es
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
MAKOND ALIFAA AWE BUNGENI ⁉️ Ameandika Wagulimba OG󱢏 ✍️ "kila nikiwaza kuhusiana na paul Makonda @babakeagan naona hii ni product iliyokuwa inaelekea bungeni na baadaye uwaziri na ikiwezekana ikulu ni ajabu mpaka sasa bado yupo kwenye ukuu wa mkoa mara apate uongozi ndani ya chama chake cha ccm mpaka sasa kila nikiwaza kuhusu paul makonda nakosa jibu ukiangalia safari yake ya kiuongozi pamoja na kisiasa kwa sababu huwezi kumtenganisha na kisiasa kwa sababu yeye anatokea katika chama cha CCM huku kwenye ukuu wa mkoa naona kabisa bwana paul makonda alikwisha kufanya kila kitu ambacho alitakiwa kukifanya sioni kama kuna kipya atakifanya zaidi ya kurudia yale yale kwa sababu ukiangalia aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam ni kila kitu alimaliza pale kwa hivi sasa hakuna tena kipya atakachokifanya huo ni mtazamo wangu Wagulimba OG narudi nyuma na kuwaza uchaguzi wa mwaka 2020 kule kigamboni akiwa yeye pamoja na ndugulile uchaguzi ule ndio kama ulianzisha safari ya ukimya miaka mitatu ya bwana paul makonda baada ya kushindwa katika uchaguzi wa kura za wajumbe wanaompitisha mgombea ubunge pale kigamboni watu wengi walitarajia bwana makonda angeenda kuteuliwa kwenye kamati kuu ya halmashauri kuu ya ccm kwa sababu alionekana wazi ni mtu wa karibu wa rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi cha ccm wakati ule dokta John Pombe Magufuli hayati lakini ilikuwa ni tofauti na walivyotarajia wengi kwani Kamati kuu haikumteua Makonda. pale ndio safari ya paul makonda kutokusikika masikioni mwa watu na kwenye utumishi kwa miaka mitatu ilianza. Paul makonda ni binadamu kama binadamu wengine na kwa upande wangu mimi ukiachana na tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa na watu mbalimbali ambao wanajiita wanaharakati pamoja na watu mbalimbali akiwemo Godbless lema wa chadema kusema makonda ni mtekaji na muuaji Ukiachana na hilo mimi naona kwangu makonda ni miongoni mwa viongozi bora sana siwezi kudili sana na swala la utekaji na uuaji kwa sababu sijawahi kua na uhakika kwamba hilo lilifanyika chini yake au aliratibu utendekaji wake kwa hiyo bwana makonda mimi naona ni kiongozi mzuri tu kwa yale ninayoyaona mimi kama mwananchi wa kawaida. kwa sasa Paul makonda ni mkuu wa mkoa wa arusha anaendelea kufanya kazi aliyotumwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania samia suluhu hassan ni hayo tu ni mtazamo wangu kwamba makonda ni miongoni mwa viongozi bora kwa wananchi ni hilo tu sina jingine nimeandika mimi mwenyewe Na huo ni mtazamo wangu Wagulimba OG󱢏 ahsante Follow ukurasa

photo content

WEWE NDIO DUNIA YANGU CHOCHOTE WACHUKUE WANIACHIE WEWE "BABA KEAGAN" Ujumbe mzito wa Baba KEAGAN Paul Makonda kwenda Kwa Mkew
WEWE NDIO DUNIA YANGU CHOCHOTE WACHUKUE WANIACHIE WEWE "BABA KEAGAN" Ujumbe mzito wa Baba KEAGAN Paul Makonda kwenda Kwa Mkewe akimtakia Kheri ya Siku yake ya Kuzaliwa "Dunia imebeba Mengi sana ila mimi nimekubali kubebwa nawe kipenzi changu, kwani wewe ndiye Dunia yangu, chochote wachukue lakini waniachie wewe, Maria wangu, mwanamke wa maisha yangu, NAKUPENDA MNOO!! ninaamini MUNGU hutubariki, lakini Baraka zake hupitia kwa watu, wewe ndio yule mtu, uliebeba za kwangu, ambae kupitia wewe naona vingi maishani mwangu, nataka nikwambie jambo moja, unapendwa mnoo na Makonda, popote unapopita ringa na tembea kifua mbele ukiamini Hakuna mwanaume anaekupenda kama mimi, kwako hata ashushwe mwanamke wa namna gani na asemwe kwa sifa zote za uzuri bado nakiri hakufikii, kwako sioni sisikii, Nakupenda mnoo, na katika siku yako hii kubwa nataka nikwambie MOYO wangu unao wewe, Happy Birthday kipenzi changu, Mama wa watoto wangu, nakuombea umri mrefu ili niendelee kufaidi Nuru ya uzuri wako kwenye himaya yangu, hapa ni KUFA na Kuzikana!! Happy Birthday my love!!" Follow ukurasa wetu wa Instagram kuona Mengi Zaid

