es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
photo content

⚠️😳 Mama Diamond apongezwa na wafuasi kwa kujitosa kufua mwenyewe licha ya kwamba pesa ipo angeweza tumia mashine au kuajiri
⚠️😳 Mama Diamond apongezwa na wafuasi kwa kujitosa kufua mwenyewe licha ya kwamba pesa ipo angeweza tumia mashine au kuajiri dada wa ufuzi Picha zaidi kwenye comments section

⚠️😭 Pichani mrembo huyo kwa jina la Demi Agoglia(26) mama wa watoto 3 kutoka Uingereza amefariki dunia nchini Uturuki baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuongeza wowowo ili azidi kuwa mzuri wa kuvutia Alifanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio tarehe 4 January hii ila amefariki dunia tarehe 8 baada ya kukumbwa na shambulio la moyo ndani ya taxi wakati alipokuwa akirudi clinic husika kuangaliwa anaendeleaje, siku aliyofariki ndio ilikuwa aruhusiwe kurudi kwao Manchester, Uingereza Kabla, mrembo huyo alishafanyiwa sajari ya urembo kurekebisha meno sajari ambayo ilifanywa kimakosa, alishafanyiwa pia sajari nyingine kadhaa za kuongeza urembo lakini bado alitaka kwenda Uturuki kuongeza makalio Ameacha watoto watatu huku mtoto wake wa mwisho wa kiume akiwa na miezi saba tu Mdogo wake wa kike kwa jina la Georgina kwa masikitiko ameibukia mtandaoni kuomboleza alisema haamini dada yake kafariki hatamuona tena Kwa masikitiko kaka yake amesema wao kama familia walimuonya asiende Uturuki kufanya hizo sajari, na hata mwanaume wa mrembo huyo nae alimkataza asiende ila akaweka ngumu ikabidi amsindikize wakaenda wote na alifariki akiwa na mpenzi wake ambaye ilibidi abaki Uturuki kukamilisha taratibu za kupata cheti cha kifo Kaka yake amesema hashauri mtu yeyote kwenda Uturuki kufanyiwa hizo sajari za kuongeza mvuto ambazo nchi hiyo inadaiwa inazifanya kwa gharama nafuu huku wanaodaiwa kuzifanya wengi wakitajwa kutokuwa na ubobezi katika kada husika

photo content

Kwanini baadhi ya wanafunzi wanatumia lugha chafu kwenye mitihani ya taifa?
Kwanini baadhi ya wanafunzi wanatumia lugha chafu kwenye mitihani ya taifa?

"Watu ambao majina yao yanaanza na herufi "A" ni wavivu mnoo hawafai kufanya kazi ngumu, wanafaa kufanya kazi nyepesi kama za
"Watu ambao majina yao yanaanza na herufi "A" ni wavivu mnoo hawafai kufanya kazi ngumu, wanafaa kufanya kazi nyepesi kama za ofisini na kazi nyingine ambazo hazihitaji nguvu"- Mtumishi wa Mungu Samwel

BILA DIAMOND PLATNUMZ ALIKIBA ANGESHAPOTEA; ALMANDO "Kusema ule ukweli Alikiba hamna kitu, anaishi kwasababu ya bifu lake na
BILA DIAMOND PLATNUMZ ALIKIBA ANGESHAPOTEA; ALMANDO "Kusema ule ukweli Alikiba hamna kitu, anaishi kwasababu ya bifu lake na Diamond Platnumz la sivyo tungemsahau, anatoa nyimbo haziendi, mwezi wa 12 mwaka jana ametoa nyimbo mbili lakini nyimbo hazijaenda popote na hata kuna watu wengi ambao hawajui kama katoa nyimbo, kama siyo hili bifu angeshapotea muda mrefu"- Almando, Mtangazaji wa Efm

Huyu ndie Rudy youngblood maarufu kama Jaguar paw mwigizaji alieigiza vema na kuitendea haki movie pendwa ya dunia, APOCALYTO
+1
Huyu ndie Rudy youngblood maarufu kama Jaguar paw mwigizaji alieigiza vema na kuitendea haki movie pendwa ya dunia, APOCALYTO ya mwaka 2006., licha ya kuigiza pia ni mwanamziki., amezaliwa septemba 21 mwaka 1982 huko Belton texas Marekani.

