inayotoa msamaha wa kodi kwa Kampuni zenye mitaji ya Mabilioni, imegoma kuwapatia Wananchi wake ahueni. Serikali inaendelea kujaza kodi kila sehemu huku ikishindwa kudhibiti wizi wa kodi ambazo Watanzania wamelipa"

Watu wawili wamekamatwa katika mpaka wa Kenya na Tanzania wakiwa na vilipuzi vinavyotumika kulipua dhahabu vyenye thamani ya
Watu wawili wamekamatwa katika mpaka wa Kenya na Tanzania wakiwa na vilipuzi vinavyotumika kulipua dhahabu vyenye thamani ya Ksh.9 milioni [TZS milioni 147.6]. Kamanda wa Polisi nchini Kenya amesema watuhumiwa hao ambao pia hawana hati za kusafiria zinazowaruhusu kuingia nchini kisheria, haijulikani ni wapi walikuwa wakisafirisha vilipuzi hivyo.

Rubavu, Rwanda 🇷🇼
Rubavu, Rwanda 🇷🇼

Pichani ni Jimmy Mafufu na Aunty Ezekiel wa enzi za kale, enzi hizo hakuna cha Instagram wala Tiktok. Kipi kimekuvutia kwenye
Pichani ni Jimmy Mafufu na Aunty Ezekiel wa enzi za kale, enzi hizo hakuna cha Instagram wala Tiktok. Kipi kimekuvutia kwenye mavazi yao?

BABA P HANA UBAVU WA KUNIACHA; WOLPER "Hata huyo baba P aitwe aje hapa aseme kama ana uwezo wa kuniacha, kama michepuko mna t
BABA P HANA UBAVU WA KUNIACHA; WOLPER "Hata huyo baba P aitwe aje hapa aseme kama ana uwezo wa kuniacha, kama michepuko mna taarifa, au mnadanganyika na huyo bwana yenu kwamba anataka kuniacha, basi mwambieni vizuri awaambie kama anaweza kuniacha, siachwi, na baba P hawezi kuniacha"- Amesema Wolper alipokuwa kwenye live maalumu ya kuwachambua Dida Shaibu na Juma Lokole wanaosema yeye na mume wake Rich Mitindo wameachana.

Kipi kinakuvutia kwa Yusuph Mlela?
Kipi kinakuvutia kwa Yusuph Mlela?

HAYA HAPA MANENO YA MWISHO YA HUMUDI NASSORO KABLA YA KUFARIKI. "Sometimes maisha hayatupi tunachohitaji, asilimia kubwa ya vijana tunapoteza maisha tukiwa katika hatua ya kuzipambania familia zetu na watu wanaotuzunguka tunaowapenda, mara nyingi katika kuchukua maamuzi ya hatari (risk taker) kuna kufanikiwa au kupotea kabisa, it's a game" "It's either you win or die, aliwahi kusema mwanajeshi mmoja vitani (Nikifariki huku nifungeni kwenye box na mnirudishe nyumbani, mwambieni mama yangu nilikuwa katika kuwatafutia😔" "Nakumbuka one of my friend alikuwa anafanya kazi Mgodini sana na kwa kujituma ili kuikomboa familia yake mpaka siku anafukiwa na kifusi Duarani, tunaishi kisha tunaishia🕊" "Hapa duniani sio nyumbani, msijisahau sana, See you again. Dad I'm coming"- aliandika kijana Humudi Nassoro Baada ya kuposti ujumbe huo wenye utata katika mtandao wa X zamani Twitter, majira ya saa 12 jioni ya Novemba 14, 2023, ujumbe ulioashiria kukata tamaa ya maisha kijana huyo mdogo wa Kitanzania alikutwa amefariki muda mchache baadae, huku waliokuwa karibu naye wakisema kuwa huenda amejiua baada ya kupata hasara ya Tsh.milioni 13 aliyoipata kwenye biashara yake.

photo content

⚠️😳 Etinosa, mwigizaji maarufu Nigeria ameibuka kusema kwamba muda si mrefu atafanya sajari ya kuliondoa tumbo lake la uzazi
⚠️😳 Etinosa, mwigizaji maarufu Nigeria ameibuka kusema kwamba muda si mrefu atafanya sajari ya kuliondoa tumbo lake la uzazi ili isipate watoto maana kama akipata watoto watakuja duniani na kuishia kusubiri kifo 😳

Wanaume wengi wenye hela huoa wanawake wenye sura za kawaida ambao sio hata wazuri kwenye macho ya watu kwa sura. Hii ni kwas
Wanaume wengi wenye hela huoa wanawake wenye sura za kawaida ambao sio hata wazuri kwenye macho ya watu kwa sura. Hii ni kwasababu matajiri hutizama akili kwa mwanamke nasi uzuri. Akili ambayo itamfanya kuwa tajiri zaidi na kufanikiwa zaidi. Wanawake wengi wenye sura nzuri huwa hawana akili za maendeleo bali wana akili za matumizi. Kwasababu wanaona hela walioikuta kwa mwanaume sio yao ni ya mwanaume hivyo hawathamini cha mwanaume. Kama unahaja ya mwanamke mwenye akili tafuta wa kawaida hii midude mizuri mizuri ina shida kichwani. Abdulrazaki issa.

