es
Feedback

¡No caigas en manos de tramposos! Telemetrio encuentra y marca estos canales 👉 Si quieres ver la etiqueta, suscríbete

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

Ir al canal en Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

Mostrar más
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
SHEPU YA ZUCHU NI KAMA KIBIBI CHA KIZUNGU; TABU "Yaani Zuchu nyuma kuko flati kama bibi wa kizungu lakini ajabu Diamond hajal
SHEPU YA ZUCHU NI KAMA KIBIBI CHA KIZUNGU; TABU "Yaani Zuchu nyuma kuko flati kama bibi wa kizungu lakini ajabu Diamond hajali wala nini. Alafu utasikia wanaume ambao hawana hata mia wanasema mimi nataka mwanamke mwenye shepu, kama Diamond huyo hapo katulia na kibibi Chale chake cha kizungu kinachotaka kufanana na Mange Kimambi wewe kapuku yanini ubague?"- Tabu Mtingita

BABA MTOTO WA EBITOKE AJIBU TUHUMA ZA KUWABAKA WANAWAKE KUPITIA KAZI YAKE YA KUWAPUNGUZA MATUMBO (VITAMBI) Baada Mange Kimambi kudai kwamba Keshas Saloon ambaye ni mzazi mwenzake na msanii Ebitoke, anatumia njia ya kuwatoa matumbo wanawake na kuwasafisha sehemu nyeti kuwadhalilisha ambapo kwa mujibu wa Mange ni kwamba Keshas anawaingilia kimwili wanawake hao ikiwa ni njia ya kupunguza kitambi na kuwatengeneza shepu wawe na makalio mchongoko. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Keshas amekanusha tuhuma hizo kwa kuandika "Mungu alituumba sisi wanadamu akatupa na mdomo wa kusema ila tatizo linakuja kwenye kile unachokisema, sawa umesema, lakini je! una uhakika na unachokisema? au unasema bora tu umesema? Ukiona mtoto wa mwenzio anapambana hapa mjini mheshimu. Hapa Dar es salaam ni kama baharini wote tunakutana kwa ajili ya kuvua samaki na kila mtu kaacha ndugu, jamaa na majirani huko kijijini kwao" "Mwenye akili anavua samaki wake anajiondokea kijijini kwao na ambao hawana akili wanazamia baharini wengine wanatekwa na starehe wengine wanafia baharini n.k. wewe kama ni mtaftaji usiogope kusemwa hakikisha haufanyi uchafu. Wewe vua samaki nenda kwenu kajenge, usiogope maneno usiogope vita, sema na Mungu wako songa mbele ukipata shukuru ukikosa shukuru pia"- Ameandika Keshas Saloon

photo content

Diamond Platnumz alivyotokeleza jana huko Dodoma
Diamond Platnumz alivyotokeleza jana huko Dodoma

EBITOKE AMKATAA BABA MTOTO WAKE BAADA YA MANGE KUTOA USHAHIDI WA TUHUMA ZA UBAKAJI. Baada ya Mdaku maarufu Bongo, Mange Kimam
EBITOKE AMKATAA BABA MTOTO WAKE BAADA YA MANGE KUTOA USHAHIDI WA TUHUMA ZA UBAKAJI. Baada ya Mdaku maarufu Bongo, Mange Kimambi kuanika maovu ya Keshas Saloon ambapo ameibua tuhuma za kuwaingilia wanawake wanaoenda kupata huduma kwa kuwahadaa kuwa hiyo ni moja ya tiba ya nyonga. Ebitoke na Keshas Saloon wamekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja. Kutokana na tuhuma hizo, Ebitoke ameomba asitambulike kama mzazi mwenzake na Keshas na wala hawana mtoto. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ebitoke ameandika "Jamani mwambieni kinjiti mtu akiwa anachafua hali ya hewa huko asinitaje jina langu! maana sina baby dady wala mtoto wangu hana baba maana hajazaliwa🙏".

