fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
#HABARI: Aliyekuwa mke wa Askofu wa Kanisa la Anglicana, Dayosisi ya Biharamulo, wilayani Chato, mkoani Geita, aliyefahamika
#HABARI: Aliyekuwa mke wa Askofu wa Kanisa la Anglicana, Dayosisi ya Biharamulo, wilayani Chato, mkoani Geita, aliyefahamika kwa jina la Monica Zabloni, amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya manila, pembezoni mwa kambi ya Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato, huku ikidaiwa kuwa amechukua uamuzi huo kutokana na kukata tamaa ya kuishi baada ya kuugua ugonjwa wa saratani kwa muda mrefu.

photo content
+4

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Muigizaji Mkongwe wa filamu Nchini Marekani 🇺🇸 na Dunia kwa ujumla, Morgan Freeman afichua siri ya hereni zake za dhahabu a
Muigizaji Mkongwe wa filamu Nchini Marekani 🇺🇸 na Dunia kwa ujumla, Morgan Freeman afichua siri ya hereni zake za dhahabu alizozivaa kwa miaka mingi. Kupitia Mtandao wa Kijamii wa Instagram Freeman amemjibu mmoja wa Shabiki kwa Kumuambia : “Nimekua nikiulizwa kuhusu hereni hizi kila wakati, Ukweli ni kwamba, hereni hizi zina thamani ya kutosha kwa mtu kuninunulia jeneza ikiwa nitakufa ugenini. Ndio maana mabaharia walikuwa wanavaa na ndio maana navaa” - Morgan Freeman. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

"Jina langu jipya naitwa King Wa Rap, Mungu wangu aliye juu hawezi kukubali unishushe chini" - ameandika Mr Blue Msanii huyo
"Jina langu jipya naitwa King Wa Rap, Mungu wangu aliye juu hawezi kukubali unishushe chini" - ameandika Mr Blue Msanii huyo ambaye jina lake halisi, anaitwa Kherry Samir, anatambulika pia kwa majina mengine kama Byser Babilone, Nyani Zee na hili jipya la King wa Rap au Mfalme wa muziki wa Rap. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

"Napaswa kumshukuru Mungu, kwa kunipa rafiki na Mke ndani ya nafsi moja, nakupenda sana Mke wangu, hata dunia ingeanza upya k
"Napaswa kumshukuru Mungu, kwa kunipa rafiki na Mke ndani ya nafsi moja, nakupenda sana Mke wangu, hata dunia ingeanza upya kesho bado ningetafuta nafasi ya kukuoa. Una kila sababu ya kunifanya nikupende, tabasamu langu na furaha yangu ya kila siku hutengenezwa na wewe" "Heri ya siku ya kuzaliwa mama Naya Bill, nina mengi ya kuusimulia ulimwengu kuhusu upendo wangu kwako ila kwa leo wacha niseme beki zangu kwako hazikabi kabisa. Nakupenda mpaka nakupenda tena❤️ Happy birthday Nandy"- ameandika Billnas ikiwa leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Mke wake na Msanii wa muziki Tanzania, Nandy. Kheri ya kuzaliwa kwake na hongera kwa kuongeza mwaka mwingine. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥

Lulu anavyoishangaa timu ya Simba na Mashabiki wa timu hiyo baada ya kuendelea kuboronga.
Lulu anavyoishangaa timu ya Simba na Mashabiki wa timu hiyo baada ya kuendelea kuboronga.

WANAWAKE WAREMBO SANA TUANZE KULIPWA NA SERIKALI; RUSHAYNAH. "Leo nimeamka nikatizama picha zangu and I was like daaaaammuuuu
WANAWAKE WAREMBO SANA TUANZE KULIPWA NA SERIKALI; RUSHAYNAH. "Leo nimeamka nikatizama picha zangu and I was like daaaaammuuuuu, sema hiki chuma kimenyooka sana jamaniii mashallah. Hii nchi ingeanza kutulipa kodi warembo maana tunawakirisha nchi vizuri kabisa"- amejisifia Rushaynah mtalaka wa Haji Manara ambaye kwa sasa anaishi zaidi Dubai kuliko Tanzania.

Pichani ni Monalissa akiwa na mama yake mzazi Natasha Mamvi ambaye pia ni kinara kwenye sekta ya Uigizaji.
Pichani ni Monalissa akiwa na mama yake mzazi Natasha Mamvi ambaye pia ni kinara kwenye sekta ya Uigizaji.

"Siwezi kukaa nyumba moja na mtu mchafu, mwenye kelele lakini zaidi siwezi kukaa nyumba moja na mtu mbea"- Mimi Mars
"Siwezi kukaa nyumba moja na mtu mchafu, mwenye kelele lakini zaidi siwezi kukaa nyumba moja na mtu mbea"- Mimi Mars

Ameandika MBUNGE Mh Dr Hamisi Kigwangalla "Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabis
Ameandika MBUNGE Mh Dr Hamisi Kigwangalla "Niseme nisiseme? Acha niseme tu! Mangungu, Try Again na wengine hawana shida kabisa…Glazer ni tapeli, janja janja, fitna na bahili kweli kweli! Siyo kama Ghalib ama Yusuf, wale wamenyooka, wanatupia mzigo wa Maana kwenye timu! Sisi mpaka leo Glazer hajalipia hisa zake…I repeat mpaka leo hii! Ni miaka mingapi hiyo? Unajua sababu yake? Ulidhani GSM tungemjua bila Manji kuondoka Yanga? Ukitaka kwenda peponi lazima ufe kwanza. #HK #Fighter #NjeYaBox" Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇 https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==

Aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Mwenyekiti wa Professor Jay Foundation (Mwanamuziki) Joseph Haule aka @professorjaytz akiwa na
+2
Aliyekuwa Mbunge wa Mikumi na Mwenyekiti wa Professor Jay Foundation (Mwanamuziki) Joseph Haule aka @professorjaytz akiwa na makamu mwenyekiti wa Foundation hiyo @blackchatta (Black Rhino) wamewasili Bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko maalum wa Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson.

