fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
⚠️😳 Happy atundika picha akiwa na Sugu kisha kuandika ujumbe unaodaiwa kuwa dongo kwa Faiza Ally, kwa hasira Faiza amjibu kwa kumtwanga kombora "Siku ya mahari yangu!❤️😁 Hapo nishatoka kupewa mabunda yangu huku wazazi wangu, makaka, madada, wajomba etc.. washachukua chao.😁 Sasa ile natolewa ndani nafika sebleni, nakutana na mwanaume wa roho yangu mwenye sifa nilizozitaka anaefaa kuishi nami milele na niliye muomba Mungu siyo tu kwa kupiga magoti bali kwa kufunga na ninayeweza kumvumilia!😁 Hapo akiwa ananisubiria😁 Basi nikaulizwa Happy ndo huyu Joseph nikasema Yes!!!Huku akiwa ananiangalia nilivyo pendeza mama k wake na kitumbo changu nduuu!!😂😂 Anyways, kama hujakata tamaa na una malengo yako basi usibebe mimba hadi akuoe au hata akutolee mahari na amalize yotee! Tena isichukue miaka utembee na pete ya uchumba hadi ichubue kidole No!😂 Siyo mtu hata barua ya posa tu hajaleta kwenu aisee yani huna hata hiyo kumbukumbu halafu baadae uanze kulalamika kwamba ooh tuliishi wote tukazaa mimi ni mkewe oooh shauri yako!!😂 Usifanye mambo kihuni, kuwa na msimamo! Ukiamua kuzaa basi uwe umejipanga yani mnunulie mwanao hata kiwanja tu kabisaa.😁 Ndoa hailazimishwi wadogo zangu, wala siyo lazima kama haijatokea! Anaekupenda kweli atakuheshimisha na kukulinda! Nipo zangu ofisini naandaa lunch yani full masotojoo!! Ila breakfast ipo tayari😋😁 RESTAURANT YA KISHUA " ameandika Happy Happy ambaye aliolewa na Sugu baada ya kuachana na Faiza ambaye ni hasimu wake mkubwa, haikuchukua muda Faiza amejibu kwa kuandika yafuatayo "Dini inasema mumeo akiwa anak*k*la (****) we sio mke tena unaruhuhisiwa kuondoka bila talaka 😂" Happy akajibu yafuatayo "sijamaliza kusoma gazeti lako mwanzo tu nimekuona kilaza na hater sasa kwani si nimesema ndoa sio lazima ujipange? embu njoo huku nikufundishe kupika mchuzi wa nazi" Aidha, Faiza amesema kuwa Happy huwa anaumia sana Sugu kumlipia ada mtoto aliyezaa nae

photo content

⚠️😳 By Didah Shaibu - "Wanawake tafuteni pesa muache kudhalilika, kufedheheshwa, mke wa Baba Levo anadhalilishwa na mume wake kwasababu hana pesa amebweteka tu ndani hajishughulishi na chochote. Wanawake mnaopenda kubweteka mtateseka sana kwenye zama hizi" "Ndio maana mimi huwa nina maamuzi yangu magumu, mimi mwanaume aniambie nageuka kuwa mchepuko halafu mchepuko ndio anakuwa mke!! si aliongea kwenye kipindi cha radio, muda huohuo akirudi nyumbani anakuta nimekusanya mabegi yangu nimeondoka. Yule mke wake hana pakwenda na hii inatokana na uvivu wake wa kutokufanya kazi, fanyeni kazi wanawake ili wanaume zenu wawaheshimu"- Dida Shaibu Didah ambaye ni mtangazaji maarufu muda mrefu, pia amekuwa mfanyabisha kwa miaka mingi ikiwemo duka la nguo na amejenga. Alishaolewa katika ndoa nne na wanaume waliokuwa na kazi nzuri , wengine wafanyabishara wenye majina lakini yeye ndie mara zote ameelezwa kuzikimbia ndoa husika bila kupoteza muda mrefu sababu kubwa akizitaja ni kukataa unyanyasaji na udhalilishaji ndani ya ndoq, huku moja ya mambo ya aibu yanayodaiwa ndio aliyakimbia kutoka kwa mmoja wa wanaume waliowahi kumuoa yakitajwa mitandaoni

photo content

Kwenye ubora wake Sintah msanii mkongwe wa filamu na maigizo
Kwenye ubora wake Sintah msanii mkongwe wa filamu na maigizo

