fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
Luisa Yu, mwanamke menye miaka 79 ameshatembea nchi zote duniani mpaka sasa. Je wewe umeshatembea nchi ngapi hadi sasa? 🏃‍♂️
Luisa Yu, mwanamke menye miaka 79 ameshatembea nchi zote duniani mpaka sasa. Je wewe umeshatembea nchi ngapi hadi sasa? 🏃‍♂️‍➡️"Kwa wasanii mimi ni namba moja kwa ngozi nzuri"- Aunty Ezekiel, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

⚠️😳 Mdada kwa jina la Tesi ameibuka kushauri kwamba usiingie katika mahusiano yoyote yale kama umepigika na huna ajira. Anas
⚠️😳 Mdada kwa jina la Tesi ameibuka kushauri kwamba usiingie katika mahusiano yoyote yale kama umepigika na huna ajira. Anasema ni sababu vitu vya msingi katika mahusiano ikiwemo kutoka pamoja, kununuliana zawadi, vocha za mawasiliano n.k huhitaji uwe na pesa hivyo mahusiano yataishia kukuvuruga zaidi

"Nikiwa karibu na mpenzi wangu Mama Dangote mnasema mimi ni Kibenteni nalelewa, haya nimetoka nimekuja huku kuuza viwanja ten
"Nikiwa karibu na mpenzi wangu Mama Dangote mnasema mimi ni Kibenteni nalelewa, haya nimetoka nimekuja huku kuuza viwanja tena mmenifata mnasema nimefulia sina kitu nimeachwa, sasa mnataka nifanye nini walimwengu jamani?" "Mimi sijaachana na Mama Dangote, nimeamua kuwa bize na kazi kama mlivyotaka ili nitimize majukumu yangu kama Mwanaume na juzi tu nimemtumia milioni tano mama Dangote"- Uncle Shamte.

"Yani kuna mtu humu Instagram anachukia tumbo langu kama vile nimemmeza sasa yupo tumboni anahangaika na utumbo mpana unamkab
"Yani kuna mtu humu Instagram anachukia tumbo langu kama vile nimemmeza sasa yupo tumboni anahangaika na utumbo mpana unamkaba. Ila niwe mkweli tu miguu yangu ina wakati mgumu sana hapa duniani, kuna muda huwa nahisi nina kwato😂😂"- mbwembwe za Msechu

⚠️😳 By Faiza Ally - "Natamani washichana wote kuanzia miaka 18 na kuendelea wasome hapa , kwamba msisubiri kupata boyfriend
⚠️😳 By Faiza Ally - "Natamani washichana wote kuanzia miaka 18 na kuendelea wasome hapa , kwamba msisubiri kupata boyfriend au mume tajiri haijalishi una shida ngapi kwenye maisha yako , au kwenu maskini kiasi gani au mna utajiri wana namna gani yaani kiufupi mahusiano bora hayahusiani na vipato au shida ulizonazo , kama una kijana unaempenda , hana hela hana elimu kama unampenda na mna maelewano anzeni maisha pamoja , tena msisikilize wazazi katika hili wakati mwingine njaa zao zikizidi hawako tayari kupokea mtu asie na kipato wanaume wengi na wanawake wengi waliobarikiwa vipato kwenye ndoa zao na mahusiano yao wametoka mahali fulani , wamevumiliana shida na raha , wameombeana na kutiana moyo kufika sehemu kama utamkuta mwanaume ana kila kitu jua kamwe hawezi kumuacha mtu alietoka nae mbali kwa sababu yako labda uwe na nguvu ya ziada lakini sio katika akili za kawaida

