fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Mchezaji wakike Raia Wa Africa kusini na Timu ya Mamelody Sundown Bambanani Mbane amemuoa rafiki yake wakike Ambae walikuwa k
Mchezaji wakike Raia Wa Africa kusini na Timu ya Mamelody Sundown Bambanani Mbane amemuoa rafiki yake wakike Ambae walikuwa kwenye mahusiano Imeripotiwa wachezaji Watano wa timu ya wanawake ya Africa kusini ambao ni Refiloe Jane, Tembi Kgatlana pamoja na Bambanani Mbane wamewaoa wanawake wenzao.

KANISA KATOLIKI LINAPASWA 'KUTATHMINI UPYA' SUALA LA NDOA KWA MAKASISI- MSHAURI WA PAPA. Afisa mkuu wa Vatican na mshauri wa Papa Francis anasema ipo haja ya Kanisa Katoliki ''kutathmini upya suala la makasisi kuoa,'' Reuters limenukuu mahojiano ya Jumapili yaliyochapishwa na gazeti la Times of Malta. Askofu Mkuu Charles Scicluna wa Malta alisema: "Ni mara ya kwanza ninayasema haya hadharani na huenda yataonekana kuwa ya uzushi kwa baadhi ya watu," Scicluna, anayejulikana zaidi kwa uchunguzi wake wa uhalifu wa unyanyasaji wa kijinsia, alibainisha kuwa makasisi waliruhusiwa kuoa katika milenia ya kwanza ya historia ya Kanisa na kwamba ndoa inaruhusiwa leo katika ibada ya Mashariki ya Kanisa Katoliki. "Kama ningelikuwa na uwezo, ningerekebisha masharti ya kuwataka makasisi kuwa waseja," alisema. "Uzoefu umenionyesha kuwa hili ni jambo tunalohitaji kufikiriwa kwa uzito." Askofu Mkuu Scicluna, 64, alisema Kanisa "limepoteza makasisi wengi wakuu kwa sababu walichagua ndoa". Alisema "kuna mahali" kwa useja katika Kanisa lakini pia ilibidi kuzingatia kwamba kasisi wakati mwingine wanapata hisia ya mapenzi. Hilo linapotokea anapaswa kuchagua "kati ndoa na ukuhani na baadhi ya makuhani katika juhudi za kukabiliana na uamuzi hup wanaingia kisiri katika mahusiano ya kimapenzi". Mjadala kuhusu iwapo makasisi wa Kikatoliki waruhusiwe kuoa umekuwepo kwa karne nyingi . . . Source BBC Swahili

photo content

"Mwanaume mmoja hawezi kutoa furaha kwa wanawake wawili, lazima mmoja aumie"- Raya MKE wa Barnaba
"Mwanaume mmoja hawezi kutoa furaha kwa wanawake wawili, lazima mmoja aumie"- Raya MKE wa Barnaba

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya Wanafunzi 178 wa darasa la 4 na 28 wa kidato cha pili kwa kufanya
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya Wanafunzi 178 wa darasa la 4 na 28 wa kidato cha pili kwa kufanya udanganyifu kwenye karatasi zao za upimaji kitaifa katika mitihani ya darasa la nne na kidato cha pili. NECTA pia imefuta matokeo ya Wanafunzi 17 jumla ( 14 wa kidato cha pili na watatu wa darasa la 4) walioandika matusi kwenye karatasi zao hizo za upimaji wa kitaifa. “Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa Kifungu cha 5 (2) () cha sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 30(2) (b) 2016 cha Kanuni za Mitihani” Amesema Katibu Mtendaji wa NECTA Dr. Said Mohamed. Source MILLARDAYO

