cookie

Utilizamos cookies para mejorar tu experiencia de navegación. Al hacer clic en "Aceptar todo", aceptas el uso de cookies.

avatar

Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Mostrar más
Publicaciones publicitarias
578
Suscriptores
+324 horas
+107 días
+4630 días

Carga de datos en curso...

Tasa de crecimiento de suscriptores

Carga de datos en curso...

قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى :- " ومن نظر في سيرة القوم الصحابة بعلم وبصيرة وما من الله به عليهم من الفضائل علم يقينا أنهم خير الخلق بعد الأنبياء لا كان ولا يكون مثلهم وأنهم هم صفوة الصفوة من قرون هذه الأمة التي هي خير الأمم وأكرمها على الله .. " العقيدة الواسطية ص (١٢٢)
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
💥RAFIKI ANAYEKUSAIDIA KATIKA KUMTII ALLA. ‏قال الشافعي رحمه الله تعالى: Amesema Imaam Shaafi'iy- Allah amrehemu:- "إذا كان لك صديق يعينك على الطاعة، فشد يديك به، فإن اتخاذ الصديق صعب ومفارقته سهل". "Pindi unapokuwa na rafiki anayekusaidia katika kumtii Allah, basi kaza mkono wako kwake -mshike sawasawa-. Kwani kumpata rafiki ni jambo gumu na kufarikiana nae - kutengana nae- ni jambo jepesi tu". حلية الأولياء لأبي نعيم -101/4- Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
Mostrar todo...
‏قال الشافعي رحمه الله تعالى: Amesema Imaam Shaafi'iy- Allah amrehemu:- "إذا كان لك صديق يعينك على الطاعة، فشد يديك به، فإن اتخاذ الصديق صعب ومفارقته سهل". "Pindi unapokuwa na rafiki anayekusaidia katika kumtii Allah, basi kaza mkono wako kwake -mshike sawasawa-. Kwani kumpata rafiki ni jambo gumu na kufarikiana nae - kutengana nae- ni jambo jepesi tu". حلية الأولياء لأبي نعيم -101/4-
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
✍🏻‏قال الشافعي رحمه الله تعالى: "إذا كان لك صديق يعينك على الطاعة، 👈🏻فشد يديك به، فإن اتخاذ الصديق صعب ومفارقته سهل". 📗 حلية الأولياء لأبي نعيم -101/4- #قناة_أبي_خالد_الدعوية https://t.me/AbuKhlid3320/46012
Mostrar todo...
*حصار دماج كرامات وبركات* لأبي حمزة محمد السِّوَرِي بتقديم شيخنا يحيى بن علي الحجوري حفظه الله
Mostrar todo...
حصار دماج كرامات وبركات.pdf3.01 MB
النكاح والحقوق الزوجية.pdf3.83 MB
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته 💥TAARIFA MPYA NA BISHARA NJEMA KWA WAKAZI WA MWANZA. 📌 USTAADH ABUU HAATIM' ABDULLAH BIN JUMA KUTOKA MARKAZ UTHMAAN BIN AFFAAN BOMANG'OMBE, KILIMANJARO,- ALLAH AMHIFADHI NA AMZIDISHIE KHERI, LEO AMEWAFANYIA ZIARA NDUGU ZETU KATIKA MKOA WA MWANZA NA RATIBA YA MIHADHARA YA LEO JUMATATU NI KAMA IFUATAVYO IN' SHA' ALLAH:- ⌚ BAADA YA SWALA YA ADHUHURI:- MARKAZ AL-KHAYR BUZURUGA, MWANZA. ⌚BAADA YA SWALA YA ALASIRI:- MASJID TAUHIYD' -NATIONAL- KWA AL AKH SWADDAAM AL-HAYAWIY. ⌚BAADA YA SWALA YA MAGHRIB:- MASJID MAYMAN- MWANZA MJINI KWA SHEKH ABUU RAYYAAN- ALLAH AWAHIFADHI. 🔊BAADA YA HAPO TAARIFA NYINGINE ZITATOLEWA 'IN SHA ALLAH'. 🔊NYOTE MNAKARIBISHWA NA UKIIPATA TAARIFA HII WAJULISHE NA WENGINE. 📞Taarifa imetolewa na Ustaadh Abuu Abdillah' Habiyb' Markaz Al-Khayr, Mwanza- Tanzania. 🪨بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا
Mostrar todo...
بسم الله الرحمن الرحيم: 🖨هذه دعوتنا وعقيدتنا🖨 ⭕️ KIFO HAKIPO MBALI FANYA MEMA KWA AJILI YA MAISHA YA MILELE; ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ 🔊 قال العلّامة ابن عثيمين رحمه الله : Amesema mwanachuoni shaikh ibnu 'uthaymiyni Allaah amrahamu; ▪️"وليعلم كل واحد منَّا أنه سيأتي اليوم الذي يتمنى أن يكون في كتابه زيادة حسنة أو نقص سيئة، وما ذلك اليوم ببعيد . Na ajue kila mmoja wetu kua hakika itamfika siku ambayo atatamani iwepo nyongeza ya jema katika daftari lake, au atatamani upungufu wa baya lake, na siku hiyo haipo mbali, الإنسان يمشي فيسقط ميّتًا، ينام على فراشه فلا يقيمُه إلا الغاسل ؛ فليتقِ اللهَ امرؤٌ وليُنْجِ نفسَه". Mwanaadamu (anaweza akawa) anatembea na anadondoka akiwa maiti, analala juu ya kitanda chake (na akafa) hakuna atakae msimamisha Ila mwosha maiti, hvyo mtu amche Allaah na aiokowe Nafsi yake. 📔|فتاوى سؤال على الهاتف (١/٥١٨)| والله أعلم. ✍ Abuu Zayd jumu'ah bn 'abdillaahi Allaah amuhifadhi. https://t.me/duruusSsalafiyyah
Mostrar todo...
💥FAIDA, HAIFAI KUSEMA 'AAMIN' BAADA YA KHATWIB KUOMBA DUA SIKU YA IJUMAA KWENYE KHUTBA.
Mostrar todo...
AUD-20211004-WA0014.mp32.92 KB
بسم الله الرحمن الرحيم 💥FAIDA, HAIFAI KUSEMA 'AAMIN' BAADA YA KHATWIB KUOMBA DUA SIKU YA IJUMAA KWENYE KHUTBA. Aliulizwa swali Shekh Abuu Bilaal Al-hadhwramiy- Allah amhifadhi. Ni ipi hukmu ya yule ambaye -anasema- 'Aamin' baada ya khatwib katika -khutba ya- ijumaa? Jawabu:- "Hatoleta 'Aamin' atanyamaza, atanyamaza na wala asilete 'Aamin' na wala asinyanyue mikono yake isipokuwa katika swala ya kuomba mvua. -katika swala ya kuomba mvua- atanyanyua mikono yake na imamu atanyanyua mikono yake na maamuma atanyanyua mikono yake na wataleta 'Aamin' hakuna shida katika swala ya kuomba mvua." "Na amma kwa isiyokuwa ya kuomba mvua basi hapana -haijuzu- na wala haimpasi kukithirisha dua khatwibu na akajaalia hilo kuwa ni katika nguzo za khutba na katika yanayopendezeshwa katika khutba, dua, na kumaliza kwa khutba dua baadhi ya wakati na baadhi ya wakati, baadhi ya wakati ataomba dua na baadhi ya wakati ataacha. Na ima msikilizaji hatoleta 'Aamin' juu ya dua ya khatwib endapo kama ataomba na wala hatonyanyua mikono yake na wala khatwibu hatonyanyua mikono pia na kwa hakika hilo ni katika swala ya kuomba mvua. Na Allah ndio mjuzi. https://t.me/AbuuMaysarahSaalim99
Mostrar todo...
Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan

Tujifunze elimu sahihi kutoka katika Qur-aan na Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.

Elige un Plan Diferente

Tu plan actual sólo permite el análisis de 5 canales. Para obtener más, elige otro plan.