Wapenda Vitumbua ,maharagwe na Maini tujuane😛❤
Wapenda Vitumbua ,maharagwe na Maini tujuane😛❤

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli, mtoto wa Rai
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli, mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa Shamrashamra za kuelekea Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kamani uongo lakini watauamini, wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao."
Midomo imeubwa kusema.wanasema wanachofikiria hata kamani uongo lakini watauamini, wataueneza na watakuhukumu kwa uongo wao."Kikwete 2009."

🗣️ Kocha wa Timu ya taifa ya Senegal Aliou Cissé kuhusu ndoa ya Sadio Mane: “Ndoa ni wakati muhimu. Soka ni maisha yetu. Lak
🗣️ Kocha wa Timu ya taifa ya Senegal Aliou Cissé kuhusu ndoa ya Sadio Mane: “Ndoa ni wakati muhimu. Soka ni maisha yetu. Lakini kuna familia pia. Timu nzima ya taifa, tulimuuliza [Sadio] kila wakati: ‘Utafunga ndoa lini.’” Sasa Ametimiza wajibu kama mwanaume lazima awe na mwenza wake ni jambo la kumpongeza Sadio Mane.

"Kijana Kujenga Nyumba Ni Miezi 9 Tu" Mwijaku 😂😂😂 Mmmh huu mwaka hatuta pumua kwa kweli bora mwambino asingempa hizo ela �
"Kijana Kujenga Nyumba Ni Miezi 9 Tu" Mwijaku 😂😂😂 Mmmh huu mwaka hatuta pumua kwa kweli bora mwambino asingempa hizo ela 😆😆😆😆😆

Mchezaji wa Kimataifa wa Gabon Guelor Kanga Kaku mwenye asili ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩, atakutana na kamati y
Mchezaji wa Kimataifa wa Gabon Guelor Kanga Kaku mwenye asili ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩, atakutana na kamati ya Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ili kutoa ufafanuzi kwanini Mama yake Mzazi alifariki mwaka 1986 wakati yeye amezaliwa mwaka 1990. Toa maoni yako

Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe ameuawa kwa kukatwa na panga vipande kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili na baadhi ya viungo kutupwa kwenye Mto jirani na nyumbani katika eneo la Kabinda Wilayani humo ambapo tayari Polisi inamshikilia Juma Kyando (36) ambaye ni Mume wa Tumaini kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo. Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji mdogo wa Iwawa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Dombwela Joseph Mbilinyi amesema tukio limetokea usiku wa kuamkia January 8,2024 ambapo alifika nyumbani kwa Mtuhumiwa mara baada ya kupigiwa simu na majirani na kumkuta Kyando akiwa na panga jambo lililomfanya apige simu Polisi ili kuomba msaada. “Baada ya Polisi kuja alikuwa ameshamuua Mkewe na kumuweka kwenye mfuko na kwenda kutupa kwenye Mto, kwenye uwanja wake tuliuona moyo wa Mwanadamu ndio tukaanza kufuata kwenye Mto kwasababu alikuwa anavuta ule lakini kufika kwenye Mto tukaona kimfuko kinaelea kwenye maji tukakiopoa na kuendelea kufuata tena Mto tukakiona kiungo kingine ambacho ni ubavu upande wa titi na shingo nacho tukakiopoa tukaanza kutafuta kichwa ambacho kimetusumbua kwa muda mrefu” Mkuu wa Polisi Wilaya ya Makete, Assel Mwampamba amesema tukio hilo sio la kawaida na kutoa ushauri kwa Wananchu kujenga utamaduni wa kuwa na namba za jeshi la Polisi ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza “Hili lingezuilika sasa ametoka na panga na mkakimbia wote hadi Wanaume acheni uoga yaani Mtu yuko mmoja anacharanga Mtu mapanga nyinyi mmekimbia mngekuwa mnamrushia mawe asingeendelea kukata Mtu pale” #MillardAyoUPDATES Source MILLARDAYO BREAKING NEWS 2024󱢏