KUTOKA MITANDAONI
+9
KUTOKA MITANDAONI

photo content

⚠️😢 Naitwa John Joseph Masinde mw/kiti wa Shina no, 10 tawi la umoja kibululu mji mpya mwanangu wa kike wa miaka 7 mwanafunzi wa darasa la 2 mwaka huu anasoma Lugalo p/school mtoto wangu amefanyiwa kitendo Cha ukatili (amebakwa) na mpangaji jirani yangu kama nyumba ya 3 kutoka kwangu. Tukio limefanyika tarere, 01/01/2024 saa 12 jioni Kiufupi kesi Iko kituo cha Goba kuanzia Jumatatu nimeambiwa faili litapelekwa Kwa mwanasheria, tayari Kwa maandalizi ya mahakamani, kinachoniuma Mimi ndugu zangu, bado nina maumivu makali moyoni mimi pamoja na mke wangu na mtoto Bado hajapona majeraha yake Tarehe 6 nimefika kituoni namuulizia mtuhumiwa wangu naambiwa ameshapewa dhamana tangu tarehe 05/01/2024 Sasa naomba kuuliza Kwa stahili hii je tutatokomeza vitendo vya ukatili Kwa watoto wa kike na kiume au matukio haya Kwa ujumla Nimeamua nilete tatizo langu humu Ili nipate msaada wenu lakini ikiwezekana tusaidiane kupaza sauti watu hawa wapewe haki yao Kwa mujibu wa Sheria Ili vitendo hivi viwe fundisho mtaani Namba yangu, 0717 522724, 0689 566400. Kama nitakuwa nimekosea kuleta umu basi mtanisamehe naomba msaada wako/ wenu. Asante" Tusaidie kumtag waziri Mh. Dorothy Gwajima

UZURI WA NANCY SUMARI, ULIVURUGA KABISA UBONGO WA MB DOGGY!!! Wazee wetu Msondo ngoma, walipata kuimba, "Mtu mzima akilia mbele za watu ujue kuna jambo" Mimi naondoka na huo mstari wenye kusema mtu mzima akilia mbele za watu ujue kuna jambo.. Hapa NimemkumbukaMb Dog katika mistari hiyo, Mshikaji hakuona aibu wala Soni kulia mbele za watu, kulikuwa na jambo ambalo lilimfanya alie, Nani asiyeutambua uzuri wa Nancy Sumari??? Unadhani majaji wa Miss Tanzania walikosea kumpa mrembo huyu Taji la Umiss Tanzania??? Hapana hawajakosea majaji walikuwa sahihi Nancy Sumari ni bonge la Demu Mshikaji wangu... Ndiyo maana Mb dog man kila alipokaa alimuwaza Mrembo huyo, Akilala Njozi zake ni Nancy Sumari, Hata alipoingia Studio alitoka na jina la Mwanadada huyo, kwenye wimbo wa ina maana, Mb dog kuna mistari anasema. (Unafaa kuheshimika sio kwa taji waliokuvika Umzuri wa asili idara zote umekamilika Umrefu kama twiga Kifuani kama miba Sina ufana nae labda dada ‘angu Saida Unawaka kama nyota angani inayong’aa Umalkia wa ajabu unapaswa nikuite star Nakupongeza kwa zeze huku kitaa Mwana wa Sumari nawe matawi ya juu shaa! Macho yanashangaa ila nafsi imekubali Wewe wala haitoshi kupewa zawadi ya gari Zawadi kubwa upewe mtu kama mimi Ambaye ntakuthamini hata ukiwa mwezini Nachokuomba kuwa busy kwepa skendo Mi ntakutunuku shahada nyingi za urembo Mungu kakumulika malkia wa Afrika Kwa kifupi mama umekubalika Sio tu Madee MB Dogg mama Pashta Hata Kwembe Tolu kasema we senyorita Huku vacho unapendeza na macho unalegeza Wala hujala kungu nahisi unanikonyeza) Ukitoa wimbo huo pia kuna nyimbo nyingi sana za Mb Doggy, Ambazo ukizisikiliza utabaini kuwa nyimbo hizo, ni muendelezo wa kilio chake kwa Nancy Sumari, hivi Mb Doggy alimpata kweli huyu mrembo??? Wakuu naomba majibu yenu.. Ila Kama Mb Doggy angeingia Studio na kumuimbia nyimbo hizo, Yule dada mrembo wa 2006. Basi nisingepata tabu ya kujua kama alimpata au la, Kwanini??? Kwasababu yule dada hasifiwi Nyiee!!! Ni lazima angekwichi kwichi naye tu, Anyway tuachane na mambo hayo, Nancy Sumari ni nani??? Nancy Sumari ni mtoto wa mzee Abraham Sumari, Nancy Sumari alizaliwa mkoani Arusha nchini Tanzania, akiwa ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita, kuna dada yake mwenye kuitwa Glory, huyu ndiye aliyekuwa anampa Nancy hamasa na ushauri zaidi juu ya masuala ya urembo. Ndugu zake wengine katika ukoo wao ni Devis, Patra, Tumo na Nakaaya Sumari. Nancy Alipata elimu yake ya msingi jijini Nairobi, Kenya, katika shule ya msingi ya Blue Bells. Na Baadaye kuingia elimu ya Sekondari ya wanawake ya Maasai ya huko huko Nairobi ’NBO’ na kuhitimu mwaka 2004 na baadae kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam akisomea masuala ya utawala wa biashara. katika swala la urembo Nancy Sumari ana rekodi ya kipekee, Baada ya kulitwaa taji la Miss Tanzania, Nancy Sumari alikwenda kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya urembo wa Dunia, wakati huo Ilikuwa imepita miaka takribani 10 Tanzania haikuwahi kufurukuta kabisa katika mashindano ya urembo ya dunia, lakini mwaka huo iliweza kupeperusha bendera yake kupitia mrembo huyu ambapo alikuwa ndiyo mrembo wa dunia kwa Bara la Afrika. Nancy Sumari Alipata mapokezi baab kubwa aliporejra nchini. Mapokezi yaliongozwa na mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Maisha ya Nancy Sumari nje ya urembo, yaani namaanisha baada ya kumaliza muda wake, alijiunga na Televisheni ya Star Tv akiwa anatangaza kipindi cha urembo, na baadaye aliingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mkurugenzi wa Mtandao wa Bongo 5, aitwaye Lucas na baadaye wakaoana na kuzaa mtoto mmoja, lakini pia bado sijajua kama mtoto mpaka sasa ndiyo huyo huyo mmoja au kuna walioongezeka, Camera zangu bado hazijaweza kufua dafu, katika kuyamulika Maisha ya Nancy Sumari, Maana mrembo huyo si mtu wa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari, Lakini pia nimalize kwa kusema, Nancy Sumari alimsikiliza MB Doggy lakini penzi akampa bwana Lucas, Hapa Nancy Sumari anatukumbusha vijana tutafute hela tuache kulia lia, Asanteni sana wote naomba kuhitimisha,