BABALEVO KUCHUANA NA ZITTO KABWE UBUNGE KIGOMA MJINI 2025 Watu wengi wamemfahamu Kutokana na Ukaribu wake na Msanii Diamondplatnumz akijitambulisha kama #Chawa wa Msanii huyo na wengi Hawamfahamu Katika Upande wa Siasa Leo tupo na diwani Mstaafu wa Kata ya Mwanga kaskazini, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Clyton Revocatus Chipando, muimbajii wa kizazi kipya @babalevo Wasifu wake; Alianza kujishughulisha na muziki akiwa kigoma Mjini miaka ya 2000 akijulikana kwa jina la O.B.D na alikua akishirikiana na ndugu yake GAZI Babalevo Ni miongoni mwa wasanii walioliunda kundi la KIGOMA ALL STAR na project ya LEKA DUTIGITE chini ya ZITTO KABWE.. Babalevo ni member wa zamani wa kundi la TMK Wanaume halisi chini ya mwamba, jemedari kiroboto maarufu kama sir nature Mwaka 2015 aliingia rasmi kwenye Siasa na akaweka nia ya kugombea udiwani kupitia chama cha ACT__WAZALENDO na kufanikiwa kupita kwa kishindo kikubwa Mwaka 2020 alipoteza Kiti chake Cha Udiwani , uchaguzi ambao Chama Cha ACT WAZALENDO Kilipoteza Jimbo la Kigoma Mjini Katika Nafasi ya Ubunge pamoja na Kushidwa Katika Nafasi ya Udiwani Baada ya hapo Babalevo aliamua Kurudia kwenye Muziki pamoja na Kuingia Katika Tasnia ya Utangazaji akitangaza Kupitia Redio ya Wasafifm inayomilikiwa na Msanii Diamondplatnumz Mwaka 2025 Babalevo ametia nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini akichuana.vikali na Mwalimu wake wa Siasa Zitto Kabwe Ambae Nae pia Ametia Nia ya Kugombea Ubunge Katika Jimbo hilo January 10,2024 Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Baba levo aliandika.Ujumbe Akimtaka Zitto Kabwe Kutafta Jimbo Lingine kwani Mwaka 2025 yeye Atagombea Ubunge Kigoma Mjini!! Zitto Kabwe amesimama pale pale Kuwa atagombea Ubunge Katika Jimbo hilo Hichi ni kiashiria Kuwa Babalevo Hatogombea Kupitia Chama Cha ACT wazalendo, Chama ambacho kilimkuza Katika Medani za Siasa Nani ni nani Ubunge Kigoma Mjini kati ya Zitto Kabwe na Clyton Revocatus Chipando "Babalevo" ??

photo content

photo content

TUNDU LISSU AKIRI WATOTO WAKE NI RAIA WA MAREKANI NA WANASOMA MAREKANI "Vijana wangu ndiyo wana uraia wa Marekani. Wana uraia
TUNDU LISSU AKIRI WATOTO WAKE NI RAIA WA MAREKANI NA WANASOMA MAREKANI "Vijana wangu ndiyo wana uraia wa Marekani. Wana uraia wa kuzaliwa Marekani. Kuna kipindi nilifanya kazi miaka ya 1990 Marekani, kwa hiyo vijana walizaliwa Marekani na ndiyo maana wanasoma huko (Marekani)"

Gharama za Kununua Umeme Kenya zimeshuka. Waziri wa Nishati wa Taifa hilo amesema Unit 1 itapungua kwa Ksh 3.44 sawa na Tsh 5
Gharama za Kununua Umeme Kenya zimeshuka. Waziri wa Nishati wa Taifa hilo amesema Unit 1 itapungua kwa Ksh 3.44 sawa na Tsh 54.93. Pia Mkuu wa Shirika la Uzalishaji umeme la Kenya ameahidi kuwa Gharama za Umeme zitashuka zaidi kwani wamezalisha Umeme mwingi kwa njia ya Maji.

