E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
TAARIFA ZA KUPOTEA BINTI
BINT PICHANI CHINI ANAITWA:
MAIMUNA ZUBERI MAHAMBI..
AMEONDOKA HAJULIKANI ALIPO NA ANA TATIZO LA KUDONDOKA NA ANAPOTEZA FAHAM.
ATAKAE MUONA ATOE TAARIFA KWA 0678 012679 KWA IDD MTAMBO AU KITUO CHA POLIS CHA KARIBU
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
#HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Clemensia Cosmas Mirembe (19) ambaye anatuhumiwa kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni mtoto Malick Hashim (6) anayeishi eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni.
Mtuhumiwa huyo amekamatwa akiwa amejificha kwenye “pagala” maeneo ya Goba Kizudi Kinondoni. #EastAfricaTV
1 307
Mwanamke mwenye asili ya Afrika nchini Marekani auawa kwa kupigwa risasi na polisi mzungu baada ya kuwapigia simu polisi wa eneo hilo
Katika picha hii iliyochukuliwa kutoka kwenye video ya kamera iliyopigwa na Polisi wa Jimbo la Illinois, aliyekuwa mkuu wa polisi wa Kaunti ya Sangamon Sean Grayson (kushoto) akichukua bunduki yake kumlenga Massey mwenye asili ya Afrika ambaye alipiga simu 911 kuomba msaada, kabla ya kumpiga risasi na kumuua ndani ya nyumba yake huko Springfield tarehe 6 Julai. Tarehe 22 mwezi Julai mwendesha mashtaka alitoa video hiyo.
Chanzo: CRI Kiswahili
1 307
+3
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
+2
UGANDA🇺🇬; Yoweri Kaguta M7ni aliwaonya Genz wa Uganda kucheza na moto...Leo hii ametuma moto katika maeneo mbali mbali ya Nchi hiyo..🙄🙄
Toa maoni yako unayoona yatakwenda kutokea Uganda katika maandamano hayo..👇👇
#genzrevolution
#genzkenya
#genzuganda
1 307
MAANDAMANO yaliyoanzishwa na vijana nchini Kenya na kupewa jina la Gen Z, yameanza kubisha hodi nchini Uganda baada ya polisi wa taifa hilo kuahirisha mpango wa vijana nchini humo kuandamana kuelekea katika majengo ya bunge kwa lengo la kulaani ufisadi.
Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 23 Julai mwaka huu.
Tangazo la kuyapiga marufuku maandamano ya aina hiyo lilitolewa jana Jumatatu asubuhi na Msemaji wa Polisi wa Uganda, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Kituuma Rosoke.
Uamuzi huo unakuja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka na juhudi kubwa za uhamasishaji kwenye mitandao ya kijamii zinazolenga kupata ushiriki wa umma katika maandamano hayo.
ACP Rosoke, katika taarifa yake, alisisitiza kukosekana kwa uwazi kuhusiana na maelezo ya waandaaji wa maandamano hayo.
“Polisi wa Uganda wanataarifiwa kuhusu juhudi zinazoendelea za uhamasishaji kwenye mitandao ya kijamii kuwataka watu kuandamana hadi bungeni. Waandaaji wasiojulikana wamesambaza mabango ya kuwataka watu kukusanyika katika mitaa yote ya Kampala Jumanne, Julai 23, 2024, lakini wakati wa kuanza na maelezo ya shirika havieleweki,” Rosoke alisema.
Alisema kuwa utata huu unaweza kusababisha machafuko yanayoweza kutokea.
Msemaji huyo wa polisi alionya zaidi kuhusu maandamano hayo, akisisitiza umuhimu wa kudumisha utulivu wa umma.
“Kutokana na kukosekana kwa uwazi na uwezekano wa kutokea kwa fujo, polisi wanaonya vikali dhidi ya kuendelea na maandamano haya. Jeshi la Polisi la Uganda linatoa onyo la wazi dhidi ya majaribio ya kuchochea ghasia au uvunjaji wa utaratibu wa umma kupitia maandamano yasiyodhibitiwa,” alisema.
Ingawa haki ya maandamano ya amani inakubaliwa, polisi walisisitiza kutovumilia kwao vitendo vyovyote vinavyoweza kuchochea ghasia za umma.