photo content

Bi Rehema Chao amezikwa leo tarehe 2/12/2023, tarehe ambayo ilitakiwa iwe siku ya harusi yake, tarehe ambayo ingeenda kubadilisha maisha yake. Bila shaka aliisubiri kwa hamu sana siku hii. Kwakuwa tayari walikuwa wameipanga kama siku ya harusi yake ni ukweli kwamba ilikuwa haipiti siku bila kuifikiria tarehe 2, hakujua kama ingekuwa siku yake ya mwisho kuonekana katika uso wa dunia. Hili ni somo kubwa sana kwa sisi tuliobaki, ukikaa ukalitafakari tukio hili hakika linatia uogoa, linaleta hofu, muda mwingine ukifikiria sana unaweza kukata tamaa ya kuendelea kupambania maisha na ndoto zako, lakini shida ni kwamba unaweza ukasitisha kupambania ndoto zako kumbe mungu kakupangia utakufa ukiwa na miaka 100. Ni vile tu binadamu wa leo wamechanganyikiwa na misukosuko ya maisha, wamesahau hata walikuja kufanya nini duniani, yanapotokea matukio kama haya hakuna anayeshtuka, watu wengi hata wamesahau kama kuna Mungu, hofu hakuna, heshima kwa Mungu imepotea. Hali ya dunia inatisha na kuna baadhi ya matukio yanatokea kwasababu Mungu anatukumbusha kuwa yupo! tumejisahau mnoo wanadamu Mungu atusamehe hakika. Hakika Rehema Chao, Mama yake mzazi na dada wa kazi tuwaombee wapumnzike kwa Amani maana tumeambiwa kifo ni wajibu🕊

photo content
+2

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

photo content
+1

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Nimeilinda brand yangu kwa miaka mingi nimejijengea heshima kila mtu ananiheshimu kwenye sanaa, siwezi kumtongoza Lukamba, m
"Nimeilinda brand yangu kwa miaka mingi nimejijengea heshima kila mtu ananiheshimu kwenye sanaa, siwezi kumtongoza Lukamba, mimi mwenyewe nilishangaa tu mambo yanazagaa mtandaoni. Nilimchukulia sheria mahojiano yangu na yeye niliyapeleka huko" "Halikuwa jambo rahisi kwangu kwahiyo kuna namna lilileta mfarakano hata kwenye familia. Niwaombe wasanii wanaochipkia kwenye uigizaji nidhamu ni kitu cha msingi sana, nidhamu ndiyo itakufanya ufike mbali, upendwe na upate nafasi za kazi zaidi kuliko kiki zisizo na msingi"- Chuchu Hansy

Rayvanny na Fahyma wageukia kuuza nyanya sokoni
Rayvanny na Fahyma wageukia kuuza nyanya sokoni

"Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Luka 1:37"- ameandika Mlokole Gigy Money
"Hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Luka 1:37"- ameandika Mlokole Gigy Money

⚠️😳 Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth Makune ambaye pia ni mwanasiasa, aibuka kusherehekea kuhitimu shahada ya pili kwa ufaulu mzuri wa GPA ya 4.1 "I'm now an official MBA holder. After almost 3 years of hard work, I graduated yesterday with a Master’s in Business Administration from the University of Dar es Salaam with a GPA of 4.1. This MBA is dedicated to my lovely mama and daughter, Ameera. Shukrani za dhati ziende kwa mama yangu kipenzi, ambaye amekuwa very supportive aki-spend muda mwingi zaidi na binti yangu, ambaye nilimuacha akiwa na miezi minne ili niweze kujiunga na Masomo ya Masters. Ameera alipata mama ndani ya bibi yake. Mama, ijapokuwa hukuweza kufika jana Mlimani city kwa sababu ya kuumwa, mwanao nimehitimu huku 😀, John kisomo wako nishafanya yangu tena, degree ya pili. Nakuombea kheri, upone upesi, tuirudie hii siku tena (party). Pia, shukrani za dhati ziende kwa walimu wangu, especially Supervisor wangu wa Dissertation, Dr. Elly Tumsifu. It was so great being under your supervision. Mwisho, shukrani ziende kwa kipenzi changu, you’re the best, thank you for the support 🙏🏽"