Mteja mmoja nchini Uingereza ambaye aliondoka bila kulipa kinywaji alichokunywa kwenye baa moja kutokana na kusahau alirudi t
Mteja mmoja nchini Uingereza ambaye aliondoka bila kulipa kinywaji alichokunywa kwenye baa moja kutokana na kusahau alirudi tena baada ya miaka 15 kulipa fedha hiyo baada ya nyaraka zake za kumbukumbu kumuonyesha kuwa hakulipia kinywaji hicho.

MAKONDA KAMA KAWAIDA ATUA KAGERA NA BAJAJI KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameingia mkoani Kagera akiwa kwenye usafiri wa bajaji baada ya kuwasili uwanja wa ndege kwa ajili ya kuanza ziara yake leo. Makonda akiwa kwenye usafiri wa bajaji iliyokuwa wazi kwa juu aliwapungia wananchi mikono akiwa njiani kuelekea kiwanja cha Mayunga Manispaa ya Bukoba Mjini mkoani Kagera akisindikizwa na wanachama wa CCM. Msafara huo ulipambwa na waendesha boda boda wakiwa wanevalia tisheti za rangi ya chama huku kukiwa na mabango yenye ujumbe tofauti yaliyosomeka 'Asante mama Samia ametukosha na bodaboda' jingine lilisomeka 'Asante mama Samia Makonda sauti ya wanyonge' na 'Asante mama Samia umetukosha wajane'. Hata hivyo, Makonda alisimamisha msafari na kuelekea mgahawa wa kahawa na kuanza kunywa kahawa huku akizungumza na wananchi waliokuwa katika eneo hilo. Makonda atapokea kero za wananchi katika mkutano huo wa hadhara na viongozi wa serikali watatakiwa kutoa majibu. Makonda akitoka Bukoba ataendelea na ziara kesho atakuwa Chato ataenda kuweka shada la maua katika kaburi la hayati John Magufuli, kuongea na wazee, viongozi wa dini, wananchi na kuwasalimu wananchi wa Buselesele na Katoro.

photo content

Kama unadhani umeona kila kitu duniani, utakuwa unajiongopea kwani kila siku yanaibuka mambo mpya huku yapo ya zamani pia amb
Kama unadhani umeona kila kitu duniani, utakuwa unajiongopea kwani kila siku yanaibuka mambo mpya huku yapo ya zamani pia ambayo bado huyafahamu. Katika ulimwengu ni nadra sana kukutana na wanyama wenye ulemavu japo wapo lakini si wengi. Kama hujawahi kuona mnyama mwenye udumavu fahamu kuwa amewahi kutokea Ng'ombe mfupi zaidi duniani, aitwaye Rani kutoka Bangladesh, ambaye alijipatia umaarufu mkubwa baada ya video na picha zake kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, hadi kupelekea aingie kwenye Kitabu cha Rekodi cha Dunia Guinness kama Ng'ombe mfupi zaidi duniani. Kasome zaidi kuhusu Ng'ombe huyu kupitia Mwananchi Scoop

Msanii wa Muziki kutoka Tanzania , Mbwana Yusuph kilungi Maarufu kama #Mbosso kutoka kwenye lebo ya #WASAFI .... kupitia kwen
Msanii wa Muziki kutoka Tanzania , Mbwana Yusuph kilungi Maarufu kama #Mbosso kutoka kwenye lebo ya #WASAFI .... kupitia kwenye account yake uko Instagram amewaacha hoi mashabiki zake pamoja na wasanii hasa wa yanga , baada ya kusema kuwa amekula chapati 5 lakini ameshindwa kumaliza... "Nimejaribu kula chapati 5 ... Wallah ni nyingi sana ..." ameandika Mbosso Wale wa waliosoma Quba nazani washaelewa ..? wale waliosoma chini ya mti tupishe kidogo.😂😂

Israel "iko tayari" kusitisha mapigano kwa muda katika Ukanda wa Gaza ikiwa Hamas itaonyesha "dhamira ya kweli" ya kuwaachili
Israel "iko tayari" kusitisha mapigano kwa muda katika Ukanda wa Gaza ikiwa Hamas itaonyesha "dhamira ya kweli" ya kuwaachilia mateka, chanzo cha serikali kiliiambia Xinhua hiv leo ( Alhamisi). Chanzo hicho kilithibitisha kuwa Israel ilikuwa ikizingatia pendekezo la Misri na Qatar la kusitisha misaada ya kibinadamu katika hatua za kijeshi dhidi ya eneo la Palestina ili kubadilishana na kuachiliwa kwa mateka.

Wizara ya afya huko Gaza ilisema jana (Alhamisi) kwamba idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israeli kwe
Wizara ya afya huko Gaza ilisema jana (Alhamisi) kwamba idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na mashambulizi ya Israeli kwenye ukanda wa Gaza ambayo yimekuwa yakiendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja iliongezeka hadi 10,818. Operesheni za kijeshi za Israeli zilikuja kulipiza kisasi kwa shambulio lililoongozwa na Hamas mnamo Oct. 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa nchini Israeli na wapatao 240 kutekwa, kulingana na takwimu za Israeli.