cookie

Utilizamos cookies para mejorar tu experiencia de navegación. Al hacer clic en "Aceptar todo", aceptas el uso de cookies.

avatar

ZIJUE HISTORIA

Jifunze na jikumbushe historia mbali mbali Buy ads on:https://telega.io/c/jifunzehistoria

Mostrar más
El país no está especificadoEl idioma no está especificadoHechos2 125
Publicaciones publicitarias
6 289
Suscriptores
+3824 horas
+2027 días
+80830 días

Carga de datos en curso...

Tasa de crecimiento de suscriptores

Carga de datos en curso...

Italia kuna eneo Maalum ambalo linatiririsha Wine saa 24 kila siku na ukipita hapo unakunywa zako Wine bure kabisa, eneo hili lipo Ortona, Abruzzo Mji ambao upo Kusini mwa Roma na lengo hasa ni kufanya wageni waonje msisimko wa Wine za Italia na wachangamshe akili kama sehemu ya kiburudisho. Kwakuwa unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya, Watu hushauriwa kunywa kistaarabu na sio kugeuza eneo hilo kuwa maskani ya Walevi kwa Watu kunywa mpaka wakazima au kufanya Wine Party kabisa. Hili sio eneo la kwanza kutitirisha Wine (Wine Fountain), lilikuwepo pia Ronda Hispania na nyingine Navarra Hispania.
Mostrar todo...
👍 3👏 1🤩 1
Mostrar todo...
ZIJUE HISTORIA

Jifunze na jikumbushe historia mbali mbali Buy ads on:

https://telega.io/c/jifunzehistoria

Photo unavailableShow in Telegram
🛑 Mwaka 1991, nabii huyu wa Nigeria kwa jina la Daniel Ebodunrin alivutiwa na hadithi ya Daniel katika Bibilia na aliamua kuunda historia kwa mara nyingine tena . Aliingia kwenye ngome katika hifadhi ya wanyama ambapo simba Na wanyama wengine hatari waliwekwa huku akiwa na imani kwamba Mungu atafunga midomo yao. Nabiii huyu alipoingia basi Simba wale walimshambulia hadi kufariki dunia .
Mostrar todo...
🤣 26👍 5😁 5🤪 5 4🙉 4😢 3🔥 1👀 1
Mjoin live stream tupige stories😂🙌🙌🙌
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
Aghoris ni kundi la Wahindi ambao huchagua kuishi kwa hiari kwenye mahali pa kuchomea maiti, na baada ya maiti kuchomwa moto, huvuta moshi wa maiti, hutumia majivu yaliyobaki kama mapambo kwenye miili yao, hula nyama ya binadamu aliyekufa na kunywa haja ndogo zao wenyewe. Hutumia mifupa ya waliofariki kuunda vitu mbalimbali pia hutumia mafuvu ya binadamu kama mabakuli ya chakula. Kundi hili la Aghoris huwa haliui watu ili kutafuta nyama za kula bali wanasubiri wale ambao tayari wamefariki. Kundi hili linaamini kwamba kifo ni kitu cha kawaida sana na kila mtu lazima apitie hatua hiyo pia wanaamini kwamba binadamu lazima aishi kulingana na mazingira. Jamii hii inakadiriwa kuwa ina jumla ya watu 82,000, wanapatikana kwa wingi Veranasi, India Kusini.
Mostrar todo...
👀 6👍 4🤯 3🥱 1💔 1
Photo unavailableShow in Telegram
🎯 Tangaza biashara yako, tovuti, kituo cha Telegram, kituo cha YouTube, vikundi, huduma au bidhaa zako nasi! 📈 📲 Wasiliana na admin: @Mralchemist5
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
Picha hii ilichukuliwa ardhini na ofisa huyu wa jeshi la polisi mjini Dulce kaskazini mwa Mexico. Inaelezwa katika mji huu kuna eneo la ardhini linaitwa 'Dulce Base' ambako inaaminika kuwa viumbe aina ya Aliens hutembelea mara kwa mara. Eneo hili lipo mpakani, hivyo ofisa Thomas alikuwa anakagua njia za chini kwa chini ambazo wahalifu huzitumia kuvuka mpaka, ndipo akakutana na eneo hili, akapiga picha, alivyoisambaza tuu yeye na watu wake wote wa familia wakapotea na hawajawahi kuonekana mpaka leo tangu mwaka 2016. Ukitazama vizuri picha hii utagundua kwamba ni miili ya binadamu ikiwa ipo ndani ya mifuko angavu iliyotundikwa juu. Aliens ni viumbe wa ajabu wenye mfanano na binadamu wanaoaminika kutokea angani na hushuka duniani mara nyingi hasa katika nchi za Amerika, wanatajwa kuwa ni viumbe wenye akili ya ajabu. Kuna maandiko yanaeleza kwamba viumbe hawa huwasaidia wataalamu wa shirika la anga la Marekani NASA katika kufanikisha majaribio yao mengi angani.
Mostrar todo...
👍 8 1👏 1🙏 1
Photo unavailableShow in Telegram
Picha hii ilichukuliwa ardhini na ofisa huyu wa jeshi la polisi mjini Dulce kaskazini mwa Mexico. Inaelezwa katika mji huu kuna eneo la ardhini linaitwa 'Dulce Base' ambako inaaminika kuwa viumbe aina ya Aliens hutembelea mara kwa mara. Eneo hili lipo mpakani, hivyo ofisa Thomas alikuwa anakagua njia za chini kwa chini ambazo wahalifu huzitumia kuvuka mpaka, ndipo akakutana na eneo hili, akapiga picha, alivyoisambaza tuu yeye na watu wake wote wa familia wakapotea na hawajawahi kuonekana mpaka leo tangu mwaka 2016. Ukitazama vizuri picha hii utagundua kwamba ni miili ya binadamu ikiwa ipo ndani ya mifuko angavu iliyotundikwa juu. Aliens ni viumbe wa ajabu wenye mfanano na binadamu wanaoaminika kutokea angani na hushuka duniani mara nyingi hasa katika nchi za Amerika, wanatajwa kuwa ni viumbe wenye akili ya ajabu. Kuna maandiko yanaeleza kwamba viumbe hawa huwasaidia wataalamu wa shirika la anga la Marekani NASA katika kufanikisha majaribio yao mengu angani.
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
🎉🎊 Asante kwa Wafuasi 6000! 🎊🎉 Wapendwa wanachama wa kipekee wa kituo chetu cha Telegram, Tunafurahi na tunathamini kuwatangazia kuwa kituo chetu cha historia kimefikia hatua muhimu ya wafuasi 6000! Mafanikio haya yasingewezekana bila msaada wenu thabiti na shauku yenu ya kuchunguza ulimwengu wa kuvutia wa historia. Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mmoja wenu kwa kuwa sehemu ya safari hii ya kushangaza. Ushiriki wenu, hamu yenu ya kujifunza, na upendo wenu kwa historia umefanya kituo chetu kuwa jamii ya watu wenye nia moja na yenye uhai. Tunaposherehekea hatua hii muhimu, tunapenda pia kuwahakikishia kuwa dhamira yetu ya kutoa maudhui ya kihistoria ya ubora wa juu itaendelea kukua. Tumejitolea kuwaletea hadithi za kuvutia, ukweli wenye kuvutia, na majadiliano yenye kusisimua ambayo yatazidi kuimarisha ufahamu wenu wa zamani.
Mostrar todo...
👍 23 7👏 3🙏 2
Elige un Plan Diferente

Tu plan actual sólo permite el análisis de 5 canales. Para obtener más, elige otro plan.