Umemuona Katika Tamthilia ipi, Taja Msemo wake Mmoja ✍️
Umemuona Katika Tamthilia ipi, Taja Msemo wake Mmoja ✍️

RAIS MWINYI AWAALIKA IKULU KARUME BOYS Baada ya timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume boys) kutwaa ubin
RAIS MWINYI AWAALIKA IKULU KARUME BOYS Baada ya timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya umri wa miaka 15 (Karume boys) kutwaa ubingwa wa Cecafa U-15 huko Uganda, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Hussein Mwinyi amewapa mualiko wa kwenda Ikulu vijana hao watakaporudi Zanzibar. Karume boys imefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kuwafunga wenyeji Uganda kwa penalties 4-3 kufuatia dakika 90 kutoka sare ya 1-1. Rais Hussein Mwinyi Alishuhudia Mchezo Huo kwa Njia ya TV alipokuwa Ofisini, Ikulu Zanzibar.

****Taja Sifa Zote Za wamasai unazozijua*** #Vijimambo....
****Taja Sifa Zote Za wamasai unazozijua*** #Vijimambo....

Shirikisho la Kimataifa la Historia ya mpira wa miguu na takwimu Duniani (IFFHS) limeitangaza Yanga kuwa ni Klabu namba nne k
Shirikisho la Kimataifa la Historia ya mpira wa miguu na takwimu Duniani (IFFHS) limeitangaza Yanga kuwa ni Klabu namba nne kwa ubora Afrika na Simba SC namba 12. Takwimu hizi ni kwa kipindi cha kati ya September 01, 2022 hadi Augst 31, 2023, huku vilabu namba moja ni Al Ahly ya Misri na Wydad Casablanca ya Morocco.

Hii mizizi kazi yake ni ipi Hasa?
Hii mizizi kazi yake ni ipi Hasa?

Uzito mdundo wa hindi, anga, na enzi za Sancho! Ni sawa na upishi wa gold, kutoka kwa mpishi pancho 🎶
Uzito mdundo wa hindi, anga, na enzi za Sancho! Ni sawa na upishi wa gold, kutoka kwa mpishi pancho 🎶

Tikiti maji hulimwa kwa wingi huko Gaza na Ukingo wa Magharibi, lakini rangi za matunda hayo zinaonekana kutumika kama ishara
+2
Tikiti maji hulimwa kwa wingi huko Gaza na Ukingo wa Magharibi, lakini rangi za matunda hayo zinaonekana kutumika kama ishara na nembo kwa Wapalestina. - Matikiti maji yana rangi sawa na bendera ya Palestina: nyekundu, kijani na nyeusi. - Pangusa kushoto kufahamu ni kwa namna gani yamekuwa nembo kwa Wapalestina? - - - #bbcswahili #gaza #hamas #palestine #israel #tikitimaji

Baada ya tukio la ajali ya gari iliyopelekea kifo cha mmoja wa wanakikundi wa Wana Man Gang na wengine kupata majeraha, Chino
Baada ya tukio la ajali ya gari iliyopelekea kifo cha mmoja wa wanakikundi wa Wana Man Gang na wengine kupata majeraha, Chino wamethibitisha kwamba kwa sasa yuko fit. Kupitia ukurasa wake wa Instagram #Chino ameandika... "NAWASHUKURU SANA NDUGUZANGU WOTE KWA MAOMBI YENU NIMESHA JICHEKII KILA KITU NIPO SALAMA KABISAA LAKINI NICHUKUWE NAFASII HII KUMSHUKURU BOSS WANGU NAJUWA MENGI NATELEZA LAKINI UNANISAMEE NA KUWA UPANDE WANGU MUDA WOTE MUNGU AKUBARIKI SANA KWA MOYO WAKO WA KIPEKEE ULIKUBALI KUVUNJA MKATABA WAKO NA KUPATA HASARA KUBWA KWAAJILI YA KUJA TANGA KUONA NA KUTUSAIDIA NAKUSHUKURU SANA BOSS WANGU NA NAKUPENDA SANA MY BOSS @marioo_tz YOTE KWA YOTE TUJIFUNZE KUSHURU NA ASANTE MUNGU KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI MAANA KWA HII CHUMA NINAVYOIANGARIA NILIKUWA SITOBOI HATA KWA DAWA 🙏🙏"

#HABARI Mkazi wa Soweto, mjini Moshi ambaye anafahamika kwa jina Jeremia Aduram (44) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa
#HABARI Mkazi wa Soweto, mjini Moshi ambaye anafahamika kwa jina Jeremia Aduram (44) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kamba nyumbani kwake ambapo mashuhuda wamedai sababu kubwa ni msongo wa mawazo. Tukio hilo la kusikitisha limetokea Novemba 15 mwaka huu katika mtaa wa Furahisha, eneo la Sabasaba mjini Moshi ambapo marehemu alikuwa mjasiriamali katika soko la Maimoria. Mwenyekiti wa Mtaa Juma Mmanga amesema taarifa za kifo cha mkazi wake alipokea kutoka kwa wananchi ambao walimchunguza na kuona bado anapumua hivyo kuchukua jukumu la kumpeleka hospitali. Marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 44 ameacha watoto wawili.