E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
⚠️ "Watu wengi utawasikia wanasema utajiri sio kuwa na pesa, ukiwa na amani ya MOYO tu inatosha, kwamba AMANI YA MOYO ndio utajiri.
Swali langu ni hili : AMANI YA MOYO inaletwa na nini? Au ili uwe na AMANI YA MOYO unatakiwa kuwa na nini na nini? Kama PESA hazitahusishwa basi ntaamini leo PESA sio kila kitu, lakini kama AMANI YA MOYO inategemea PESA, basi tuache blah blah nyingine na tupambane." - amesema Dr.Modest
1 307
"Mimi niko nyumbani ambapo sio nyumbani, naishi mahali ambako sijui naishi wapi maisha yangu tu yamekuwa hivyo kwa sababu saa nyingine unaishi maisha ambayo hadi mtu unaona ngoja niishi tu hivi, sijayachagua nimeyakuta kama vile nilivyoukuta mziki"
"Kuna mwanamke niliwahi kumpenda ana akili sana lakini alikuja kunifanyia tendo ambalo nilikuja kuamini kwamba hakuna mwanamke yoyote mwenye akili.
"Unajua kwanini nasema hamna akili? Nilimpenda, nilimwamini, nilikuwa na mkumbatia nilikuwa nafanya vitu ambavyo sijafundishwa kufanya, nafanya nilivyoona kwenye movie, naongeza ambavyo sijui nafanya nini lakini nilikuwa najua ana akili, najua ananipenda then nikimtumia meseji hajibu anajibu baadae hivyo tuishie hapo Love is crazy" - Chid Benz, Msanii wa muziki Tanzania via Clouds TV
Toa maoni yako
1 307
Kundi la Sarakasi kutoka Nchini Tanzania la Ramadhani Brothers limeshinda Medali ya Fedha katika Tamasha la 21 la Kimataifa la Circus huko Grenobal Nchini Ufaransa.
1 307
"Watu wa familia yangu hawajaniomba chochote kwa miaka mingi. Mama yangu ni milionea. Dada yangu pia ni milionea. Niliwafanyia uwekezaji uliowawezesha"
"Kuwezesha watu wako wa karibu, kuwezesha familia yako ndio ufunguo mkubwa wa kukaa tajiri. Ikiwa wewe ni tajiri na kila mtu aliye karibu nawe ni maskini, itachukua muda mfupi kuwa maskini." - Rick Ross, Msanii wa muziki wa Marekani 🇺🇸.
Toa maoni yako
1 307
Football ❤️
Robert Lewandowski alimzuia mtu wa usalama uwanjani aliyetaka kumkamata bwana Mdogo aliyeingia uwanjani mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa La Liga 🇪🇸 kati ya Barcelona dhidi ya Atlético
Lewandowski alikubali kupiga nae picha kisha akamruhusu kuondoka.
1 307
***Hivi kimfano ukipata kifungua kinywa kizito( nzito ) asubuh kuna haja kweli ya kula mchana***
#Vijimambo...
1 307
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki alafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama mzazi wa Malisa pia amekiri kufufuliwa na mwanae huyo kwa nyakati tatu tofauti.
"Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa
1 307
OMMY DIMPOZ AOMBOLEZA KIFO CHA MPENZI WAKE MAYA IKIWA NI MWAKA MMOJA TANGU ALIPOFARIKI.
"Leo kipenzi chetu Maya ametimiza mwaka mmoja tangu alipotuacha, nimekukumbuka sana😭🙏 Mungu ndio muweza wa yote endelea kupumnzika kwa Amani mpaka tutakapoonana tena🤍 I love you "- ameandika Ommy Dimpoz kupitia ukurasa wake wa Instagram
1 307
Habari za sahizi friends moon pictures Tanzania imeachia tamthilia Mpya inayo itwa ( The love history of mine) kutazama tamthilia hii gusa link iliyopo hapo chini please friend usisahau kusbscribe na kugusa alama ya kengere ili uwe wa kwanza kupata new updates
https://youtu.be/VV6cPpWl9GU?si=TAXCptwcJ5n-YXN_
1 307
Msanii wa kike wa muziki wa Hip-hop Tanzania, Rosa Ree ameweka wazi kwa nini hayupo kwenye Lebo kubwa.
"Mara nyingi nakutana na swali “Kwanini Rosa Ree hayupo kwenye label kubwa?” Inaeleweka ni kwanini mashabiki zangu mnajiuliza hivi maana mnaaminia kipaji changu na mnanipa support ila kuna sehemu mnatamani kuona nikifika na huenda ikawa inachukua muda kidogo.
Mnaojua historia yangu mnafahamu kuwa nimewahi kusainiwa kwenye label mara mbili na japokua changamoto zilikua nyingi, kuna moja tu ambayo ilikua sawa kwenye kila label, “Kukosa Uhuru”
Nimejawa na shukrani na naheshimu nafasi ya kila label niliyowahi kufanya nayo kazi maana label zilinivusha kutoka ngazi moja kuelekea nyingine. Ila niwe muwazi nafurahia zaidi na nina uhuru napofanya kazi zangu za sanaa kivyangu (independently).
