fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://t.me/EplusMediaTz

"Nimewanyoosha watu wengi ambao walikuwa wananidharau, wengine ni marafiki zangu lakini baada ya kuona mjengo ninaoishi sasa
"Nimewanyoosha watu wengi ambao walikuwa wananidharau, wengine ni marafiki zangu lakini baada ya kuona mjengo ninaoishi sasa hivi wananuna hovyo wengine wanasema ooh mimi siwezi kuishi kwenye huu mjengo sina pesa hiyo, wanasema nafanya show off nipate kiki niondoke" "Sasa jamani mimi na utu uzima wangu huu, miaka yote niliyofanya kazi, mume wangu aliniacha na nyumba, jumlisha biashara zangu na sanaa yangu nitashindwa kuishi vizuri?" "Mimi hata sijui maana ya kufeki maisha, hapa naishi na wajukuu zangu na wanangu, najimudu, najitosheleza sina njaa ndogondogo watu wajue hivyo, nimewekeza sehemu nyingi na kipato changu ndicho kinafanya leo naenjoy maisha" "Acha watu waseme wanavyojua kwasababu wengi wao hawanijui, majirani zangu, ndugu zangu na watoto wangu ndio wanayajua maisha yangu na hawashangai mimi kuishi hapa" "Niwaambie tu wasionipenda kwamba awamu hii Asha nakuja kivingine, watapasuka nyongo"- Asha Boko, Mwigizaji Mkongwe wa filamu za Vichekesho Tanzania.

Kwenye ubora wao Dr.Kumbuka na mke wake 📸
Kwenye ubora wao Dr.Kumbuka na mke wake 📸

Treni ya Umeme ya Mchongoko pamoja na Mabehewa Yake
Treni ya Umeme ya Mchongoko pamoja na Mabehewa Yake

DJ ALLY B #Asumanii Akiwa Katika Mjengo wake Anaoishi, Picha ya pili ni Nyumba Kwao Alipokulia Mkoani Kilimanjaro
DJ ALLY B #Asumanii Akiwa Katika Mjengo wake Anaoishi, Picha ya pili ni Nyumba Kwao Alipokulia Mkoani Kilimanjaro

DIAMOND NI MSHIKAJI WANGU SANA Msanii wa muziki wa Injili Christina Shusho amefunguka ukaribu wake na Msanii wa BongoFleva Di
DIAMOND NI MSHIKAJI WANGU SANA Msanii wa muziki wa Injili Christina Shusho amefunguka ukaribu wake na Msanii wa BongoFleva DiamondPlatnumz, huku akidai mambo yake na Diamond yanafanyika kimya kimya.. Christina ameongeza kwa kusema "tunafanya vitu lakini kimya kimya" Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

OFISI YA MUFTI ZANZIBAR YATOA TAARIFA KUHUSU EID EL FITR Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar inapenda kuwataarifu Wasislamu na Wanan
OFISI YA MUFTI ZANZIBAR YATOA TAARIFA KUHUSU EID EL FITR Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar inapenda kuwataarifu Wasislamu na Wananchi wote kuwa Sikukuu ya Eid itakuwa tarehe 10.04.2024 au 11.04.2024 kutokana na kutegemea kuamndama kwa Mwezi. Sala ya Eid itasaliwa katika Msikiti wa Jaamiu Zinjibar uliopo Mazizini saa 1:20 asubuhi In shaa Allah Aidha Baraza la Eid litafanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani saa 3 asubuhi kwa wale waliopata mialiko, Wananchi wengine wanaombwa kufuatilia shughuli hio kupitia vyombo vya mbali mbali vya habari. Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika shughuli hiyo. Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar inawatakiwa Waislamu na Wananchi wote kwa ujumla maandalizi mema ya Sikukuu hiyo.

Mwanaume mwenye umri mkubwa zaidi duniani, aliyejulikana kwa jina la Juan Vicente Perez amefariki dunia akiwa na umri wa miak
Mwanaume mwenye umri mkubwa zaidi duniani, aliyejulikana kwa jina la Juan Vicente Perez amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 114, ikiwa ni miezi miwili tu kabla ya kutimiza umri wa miaka 115. Juan Vicente Perez raia wa Venezuela alithibitishwa kuwa mwanamume mwenye umri mkubwa zaidi duniani na Guinness World Records alipokuwa na umri wa miaka 112 na siku 253.

