cookie

Utilizamos cookies para mejorar tu experiencia de navegación. Al hacer clic en "Aceptar todo", aceptas el uso de cookies.

avatar

Dⓤⓡⓤⓢⓤ na Fⓐⓘⓓⓐ za Kⓘⓔⓛⓘⓜⓤ📖.

⇨Ni channel iliyosheheni Dondoo Audio na makala mbali mbali za kielimu kwa lugha ya kiswahili🇹🇿 chini ya ✍️ Al'akhy--ⓐⓑⓤⓤ—ⓣⓦⓐⓛⓗⓐⓗ RASHIDI ADINANI ↭وَفَّـقَـهُ الـلّٰـه↭ 📲0621-443709/0783-020768.

Mostrar más
Nigeria4 169El idioma no está especificadoReligión y espiritualidad66 964
Publicaciones publicitarias
1 105
Suscriptores
+224 horas
+77 días
+5430 días

Carga de datos en curso...

Tasa de crecimiento de suscriptores

Carga de datos en curso...

Photo unavailableShow in Telegram
🍋‍🟩🪵🪵🍋‍🟩NDOTO YA KILA MWANAUME YAA RABBI TURUZUKU WANAWAKE WA NAMNA HII 🤲 Alikuwa Muhammad bin Hussein رحمه الله تعالى akiomba hivi: ((Ewe Mola wangu niruzuku Mimi mwanamke ambae ananipa Furaha nikimtazama na ananitii nikimuamrisha na anaihifadhi heshima yangu na Mali yangu ninapo kuwa sipo.)) بهجة المجالس 183 🤲🤲🤲Amiin! Amiin! Amiin!
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
🧵🌿🧵🌿🧵NI HASARA ILIYOJE KWA MUISLAMU AMBAE HASWALI!!! Amesema Mtume ﷺ -:- ((Ni juu yako Wewe kukithirisha wingi wa Kusujudu, Hakika Wewe hauto sujudu kwa ajili ya Allāh Sijda Moja Ila Ispokuwa Allāh atakunyanyua Wewe kwa Sijda hiyo Daraja na kukufutia kwayo Dhambi.)) مسلم 488.
Mostrar todo...
🍂🪵🍂HAKUNA AMINI ((MUAMINIFU)) ILA MWENYE KUMUOGOPA ALLĀH BAS!! Amesema Amiri wa waumini Omar bnul Khatwabi -رضي الله عنه- : - " اعتزلْ عدوّك، واحذَرْ صديقَك إلَّا الأمين، ولا أمينَ إلّا مَن خَشي اللهَ ". ————— ((Jitenge na Adui yako na kuwa tahadharini na Rafiki Ispokuwa yule Muaminifu wala hakuna muamini ila yule mwenye kumuogopa Allāh.)) 📚عيون الأخبار ( ٥٣١/٢ ). 🍋‍🟩Watu wengi hujiuliza kwa nini wasomi wengi wa Digrii za kidunia ni Mafisadi?! Kumbe sababu ni hii Bwana !! Digrii ya Uchumi n.k haikufanyi uwe Mwema Muaminifu na Muadilifu kumbe ni Elimu ya Dini ya Haki pekee ndio inayo weza kufanya uwe Muaminifu Muadilifu kwa kwa kumuogopa Allāh!! https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
🔰⚠️🔰TAHADHARINI EWE MUISLAMU NA MAKUNDI POTOFU MIONGONI MWAKE NI HAWA MAKHAWARIJI ((WAZEE WA JIHADI FEKI))!! Faida: ((Ikiwa #Makhawariji hawakuwa radhi na Othman bin Affan رضي الله عنه Mtu ambae Malaika walikuwa wanamuonea Haaya wakamuuwa hali ya kuwa anasoma Qur'ani tukufu !!! Vipi Watu Hawa wanaweza kuwaridhia Watawala na Viongozi wa Zama zetu hizi!!!!!!))
Mostrar todo...
🪵👍🪵 ZINGATIA.. Amesema Sheikh Muhammad Naswr-ddin Al-albaniy رحمه الله: فالمؤمن لا يستوحش من قلة السالكين على طريق الهدى ، ولا يضره كثرة المخالفين . ((Muumini kamwe hauogopi uchache wa wafuasi juu ya Njia ya Uongofu wala haimdhuru Yeye wingi wa wenye kwenda kinyume.)) 📚صلاة العيدين في المصلى ص47. https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01
