cookie

Utilizamos cookies para mejorar tu experiencia de navegaciΓ³n. Al hacer clic en "Aceptar todo", aceptas el uso de cookies.

avatar

Elimika🧠(LEARN WITH US)

Learn something new every day Contact @Elimikabongo for businesses

Mostrar mΓ‘s
El paΓ­s no estΓ‘ especificadoEl idioma no estΓ‘ especificadoMedicina1 757
Publicaciones publicitarias
12 419
Suscriptores
+324 horas
+517 dΓ­as
+19930 dΓ­as

Carga de datos en curso...

Tasa de crecimiento de suscriptores

Carga de datos en curso...

Photo unavailableShow in Telegram
Kabila la WAkamba linalopatikana nchini kenya wanadesturi ya kumtemea mate mtu wanayekutana naye kama ishara ya heshima kubwa. πŸ”” Ko ukifika huko kutemwa mate siyo dharau uko tayari 😁???
Mostrar todo...
😁 4😭 2πŸ€” 1
Photo unavailableShow in Telegram
Uume wa bata dume upo ndani ya mwili wake, wakati wa kujamiiana huchomoza mpaka kufikia urefu wa sentimita 20. Muonekano wa kujiviringa wa uume unaouona ni kuongeza uwezo wa kufanikiwa kujamiiana vizuri yote ni kutokana na utata wa muundo wa uke wa bata jike. Bata Jike ana uke wenye kona kona nyingi zinazochanganya, lengo ni kwaajili ya kujilinda na ubakaji kutoka kwa madume.
Mostrar todo...
🀣 40πŸ‘ 7❀‍πŸ”₯ 4❀ 2πŸ‘ 1😭 1πŸ€ͺ 1
Photo unavailableShow in Telegram
JACK CHAN ALISHAWAHI KUWA MUIGIZAJI WA VIDEO ZA NGONO najua hilo hujawahi kulijua j Miaka 35 iliyopita muigizaji wa filamu za kimapigano Jack Chan aliwahi kuigiza video ya mchezo mbaya kwa lengo la kujipatia kipato Master huyo wa Kung Fu amesema kuwa kwa kipindi hicho video za ngono ndio zilikuwa kwenye soko kuliko hata filamu za kimapigano Kwa sasa hivi Jackie Chan ana miaka 70 na inasemekana amesharekodi zaidi ya movie 200 za kimapigano
Mostrar todo...
πŸ‘ 31πŸ”₯ 6😭 5❀‍πŸ”₯ 4πŸ‘€ 3❀ 2🀯 2🍌 2πŸ€— 2πŸ‘» 1πŸŽ„ 1
https://t.me/BANDOZAHALOTEL GOOD NEWS πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„ ✍️✍️✍️πŸ’₯ Wiki mbili(siku14)* HALOTEL Gb05-6,000 Gb06-7000 Gb07-8000 Gb08-9000 Gb09-9500 Gb10-10000 Halotel mwezi* Gb15-15000 Gb18-18,000 Gb20-20,000 Gb24-24,000 Gb25-25,000 GB28-26000 GB30-28,000 Gb35-32,000 Gb38-35,000 Gb45-40,000 Gb50-45000 GB60-50,000 Kwa mawasiliano mcheki huyu https://t.me/BANDOZAHALOTEL NB:HUDUMA NI UHAKIKA MALIPO NI KABLA YA KAZIπŸ’―
Mostrar todo...
HALOTEL CUG

You can contact @BANDOZAHALOTEL right away.