photo content

...MUNGU akiamua kukupa mafanikio hakuandikii Barua wala hakupigii Simu, Milango yote hufunguka mpaka ya Bafuni! Imagine Dogo
...MUNGU akiamua kukupa mafanikio hakuandikii Barua wala hakupigii Simu, Milango yote hufunguka mpaka ya Bafuni! Imagine Dogo yupo huko Kinshasa ndani ndani na wahuni wenzie wa mtaani kwenye group lao la KKL Bomoko, Dogo anapiga Free Style ya Tabulele...inatrend mitandaoni Ali Kamwe anaielewa kisha inafungua Milango ya mafanikio kwa Riger Tabulele Tazama, anapanda ndege kwa mara ya kwanza kuja Tanzania.. Anapokelewa Airport na kwenda kwenye mjengo wa kifahari wa Harmonize na kufanya nae remix ya Tabulele atakayoperfom kwenye dimba la Mkapa mbele ya Wananchi 60,000 kwenye mchezo mkubwa wa Yanga Vs Al Ahly. MUNGU NI NANI....? #NYAKATI @alikamwe #halisimediatz

Pichani ni makazi ya mtu hatari sana kuwahi kutokea katika ulimwengu huu si mwingine bali Firauni nchini Misri. Ni sehemu ya
Pichani ni makazi ya mtu hatari sana kuwahi kutokea katika ulimwengu huu si mwingine bali Firauni nchini Misri. Ni sehemu ya utalii ambapo watu kutoka kila kona ya dunia huja kuoma maajabu. Walijenga miaka ya zamani sana, utashangaa vifaa walivitoa wapi? Waliwezaje kupanda mpaka huko juu?🙄🙄

Bilionea namba 5 duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, Warren Buffett baada ya mwanahisa mwenzake ndani ya kampuni ya ''Ber
Bilionea namba 5 duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes, Warren Buffett baada ya mwanahisa mwenzake ndani ya kampuni ya ''Berkshire Hathaway'' Bwana Charlie Munger kutangulia mbele ya haki 28/11/2023 Kwenye jarida la Fortune Magazine, linaeleza kuwa kwenye barua iliyochapishwa na kampuni ya ''Berkshire Hathaway'' liliandika kuhusu uamuzi ambao uliazimiwa na familia hiyo tangu mwaka 2006 kuhusiana na kugawa mali za bilionea huyo kwa masikini. Uamuzi ambao ulijadiliwa tena November mwaka huu pamoja na watoto wake watatu ambao wanakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 65 - 70, ni kuhusu kugawa asilimia 99 ya utajiri wa Bilionea huyo kwa familia masikini na watoto wake kuhakikisha hilo linafanyika kwa usimamizi wao. Unahisi kwa hapa kwetu Tanzania lingekubalika hili?, mzazi kugawa mali zake kwa familia masikini ili hali watoto wake wapo hai? Siyo vibaya ukatuandikia mtazamo wako, kwenye hili.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Ripoti ya Hali ya Uchumi Nchini imeonesha Pato la Mtanzania mmojammoja (GDP Per Capital Income) limeongezeka kutoka USD 399.5 (Tsh. 322,397) kwa thamani ya dola mwaka 2000 hadi kufikia USD 1,200 (Tsh. 2,880,000) Mwaka 2022. Akiongea leo Jijini Dar es salaam Mkumbo amesema “Tuelewane hapa Tukisema hivi Watu wanasema mbona hiyo hela sina mfukoni, hesabu zake unazipata kwa kukusanya mapato ya Nchi nzima Watu wote milioni 61.7 mapato yao yote ambayo yanakaribia kufikia Tsh. Trilioni 141 unagawanya kwa idadi ya Watu ndio unapata pato la kila Mtanzania mmojammoja” #MillardAyoUPDATES