E-PLUS MEDIA
رفتن به کانال در Telegram
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
1 307
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link
FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/
1 307
Yanga imejishindia Ng'ombe watano kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda baada ya kuibuka na ushindi wa mabao matano kwa moja dhidi ya Simba.
Makonda aliweka ahadi ya kutoa zawadi ya Ngombe mmoja kwa kila bao la timu itakayoshinda mchezo wa Derby ya Kariakoo.
1 307
Diamond Platnumz ameshinda Tuzo ya Msanii Bora Afrika kwenye Tuzo za MTV European Music Awards (MTVEMA 2023) katika kipengele cha "Best African Act". Mkurugenzi huyo Mtendaji (CEO) wa Wasafi Media, WCB Wasafi,.... ameshinda Tuzo hiyo kwa kuwashinda Wasanii kutoka Nchini Nigeria 🇳🇬, Asake na Burna Boy, Libianca wa Cameroon 🇨🇲 na Tayler ICU kutoka Nchini Afrika Kusini 🇿🇦.
-
Hata hivyo, Sherehe za utoaji wa Tuzo hizo zilitarajiwa kufanyika leo hii Novemba 5, 2023 Mjini Paris, Nchini Ufaransa ila haikuwezekana kutokana na mgogoro (vita) unaendelea kwa sasa hivi kati ya Israel na Palestina.
Ikumbukwe kuwa Diamond Platnumz ameshinda Tuzo hii kwa mara ya pili (2) baada ya mwaka 2015 kushinda Tuzo hii pia kwa kuwashinda Wasanii AKA, DJ Arafat ambao ni Marehemu kwa sasa, Yemi Alade na Davido wa Nigeria 🇳🇬, Indus Creed, Monica Dogra, Priyanka Chopra, The Ska Vengers ... katika kipengele cha "Best African/India Act" kipindi hicho.
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
"Tumejitahidi kucheza kwa kufata maelekezo ya mwalimu Lakini Game Plan ya Mwalimu haijatimia, Tulifata maelekezo yake yote Nafikiri mpinzani wetu amekuwa bora zaidi ametuadhibu"
" Wenzetu walikuja na plani ya Kutumia Viungo wengi nafikiri icho ndio kimetuvuruga, Nafikiri kila mtu anajua aina ya uchezaji wao huwa wanatumia sana Mawinga Leo wametumia Viungo nafikiri ndio maana tumeweza kufa" Hatukuweza kulitambua hilo Lakini mwalimu alijaribu kulizuia hilo All the All tumepata matokeo mabaya" - Mohamed Hussein, Nahodha wa klabu ya Simba SC.
Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥
Toa maoni yako
1 307
"Nimeshuhudia watu wanaumwa sana na wanakufa mno. Kuna sindano nilikuwa nachoma kwa siku milioni tano asubuhi na jioni, ile sindano ndiyo iliyoniamsha, nilikuwa nachoma mara tano kwa wiki, kwa wiki milioni 25 kwasababu nilichoma kwa wiki moja kila siku mara mbili"
"Nilichoma sindano 10 ni milioni 50, hiyo ni sindano tu bado kusafisha figo (dialysis), ukianzia pale Muhimbili ni laki moja na themanini, kwa mgonjwa anayetoka nje ni laki tatu na nusu. Hiyo ni mara moja na unatakiwa ufanyiwe hadi mara nne kwa wiki kutokana na tatizo lako"- Professor Jay
1 307
"Bwana Asifiwe, Simba itaendelea kujiimbia Wimbo wa Parapanda mpaka pale Uongozi wake utakaponilipa Pesa Zangu ikiwa Pamoja na Ahmed Ally kuniomba Radhi"-Mchungaji Daudi Mashimo
Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇
https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==
1 307
YANGA BADO HAIJAVUNJA RECORD YA SIMBA SC
Ameandika Mchambuzi Ahmad Mkunda
"Licha ya Yanga Kushinda Magoli matano Kwa Moja Leo Bado haijafikia Record ya Simba SC Kuifunga Yanga Magoli 6 Kwa Sifuri na 5-0 Tunaweka kumbukumbu sawa.👏" Mchambuzi
Follow Ukurasa Wetu wa Instagram 👇
https://instagram.com/e_plus_media?igshid=MzNlNGNkZWQ4Mg==
1 307
WENGINE Leo ni Jumatatu wanapaswa kuamka na kwenda kupambana ili kupunguza maumivu makali.....ila Wananchi kwao ni kama Weekend Kwa wengine leo ni Weekend Pro Max. Yaani weekend ndani ya siku za kazi.
Endeleeni kulala wakuu, mtaamka mtakapotaka nyinyi. Hatuna uwezo wa kuwapangia, kwanza Mamlaka hayo katupa nani😀? Kwanza funguo zote tatu za kila Kitasa za kwenye Maofisi yote si mnazo nyinyi na zaidi ya yote ni zile MASTER KEY 😅 Heshima Full tank kama Maxi Nzengeli wakibisha wapeni ✋ kuwakumbusha aliyewaua ni Pacome na aliyewazika ni Clement Mzize.
