E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Nyie endeleeni ku enjoy tu..😀😀🤣
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+1
🚨SHORT SUMMARY YA SHERIA YA
MAKOSA YA MTANDAO TANZANIA
Hapa nimekusogezea Vipengele Muhimu vya Sheria ya Makosa ya Mtandao na Adhabu Zake isije siku ikakutokea useme hukuambiwa😂.
UTOAJI NA UKUSANYAJI WA MAUDHUI.
Usambazaji wa maudhui bila ruhusa, Unapigwa faini isiyopungua Shilingi Milioni 3 au kifungo cha mwaka 1 au vyote kwa pamoja 😄
PONOGRAPY/PONOGRAPY ZA WATOTO Usambazaji wa ponograpy, faini yake ni Shilingi Milioni 20 au kifungo cha miaka 7 au vyote kwa pamoja.
Usambazaji wa ponografia ya watoto, faini ni Shilingi Milioni 50 au kifungo cha miaka 7 au vyote kwa pamoja.
UTOAJI WA TAARIFA ZA UONGO
Usambazaji wa taarifa za uongo inakukuta faini isiyopungua Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka 3 au vyote kwa pamoja.
UJUMBE UNAOTUMWA BILA RIDHAA.
Kutuma ujumbe bila ridhaa unapigwa Faini isiyopungua Shilingi Milioni 3 au kifungo cha mwaka 1 au vyote kwa pamoja.
MATUSI YA KIBAGUZI
Kutuma matusi ya kibaguzi kinakulamba, Milioni 5 au kifungo cha miaka 3 au vyote kwa pamoja.
UNYANYASAJI KUPITIA MTANDAO
Unyanyasaji Unapigwa Faini isiyopungua Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka 3 au vyote kwa pamoja.
UKIUKAJI WA HAKI ZA HATI MILIKI
Wizi wa haki za bunifu na hati miliki, Faini isiyopungua Shilingi Milioni 20 au kifungo cha miaka 7 au vyote kwa pamoja.
KULA NJAMA YA KUTENDA KOSA.
Kula njama ya kutenda kosa mtandaoni: Faini isiyopungua Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka 3 au vyote kwa pamoja.
MAKOSA DHIDI YA USIRI NA USALAMA WA TAARIFA.
Wizi wa taarifa za kimtandao: Faini isiyopungua Shilingi Milioni 20 au kifungo cha miaka 7 au vyote kwa pamoja.
UDANGANYIFU KUPITIA KOMPYUTA.
Udanganyifu na wizi wa utambulisho: Faini isiyopungua Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka 7 au vyote kwa pamoja.
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+1
Mchungaji Petter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC.
Akiwa anaingia WANEC wamempa heshima Mchungaji Msigwa kwa kumuimbia wimbo wa "Mlete Msigwa, Mlete Msigwa"
1 307
Chukua hii.
Mtandao wa kutazama filamu Duniani wa Netflix imepanga kuweka iwe bure kwa baadhi ya Watumiaji/Watazamaji lakini itakuwa inaweka matangazo katikati ya filamu na tamthilia (series) kama YouTube inavyofanya katika video zake.
Mtandao huo imeanzisha kifurushi cha bure chenye matangazo kwa baadhi ya maeneo na kwa Watumiaji wachache kama sehemu ya majaribio ili kuvutia Wateja wao kutokana na ongezeko la ada za "subscription" na ushindani mkubwa kuongezeka katika mtandao mingine ya kutazama filamu "streaming platforms"
Kifurushi hiki chenye matangazo kitapatikana hasa kwa watumiaji wa Bara Asia na Ulaya na watakuwa wanaangalia maudhui ya Netflix bure huku wanakutana na matangazo kama ilivyo kwa mtandao wa YouTube. Netflix imejaribu mipango kama hii hapo awali, lakini haikuendelea baada ya kusita kufanya hivyo lakini hivi sasa inafikiria kurudisha majaribio hayo.
Toa maoni yako
1 307
"Wanafunzi wa Yesu walimjia na kumwambia Mwalimu sasa hata mapepo tunayaamuru kwa jina lako yanatutii, hii inaonesha kumbe kuna mapepo wazuri tunaoweza kuwaamuru na wakatutii, hivyo hata kwenye kufanikisha mambo yetu sio mbaya"- Al Hajj Dr. Sulle
Sheikh anayesisitiza fedha za majin sio haramu
Kuna anayebisha hoja ya sheikh?
1 307
"Gen Z" ya Kenya ni kizazi ambacho serikali inatakiwa kuwa makini nacho sana. Ni kizazi ambacho hakina kitu cha kupoteza. Yani ni:"No Jobs," "No Love," " No Belief," yani Ni "No Nothing". Lolote wanaweza fanya bila kujali matokeo.
1 307
+2
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Qualify Group LTD, Yusuph Manji, amefariki Dunia jana Jumamosi, Juni 29, 2024 huko Florida nchini Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo cha Manji zimethibitishwa na mtoto wake Mehbub Manji.
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
SIRI NA SABABU YA MGOMO KUENDELEA KARIAKOO..!
1.Malumbano kati ya Waziri wa fedha na Kamishina wa Mapato TRA.
Msimamo wa Kamishina kuhusu kero za wafanyabiashara ni kutekeleza sheria wala siyo maagizo ya wanasiasa wa ngazi yoyote.
Kamishina TRA amewaambia Wafanyabiashara mara kadhaa mkitaka tuache kufanya kazi ambazo nyie (Wafanyabiashara) mnaziita kero
Ongeeni na wanasiasa waondoe hizo sheria au wafanyie marekebisho hizo sheria,
Sisi tutatekeleza hiyo sheria,kama hawaondoi malalamiko yenu katika hizi sheria,sisi tunalazimika kutekeleza Sheria iliyopo tuh.
Wakati huo Waziri wa fedha mwenye dhamana na Sheria zote za fedha, hajawahi kupeleka mswaada mpya wala marekebisho ya sheria kwa mwaka wa pili sasa.
Ndiyo maana Wafanyabiashara wanajua maagizo ya kisiasa ya Waziri Mkuu au Waziri Kitila Mkumbo hayana nafasi mbele ya TRA.
2.Kukamatwa kwa Mfanyabiashara maarufu na mwenye ushawishi Kariakoo Bwana Erasto Rweimamu na Mwenyekiti wa Kijiwe cha "RAHA SQUARE" pale Kariakoo
Siku ya Jumapili ya 22 June 2024 ,Viongozi wa Wafanyabiashara Kariakoo, Walimuomba Mfanyabiashara maarufu na Mwenye ushawishi Kariakoo awasindikize Dodoma na akashiriki Kikao kilichoitishwa na Waziri wa fedha,Waziri wa Viwanda na biashara na Waziri wa Mipango siku ya Jumatatu ya tarehe 23 June 2024.
Lakini cha Kusikitisha Bwana Erasto Rweimamu akiwa njiani katika gari pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (kenedy Mast na Mbilinyi ambaye katibu wa wajumuiya)
Alikamatwa akiwa safarini Kuelekea Dodoma katika kikao alicho alikwa na Mawaziri kupitia Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo.
Jambo baya kabisa,Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo walioomba kwenda naye na na kumchukua akashiriki kikao Dodoma
Walishuhudia mwenzao akikamatwa,lakini walinyamaza Kimya bila kujulisha Wafanyabiashara wenzao Dar es saalam wala familia ya Bwana Erasto Rweimamu.
Baada ya Kikao cha Jana, baina ya Serikali na Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, pamoja na serikali kutoa tamko la Kusitisha Operesheni za Kukamata Wafanyabiashara wasiotumia EFD Mashine Kariakoo
Wafanyabiashara kariakoo walikuwa wanasubiri tamko au maoni ya Bwana Erasto Rweimamu kuhusu makubaliano hayo,
wakijua ameshiriki kikao na Mawaziri kama alivyo aga Dar es saalam siku anaanza safari ya kwenda Dodoma.
Lakini wafanyabishara kariakoo walianza kupatwa na wasiwasi baada ya kuona simu za Bwana Erasto Rweimamu hazipatikani
Na Viongozi wakiulizwa Erasto Rweimamu yupo wapi hakuna majibu ya maana wanayotoa.
Kwa jambo hili la Kijinga ,Jana usiku Wafanyabiashara kariakoo waliazimia kuendelea na mgomo baada ya kuona serikali haina nia ya dhati ya kumaliza matatizo yao.
Hata hivyo baada ya Wafanyabiashara wa Kariakoo kupambana kumtafuta ndugu yao Erasto Rweimamu
Leo wamepata taarifa rasmi anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es saalam tangu siku ya Jumapili.
Akili ya kumkamata na kumshikilia Bwana Erasto Rweimamu wakati wakutaka kumaliza mgogoro na Wafanyabiashara imetafsiriwa kama serikali kupijipiga risasi katika mguu wake au kujihujumu yenyewe.
Mambo haya mawili yamekoleza zaidi mgomo wa wafanyabiashara na kusasabisha kuanza kuenea katika Majiji ya Mwanza na Mbeya.
Wafanyabiashara wamesikika wakisema wao siyo wajinga, kama kero za amezishindwa Waziri Mkuu kuzitatua iweje aweze Waziri wa Kawaida kama Kitila Mkumbo tena kwa kutoa ahadi..!