🥰 "Familia ya JUA KALI leo tumemtembelea mwenzetu Maria(Mimi Mars), tunamshukuru Mungu anaendelea vizuri mashabiki wa Maaria
🥰 "Familia ya JUA KALI leo tumemtembelea mwenzetu Maria(Mimi Mars), tunamshukuru Mungu anaendelea vizuri mashabiki wa Maariaa asanteni kwa maombi yenu tunawapendaa sanaaaa" - ameandika Lamata Mimi Mars alipata ajali ya gari wiki chache zilizopita akiwa na mwenzie huku yeye ndie akielezwa kuumia zaidi na hivyo kuwa hospitalini chini ya uangalizi wa madaktari

"D Voice hana vigezo vya kuwa WCB walimtambulisha kwa mbwembwe lakini ukweli ni kwamba hakuna alichokifanya, nyimbo zake zili
"D Voice hana vigezo vya kuwa WCB walimtambulisha kwa mbwembwe lakini ukweli ni kwamba hakuna alichokifanya, nyimbo zake zilizohiti ni zile alizofanya na wasanii wa Wasafi, alizoimba peke yake hakuna hata moja iliyohiti. Hiyo inaonyesha bado hajajipanga vizuri, bado mashabiki hawajamuelewa, akaze buti ana kazi ya ziada ili afike tunapotarajia kumuona" "Msanii ambaye angalau amekuja vizuri ni Yammy, maana ametumia nguvu yake, kwenye nyimbo zake za utambulisho hakumshirikisha mtu yeyote lakini zilifanya vizuri na huo ndio ukubwa wa msanii. Anajua kutumbuiza, halazimishi sauti anaimba sauti yake, kubali kataa, Yammy ni mkubwa kuliko D Voice "- Kwisa, Mtangazaji. Toa maoni yako

"Mshindi wa BSS mwaka huu atapewa zawadi ya milioni 20 za Kitanzania na kiwanja, lakini tuna mpango wa kuja na mfumo mpya kwa
"Mshindi wa BSS mwaka huu atapewa zawadi ya milioni 20 za Kitanzania na kiwanja, lakini tuna mpango wa kuja na mfumo mpya kwamba hizo milioni 20 hatutampa zote, tutakuwa tunampa kwa awamu kidogo kidogo ili kuhakikisha zimefanya kazi ya muziki iliyokusudiwa na tuhakikishe tumemtoa sehemu moja kwenda sehemu kubwa zaidi. Kumekuwa na tatizo kwa washindi wa BSS kwamba wanapopata pesa wanazipeleka kifamilia zaidi, mwisho pesa zinaisha bila kufanya kitu chochote cha msingi na ule ushindi wao unakuwa hauna maana tena" "Msimu huu wa BSS wa 14 ulikuwa ni wa faraja sana kwa sababu walishiriki wasichana wengi sana kushinda misimu mingine na washiriki wengi walioshiriki mwaka huu walikuwa wanajitambua hiyo ilitupa wakati mgumu sana majaji kuchagua tuache nani tumchukue nani. Lakini kama mnavyojua kila mkoa tunachukua washiriki watano tu lakini kuna mikoa mingine ilibidi tuchukue watu zaidi ya watano isipokuwa mkoa wa mbeya ambao tulichukua watu wachache"- Madam Ritha, Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search (BSS).

