fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
photo content

TUSIITUMIE SANAAA KAMA SEHEMU YA KUUZA SURA, TUITUMIE VYEMA WATOTO WETU WAJE KUJIVUNIA UWEPO WETU; IRENE PAUL "Kila mtu anapo
TUSIITUMIE SANAAA KAMA SEHEMU YA KUUZA SURA, TUITUMIE VYEMA WATOTO WETU WAJE KUJIVUNIA UWEPO WETU; IRENE PAUL "Kila mtu anapokuwa ameanza kitu ana matarajio, nina amini wasanii wengi na wazalishaji wa Filamu kila mtu ana matarajio, ni matarajio yangu wasanii tufike mbali na watoto wetu waje kujifunza kupitia sisi. Sanaaa iwe ni kazi ya kuheshimika kama kazi nyingine maana inawezesha tukiitendea haki" "Na mwisho wa siku iwe kwa ajili ya watu wanaoiangalia kama burudani na kitega uchumi na sio sehemu ya watu wa majaribio kimaisha wala sehemu ya kuuza sura au kwa watu waliofeli au kushindwa maisha kwasababu inatuwezesha"- Amesema Irene Paul alipokuwa anazindua Tamthilia yake mpya ya (SIRI)

⚠️ Van Vicker(46) asherehekea birthday ya mtoto wake wa 3
⚠️ Van Vicker(46) asherehekea birthday ya mtoto wake wa 3

NCHI 10 DUNIANI AMBAZO HAZIFAHAMIKI Hizi ndio Nchi 10 Duniani ambazo wanasema hazifahamiki, kwamba watu wengi wakiiona hii or
+1
NCHI 10 DUNIANI AMBAZO HAZIFAHAMIKI Hizi ndio Nchi 10 Duniani ambazo wanasema hazifahamiki, kwamba watu wengi wakiiona hii orodha ndio itakua mara yao ya kwanza kukutana nazo ; 1. Kyrgyzstan 2. Vanuatu 3. Kiribati 4. Luxembourg 5. Tuvalu 6. Guyana 7. Nauru 8. Niue 9. Samoa 10.Kingdom of Tonga

Wajuzi wa mambo Kipi kimesababisha Maji ya Ziwa Tanganyika Kurudi Nyuma ??
Wajuzi wa mambo Kipi kimesababisha Maji ya Ziwa Tanganyika Kurudi Nyuma ??

Je, wajua kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Australia na mchezaji wa kike wa Timu ya Wanawake ya Chelsea FC Sam ke
Je, wajua kuwa nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Australia na mchezaji wa kike wa Timu ya Wanawake ya Chelsea FC Sam kerr ni Lesbian? Sam Kerr amemtambulisha mpenzi wake mwenye Jinsia ya kike kwenye ukurasa wake wa Instagram alipoweka picha wakiwa pamoja akimvalisha pete ikiwa inaashiria kuwa wapo katika uchumba. SAMANTHA KERR na mpenzi wake Huyo Ambae anatambulika Kwa Jina la KRISTIE wanatarajia funga ndoa hivi karibuni🤔 Toa maoni yako Hapa ✍️ Written by Ahmad Mkunda

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 aitwae Johari Twaha, Mkazi wa mtaa wa Kigamboni Mkoani Iringa akamatwe na Polisi kwa t
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 19 aitwae Johari Twaha, Mkazi wa mtaa wa Kigamboni Mkoani Iringa akamatwe na Polisi kwa tuhuma za kumtumbukiza kwenye ndoo ya maji ya lita ishirini na kumuua Mtoto wake mwenye umri wa miezi saba, Polisi wamesema Johari aliua Mtoto ili aende Dar es salaam kutafuta maisha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amethibitisha kutokea kwa mauaji hayo ambapo amesema Johari alimuua Mtoto kwasababu alikuwa anataka kwenda Dar es salaam kwa Baba yake kwa ajili ya kutafuta maisha. "Huyu Binti alimuua Mtoto kwasababu Baba yake huyu Binti (Babu wa Mtoto) yupo Dar es salaam kwahiyo aliitwa na Baba yake kwenda Dar es salaam kwa ajili ya kuhangaika na maisha yeye anasema Iringa maisha ni magumu yamemshinda kwahiyo Baba yake alimpa masharti kuwa aende Dar es salaam bila Mtoto” Johari alitekeleza mauaji hayo November 19,2023 saa tano katika eneo la Mawelewele Mkoani Iringa kwa kumtumbukiza mwanaye kwenye ndoo iliyopo chooni kichwa chini miguu juu na kusababisha kifo chake.

