fa
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

رفتن به کانال در Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

نمایش بیشتر
1 307
مشترکین
+124 ساعت
-27 روز
-1330 روز
آرشیو پست ها
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Nakumbuka wakati napata mtoto wangu Krish nilikuwa na miaka 23 nilikuwa mdogo, kwahiyo Paula uko sawa kabisa, ni vizuri unap
"Nakumbuka wakati napata mtoto wangu Krish nilikuwa na miaka 23 nilikuwa mdogo, kwahiyo Paula uko sawa kabisa, ni vizuri unapozaa mapema na Mungu akakujaalia ukawa hai unamuona mtoto wako anavyokua hakuna kitu kizuri kama hicho. Kuwa mama ni ndoto ya kila mwanamke, kila mtu anatamani kuwa mama" "Kitu ninachoweza kukushauri kwenye kila kitu unachokifanya kuanzia sasa hivi umshirikishe Mungu kwanza kabla ya kitu chochote, usijali watu watasema nini lakini ukiwa na Mungu wewe mwenyewe utashangaa maisha yako yatakavyotawaliwa na baraka"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania akitoa nasaha kwa Paula wa Kajala. Toa maoni yako

Pumzikeni kwa Amani 🕊️💔
Pumzikeni kwa Amani 🕊️💔

JE WAJUA? . Ni vazi la Askofu Katoliki, lina vifungo 33 vinavyofunga vazi huwakilisha miaka 33 ya Yesu Kristo duniani. Mkono
JE WAJUA? . Ni vazi la Askofu Katoliki, lina vifungo 33 vinavyofunga vazi huwakilisha miaka 33 ya Yesu Kristo duniani. Mkono mmoja unavifungo vitano (5) huwakilisha majeraha matano ya Yesu Msalabani. Mikono miwili ina jumla ya vifungo kumi (10) ambavyo huwakilisha amri kumi za Mungu...

MBOSSO ANAUMWA MATATIZO YA MOYO Staa wa Bongofleva toka WCB Wasafi,Mbosso amefunguka kuwa anakumbwa na matatizo makubwa ya Ug
MBOSSO ANAUMWA MATATIZO YA MOYO Staa wa Bongofleva toka WCB Wasafi,Mbosso amefunguka kuwa anakumbwa na matatizo makubwa ya Ugonja wa moyo. Msanii huyo mwenye umri wa miaka 31 akiwa kwenye mahojiano na Wasafi FM mwaka Jana alifichua kuwa amekuwa akipambana na hali hiyo kwa kipindi kirefu. "Nimeambiwa matatizo yangu yanatokana na mishipa yangu ya damu kuzibwa na mafuta. Hali hii haijanipata ukubwani, ni tangu nizaliwe," Mbosso alisema. Mwanamuziki huyo alifichua kuwa kuna nyakati ambapo hali hiyo husababisha ganzi mwilini mwake kiasi kwamba anapoteza hisia. Mbosso alisema ugonjwa huo upo ndani ya familia yake na amekuwa nao tangu kuzaliwa kwake. Alisema kuwa hata hivyo kuna nuru gizani kwani tayari kuna mpango wa hali hiyo kuenda kurekebishwa ughaibuni. "Nimesisitizwa nifanye mazoezi. Kuna wataalamu pia niliwasiliana nao. Natakiwa nisafiri kwa ajili ya kuenda kupatana nao," Alisema. Mbosso alisema atasafiri kuenda kutibiwa baada ya kupanga mambo yake nyumbani kwani matibabu yatachukua muda mrefu. Alifichua kuwa anasaka matibabu kwa kuwa madaktari waliwahi kumwarifu kuwa ugonjwa wake huenda ukamsababishia utasa baada ya kutimiza miaka 30 na hiyo ndio sababu iliyomfanya kuwahi kutafuta watoto Mapema kabla hajafikia Umri huo, Mpaka Sasa Mbosso ana Watoto Watano (5) "Daktari aliniambia shida yangu huenda ikawa kubwa zaidi baada ya kufikisha miaka 30, alisema huenda ikanipelekea nisipate tena watoto nisipofanya matibabu," alisema. Mwanamuziki huyo pia aliweka wazi kwamba sio wengi ambao wamekuwa wakifahamu kuhusu ugonjwa wake,Alifichua kwamba ni wazazi wake tu,baby mamas wake na bosi wake Diamond Platnumz ambao wamekuwa wakijua kuhusu hali hiyo.

NAFUNGA NA KUOMBA ILI NIMPATE MWANAMKE WA MAISHA YANGU- JUMA JUX Star wa muziki wa Bongofleva kutoka Tanzania, JUX amefunguka
NAFUNGA NA KUOMBA ILI NIMPATE MWANAMKE WA MAISHA YANGU- JUMA JUX Star wa muziki wa Bongofleva kutoka Tanzania, JUX amefunguka kuhusiana na kutamani kupata mwanamke sahihi wa Maisha yake Jux amesema Kuwa, yeye kila siku huwa anafunga na kumuomba Mungu ili tu apate mwanamke ambaye atakayekubali kuzaa nae pamoja na kulea watoto

Ukifuatilia Maisha Ya Waislam Huwezi Kuwa Na Kiburi Kwa Chochote Kile, Wakati Wa Ibada Watu Wote Huingia Wakiwa Hawana Viatu
Ukifuatilia Maisha Ya Waislam Huwezi Kuwa Na Kiburi Kwa Chochote Kile, Wakati Wa Ibada Watu Wote Huingia Wakiwa Hawana Viatu Haijalishi Umenunua Bei Gani Na Ukifika Ndani Unakaa Chini Haijalishi Cheo Chako, Na Ukifa Utabebwa Kwenye Jeneza Ileile Alobebewa Alietangulia Kabla Yako.

"Wakuu Hii Lexus LX 570 used hapo China ni million 13 tuu, Naomba wataalamu wa Kodi mnipe mchanganuo wake ikifika Tanzania pa
"Wakuu Hii Lexus LX 570 used hapo China ni million 13 tuu, Naomba wataalamu wa Kodi mnipe mchanganuo wake ikifika Tanzania pale Bandarini itakuwa ni Shingapi" Anauliza Mdau DM ✍️