es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
Kutoka kwa Mange Kimambi. "Kelele zote zile mtu kapanga ki apartment ushuzi, tena hajapanga yeye kama yeye kapangiwa na boss
Kutoka kwa Mange Kimambi. "Kelele zote zile mtu kapanga ki apartment ushuzi, tena hajapanga yeye kama yeye kapangiwa na boss wake, sasa wale macheaf wa burger ndio wanaenda kujipikilisha kwenye hicho ki apartment 😂😂😂😂 alafu hilo jiko mmeliona? Nimelia😭 ndio hili jiko alisema machef wanaenda kupika? Hiko ki friji sasa😭😭😭😭 Nyieee mimi ndio maana niliwaambia achaneni na maisha ya watu mtandaoni, oneni sasa, mnatambiwa na mtu ambaye kapangiwa ki apartment na boss wake. Alafu hana akili ya maisha, boss anajitahidi kumstiri kwa kumpa matangazo etc na mshahara juu analipwa as if bado yuko kazini ila pesa anaenda kugonga mwanamke na kufanya sherehe, nyieeeee Swali la kizushi, kati ya mwanaume aliyepangiwa apartment kama hii na boss wake na mwanaume anayepambana akapanga mwenyewe kwa jasho lake ila swekeni, yupi bora?. Sasa si bora hata Dulla Makabila yeye analipa kodi yake mwenyewe kuliko anayelipiwa kodi na mwanaume mwenzie"- Mange Kimambi Toa maoni

"Zaiylissa kwa mara ya kwanza niliona picha yake ilitumwa kwenye ma-group ya Yanga alikuwa amevaa jezi ya Yanga, niliuliza hu
"Zaiylissa kwa mara ya kwanza niliona picha yake ilitumwa kwenye ma-group ya Yanga alikuwa amevaa jezi ya Yanga, niliuliza huyu ni nani? utani ulikuwa mwingi nikaomba connection ili nimpe kazi ya matangazo, dakika mbili tu ilitumwa page yake. Nilimwangalia nikaona ni mwanamke mrembo, nika m-DM, aada ya dakika tano alinijibu. Nikamwambia nahitaji kukutana naye, alinitumia namba, tulikuwa tunawasiliana. Hajawahi kuniomba hela hata siku moja" "Wanawake wengi watu kama sisi (maarufu) ukiwa-DM wanaanza kukwambia kodi ya nyumba, mara simu imeharibika. Hadi tunakutana [Zaiylisa] hajawahi kuniomba hela. Nilivyomuona kwenye social media ni tofauti, Ni mpole, mrembo kiasi cha kwamba tulikaa masaa matatu ili aongee lazima ajibu kitu" "Nikilala sitaki kuashwa na simu huwa nazima. Usingizi wangu ni wa mashaka na nikilala hata mlango ukigongwa naamka na mke wangu ameshajua. Mambo ni mengi ndio maana napata usingizi wa mashaka" - Haji Manara via Clouds TV Toa maoni yako

"Kuna namna nahisi machozi ya mke wangu wa kwanza (Shuu Mimi) hayakwenda bure kuna laana yameniachia kutokana na nilichomtend
"Kuna namna nahisi machozi ya mke wangu wa kwanza (Shuu Mimi) hayakwenda bure kuna laana yameniachia kutokana na nilichomtendea, sio kwamba mimi ndio nilikuwa na makosa kiasi hichooo, hapana, hata yeye alikuwa anakosea, ila yeye ndiye mwanamke ambaye wakati naanza nae mahusiano sikuwa na kitu lakini alinivumilia, alikuwa ananisaidia nikikwama na zaidi alikubali kunizalia lakini nilikuja kumuacha kwa njia ambayo hakustahili kuachwa vile" "Nimekuwa siendelei na hata mahusiano yangu hayadumu, nahisi kabisa kuna namna laana inanitafuna Kwa maumivu niliyompatia ambayo yalimfanya amwage machozi"- Lukamba, Mpiga Picha, Mwigizaji wa filamu na Msanii wa muziki Tanzania. Toa maoni yako

"Wewe keng* mwenye uso mkubwa kama kikaangio cha chapati koma tena shika adabu yako nakwambia, jifanye wewe chizi mwenzio mwe
"Wewe keng* mwenye uso mkubwa kama kikaangio cha chapati koma tena shika adabu yako nakwambia, jifanye wewe chizi mwenzio mwendawazimu kabisaaa, nimekaa kimya naona unanipanda kichwani sasa. Kumbe ndivyo unavyojidanganya, haya umenifanya nini wewe mwenye sura nzito, tumeshalimana block kila mtu na njia zake sasa unajitapa sikuposti kwa kipi ulichonifanyia?" "Usiwadanganye hao kenge wako kwenye group lako kuwa ulinikomesha ndio maana sikuposti, sikuposti kwasababu ulianza kuniblock na mimi nikakulima block kote, kumbe unapenda niwe nakuposti eeh. Dada samahani sana fanya maisha yako plz sitaki shobo za kutajwa-tajwa huko, keng* maji wewe"- Juma Lokole baada ya kupata taarifa kwamba Diva kamsengenya kwenye group lake la WhatsApp. Toa maoni yako #MvanoUdaku #MvanoMtangazaji #M32