Kwa heri Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa. Kauli ya Lowassa akimlilia Magufuli Ujumbe wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa Moyo wangu umeugua baada ya kupata taarifa za kifo cha mpendwa wetu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea Jumatano ya wiki hii, Machi 17. Naomba nichukue fursa hii kutoa pole zangu kwa mjane wa Rais, Mama Janeth Magufuli, wana familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote Kifo cha Rais Magufuli niliyemfahamu kwa miaka mingi tangu alipoingia bungeni mwaka 1995 na baadaye tukahudumu wote katika serikali ya marehemu Rais Benjamin Mkapa ni pigo kubwa kwa taifa. Ninakumbuka namna nilivyofanya naye kazi vizuri na kwa ukaribu na kwa ushirikiano mkubwa wakati Rais Jakaya Kikwete aliponiteua kuwa Waziri Mkuu mwaka 2005. Mwaka 2015, wote tukiwa wagombea tulishindana kwenye kinyang’anyiro cha Urais, nilimuona ni mtu mwenye maono na moyo mwema wa kutaka kuliongoza taifa hili, mtu mwenye uthubutu wa kutaka matokeo na Tanzania mpya. Natambua na kuheshimu uchapakazi wake na namna alivyoweza kurudisha nidhamu ya watumishi wa Serikali na ujasiri wake katika ujenzi wa miradi mikubwa ya miundombinu. Ni wazi kifo cha Rais Magufuli kilichotokea takriban miezi minne tu tangu aingie madarakani katika muhula wake wa pili wa urais kimeliacha taifa katika simanzi kubwa kwa kumpoteza kiongozi shupavu, mzalendo wa kweli, mtetezi wa wanyonge na mchapakazi hodari asiyechoka. Nitumie fursa kuwaomba Watanzania wenzangu kusimama pamoja na kuliombea taifa amani, umoja na mshikamano wa dhati wakati wote wa kipindi hiki kigumu cha maombolezo ya kumpoteza jemedari wetu Rais Magufuli. Si jambo rahisi kwa nchi kumpoteza kiongozi wake mkuu wakati akiwa madarakani. Kwa sababu hiyo tunapaswa kusimama pamoja na Rais Mama Samia Suluhu Hassan na kumuombea aweze kusimama imara na kuliongoza taifa kwa weledi na hatimaye kutuvusha salama. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake Lihimidiwe! Credit: #BinagoUPDATES RIP Lowassa, RIP JPM

photo content

Waliutaka na kuusaka Urais mwaka 2015 1: John Magufuli 2: Edward Lowasa 3: ⁠Anna Mghwira 4: Benard Membe Wote walivipiga vita
Waliutaka na kuusaka Urais mwaka 2015 1: John Magufuli 2: Edward Lowasa 3: ⁠Anna Mghwira 4: Benard Membe Wote walivipiga vita vingi, mwendo wameumaliza na imani wameilinda Wapumzike kwa Amani

photo content

photo content
+3

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Sababu ya sisi kutofunga ndoa ni mimi kutaka mambo makubwa sababu Beka Flavour alikuwa anataka kunioa bila sherehe ila mimi
"Sababu ya sisi kutofunga ndoa ni mimi kutaka mambo makubwa sababu Beka Flavour alikuwa anataka kunioa bila sherehe ila mimi nilikuwa nataka sherehe wakati uwezo wetu haukuwa unaruhusu sisi kufanya sherehe niliyokuwa naitaka" - Happie Reuter "Mimi nilibadili na kuwa muislam niliifuata dini ya Beka Flavour maana nilikuwa nipo tayari kuolewa naye japo changamoto ilikuja ni mimi kutaka makubwa kwenye harusi" - Happie Reuter, Mama Mtoto wa Beka Flavour via Clouds FM. Toa maoni yako

"Mahari haikufika million 22 niliandika tu kama utani ila sio kweli kwamba nimeambiwa nitoe mahari ya million 22" - Beka Flav
"Mahari haikufika million 22 niliandika tu kama utani ila sio kweli kwamba nimeambiwa nitoe mahari ya million 22" - Beka Flavor, Msanii wa muziki Tanzania via Clouds FM. Toa maoni yako

Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Msanii wa muziki wa muda mrefu na Mbunge, Keysha. Mh Malkia Keysha aliwahi kutamba na nyimbo
Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Msanii wa muziki wa muda mrefu na Mbunge, Keysha. Mh Malkia Keysha aliwahi kutamba na nyimbo kama "Uvumilivu" ft Squezer, "Nimechoka" ft Diamond Platnumz, "Nalia" ft Fid Q,... na mwaka jana alitoa albamu iitwayo "Mwangaza" yenye nyimbo nane (8) ikiwemo wimbo wa "Beautiful" ft Alikiba. Kheri ya kuzaliwa kwake na hongera kwa kuongeza mwaka mwingine au kutimiza miaka kadhaa.

"Sina mimba jamani, nyie wenyewe ndio huwa mnanizushia, sina mimba na sasa mnavyonisingizia hivyo hata kama mimba yenyewe iki
"Sina mimba jamani, nyie wenyewe ndio huwa mnanizushia, sina mimba na sasa mnavyonisingizia hivyo hata kama mimba yenyewe ikiwepo si itatoka 😭"- Wema Sepetu, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako