fa
Feedback

فریب کلاهبرداران را نخورید! تل‌متریو این کانال‌ها را شناسایی و برچسب‌گذاری می‌کند 👉 برای مشاهده برچسب، اشتراک تهیه کنید

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
PETITMAN NA DODO WASHEREHEKEA NDOA YAO KUTIMIZA MWAKA MMOJA. Kutokana na ndoa nyingi kuvunjika muda mfupi baada ya kufungwa,
PETITMAN NA DODO WASHEREHEKEA NDOA YAO KUTIMIZA MWAKA MMOJA. Kutokana na ndoa nyingi kuvunjika muda mfupi baada ya kufungwa, watu mbalimbali wamekuwa wakisherehekea pindi wanapotimiza mwaka mmoja, miwili, mitano na kuendelea ya kudumu kwenye ndoa. Petitman ni mmoja wa wanandoa wanaosherehekea ndoa yake kutimiza mwaka mmoja akiwa na mke wake Dodo, na huu ndio ujumbe wake. "Namshukuru Mungu mwaka mmoja kwenye ndoa lakini pia Namshukuru mke wangu kwa kuwa mke bora mwenye kujali familia na mapenzi ya kweli kwangu. Asante kwa kila kitu safari ilikuwa ngumu ila wewe ndo umeifanya kuwa nyepesi, heshima uliyonipa ni kubwa mno"- ameandika Petitman ambaye amewahi kuwa kwenye mahusiano na Esma Platnumz na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike.

"Hata kama Baba Levo na Rayvanny wamemaliza tofauti zao na Harmonize mimi siwezi, nitaendelea kuwa adui wa Harmonize kwasabab
"Hata kama Baba Levo na Rayvanny wamemaliza tofauti zao na Harmonize mimi siwezi, nitaendelea kuwa adui wa Harmonize kwasababu ameniharibia maisha yangu, aligusa maisha yangu kitu ambacho ni ngumu kumsamehe na kitamtafuna maisha yake yote"- H baba

ZUCHU WA ARUSHA AACHA GUMZO BONGO STAR SEARCH Mlimbwende huyo pichani amewaacha na vicheko majaji wa shindano maarufu la kusa
ZUCHU WA ARUSHA AACHA GUMZO BONGO STAR SEARCH Mlimbwende huyo pichani amewaacha na vicheko majaji wa shindano maarufu la kusaka vipaji BSS baada ya kuimba wembo wa Zuchu (Honey) huku akijitambulisha kama Zuchu wa Arusha. hata hivyo licha ya kuboronga alibahatika kutunzwa elf 20 na Shilole ambaye ni mmoja wa majaji hao.

photo content
+1

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬 Dondoo Kuelekea Kariakoo derby. Hizi ni akwimu zikihusisha ligi kuu ! 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮
`````````````````````````````````````````````
108 ............ Michezo ................ 108 32 ............. Kushinda ................. 39 37 ................ Draw ............................. 37 39 ............ Kupoteza ................. 32 138 ..... Magoli ya kufunga ........ 151 151 .... Magoli ya kufungwa ...... 138 33 ........... Cleansheets .............. 44 22 ........ Makombe ligi kuu........... 29 𝗟𝗮𝘀𝘁 𝗴𝗮𝗺𝗲𝘀 𝗼𝘃𝗲𝗿𝗮𝗹𝗹 𝘀𝗶𝗻𝗰𝗲 2018, ◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 18 ◎ Yanga 0 - 1 Simba (NBC) ›› 19 ◎ Simba 2 - 2 Yanga (NBC) ›› 20 ◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 20 ◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 20 ◉ Simba 0 - 1 Yanga (NBC) ›› 21 ◉ Yanga 0 (4) - (3) 0 Simba (MP) ›› 21 ◎ Simba 1 - 0 Yanga (FA) ›› 21 ◉ Simba 0 - 1 Yanga 🛡️ ›› 21 ◎ Simba 0 - 0 Yanga (NBC) ›› 21 ◎ Yanga 0 - 0 Simba (NBC) ›› 22 ◉ Yanga 1 - 0 Simba (FA) ››22 ◉ Yanga 2 - 1 Simba 🛡️ ›› 22 ◎ Yanga 1 - 1 Simba (NBC) ›› 23 ◎ Simba 2 - 0 Yanga (NBC) ›› 23 ◎ Yanga (1) 0 - 0 (3) Simba 🛡️ ›› 23 🔰 Yanga kushinda — 6 🔴 Simba kushinda — 4 𝗡𝗘𝗫𝗧 ◎ Simba SC ? - ? Yanga SC, tarehe 5/11/2023 (Via Tom Cruz) Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

photo content

WEWE umemtambua nani kwenye picha..😃
WEWE umemtambua nani kwenye picha..😃

⚠️ Peter Msechu awakoromea na kuwacheua waliomkalia kooni na ndoa yake "Kuna vijana wa kike kwa wa kiume hapa instagram wa umri wangu kabisa na tena wengine wamenizidi kielimu na kiumri kabisa wanakesha kila siku kunitukana kwamba mimi bonge nina kitambi, sijui nafanyeje mapenzi na mke wangu, mara sijui sina mvuto, mara sijui kuvaa, mara sijui puto limefeli, mara sijui Siwezi kupendwa na wanawake wengine wengine wakaenda mbali wakasema Mama Lolo atakuwa na mahusiano nje kwa sababu mimi simtoshelezi, wengine wakasema watoto sio wangu wale, wengine wakasema nitakufa kwa presha na kisukari hivi karibuni Kwa Kifupi nimeshatukanwa kila aina ya tusi chafu, tusi la nguoni, tusi la kila kabila nimeshatukanwa Ninachoweza kusema kwa yeyote aliyewahi nitukana kipindi cha nyuma, ambaye atanitukana leo, ambaye atanitukana kesho, kesho kutwa na kuendelea hadi milele ninachoweza kusema ni 🙏AHSANTE🙏 Ahsante kwa sababu gani? ni kwa sababu matusi yenu yanaendelea kunipa nguvu ya kuendelea kuipambania familia yangu watoto wangu na mke wangu waishi maisha matamu na mazuri kwa sababu hao pekee yao ndio wanaijua THAMANI YANGU NA UMUHIMU WANGU Wako katika ujenzi wa familia yangu Peter Msechu Jumamosi saa 16:00 Helsinki Finland🇫🇮 "

photo content