⚠️😳 Kwa mtazamo wako eti kati ya Rushaynah na Zaiylissa nani mzuri zaidi ya mwenzie hata kabla kujikwatua kwa make up ?
⚠️😳 Kwa mtazamo wako eti kati ya Rushaynah na Zaiylissa nani mzuri zaidi ya mwenzie hata kabla kujikwatua kwa make up ?

photo content
+3

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

CHRIS BROWN AWAPOST MISO MISSONDO Msanii Mkubwa Duniani kutoka Nchini Marekani Cris_Brown ameikubali performance ya Madansa w
CHRIS BROWN AWAPOST MISO MISSONDO Msanii Mkubwa Duniani kutoka Nchini Marekani Cris_Brown ameikubali performance ya Madansa wa Misso Misondo Kupitia Ukurasa wake wa Instagram wenye zaidi ya Followers Milioni 145 ameweka video ya Madansa hao wakicheza Moja ya Wimbo wake Kisha kuandika Ujumbe unaosomeka "Me Dance away from negative energy in 2024"

PAMBANO LANGU LIKIWEKWA KIINGILIO MILIONI 1 NA FLOYD MAYWEATHER LAKI 5 WATU WATAKUJA KWANGU "MWAKINYO" Bondia Hassani Mwakiny
PAMBANO LANGU LIKIWEKWA KIINGILIO MILIONI 1 NA FLOYD MAYWEATHER LAKI 5 WATU WATAKUJA KWANGU "MWAKINYO" Bondia Hassani Mwakinyo amesema kuwa, Mpaka sasa yeye ndio bondia ambaye anapendwa zaidi na mashabiki Nchini Tanzania kiasi kwamba kama ikitokea likawekwa pambano lake ambalo kiingilio ni Shilingi milioni 1 halafu upande wa pili likawepo pambano la Bondia Mkubwa Duniani #FloydMayweatherJr ambalo kiingilio ni shilingi Laki 5 basi watu watajaa kwake kuliko kwa Floyd Mayweather. unakubaliana Naye..? Dondosha comment ..!

Toka bongo hadi kwa chris brown video follow instagram>>https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
Toka bongo hadi kwa chris brown video follow instagram>>https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

⚠️😳 Baada ya Diva kuingia katika Reality TV show na kuanza kupokelewa vizuri, mtangazaji huyo maarufu anasema "Nitaishi uhal
⚠️😳 Baada ya Diva kuingia katika Reality TV show na kuanza kupokelewa vizuri, mtangazaji huyo maarufu anasema "Nitaishi uhalisia nikiwa nyumbani na uhalisia nikiwa kazini, nitajiremba nikiwa kazini au nikitoka nikiwa nyumbani ntabakia kama niko nyumbani normal" Katika Reality TV show hiyo " Diva And Sheikh" Sheikh Abdulrazak ambaye ni mume wake ameweka wazi kwamba hana wake wawili kama inavyoripotiwa na wala hajawahi kuoa wake wawili, bali ana mke mmoja tu ambaye ni Diva Show ya Diva And Sheikh inaoneshwa kila wili siku ya Jumatano saa tatu kamili usiku kupitia Zamaradi TV inayopatikana katika king'amuzi cha Azam channel 413. Na kwa walio nje ya nchi wanaweza kupakua app ya PLATNUM MEDIA kuweza kutazama show hiyo

⚠️😳 Mchungaji Rose Shaboka awatungua wanaume wanaoshinda gym kutengeneza body la six pack kwa ajili ya kinadada "Ukishasonge
⚠️😳 Mchungaji Rose Shaboka awatungua wanaume wanaoshinda gym kutengeneza body la six pack kwa ajili ya kinadada "Ukishasongea kwenye ushangazi, sijui mwanaume anatembea na kulambalamba mdomo, it doesn't matter. Unakuta mtoto wa kiume yuko gym mpaka saa sita mchana eti anamtengenezea babe wake body. Mazoezi sio mbaya lakini lazima kuwe na balance kuna wakati wa kwenda gym na wakati wa kwenda kuwatafutia watoto ada za shule. Uanaume ni majukumu" Pichani ni mume wake

⚠️😳 "Siwezi kujichora tattoo ya mpenzi au kitu chochote kile mama amekataa" - Zaiylissa
⚠️😳 "Siwezi kujichora tattoo ya mpenzi au kitu chochote kile mama amekataa" - Zaiylissa