Maandamano hayo yaliyokuwa yamepangwa yalikuwa yamechukua mvuto mkubwa, hasa baada ya Waziri wa Fedha anayeshughulikia Uwekezaji na Ubinafsishaji, Evelyn Anite, kuonyesha nia yake ya kushiriki.
Anite, anayejulikana kwa msimamo wake mkali dhidi ya ufisadi, alikuwa amekubali mwaliko wa mtandaoni wa kujiunga na maandamano.
1 307
Wabunge watatu wa Upinzani nchini Uganda waliwekwa kizuizini kabla ya kusikilizwa kwa kesi, Polisi walitangaza jana jioni katika mkesha wa maandamano dhidi ya ufisadi.
Walishtakiwa kwa makosa mbalimbali na kuwekwa kizuizini kabla ya kusikilizwa kwa kesi,” Msemaji wa Polisi wa Uganda aliambia AFP, akiongeza kuwa wote watapelekwa Mahakamani siku ya Alhamisi ijayo.
Wakati huo huo, Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine anasema vikosi vya usalama vilizingira makao makuu ya chama chake siku ya Jumatatu, mkesha wa maandamano yaliyopangwa ya kupinga ufisadi ambayo yalipigwa marufuku na mamlaka.
Bobi Wine, ambaye jina lake halisi ni Robert Kyagulanyi, ameliambia shirika la habari la AFP kwamba makao makuu ya chama chake, National Unity Platform (NUP), huko Kavule, kitongoji cha mji mkuu wa Uganda Kampala, yamezingirwa.
1 307
UGANDA: Hali ya usalama imeimarishwa mjini Kampala Uganda huku wanajeshi wenye silaha wakionekana kuizingira mitaa baada ya vijana kupanga kuandamana hadi kwenye bunge kuwasilisha madai yao, ikiwa ni pamoja na kujiuzuru kwa Spika.
Awali rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni aliwaonyea waandamanaji kwamba "watakuwa wakicheza na moto" ikiwa wataendelea na mipango ya kuandaa maandamano ya kupinga ufisadi hadi bungeni siku ya Jumanne.
Miongoni mwa madai ya waandamanaji waliyopanga kuyawasilisha bungeni leo ni:
- Kujiuzuru kwa Annet Among kama Spika wa Uganda
- Kujiuzuru kwa makamisha wanne
- Kupunguzwa kwa idadi ya wabunge
- Mbunge yoyote aliyehusika na kashfa yoyote ya ufisadi lazima ajiuzuru wakati uchunguzi ukiendelea
- Kufanyika kwa ukaguzi wa mali na mtindo wa maisha wa wabunge na kuutangazwa
- Kukatwa kwa mishahara na marupurupu ya wabunge wote hadi shilingi milioni 3 za Uganda
- Kuwaruhusu Waganda kuendelea kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kukusanyinyika kwa amani bila kizuizi.
#radiokwizera #2024funguka
CHANZO: BBC
1 307
KAMPALA: jeshi la polisi nchini Uganda limetoa taarifa kuwa linawashikilia wabunge wawili wa chama cha upinzani kwa kupanga maadamano yaliyokuwa yanapinga rushwa nchini humo.
Bobi Wine ambaye ni kiongozi wa chama cha upinzani nchini Uganda amesema vikosi vya usalama vyenye silaha vimezingira makao makuu ya chama chake cha National Unity Platform (NUP) yaliyopo Kavule, kwenye viunga vya Kampala.
Hatua hiyo inakuja siku mbili baada ya Rais Yoweri Museveni, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa karibu miongo minne, kuonya kuwa watu waliopanga kushiriki maandamano hayo "wanacheza na moto."
KAMPALA: the police force in Uganda has released information that they are detaining two members of parliament of the opposition party for planning demonstrations against corruption in the country.
Bobi Wine, who is the leader of the opposition party in Uganda, has said that armed security forces have surrounded the headquarters of his National Unity Platform (NUP) party located in Kavule, on the outskirts of Kampala.
The move comes two days after President Yoweri Museveni, who has led the country for nearly four decades, warned that people who planned to take part in the protest were "playing with fire."
1 307
+8
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
“Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture lazima tuipige vita vinginevyo hatuwezi kutoka, na ni kupitia kazi, watu wasifikiri kuna mjomba atakuja mahali akuletee maendeleo ya maisha yako. Serikali kazi yake ni kutengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi zao.” – Nape Nnauye, Aliyekua Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