BRELA Wanasemaje kuhusu Crown Media 👑 Ni ya Salim Kikeke au ya Alikiba #Kingkiba Tumalize Utata Hapa ??
BRELA Wanasemaje kuhusu Crown Media 👑 Ni ya Salim Kikeke au ya Alikiba #Kingkiba Tumalize Utata Hapa ??

KIKWETE ALINIAMBIA CCM HAITAKAA MADARAKANI MUDA MREFU "ZITTO" Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesem
KIKWETE ALINIAMBIA CCM HAITAKAA MADARAKANI MUDA MREFU "ZITTO" Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesemea aliyekuwa Rais wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete alimshauri kutafuta chama kingine cha siasa kujiunga nacho isipokuwa Chama cha Mapinduzi CCM. Zitto ameyasema hayo leo Aprili 27, 2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa chama hicho unaofanyika Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Amesema Dkt. Kikwete alimwambia, endapo angejiunga na CCM angempa Uwaziri wa Fedha lakini akasema anaona CCM haitakaa madarakani muda mrefu, ndipo akamshauri kutafuta jukwaa jingine la kisiasa. Follow ukurasa wetu

Mr nice na Chamilione Follow ukurasa wetu wa Instagram
Mr nice na Chamilione Follow ukurasa wetu wa Instagram

Picha ya Kumbukumbu Msanii Diamond Platnumz alivyokutana Kwa Mara ya kwanza na Msanii Harmonize enzi Hizo akiitwa Roja Ndipo
Picha ya Kumbukumbu Msanii Diamond Platnumz alivyokutana Kwa Mara ya kwanza na Msanii Harmonize enzi Hizo akiitwa Roja Ndipo Simba akaona kitu ndani yake na Kumpatia Jina jipya Harmonize kutokana na Melody zake na taste Nzuri kwenye kuiamba

"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mko
"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya ndani haitakiwi kushikwa hovyo unamaanisha nini?" "Mbona video zingine unafanya vizuri tu kwa heshima na zinaenda kwanini hii? Hivi ninavyoongea Raya yuko nyumbani kwangu ameondoka kwa Barnaba, Barnaba video gani hii? Huna adabu unamchezea mtoto wangu"- Mama Kimbo, Mkwe wa Barnaba na Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni

"Tunamshukuru Mungu kwa neema aliyotupa ya kutimiza miaka 7 ya ndoa yetu siku ya leo hakika ametuvusha katika mengi. Daudi Ku
"Tunamshukuru Mungu kwa neema aliyotupa ya kutimiza miaka 7 ya ndoa yetu siku ya leo hakika ametuvusha katika mengi. Daudi Kusekwa Mungu azidi kukutunza ili uzidi kufurahia ukuu wake, I love you"- ameandika Frora, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania ambaye aliwahi kuwa kwenye ndoa na mtumishi wa Mungu Emmanuel Mbasha lakini waliachana kwa ugomvi mkubwa uliokuwa na aibu nyingi ndani yake. Toa maoni yako

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+1
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+4
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+5
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

NI MSANII MKUBWA TANZANIA USHAMTAMBUA..😀
+1
NI MSANII MKUBWA TANZANIA USHAMTAMBUA..😀

Umegundua nini hapa...😀
Umegundua nini hapa...😀

JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Nashindwa kumuelezea Zuch kwasababu siko kwenye mood nzuri, lakini kiukweli alikuwa ni kijana wa mfano, mimi nilikuwa boss w
"Nashindwa kumuelezea Zuch kwasababu siko kwenye mood nzuri, lakini kiukweli alikuwa ni kijana wa mfano, mimi nilikuwa boss wake lakini hakuwa mchoyo kwangu, alininunulia viatu na nyumbani nina t-shirt nne ambazo alininunulia kama zawadi. Kiukweli tumepoteza mtu mhimu"- Millard Ayo, Mtangazaji.