photo content

Huyu ni Brian Decon, mcheza filamu raia wa Uingereza. Filamu iliyompa umaarufu ni ile ya "Jesus" iliyotoka mwaka 1979 ikisawi
Huyu ni Brian Decon, mcheza filamu raia wa Uingereza. Filamu iliyompa umaarufu ni ile ya "Jesus" iliyotoka mwaka 1979 ikisawiri maisha ya Yesu. Aliibuka mshindi katika umati wa watu 900 waliojitokeza kwenye usaili wa kumtafuta mtu wa kuigiza kama Yesu. Wakati huo, Brian alikuwa ana umri wa miaka thelathini. Brian anasimulia kuwa; kabla ya kuanza kucheza filamu hiyo, alisoma na kupitia Injili ya Luka kwa zaidi ya mara 20. Lengo la kufanya hivyo ni ili aweze kuuva uhusika wa Yesu kama alivyoelezewa kwenye Biblia. Mbali na filamu ya Yesu, Decon ametokea kwenye filamu zaidi ya 30 ya kwanza ikiwa ni 'The Guardians' iliyotoka mwaka 1971 na ya mwisho ni 'The Projectionist' ya mwaka 2012. Brian ana mtoto mmoja, Lala Decon, aliyezaa na mke wake wa kwanza, Rula Lenska kabla ya kutalikiana nae mwaka 1987. Baadae mwaka 1998, Decon alimuoa muigizaji raia wa ufaransa, Natalie Bloch. Kwa sasa, Brian Decon ana umri wa miaka 74 anaishi Oxford, Uingereza.

Wakati Wanafunzi wa Shule za Sekondadi na Msingi wakianza masomo kwa siku ya pili leo nchini kote kwa muhula wa mwaka 2024, H
Wakati Wanafunzi wa Shule za Sekondadi na Msingi wakianza masomo kwa siku ya pili leo nchini kote kwa muhula wa mwaka 2024, Hali imekua tofauti kwa shule ya Sekondari Parakuyo iliyopo Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro baada ya Wanafunzi watano pekee wote wakiwa ni Wavulana kuripoti kati ya Wanafunzi 59 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika Shule hiyo ya Kata. Hayo yamejiri baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka kutembelea Shule hiyo ambapo zaidi ya asilimia 95 ya Wananchi wanaoshi katika eneo hilo ni Wafugaji Jamii ya Kimasai na kukuta hali ya kuzorota kuripoti kwa Wanafunzi, imeelezwa kuwa licha ya Shule hiyo kuwa ya kutwa, Wasichana huishi Hostel zilizopo Shuleni hapo na Wavulana hutokea nyumbani. DC Shaka anatoa maagizo Kwa Viongozi wa Kata hiyo kuhakikisha wanawatafuta popote walipo Wanafunzi hao 54 ambao hawajaripoti hadi sasa ili waanze masomo. Jumla ya Wanafunzi 59 wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza Shuleni hapo wakiwemo Wavulana 30 na Wasichana 29. Source MILLARDAYO

"Kuna msichana anaona kama hajaolewa hajakamilika, kama hana mwanaume maisha yake hayajakamilika, nani alikwambia hivyo? Na i
"Kuna msichana anaona kama hajaolewa hajakamilika, kama hana mwanaume maisha yake hayajakamilika, nani alikwambia hivyo? Na imeandikwa wapi? Kwenye biblia gani?. Siku hizi wanawake wanakuwa Marais wako Ikulu, tumekosa ndoa tukawe Marais, umekosa ndoa nenda China kafanye biashara, kuwa hata mchungaji, shida iko wapi? tatizo ni nini? kuna vitu vingi vya kufanya"- Mch. Rose Shaboka

Mfahamu mke halali wa Sadio Mane: * Mke halali wa Mane anaitwa Aisha Tamba, ana umri wa miaka 18. * Asha Tamba hayuko kwenye
Mfahamu mke halali wa Sadio Mane: * Mke halali wa Mane anaitwa Aisha Tamba, ana umri wa miaka 18. * Asha Tamba hayuko kwenye mitandao ya kijamii. * Mwanadada huyo ni mwanafunzi wa Cabis School mjini Grand Mbao Baobab. * Aisha na Mane walijuana miaka miwili iliyopita mjini Dakar. * Aisha Tamba ni binti wa msanifu ujenzi (Architect) Picha zaidi kwenye comments