Hivyo basi kama wewe ni shabiki wa mziki wangu naomba ufahamu kwamba “WEWE NDIO LABEL YANGU”
Support yako na upendo wako kwenye sanaa yangu ndio inayonipa nguvu ya kuendeleza mziki wangu(na Sanaa yangu kiujumla), inanipa kujiamini (maana najua nimeshikwa mkono na mtu muhimu), na Ndio inanipa riziki, naishi na kumlea mwanangu!
Usiache kunipa support yako maana “WEWE NDIO LABEL YANGU”!!!" ameandika Rosa Ree.
Ikumbukwe kwamba Msanii huyo alifahamika kupitia Lebo ya The Industry inayomilikiwa na Kundi la muziki Nchini Tanzania la Navy Kenzo (Narheel na Aika) ambao ni Mtu na Mpenzi wake wenye Watoto wawili.
Toa maoni yako
1 307
⚠️ Bunge la Kenya lapiga marufuku uvaaji wa suti za kaunda na nguo zenye asili ya Afrika ndani ya bunge hilo
Moses Wetangula spika wa bunge la nchi hiyo amesema kwa muda mrefu walikuwa wakivumilia uvaaji wa suti za kaunda bungeni ila kwasasa mavazi hayo na yenye asili ya kiafrika yamekuwa kwenye trend na kuanza kuwa tishio kwenye mavazi rasmi yaliyoidhinishwa na bunge ambayo ni koti, shati la mikono mirefu, tai, suruali ndefu, viatu na soksi
Rais William Ruto amekuwa miongoni mwa wanaovaa suti za kaunda mara kwa mara na kuziongezea umaarufu zaidi nchini humo
Suti za kaunda zilipewa jina kutoka kwa Rais wa zamani wa Zambia, Kenneth Kaunda
Marufuku hiyo ya bunge la Kenya imeibua maoni mseto wengine wakihoji iweje mavazi ya kiafrika yapigwe marufuku katika bunge la kiafrika, huku wengine wakisema ni sawa mavazi ya kiafrika yapigwe marufu bungeni yawepo rasmi yaliyopitishwa na bunge
1 307
⚠️😭 Mwanadada huyo wa nchini S.Africa kwa jina la Boitsoko Letoaba ambaye alikuwa mjamzito, amefariki dunia kwa kudaiwa kuuliwa na boyfriend wake ambaye ametajwa kuuweka mwili wake kwenye jokofu kwa siku kadhaa kisha kuutoa na kuuchoma moto
Boyfriend wake huyo anaitwa Jabulani Nkosi na tukio limetajwa kutokea huko Evander, Mpumalanga
Kufuatia kifo hicho cha kushtusha, raia mbalimbali wa nchi hiyo wameibuka kuomboleza hadi mitandaoni na kutaka sheria ichukue mkondo wake
1 307
⚠️😳 Kuhani huyo wa kike(priestess) kutoka Nigeria amewakata watu maini na kuwaacha wengine midomo wazi baada ya kuibuka kudai kwamba wewe sio mkiristo kama unatumia pafyumu na kamwe hutokuja kuingia mbinguni
Amesema Mungu anachopenda ni uvae nguo nyeupe na kuwa na moyo safi basi
1 307
MUFITI” TUNAMUUNGA MKONO MAKONDA, MAKAO MAKUU BAKWATA
Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Sheikh Mkuu Abubakar Zubery amesema Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Kijana mzuri, wanamuunga mkono na wapo pamoja na yeye katika majukumu yake mapya ndani ya CCM.
Sheikh Zubery ameyasema hayo jana baada ya kutembelewa na Paul Makonda ofisini kwake kwenye Makao Makuu ya BAKWATA Jijini Dar es salaam ambapo alimpokea na kumfanyia maombi katika kazi yake mpya ambayo aliteuliwa na Mwenyekiti wa CCM Dr. Samia Suluhu Hassan October 22 2023.
1 307
Raisi wa Arsenal nchini Tanzania, msanii wa muziki, Madeeali ni moja ya mashabiki waliudhuria kutazama mubashara mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Arsenal dhidi Wolves ambao umemalizika kwa Arsenal kupata ushindi wa mabao 2-1.
1 307
Pichani ni mshambuliaji wa zamani wa Cameroon na klabu za FC Barcelona, Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o Fils ambavyo anaonekana sasa baada ya kustaafu kucheza soka la ushindani na kuendelea na majukumu mengine.
1 307
Muonekano wa Diamond Platnumz na kofia iliyozua gumzo hapo jana baada ya kukwapuliwa na kibaka kichwani kwa Diamond kisha Diamond kumpa amri mlinzi wake kwamba ni lazima kofia hiyo ipatikane haraka kwasababu ina umuhimu mkubwa kwake.
Baadae kofia hiyo ilisakwa hadi kupatikana na tukio hilo lilitokea jijini Dodoma hapo jana.