Diamond aliona Muziki wa Nigeria unazidi kukua kwa kasi tena ni ngumu kushindana nao, akamua akae Chini aumize kichwa. Akaja
Diamond aliona Muziki wa Nigeria unazidi kukua kwa kasi tena ni ngumu kushindana nao, akamua akae Chini aumize kichwa. Akaja na plan ya kuCopy nyimbo zao zilizo bora na Style za Wasanii wao wakubwa. Sasa hivi anaonekana kama mmoja wao na tuzo anachukua. Huyu ndo Kijana wa Tandale SOMO: Ikiwa huwezi kuwashinda, jiunge nao, kisha ujifunze jinsi ya kuwashinda. Follow

"Mimi nimetokea Shinyanga na kipindi hicho mkoa wa Shinyanga ilikuwa muda kidogo pale ngokolo televisheni ilikuwa moja tu baa
"Mimi nimetokea Shinyanga na kipindi hicho mkoa wa Shinyanga ilikuwa muda kidogo pale ngokolo televisheni ilikuwa moja tu baadae na sisi nyumbani tukanunua nakumbuka nilikaa kama wiki sijaenda shule niangalie tv huku najifunza inawashwaje ili niwe naachiwa hilo jukumu" - Blandina Chagula maarufu kama Johari.

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Dennis Ngomai mkazi wa mtaa wa Mahomanyika kata ya Nzuguni jijini Dodoma amekutwa amejiny
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Dennis Ngomai mkazi wa mtaa wa Mahomanyika kata ya Nzuguni jijini Dodoma amekutwa amejinyonga ndani kwake kwa kutumia shuka. Inaelezwa kuwa marehemu alikuwa amekubaliana na mkewe kwenda kulima ambapo mwenza wake alitangulia shambani lakini baadaye akagundua mumewe amejinyonga. Matukio kama haya yamekua yakijitokeza mara kwa mara kwenye jamii yetu, unadhani nini kifanyike kupunguza matatizo kama hayo?

Huyu ni "Semaji" au Haji Manara, aliyekuwa Msemaji wa Simba SC na baada Yanga SC. Picha hii imepigwa mwaka 2006.
Huyu ni "Semaji" au Haji Manara, aliyekuwa Msemaji wa Simba SC na baada Yanga SC. Picha hii imepigwa mwaka 2006.

Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya faranga za Congo milioni 160, sawa na zaidi ya Sh150.3 milioni kama ada zisizorejeshwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (CENI). Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), kiasi hicho kimepunguzwa kutoka dola 100,000 sawa na zaidi ya Sh250.5 milioni katika uchaguzi uliopita wa 2018. Mpaka sasa wagombea 25 wameshajitokeza akiwamo Rais wa sasa Felix Tshisekedi akipambana na mpinzani wake wa karibu, Martin Fayulu ambaye katika uchaguzi wa mwaka 2018 ilidaiwa alishinda ingawa si aliyetangazwa.

KUTANA NA KOBOKO, NYOKA HATARI SANA AFRIKA (BLACK MAMBA) Anaitwa mamba mweusi wa Afrika, The African black Mamba! (KOBOKO) anapatikana ktk bara la Afrika tu. Ndiye nyoka hatari kabisa! Anatoa sumu Aina mbili na zote zinaua haraka! Anatoa sumu inayojulikana Kama 'Neurotoxin hii uathiri mfumo wa neva' na pia anatoa Sumu nyingine Aina ya Cardiotoxin hii hushambulia mfumo wa Moyo. Nyoka huyu akikuuma unaweza kupoteza maisha ndani ya dakika 20 tu! Usipopata dawa. KOBOKO huwa na urefu hadi futi 14 na hukimbia kwa kasi kuliko nyoka aina yoyote duniani (20 km/saa). Ni nyoka ambaye huuma mara nyingi zaidi na kutoa sumu kuanzia miligramu 100 hadi 400 na anapokimbia huweza kuinua Robotatu ya mwili wake jambo ambalo si kawaida. > Anapojiandaa kushambulia, hutanua shingo na hutoa sauti kama tairi linalotoa upepo. Ukiona hivyo, unashauriwa kutulia mpaka hasira zake zishuke na aondoke. Pamoja koboko na sumu yake kali na urefu wake lakini hana ujanja mbele ya nguchiro, mbweha na nyegere. Sasa nimekuandalia video ya Nyoka huyu koboko akipigana na nguchiro mpaka kifo. Bonyeza hapa chini pia usisahau kusubscribe ili usipitwe na vipindi vya wanyama 👇👇👇🙇 KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

photo content

KISA CHA KWELI. Kwa story hii unajifunza nini. Ni kesi ya kweli Republic Versus Leonard son of Jonathan Criminal Session case no.27 of 2021 kesi imeamuliwa na Jaji Ngingana 3 November 2023 Na mtuhumiwa kashinda Ilikuwa hivi ✅Leonard Jonathan alishitakiwa kwa kosa la kujalibu kumuua rafiki yake johanes, ilikuwa hivi aliomba hifadhi kwa sababu alifumaniwa na mke wa mtu hivyo alikuwa anatafutwa na mwenye mke Ili apate usalama aliomba hifadhi Johanes akamkaribisha kwake. Usiku Johanes aliamua kulala kumuacha Leonard anatazama movie, usiku saa 9 Leonard Aliamka akamchoma kisu mara 2 mwenyeji wake yule aliyempa hifadhi,mwenyeji kushituka mtuhumiwa akakimbia akiacha kisu, na nguo zake, bhasi jamaa akaita majirani baada ya muda akapoteza fahamu kujikuta hospitali. 😃Kesi imeenda mahakamani mtuhumiwa ameshinda kesi kwa sababu mke wake amemtetea Kuwa siku ya tukio mume wake hakuondoka alilala nyumbani. mahakama ukakubali utetezi Kuwa hakuwepo eneo la tukio hivyo hahusiki na jaribio Hilo la kumchoma mtu kisu mara mbili.❔❓ La pili ni Kuwa pamoja na Kuwa aliyechomwa amemtambua mtuhumiwa sio hivyo Kuna mpangaji jirani alimuona mtuhumiwa akipokelewa na mwenyeji wake.❔❓ Tatu nguo za mtuhumiwa zilikuwepo ndani ya chumba Cha aliyechomwa na ziliwasilishwa kama kielelezo.❓❔ Nne kisu kilitumika kufanya tukio kilipatikana na kiliwasilishwa kama kielelezo.❓❔ @followers #ijuesheria