BENKI YACHAPISHA MAJINA YA WATU WALIOIBA PESA Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imechapisha picha na majina kwenye matawi y
+2
BENKI YACHAPISHA MAJINA YA WATU WALIOIBA PESA Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) imechapisha picha na majina kwenye matawi yake ili kuwaaibisha wateja ambao hawajarudisha pesa walizopata wakati wa hitilafu ya kiufundi Kwenye ATM za Benki Hiyo. Benki hiyo imesema imepata karibu robo tatu ya pesa ilizopoteza wakati wa hitilafu hiyo, huku ikionya kuwa walioficha pesa zisizo zao watakamatwa.

NILIMUACHA MUME WANGU ILI NIMTUMIKIE MUNGU "SHUSHO" Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Christina Shusho ameeleza ku
NILIMUACHA MUME WANGU ILI NIMTUMIKIE MUNGU "SHUSHO" Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Christina Shusho ameeleza kuwa aliamua kumuacha mumewe ili kutimiza ndoto ambayo Mungu alimuitia kutimiza. Ameyasema hayo Akihojiwa na Moja ya chombo Cha Habari Nchini Kenya

MAPENZI YALIMUUA KANUMBA April 7 ni kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha nguli wa tasnia ya filamu Tanzania almaarufu Bongo Movi
MAPENZI YALIMUUA KANUMBA April 7 ni kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha nguli wa tasnia ya filamu Tanzania almaarufu Bongo Movie, marehemu Steven Charles Kanumba a.k.a Kanumba The Great. Mnamo mwaka 2012 Steven Kanumba alifariki dunia baada ya kusukumwa na kujibamiza ukutani akigombana na mpenzi wake Elizabeth Michael 'Lulu' Akiwa yupo kwenye kilele cha mafanikio na kuitangaza vilivyo nchi kimataifa na kushiriki hadi filamu na wasanii wa Nollywood na kuanza kuchuma matunda ya kipaji chake anaiaga dunia akiwa kijana wa miaka 28 tu. Uhusiano wake na Lulu ulikua gumzo sababu kuu ikiwa ni umri, Elizabeth Michael alikua bado ni binti mdogo ila mambo mengi hivyo Kanumba akawa anajipigia tu mtoto mwenye umri chini ya miaka 18. Upinzani wa Kanumba na Vincent Kigosi 'Ray The Greatest' ulileta mapinduzi makubwa ya soko la filamu, Kanumba akiingiza filamu ya moto sokoni ,Ray nae anaangusha bonge la dude sokoni hapakaliki. Baadhi ya filamu zake ni The Devil Kingdom,Magic House,Johari,Uncle JJ,Big Daddy,Cross My Sin,Payback,Because Of You,White Maria,The Shock,Moses,Love & Power n.k Toka afariki tasnia ya filamu Tanzania(Bongo Movie) ni kama imejifia zaidi ya kifo cha mende, imepoteza mvuto kabisa Hadi leo tukio la kifo chake ni tata, Elizabeth Michael akaja kushtakiwa kwa kesi ya kuua bila kukusudia ambapo mwezi November 2017 akahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela. Akatumikia kwa kipindi kifupi tu na kurudi uraiani kuendelea na raha za dunia. Endelea kupumzika Kanumba Leonard Shwari ✍️ _

"Kutokana na uzee wangu nilipofikia sasa hivi naimba tu kwasababu ya shida sio kwamba napenda, akitokea mtu huko aniambie Bi
"Kutokana na uzee wangu nilipofikia sasa hivi naimba tu kwasababu ya shida sio kwamba napenda, akitokea mtu huko aniambie Bi Mwanahawa milioni tano hii hapa acha kuimba naacha. Mimi kufanya kwangu mziki sasa hivi ni maisha, hapa mnaponiona sifanyi kwa raha! ni ugumu wa maisha nafanyia dhiki tu wanangu, hakuna mtu anayeweza kupanda kwenye steji huku kashikwa mkono" "Lakini binadamu hawajui wakiniona stejini wanasema huyu bibi nae anahangaika na ugonjwa wake lakini hawajui langu la ndani💔. Kinachonihangaisha ni rizki, kupata kula na mambo mengine ya kibinadamu, kama akitokea mtu aniambie mama we kaa tu Nyumbani mimi nitakupa kila utakachotaka wallah nisingehangaika wanangu" "Nimeitumikia sana hii Serikali nimeimba karibu majukwaa yote ya kampeni, lakini leo hii nao wamenitupa, hawanioni wanawaona wasanii wengine tu, natamani nikutane na mama samia amisaidie, natamani afike hata hapa kwangu apaone, mume wangu alishafariki kitambo hapa naishi na mtoto wangu wa mwisho pamoja na wajukuu zangu, nina miaka zaidi ya 70 lakini bado mimi ndiye kichwa cha familia, Serikali inione"- Bi Mwanahawa Ally, Mwimbaji wa zamani na Nguli wa muziki wa Taarab Tanzania. Toa maoni