photo content

JB akubali mziki Mwigizaji anayetamba kwa sasa Tanzania, Mariam Ismail. "Ni vyema ukweli ukasemwa wakati sahihi..huyu dada anaitwa Mariam Ismail kuna mambo mengi mashabiki wa movies ambayo hamyafahamu kuhusu huyu dada... Kwa takribani miaka mitatu sasa 2020..hadi 2023..amekuwa chaguo la producers wengi sana kama mhusika mkuu.. Mwaka jana producers watatu..Chuchu Hans ..akiwa na Jereha La Moyo..Mtitu na Lolita na Jerusalem Pictures tukiwa na Ripoti tulimchezesha kama mhusika mkuu na tukaitwa na viongozi wa channel ya sinema zetu kushauriwa mmoja wetu ampunguze...ikabidi nifute scenes alizocheza na kumpa nafasi Cassie Kabwita..(Amandina) Mariam Ismail ndiye mwigizaji wa kike nchini ambaye waigizaji wengi wakiwa nae set hujipanga Kwa kumhofia..hatumii nguvu ana facial expressions za tofauti sana.. Naomba nikiri leo ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa kike ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na nikipangwa nao najiandaa Kwa muda mrefu.. Hajawahi kupata tuzo maskini, qala hana followers wengi mitandaoni lakini kwangu ni mmoja wa waigizaji bora tulio nao... Mungu akupe afya njema uzidi kutupa raha.. Jamani sio birthday yake . Nimejisikia tu kumpa maua yake ..na nitakuwa na utaratibu huu wa kuwapa maua na wengine..." ameandika JB Jacob Stephen ambaye ni Mwigizaji maarufu na Mkongwe Tanzania. Toa maoni yako

photo content

"Kila siku naota ajali ya ndege East Africa, natabiri mwaka huu 2024 itatokea ajali ya ndege ukanda wa Afrika Mashariki"- Bab
"Kila siku naota ajali ya ndege East Africa, natabiri mwaka huu 2024 itatokea ajali ya ndege ukanda wa Afrika Mashariki"- Baba Levo

Kwenye ubora wake Diva ambaye kwasasa anajiita Rihanna baada ya kusilimu kuwa Muislam.
Kwenye ubora wake Diva ambaye kwasasa anajiita Rihanna baada ya kusilimu kuwa Muislam.