Mostrar todo...
🌾🌾🌾SIFA MUUMINI YOYOTE NI KAMA HILI SHUKE HAJANYOOKA DAIMA.. Amesema Mtume صلى الله عليه وسلم : ” مَثَلُ المُؤمِنِ مَثَلُ السُّنبُلَةِ ، تَمِيلُ أَحيَانًا وَتَقُومُ أَحيَانًا “ ((Hakika mfano wa Muumini ni kama vile Shuke mara lina inama na mara nyingine linasimama.)) [ الصحيحة ٢٢٨٤ ] https://t.me/Durusu_na_Faida_za_kielimuTz01
Mostrar todo...
اl| بِسْـﻣِـ اللَّهِ الرَّحْمَنِ الرَّحَيِـﻣِـ |lا 🌴🌴🌴 ‌▪️⁩‌▫️⁩‌▪️⁩ ‌▫️⁩‌▪️⁩ ‌▪️⁩ Kosa La Mwanachuoni Ni Mtihani Mkubwa Kwa Watu❗️ ♻️Amesema Imām AbdurRahman Al-Mu'allimi Allāh Amrehemu: واعلَمْ أنَّ الله تعالى قد يُوقِعُ بعضَ المخلصين في شيءٍ من الخطإِ ابتلاءً لغيره: أيتَّبعون الحقَّ ويَدَعُونَ قولَه أم يغترُّون بفضله وجلالته؟ ❝ Jueni kwamba Allāh Aliyetukuka, anaweza kuwaingiza baadhi ya watu wanyoofu katika baadhi ya makosa kwa ajili ya kuwa ni mtihani kwa wengine: Je, watafuata haki na kuacha kauli ya mtu huyo, au kudanganywa na wema na utukufu wa huyo mtu. Mwanachuoni huyo anapata udhuru na hata thawabu kwa juhudi zake, nia njema, lakini wale wanaowafuata, kwa kudanganywa na ukubwa wao (hadhi ya wanachuoni) bila ya kuzingatia ushahidi wa kweli kutoka katika Kitabu cha Allāh na Sunnah za Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hawapewi udhuru na wako katika hatari kubwa. ➖ Wakati Mama wa Waumini, 'Aisha (radhi za Allah ziwe juu yake), alipokwenda Basrah kabla ya Vita vya Ngamia, Amirul-Muumini Ali (radhi za Allah ziwe juu yake) alimtuma mwanawe Al- Hasan na Ammar bin Yasir (radhi za Allāh ziwafikie wote wawili) kuwausia watu. ✨ 'Ammar aliwaambia watu wa Basrah: 'Wallahi hakika yeye (mama 'Aisha) ni mke wa Mtume wenu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) katika dunia hii na Akhera, lakini Allāh anakujaribuni kupitia kwake ili aone kama mnamtii yeye Allāh au Mama yetu Aisha. ➖ Moja ya mifano mingine mikubwa katika muktadha huu ni madai ya Fātimah (radhi za Allah ziwe juu yake) ya urithi wake kutoka kwa baba yake, mtume wetu Muhammad ﷺ. Huu ulikuwa ni mtihani mkubwa kwa Abu Bakr (radhi za Allah ziwe juu yake), na Allāh akamtia nguvu na kumthibitisha katika hilo.❞ 📚[رفع الاشتباه عن معنى العبادة والإله] Imehakikiwa na Abu Humeid Ally. ⚖════❁(🔘)❁════⚖ 🪐 WHATSAPP 🪐 https://chat.whatsapp.com/GyB4N5BFGE054UR0GtAF6U 🪐 TELEGRAM 🪐 https://t.me/darulhadeeth_songani_daresalaam
Mostrar todo...
دار الحديث كيغانبوني ٣ (3)

WhatsApp Group Invite

Elige un Plan Diferente

Tu plan actual sólo permite el análisis de 5 canales. Para obtener más, elige otro plan.