⚠️ Mama huyo Nigeria kwa jina la Anastasia ameibuka kutoa ushauri wa tahadhari kwa akina mama wenzie wenye mabinti wadogo(teenagers) ambao wapo karibu sana na viongozi wao wa kidini/wachungaji "Akina Mama wapendwa, tafadhali soma hili kwa makini. Ikiwa una mtoto wa kike(teenager) ambaye yuko karibu na mchungaji wake au mchungaji wako wa kanisa tafadhali kuwa na mazungumzo ya karibu ya ana kwa ana na mwanao hasa wakati kiongozi wako wa kidini/mchungaji anafanya yafuatayo..... 1. Anampenda sana mwanao 2. Anapiga simu kumuulizia wakati hayupo kanisani, sio kuuliza tu, anauliza kwa hisia nyingi 3. Hana raha anapomwona binti yako akiwa na vijana wa kiume kanisani au kwingineko. Utagundua jinsi anavyomkemea kwa wivu unaozunguka katika maneno yake 4 Anasisitiza binti yako akamsaidie kazi za nyumbani mwake 5. Anampa binti yako nafasi za uongozi kanisani hata kama kuna wasichana wenzie wenye vigezo vya uongozi kumzidi binti yako 6. Anafanya utani wa kijinga anapokuwa na binti yako 7. Anapongeza uzuri na umbo la binti yako 8. Akipiga simu nyumbani wengine hana muda nao zaidi ya kumuulizia binti yako 9. Kila mara baada ya ibada anamwambia binti yako amsubiri 10. Siku zote ana ‘ unabii’ juu ya binti yako kuliko watoto wako wote Akina mama/dada wapendwa, kuweni makini kundi la wanaume watu wazima wanaovutiwa kupenda kulala kimwili na watoto na kuwaharibu(paedophiles) lipo kila eneo hata kwenye majoho ya kidini sehemu nyingi tu, Kuweni Macho!!!

photo content

"Ukiona kijana anapenda kulamba midomo muda wote, yeye chakula chake ni chipsi zege hataki vyakula vigumu, hataki kufanya kaz
"Ukiona kijana anapenda kulamba midomo muda wote, yeye chakula chake ni chipsi zege hataki vyakula vigumu, hataki kufanya kazi jua huyo ana tatizo la afya ya akili, kwasababu maandiko yanamtaka kijana afanye kazi kwa bidii, ajitofautishe na mwanamke" "Lakini vijana wengi wa sasa hivi wanalamba midomo tu wamelegea kuliko hata wanawake, hilo ni tatizo la afya ya akili na hawajitambui kama wana hilo tatizo, maombi yanahitajika juu yao"- Rose Muhando

"Sherehe ya harusi yetu tutaifanyia kwenye uwanja wa Mkapa na tunatarajia watu elfu 50 watahudhulia tukio hilo mhimu. Kilicho
"Sherehe ya harusi yetu tutaifanyia kwenye uwanja wa Mkapa na tunatarajia watu elfu 50 watahudhulia tukio hilo mhimu. Kilichobaki hapa ni tupo kwenye mazungumzo na TV tuangalie ni chanel gani tutakuwa live"- Hajji Manara

"Menina alitaka kunitumia kama kitega uchumi kwasababu kwa jinsi nilivyomtendea mema wakati anapita kwenye magumu sikutegemea kama angelikomalia jambo namna ile baada ya video za utupu kuvuja. Nilimsaidia sana lakini malipo yake yalikuwa ni kunipeleka polisi, alikuwa hana pakuishi hakuwa na kodi ya nyumba akaniomba aja akae kwangu, nikamshirikisha mke wangu nae akakubali kwa moyo mmoja tukampa chumba akawa analala nyumbani kwangu" "Kadri siku zilivyozidi kwenda mazoea yakawa makubwa, mke wangu ni mtu wa kazi sana kwahivyo mara nyingi alikuwa anatuacha peke yetu na hapo ndipo tamaa ziliponiingia tukaanza mahusiano akiwa hapohapo nyumbani kwangu, mke wangu alikuwa akitoka sisi tunabaki tunafanya yetu akirudi tunapiga stori kama kawaida na alikuwa anampenda sana Menina, alikuwa anamketisha anamtia moyo asijue mimi na yeye ni wapenzi" "Baadae niliona tutakuja kugundulika nikaamua kumpangia sehemu nyingine lakini bado alikuwa hataki alitaka tuendelee kukaa palepale nyumbani, ila nilitumia maamuzi ya kiume akaondoka. Video zilivyovuja nilijua hapa lazima mke wangu ataniacha lakini ajabu ni kwamba alikuwa mstari wa mbele kunitetea na kuhakikisha nakuwa salama ingawa aliumia mnoo ila nilimuelezea hali halisi akanielewa"- Mwijaku

photo content

Mchezaji wa Senegal, Lamine Camara hakuweza kutembea kutoka uwanjani baada ya kulia sana mpaka Mchezaji mwenzake, Chekhou Kou
Mchezaji wa Senegal, Lamine Camara hakuweza kutembea kutoka uwanjani baada ya kulia sana mpaka Mchezaji mwenzake, Chekhou Kouyate ndiye aliyembeba. Camara ana miaka 20 anacheza Ufaransa ila mahaba kwa taifa lake ni makubwa mno,ndie Mchezaji bora wa Afrika Chipukizi 2023. #AFCON23 #AFCON2023