⚠️😳😁 Regina Daniels(23) na bilionea Ned Nwoko(63) ambaye ni mume wake. Bilionea huyo wa Nigeria ambaye pia ni mwanasiasa ha
⚠️😳😁 Regina Daniels(23) na bilionea Ned Nwoko(63) ambaye ni mume wake. Bilionea huyo wa Nigeria ambaye pia ni mwanasiasa hadi sasa yupo kwenye ndoa na wanawake 6 huku Regina akiwa ndie mke wa sita kuolewa na wana watoto wawili Wiki chache zilizopita, Regina na mmoja wa wake wenzie anayetokea nchini Morocco walishirikiana kuandaa sherehe ya pamoja kwa ajili ya birthday ya mume wao huyo Kwenye comments section kuona zaidi picha za wanandoa hao wanaopendana kwa dhati pamoja na watoto wao wawili

***Mpare keshalizwa na wajanja wa Kariakoo***
***Mpare keshalizwa na wajanja wa Kariakoo***

J-PLUS/JIMMY MASTER (JIMMY MPONDA) Huyu Jamaa ni hatari sana na anavipaji kibao, Jamaa ni Producer, Director, Story Writer na Muigizaji Pia. Tangu aanze sanaa ya Filamu Mwaka 1994 mpaka sasa anafilamu kali kama vile Shamba Kubwa (1994), Unga Adui(1995), KIFO HARAMU (1997), USIA (2003), Misukosuko(2005), Double J (2012), The foundation, (2017) Mwaka 2005, Jimmy Master alijizolea umaarufu mkubwa sana baada ya kutoa Movie yake ya 5 ambayo ilipewa jina la “MISUKOSUKO” ambapo ndani ya Movie hiyo alimshirikisha Sebastian Mwanangulo, ambaye naye umaarufu wake ulianzia hapo alipobamba na jina la “Inspector Seba" pia kumbuka Jina la J PLUS lilizaliwa kwenye Movie hiyo ya “Misukosuko”. Misukosuko ilisisimua Watanzania kiasi kwamba kulitokea na mgawanyiko wa mashabiki yaani kama team za mpira, Mashabiki wa“J Plus” na Mashabiki wa “Inspector Seba” hii ni kutokana na mpambano wao mkali katika filamu hiyo. Wabongo Walifika mbali zaidi, ilivyoisha Part one wakaomba waletewe Part two, Ikaisha wakaomba Part Three. Filamu hii inastory Moja kali sana ambayo inakufanya Usisinzie kabisa wakati ukiitazama, Imagine majamaa Wanatoka Dar wanaenda Mererani, Wakati kwasasa ni Sio rahisi kuona Bongo Movie ambayo Imetengenezwa kwenye zaidi ya Mkoa mmoja. Jimmy Mponda amemotivate watu wengi sana kuingia katika filamu hasa za mapigano lakini mpaka sasa sijaona hata Media zikimtafuta, Au kupatiwa hata tuzo ya Heshima. MTITU. G. GAME Huyu ni moja kati ya watu wasioongelewa kabisa hapa nchini hususani katika tasnia ya filamu za kibongo, japokuwa wengi wetu filamu za kitanzania zimetutoka kabisa mioyoni mwetu, ila kuna watu Kama Mtitu Game au Gabriel Mtitu walikua ndio watu waliotengeza filamu nzuri za kibongo hapo nyuma. Huyu kupitia kampuni yake ndio aliwaibua wasanii kama Marehemu Steven Kanumba, Ray, Johari, Irene uwoya, n.k. Asilimia 70 au 80 za movie za kanumba zilikua zinaongozwa na kutayarishwa na Mtitu, movies Kama Johari, Oprah, Magic House ziliongozwa na huyu jamaa lakini sijawahi kuona hata media yoyote ikifanya Interview na Mtitu game, hii ni kutothamini mchango wake. Watu wengine Muhimu sana kwenye Bongo Movies ila hawathaminiwi na Taifa ni; •Mussa Banzi •Jully Tax

photo content

Hawa wanaitwa Meet Us ndivyo wanavyofahamika huko Tiktok na Instagram, ni mda sasa wamekuwa wakitrend baada ya kuonekana wao
Hawa wanaitwa Meet Us ndivyo wanavyofahamika huko Tiktok na Instagram, ni mda sasa wamekuwa wakitrend baada ya kuonekana wao wanapendana tu muda wote wanaonekana ni wenye furaha. Leo utawaona Zanzibar, kesho Morogoro milimani kesho kutwa utawaona Hotelini, yani wamekuwa kama adamu na Eva. Kitendo hicho kimefanya wanawake wengi wajae wivu na chuki dhidi yao wakisema wataachana tu.

Unamkumbuka huyu jamaa Alfred tibaigana
Unamkumbuka huyu jamaa Alfred tibaigana