"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata
"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi hawana heshima kabisa, mimi nataka mwanaume mtu mzima ambaye tutashauriana tukaelewana na sio hawa vijana ambao wengine hata pakuishi hawana"- Madam Ritha, Jaji Mkuu wa Shindano la Bongo Star Search (BSS). Toa maoni yako

Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Mdau mkubwa wa mpira wa miguu Nchini Tanzania 🇹🇿, Haji Manara. Kheri ya kuzaliwa kwake na
Leo hii ni kumbukizi ya kuzaliwa Mdau mkubwa wa mpira wa miguu Nchini Tanzania 🇹🇿, Haji Manara. Kheri ya kuzaliwa kwake na hongera kwa kuongeza mwaka mwingine au kutimiza miaka kadhaa. Ikumbukwe leo hii atamvisha pete ya uchumba Zaylisha ambaye ni Mpenzi wake.

"Nasukumwa sana kuwa Mchungaji, mtaniamini? mtatoa sadaka kwa uaminifu?"- Tunda
"Nasukumwa sana kuwa Mchungaji, mtaniamini? mtatoa sadaka kwa uaminifu?"- Tunda

"Naiogopa sana Dhambi ya zinaa, mimi na Zaiylisa hatujawahi kufanya Zinaa tunajitunza hadi hapo tutakapooana"- Hajji Manara
"Naiogopa sana Dhambi ya zinaa, mimi na Zaiylisa hatujawahi kufanya Zinaa tunajitunza hadi hapo tutakapooana"- Hajji Manara

EMMANUEL TV KUONDOLEWA DSTV Multichoice, kampuni ya Afrika Kusini inayomiliki DStv, , imewataarifu watazamaji wake kuwa itasi
EMMANUEL TV KUONDOLEWA DSTV Multichoice, kampuni ya Afrika Kusini inayomiliki DStv, , imewataarifu watazamaji wake kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV. Emmanuel TV inayorusha mafundisho ya muasisi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN), Nabii TB Joshua. Tangazo hili la Multichoice linakuja baada ya ripoti ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) kuhusu madai ya kuteswa na kubakwa yaliyofanywa na TB Joshua. Katika uamuzi unaohusishwa na ripoti hiyo, Multichoice ilitangaza kuiondoa Emmanuel TV kwenye DStv kuanzia Januari 17, 2024. Ujumbe wa DStv unaonekana kwenye channel hiyo unasema, "Mpendwa mtazamaji, tafadhali kumbuka kuwa Emmanuel TV itatoka tarehe 17 Januari 2024. Asante kwa kutazama." Imeripotiwa kuwa Emmanuel TV pia itaacha kutumia StarSat na Visimbuzi vingine vya kulipia.

Kumbe inawezekana kutokupanga kwa mtu 😁😁
+2
Kumbe inawezekana kutokupanga kwa mtu 😁😁

Mwezi huu Jiji la Dar es Salaam litashuhudia Wanajeshi pamoja na vyombo vingine vya usalama nchini vikishiriki kufanya usafi
Mwezi huu Jiji la Dar es Salaam litashuhudia Wanajeshi pamoja na vyombo vingine vya usalama nchini vikishiriki kufanya usafi wa mazingira, ni tarehe 23 na 24.

🚨_| 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗡𝗘. ℹ️ The hardest and saddest moment in African Football, Mnamo 27, April 1993 Timu Ya Taifa Ya Zam
🚨_| 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗟𝗔 𝗡𝗡𝗘. ℹ️ The hardest and saddest moment in African Football, Mnamo 27, April 1993 Timu Ya Taifa Ya Zambia Chipolopolo ilikuwa safarini kuelekea Kucheza michezo Yao Ya Kufuzu kombe la Dunia ,ndege waliopanda ilianguka na Kutumbukia baharini watu 30 walikuwepo humo waliangamia.

photo content
+3

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+9
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Pole sana My Brother Gerald Hando Kwa kufiwa na Mke wako.....Mungu akutie Nguvu wakatiii Huuu Mgumu
Pole sana My Brother Gerald Hando Kwa kufiwa na Mke wako.....Mungu akutie Nguvu wakatiii Huuu Mgumu