photo content

MSIJIZIME DATA Morocco Imemfunga Ubeligiji Morocco Imemfunga Canada Morocco Imemfunga Hispania Morocco Imemfunga Ureno Morocc
MSIJIZIME DATA Morocco Imemfunga Ubeligiji Morocco Imemfunga Canada Morocco Imemfunga Hispania Morocco Imemfunga Ureno Morocco Imemfunga Brazil Morocco Ndio Ilimfanya Ronaldo Alie Yaani Atoe Machozi Kama Mtoto Halafu Unatokea Wewe Ndegelec Eti Kipa Katuchoma Hivi Ukiangalia Tuna Timu yenye Quality Ya Kumfunga Morocco?

KUMBUKUMBU YA MSANII WA KWANZA KUSHINDA TUZO TATU KUTOKA TANZANIA NJE YA NCHI. Kutokana na Harmonize Kusema Hana kumbukumbu Y
KUMBUKUMBU YA MSANII WA KWANZA KUSHINDA TUZO TATU KUTOKA TANZANIA NJE YA NCHI. Kutokana na Harmonize Kusema Hana kumbukumbu Ya Msanii Yeyote Tanzania kushinda tuzo tatu nje ya nchi Basi Kumbukumbu iko Hivi :..!👇 Diamond Platnumz z alishinda tuzo Tatu kwenye channel O mwaka 2014, DiamondPlatnumz Alishinda Tuzo 3 kwenye Afrimma Texas Marekani 2015 DiamondPlatnumz Alishinda kwenye Afrima Lagos Nigeria 2015 tuzo 3 Hivyo Basi DiamondPlatnumz anakuwa ni msanii wa kwanza Tanzania kushinda tuzo zaidi ya moja nje ya Tanzania na nje ya Afrika pia. Kiufupi ameshinda tuzo tatu mara 3.

Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Johari Mbuma (19) mkazi wa Mawelewele, Kata ya Mwangata, Halmashauri ya Manispaa
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Johari Mbuma (19) mkazi wa Mawelewele, Kata ya Mwangata, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kwa tuhuma za kumnyonga hadi kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi tisa ili aende Dar es Salaam kwa mama yake mzazi. Akieleza sababu za kutenda kosa hilo, amesema amekuwa akiishi maisha magumu kutokana na mzazi mwenziye kumtekeleza na baada ya kuwasiliana na mama yake alikubali ombi lake la kwenda kuishi naye Dar es Salaam lakini kwa sharti la kuwa peke yake bila mwanaye. “Mama alisema kwa kuwa nimekatisha masomo kwa sababu ya ujauzito na ninataka kwenda kuishi naye Dar es Salaam, basi niende mwenyewe bila mtoto na kama nitakwenda na mtoto nisifikie nyumbani kwake, ndio maana nikalazimika kumnyonga mtoto wangu na kumtupa kwenye ndoo ya maji ili nisafiri kwenda kuishi na mama Dar es Salaam,” ameeleza. Amesema alitaka kumtelekeza mtoto wake huyo kwa rafiki yake kabla hajapata wazo la kumuua lakini siku ya kutekeleza wazo hilo hakumkuta rafiki yake nyumbani kwake.

🧠𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗡𝗜 𝗛𝗢𝗠𝗢𝗡𝗜 Suala la Clara Luvanga kutoitwa katika kikosi cha Timu ya taifa linafanana na Lile la Mwanad
🧠𝗧𝗔𝗧𝗜𝗭𝗢 𝗡𝗜 𝗛𝗢𝗠𝗢𝗡𝗜 Suala la Clara Luvanga kutoitwa katika kikosi cha Timu ya taifa linafanana na Lile la Mwanadada wa Zambia Banda. Inasemekana Clara baada ya mchezo tuliocheza na Cameroon na wao kupeleka mashtaka CAF mpaka kupelekea kupimwa wakiwa na mashaka na jinsia Yake. Imegundulika kuwa Clara ni Mwanamke lakini anazidiwa na homoni nyingi za tofauti na jinsia yake. Hivyo basi kwa sheria za CAF haruhusiwi lakini fifa anaruhusiwa na ndio maana anakiwasha kule saudia🇹🇿🙏. Chanzo kikubwa ni Homoni kuzidi kwa bibie Clara.