es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
Pichani ni Waigizaji Riyamma Ally na Hemedy PHD walipokutana chemba baada ya kutoonana kwa muda mrefu
Pichani ni Waigizaji Riyamma Ally na Hemedy PHD walipokutana chemba baada ya kutoonana kwa muda mrefu

LUSAKA-ZAMBIA
LUSAKA-ZAMBIA

Msanii wa kike wa muziki kutoka Nchini Marekani 🇺🇸, Taylor Swift, amesababisha mchezo wa Timu ya Taifa ya Argentina na Urug
Msanii wa kike wa muziki kutoka Nchini Marekani 🇺🇸, Taylor Swift, amesababisha mchezo wa Timu ya Taifa ya Argentina na Uruguay kuhamishwa Uwanja ili kumpisha afanye tamasha lake. Mchezo huo wa kufuzu Kombe la Dunia ulipangwa kufanyika Ijumaa ya Novemba 17,2023 kwenye Uwanja huo wa Monumental ambao hutumiwa na klabu ya River Plates ya hapo Argentina. Lakini siku ya mchezo pia Taylor Swift atakuwa na tamasha lake katika Uwanja huo huo, na yeye ndiyo alikuwa aliwahi kuulipia kabla ya Shirikisho la mpira wa miguu Nchini Argentina. Kutokana na hilo, mchezo huo ikabidi uhamishwe na sasa utafanyika kwenye Uwanja wa Bombonera unaomilikiewa na klabu ya Boca Juniors ambayo ni mpinzani na hasimu mkubwa wa klabu ya River Plates. Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥 Toa maoni yako

"Ukiangalia Zile Tuzo Anayeshangilia ni Harmonize Peke yake Umeona nani Kapost..? Si,wameshinda wasanii wengi umeona nani Kap
"Ukiangalia Zile Tuzo Anayeshangilia ni Harmonize Peke yake Umeona nani Kapost..? Si,wameshinda wasanii wengi umeona nani Kapost..? Sitaki kuongea sana maana naweza nikahalibu biashara ya mtu ila ni tuzo ndogo sana mtu anaweza TU akaamua kama mchungaji akatoa tuzo za makanisa ni tuzo ambazo hazina nguvu yoyote Yaani Tena Mimi nashangaa eti Anataka apokelewe na nani.?. Kwenye Nini.?. Yaani upokelewe kwenye utoto..?. Hatuwezi kuendekeza kwenye utoto, Diamond platinumz kachukua tuzo mtv wasanii wa Nigeria wamepost, wasanii wa marekani wamepost Hadi Raha ila Harmonize anapost peke yake" Amefunguka BABALEVO

Cyprian Kachwele To Vancouver whitecaps Here we Go ✔️ Mshambuliaji Kinda Cyprian Kachwele Amejiunga Rasmi na Klabu ya Vancouv
Cyprian Kachwele To Vancouver whitecaps Here we Go ✔️ Mshambuliaji Kinda Cyprian Kachwele Amejiunga Rasmi na Klabu ya Vancouver whitecaps ya Canada akitokea Azam academy🇹🇿 kuna Uwezekano Cyprian akaanzia Team ya vijana ( @wfc2 ) ambayo pia yupo Amanda mwenye asili ya Tanzania.

SAD NEWS! Golikipa wa timu ya Taifa ya Zimbabwe 🇿🇼 na Klabu ya Super Sport United,George Chigova (32) amefariki dunia baada
SAD NEWS! Golikipa wa timu ya Taifa ya Zimbabwe 🇿🇼 na Klabu ya Super Sport United,George Chigova (32) amefariki dunia baada ya kuugua maradhi ya moyo kuanzia mwezi Julai alipopatwa mshtuko wa moyo na hakuwahi kupona mpaka mauti yanamfika. Rest in peace, George 💔💔🕊🕊🕊

Mpaka sasa Paul Makonda ametumia; 1. Bodaboda- Dar 2. Bajaji- Dodoma 3. Farasi- Chato 4. Baiskeli- Geita 5. Ngamia- Mwanza 6.
Mpaka sasa Paul Makonda ametumia; 1. Bodaboda- Dar 2. Bajaji- Dodoma 3. Farasi- Chato 4. Baiskeli- Geita 5. Ngamia- Mwanza 6. Punda- Simiyu Safari zake bado zinaendelea

HISTORIA HUANDIKWA NA MSHINDI Wayahudi ni watu walioushinda ulimwengu wa kwanza na ulimwengu kwa ujumla wake na wana haki zote za kuandika historia ya dunia na hakuna kiumbe yeyote wa kuwapinga! Wazungu ni watu walioushinda ulimwengu wa pili na wa tatu! Walatini, waasia, waarabu na waafrika ni watu walioshindwa mbele ya mzungu! Mzungu ndiye mwandishi wa historia ya mwafrika na mwarabu! Mtu aliyeshindwa hanaga haki ya kuandika historia ya maisha yake! Palestina ni taifa lililofeli na kushindwa mbele ya israel, hivyo basi palestina ni ardhi ya israel milele zote! Fujo wanazofanya walowezi wa kiarabu katika ardhi ya israel haiwezi kubadili ukweli wa kihistoria ulioandikwa na washindi yaani waisraeli kuhusu palestina!. ©️Solo J Mwigulu

photo content

🇮🇷 🇺🇸 Iran katika "kilele cha mamlaka," haiwezi kutishiwa na Marekani, kamanda mkuu wa IRGC asema. Haiwezi kutokea hata k
🇮🇷 🇺🇸 Iran katika "kilele cha mamlaka," haiwezi kutishiwa na Marekani, kamanda mkuu wa IRGC asema. Haiwezi kutokea hata katikati ya mzozo wa Gaza, Tehran iko tayari kwa kozi yoyote ya matukio, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Amir Ali Hajizadeh alisema. 🗣 "Wamarekani hawaitishi Iran... walituma barua kwa Iran mara tatu kwa usiku mmoja na maneno ya barua hizi zote yalikuwa na maombi na ombi," Hajizadeh alisema. Kabla ya hapo, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ilisema kuwa, Washington iliwasiliana na Tehran mara kadhaa mwezi wa Oktoba, ikitaka kuizuia isiingilia kati mzozo wa Israel na Palestina.

Madaktari wa hospitali hiyo wanasema karibu shughuli zote zimekwama, mbwa wameanza kuingia hospitalini humo kula maiti, wagon
Madaktari wa hospitali hiyo wanasema karibu shughuli zote zimekwama, mbwa wameanza kuingia hospitalini humo kula maiti, wagonjwa wa figo wanashindwa kupata matibabu maalum na maisha ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati yapo hatarini kwani umeme umekatwa. Share invite

Watu wanaonekana miongoni mwa vifusi vya majengo yaliyoharibiwa katika shambulio la anga la Israel katika mji wa Rafah kusini
Watu wanaonekana miongoni mwa vifusi vya majengo yaliyoharibiwa katika shambulio la anga la Israel katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Israel imekuwa ikifanya mashambulizi huko Gaza katika muda wa wiki kadhaa zilizopita na imeweka mzingiro kwenye eneo hilo ili kulipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Hamas kusini mwa Israel. Mzozo huo hadi sasa umesababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 11,500 huko Gaza. Kwa upande wa Israel, takriban watu 1,200 walipoteza maisha, wengi wao waliuawa katika shambulio la Hamas mnamo Oktoba 7.

Watu walioko Ukanda wa Gaza wanakunywa maji ya mvua kumaliza kiu wakati wakivumilia maisha magumu wa kukosa chakula na mafuta
Watu walioko Ukanda wa Gaza wanakunywa maji ya mvua kumaliza kiu wakati wakivumilia maisha magumu wa kukosa chakula na mafuta

Ofisa wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa asema, watoto zaidi ya 4,600 wameuawa kwenye Ukanda wa Gaza.
Ofisa wa Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa asema, watoto zaidi ya 4,600 wameuawa kwenye Ukanda wa Gaza.

#Maua🌺 - septemba 11,2023 kampuni ya Sandaland Fashion wear Ltd iliingia mkataba wa miaka mitano na TFF wenye thamani ya bil
+2
#Maua🌺 - septemba 11,2023 kampuni ya Sandaland Fashion wear Ltd iliingia mkataba wa miaka mitano na TFF wenye thamani ya bilioni 3 kutengeneza na kusambaza jezi za timu za taifa. Kwa kipindi cha miezi miwili tu kampuni hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuzifanya timu za taifa kuanzia za vijana chini ya miaka 17,20 na za wakubwa kuwa nadhifu kwenye nyanja mbalimbali. Hivi sasa timu za taifa zinapendeza kuanzia mazoezini,safarini na kwenye mechi zake. Sisi tunasema ameonesha kuwa alistahili kupewa sehemu hiyo kwani mpaka sasa kwa kipindi kifupi tayari ameonesha ana kitu.

🚨 TUMEANDIKA HISTORIA NA USHINDI ✍️🏾✅️ ... FULL TIME ; 🔘 Paris Fc 1 - 2 Bk Hacken J.Dufour ⚽️ R.Kafaji ⚽️ A.Sendberg ⚽️ 👉
🚨 TUMEANDIKA HISTORIA NA USHINDI ✍️🏾✅️ ... FULL TIME ; 🔘 Paris Fc 1 - 2 Bk Hacken J.Dufour ⚽️ R.Kafaji ⚽️ A.Sendberg ⚽️ 👉🏾 Rasmi Sasa Aisha Masaka (18 Yrs) Ndiye Mchezaji Wa Kwanza Wa Kike Toka Tanzania Kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya (UEFA) ... 👉🏾 Mnao Andika Vitabu Andikeni Na Mnatunza Kumbukumbu Basi Mtunze Leo Ikiwa Ni Tarehe 15/Nov 2023 ... Hongera Aisha Masaka @aishamagoal_10 Historia Imeandikwa Mama 👏🏾👏🏾👏🏾 ...

Wachache watamjua huyu..😅
Wachache watamjua huyu..😅

"Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, unahisi unakumbatiwa kumbe unanuswa😭😭"- Kajala
"Maisha bila unafiki hayaendi kabisa, unahisi unakumbatiwa kumbe unanuswa😭😭"- Kajala

KWANGU MIMI BORA ELFU 50 YA JASHO LANGU KULIKO LAKI TANO YA MWANAUME; DOLLY "Yaani mimi nikiwa na pesa niliyoifanyia kazi hat
KWANGU MIMI BORA ELFU 50 YA JASHO LANGU KULIKO LAKI TANO YA MWANAUME; DOLLY "Yaani mimi nikiwa na pesa niliyoifanyia kazi hata kama ni elfu moja huwa nafurahi, yaani nikipewa machaguo kwamba kuna sehemu naitwa kufanya kazi mshahara elfu 50 alafu nimeitwa sehemu na Mwanaume kuna laki tano, sitaenda kwenye laki tano nitaenda kwenye ile elfu 50 nifanye kazi nipate pesa yangu mwenyewe na moyo utafarijika, mimi ndio jinsi nilivyo"- Dolly Doche, Mwanamitindo na Mwigizaji wa Kibongo

Dr. Kumbuka ameposti picha hiyo akiwa kwenye muonekano wa dume la mbegu kisha kuandika. "Wewe ni bora kuliko wao usiruhusu wa
Dr. Kumbuka ameposti picha hiyo akiwa kwenye muonekano wa dume la mbegu kisha kuandika. "Wewe ni bora kuliko wao usiruhusu wakuone mnyonge pambana nao kivyovyoye, kuna wakati shida zinakuwa kubwa mpaka unasahau uwepo wa Mungu. Tafadhali, wakati shida zinakuandama jua ndio muda huohuo Mungu anataka kuona au kusikia unamuita, hakika utaona neema zinashuka, kuwa imara"- Ameandika Kumbuka