πŸ‘ 2❀ 1
Photo unavailableShow in Telegram
Chura aina ya Beelzebufo, a.k.a. Chura Kutoka Kuzimu au chura shetani, ndiye anaweza kuwa chura mkubwa zaidi kuwahi kuishi. Amfibia hao wenye ukubwa wa mpira wa ufukweni, ambao sasa wametoweka, walikua na urefu wa inchi 16 (sentimita 41) na walikuwa na uzito wa kilo 4.5.
Mostrar todo...
πŸ‘ 11🀣 8❀‍πŸ”₯ 5😁 4πŸ€— 4🀑 2❀ 1πŸ”₯ 1πŸ“ 1
Photo unavailableShow in Telegram
Mafarao wa Misri walitakiwa kupiga punyeto ndani ya Mto Nile angalau Mara moja ili kufanya mzunguko wa maji katika mto nile uwe na mtiririko wa kudumu. Hafla hiyo ilijulikana kama Tamasha la Uzazi.
Mostrar todo...
🀣 28πŸ‘ 4πŸ€” 4🀯 3❀‍πŸ”₯ 1❀ 1πŸ’― 1πŸ‘€ 1
Photo unavailableShow in Telegram
Aghoris ni kundi la Wahindi ambao huchagua kuishi kwa hiari kwenye mahali pa kuchomea maiti, na baada ya maiti kuchomwa moto, huvuta moshi wa maiti, hutumia majivu yaliyobaki kama mapambo kwenye miili yao, hula nyama ya binadamu aliyekufa na kunywa haja ndogo zao wenyewe. Hutumia mifupa ya waliofariki kuunda vitu mbalimbali pia hutumia mafuvu ya binadamu kama mabakuli ya chakula. Kundi hili la Aghoris huwa haliui watu ili kutafuta nyama za kula bali wanasubiri wale ambao tayari wamefariki. Kundi hili linaamini kwamba kifo ni kitu cha kawaida sana na kila mtu lazima apitie hatua hiyo pia wanaamini kwamba binadamu lazima aishi kulingana na mazingira. Jamii hii inakadiriwa kuwa ina jumla ya watu 82,000, wanapatikana kwa wingi Veranasi, India Kusini.
Mostrar todo...
πŸ₯΄ 19πŸ‘ 11😭 7😎 4❀ 3πŸ”₯ 2😁 2πŸŽ‰ 1🍌 1
Photo unavailableShow in Telegram
SIKU YA KUPIGA PUNYETO DUNIANI Kila ifikapo tar 28 mwezi WA 5 ya kila mwaka Dunia inashuhudia sherehe za kupiga punyeto duniani Kwa mara ya kwanza siku ya kupiga punyeto ilisherehekewa tar 7/5 /1995 Chanzo cha kuanzishwa kwa siku ya kupiga punyeto duniani kilianzia baada ya kufukuzwa Kazi kwa aliyekuwa msimamizi mkuu wa afya wa nchini marekani Joycelyn Elders aliyefukuzwa mwaka 1994 baada ya kutoa kauli iliyopingwa na White House Joycelyn Elders aliamini kuwa kuwafundisha watoto kupiga punyeto kungesaidia kupunguza mimba za utotoni na watoto kujiingiza kwenye masuala ya mahusiano kabla ya umri Kauli hiyo aliitoa wakati alipoalikwa na umoja wa mataifa mwaka 1994 ili azungumzie kuhusu Ukimwi ** hii ndio ilikuwa kauli yake... She was asked whether it would be appropriate to promote masturbation as a means of preventing young people from engaging in riskier forms of sexual activity, and she replied, "I think that it is part of human sexuality, and perhaps it should be taught
Mostrar todo...
😁 21πŸ‘ 18🀣 12❀ 8πŸ’” 6β˜ƒ 2πŸ€” 2πŸ‘€ 2🀯 1πŸ₯΄ 1
https://t.me/BANDOZAHALOTEL GOOD NEWS πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸŒ„πŸŒ„πŸŒ„ ✍️✍️✍️πŸ’₯ Wiki mbili(siku14)* HALOTEL Gb05-6,000 Gb06-7000 Gb07-8000 Gb08-9000 Gb09-9500 Gb10-10000 Halotel mwezi* Gb15-15000 Gb18-18,000 Gb20-20,000 Gb24-24,000 Gb25-25,000 GB28-26000 GB30-28,000 Gb35-32,000 Gb38-35,000 Gb45-40,000 Gb50-45000 GB60-50,000 Kwa mawasiliano piga simu namba 0628314490 au https://t.me/BANDOZAHALOTEL NB:HUDUMA NI UHAKIKA MALIPO NI KABLA YA KAZIπŸ’―
Mostrar todo...
HALOTEL CUG

You can contact @BANDOZAHALOTEL right away.

πŸ‘ 4❀ 1😭 1
Photo unavailableShow in Telegram
Alikua na umri wa miaka 11 tu vita ya kwanza ya dunia( WWI) ilipoanza,alikua na miaka 36 vita ya pili ya dunia ilipoanza(WWII) ,alikua na miaka 41 Marekani ilivododosha bomu la nyuklia nchini japani Alikua na miaka 116 wakati Covid-19 ilipoanza kwa majina anaitwa Kane Tabaka mwanamama aliyeishi miaka mingi sana kwa sasa anamiaka 118. Alizaliwa januari 2,1903.
Mostrar todo...
πŸ‘ 27🫑 13πŸ€— 11πŸ”₯ 6😁 5❀‍πŸ”₯ 4❀ 3πŸ€” 2πŸ‘€ 2😴 1
Elige un Plan Diferente

Tu plan actual sΓ³lo permite el anΓ‘lisis de 5 canales. Para obtener mΓ‘s, elige otro plan.