cookie

Utilizamos cookies para mejorar tu experiencia de navegación. Al hacer clic en "Aceptar todo", aceptas el uso de cookies.

avatar

VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

HAPA UTAJIPATIA VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU, KUTOKA KATIKA MANENO YA WANACHUONI WA KISALAFI NA MFANO WAKE AMBAZO ZIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI. •═JIUNGE NASI-JIFUNZE-TAWANYA KWA WENGINE═•

Mostrar más
El país no está especificadoÁrabe82 912Religión y espiritualidad42 462
Publicaciones publicitarias
2 027
Suscriptores
+224 horas
+197 días
+12530 días

Carga de datos en curso...

Tasa de crecimiento de suscriptores

Carga de datos en curso...

Photo unavailableShow in Telegram
🌹 2- KUMFANYIA UPOLE MKE KWA KUMLISHA CHAKULA. Amesema mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake:- (Hakika yako wewe hautoi nafaka yoyote -utoaji wowote- isipokuwa unalipwa ujira juu yake, Hata tonge unalolinyanyua katika kinywa cha mke wako). {Bukhaary na Muslim} ✍Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
Mostrar todo...
Photo unavailableShow in Telegram
🌺 1- KUTABASAMU KATIKA USO WA MKE -NI SADAKA. Amesema Mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake:- (Tabasamu lako katika uso wa ndugu yako kwako wewe hilo ni sadaka). {Swahiyh Ttirmidhiy -1956} ✓Mke wako ni bora zaidi kupata tabasamu lako. -kwani mke wako ni katika jumla ya ndugu zako. ✍Imetafsiriwa na Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan.
Mostrar todo...
INAPENDEKEZWA KUFUNGA SIKU YA TISA PAMOJA NA SIKU YA KUMI -AASHURAA- KATIKA MWEZI WA MUHARRAM NA HEKIMA YAKUFUNGA SIKU HIYO. قال الشيخ ابن عثيمين رحمه الله Amesema Shekh Muhammad Al-Uthaymiin- Allah amrehemu. ينبغي أن يصوم مع عاشوراء تاسوعاء؛ لأنه صلى الله عليه وسلم أمر أن يصام يوما قبله أو يوما بعده مخالفة لليهود لأن يوم عاشوراء يعني اليوم العاشر من محرم هو اليوم الذي أنجى الله فيه موسى وقومه وأغرق فرعون وقومه فكان اليهود يصومونه شكرا لله عز وجل على هذه النعمة العظيمة أن الله أنجى جنده وهزم جند الشيطان، أنجى موسى وقومه وأغرق فرعون وقومه. "Inatakikana  -inapendeza- kufungwa pamoja na Aashuraa siku ya tisa, Kwa sababu mtume sala na salamu za Allah ziwe juu yake aliamrisha kufungwa siku moja kabla yake au siku moja baada yake hali ya kwenda kinyume na Mayahudi kwasababu siku ya Aashuraa yani siku ya kumi katika mwezi wa Muharram ndio siku ambayo ndani yake Allah alimuokoa Nabii Muusa na watu wake na akamzamisha kwenye maji Firauni na watu wake. Basi wakawa mayahudi wanaifunga siku hiyo hali yakumshukuru Allah mwenye nguvu na ushindi juu ya neema hiyo uliyokuwa kubwa ya kuwa Allah aliokoa jeshi lake na akaliangamiza jeshi la shetani. Alimuokoa Nabii Musa na watu wake na alimuangamiza kwenye maji Firauni na watu wake" (شرح رياض الصالحين / ج5 / ص304). ✍ Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan https://t.me/vipeperushivyakielimuTZ
Mostrar todo...
VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU.

HAPA UTAJIPATIA VIPEPERUSHI NA NUKUU ZA KIELIMU, KUTOKA KATIKA MANENO YA WANACHUONI WA KISALAFI NA MFANO WAKE AMBAZO ZIMETAFSIRIWA KATIKA LUGHA YA KISWAHILI. • ═JIUNGE NASI-JIFUNZE-TAWANYA KWA WENGINE ═•

00:03
Video unavailableShow in Telegram
sticker.webm0.86 KB
sticker.webp0.18 KB
00:48
Video unavailableShow in Telegram
MIONGONI MWA FADHILA ZA KUITIKIA WITO WA ALLĀH
Mostrar todo...
13.82 MB
بسم الله الرحمن الرحيم SHAIRI:- HITIMISHO MSIBANI. (KIFO CHA HIZBI) ✍🏽Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan. 1- Aqumu anene nani, anene kuzonga wana, shitaki letu Manani, Dua kwake Subuhana, Haghafiliki Dayani, Nuquswani Rabi Hana, Hitimisho msibani, Wote wanaotukana. 2- Nyama zao Ulamaa, Lahamu ni Masumumu, Ole wanaoshangaa, Kifo cha Bini Mwalimu, Umauti alivaa, tangu alipodhulumu, hitimisho msibani, wote wanaotukana. 3- Aqumu aqumu tena, mwingine tutashitaki, Dawa matongo haina, Yupo mlipa wa haki, Wasi hofu wala sina, anayelipa Razaki, hitimisho msibani, wote wanaotukana. 4- Umauti lango njia, na sote tutaupita, Himidini Salafia, Neema Mola katupa, Wakienda hizibia, sie hakuna kujuta, Hitimisho msibani, majuto wende kujuta. __ ✍🏽Abuu Maysarah' Saalim bin Ramadhaan Alkhamiys 05 Muharram 1446H, 11-07-2024M. والله أعلم
Mostrar todo...
👍 3
sticker.webp0.19 KB
sticker.webp0.19 KB
00:58
Video unavailableShow in Telegram
KUTOA SADAQ KATIKA NJIA ZA KHERI NI MIONGONI MWA SIFA ZA WAJA WEMA
Mostrar todo...
17.44 MB
Elige un Plan Diferente

Tu plan actual sólo permite el análisis de 5 canales. Para obtener más, elige otro plan.