E-PLUS MEDIA
Ir al canal en Telegram
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
1 307
Urusi imerusha makombora katika mji mkuu wa Ukraine na kujeruhi takribani watu 45 wakati Rais Volodymyr Zelenskyy akiomba msaada kwa Marekani kuidhinisha msaada wa dola bilioni 61 (TZS trilioni 153.4).
Jumanne Rais Joe Biden alitangaza msaada wa dola milioni 200 [TZS bilioni 503] ulioidhinishwa kwa ajili ya Ukraine unaojumuisha makombora na vifaa vingine.
1 307
Msanii wa muziki kutoka Tanzania, CHID BENZ Amelalamika kuhusiana na baadhi ya Media ambazo zinaenda kumhoji mama yake bila ya Ruhusa yake
"Kuna baadhi ya media zinaongoza kumpigia mama yangu mzazi na kumfanyia Interview mama yangu mzazi, hawa mama zetu wamechanganyikiwa kiasi kwamba hawajuwi wapo Dunia ghani na unapomfwata mama yangu mzazi bila ya kunipigia mimi Chidi Simu maana yake nini, mimi ambaye ndo Msanii CHIDI mwenyewe embu wote wajifikilie aliyeenda, aliyeshoot, aliyemhoji, aliyebeba kamela wajifikilie tena amjampigia msanii mwenyewe ambaye mnakwenda kumzungumzia vipi mnajuwaje kama mimi sitaki watu waende kwa mama yangu au kama sitaki mkaone anavyoishi, jiko lake, sebule, Gauni lake, maisha yake ani kiufupi sitaki mtu yeyote amzungumzie mama yangu au kama anamapungufu ya akili " amesema Chid Benz
1 307
Siku ya DESEMBA 14, 2023, UVCCM MAKAO MAKUU - DODOMA IMETANGAZA MAJINA YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI CHIPUKIZI WA CCM TAIFA, AMBAPO KWENYE ORODHA HIYO MTOTO WA MSANII @officialshetta (Ndg. Qailah Nurdin BILAL ) @officialqayllah AMETEULIWA KUGOMBEA NAFASI HIYO AKIWA PAMOJA NA WAGOMBEA WENGINE.
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
Chanzo cha kifo cha Mtayarishaji wa video za muziki wa kizazi kipya, Nick Davie maarufu Nisher kimeibua utata kutokana na kile kinachodaiwa alitaka kujiua.
Nisher inaelezwa alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali binafsi ambayo hata hivyo, haijawekwa wazi.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Desemba 12, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema wameanza uchunguzi kujua chanzo cha kifo cha Nisher.
Peter Msoffe, mmoja wa marafiki wa Nick, amesema alichoelezwa ni kuwa alikuwa anaumwa kutokana na majeraha baada ya kutaka kujiua.
Nicher ni Mtoto wa Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Nabii Mkuu (Jeor Davie) wa Mkoani Arusha. Nisher ni mmoja wa Mtayarishaji wa video za muziki na filamu aliyetamba kuanzia miaka ya 2010.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amini
1 307
"Kuna Umri Flani Mwanamke Akiufikia, Ndipo Anagundua Kwamba Mwanaume Ni Muhimu Sana Kwenye Maisha Yake Hata Kama Hana Hela
Umri Huo Mwanamke Huwa Haangalii Six Pac, Ajira Ya Mtu Hata Yale Maombi Ya Mungu Nipe Mwanaume Mrefu Maji Ya Kunde Asiwe Na Kitambi Wala Sheteni Hakukatazi Kuyaomba Bali Unajikataza Mwenyewe Mambeghes Unajikuta Unamwambia Mungu We Baba Mwaminifu Uliye Juu Mbinguni, Mungu Mtunza Ahadi Nakuomba Nipe Yeyote Baba Mambeghes
Dada Zangu Mwanaume Wa Kufanya Nae Maisha Hapimwi Kwa Wingi Wa Vitu Alivyonavyo, Acheni Kulazimisha Kuwa Na Wanaume Waliokamilika Maana Wako Wanawake Wenzenu Walihusika Kuwakamilisha, Tafuta Mwanaume Wako Mkamilishane Pamoja Kabla Nyakati Za Kumwambia Mungu Nipe Yeyote Hazijafika, Sijui Kuna Mtu Anaelewa Mahali? " - Jimmy Mafufu, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Toa maoni yako
1 307
⚠️ Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa kwa kulipua kanisa mwaka 2023
ARUSHA: Masheikh 9 miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa zaidi ya Miaka 10 katika Gereza Kuu la Kisongo wamesomewa Mashtaka katika Mahakama ya Kuu ya Kanda, ambapo 6 kati yao wamekutwa na hatia ya kulipua Kanisa Katoliki la Parokia ya Mtakatifu Joseph Olasiti Mwaka 2013, hivyo kuhukumiwa kunyongwa
Waliohukumiwa ni Imam Jaafar Hashima Lema, Yusuf Ali Huta, Hamadi Waziri, Abdul Hassa Masta, Kassim Idrisana Abashari Hassan Omari na waliochiwa huru ni Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani kwa kosa lingine)
Katika hukumu hiyo Jaji alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh hao akiwemo Imamu Mkuu wa Masjid Quba Sheikh Jaafar Hashim Lema walilipua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa
Credit: Jamiiforums
1 307
⚠️😳 Akamatwa kwa kwenda ukweni mikono mitupu nchini Uganda
“Tulikubaliana na bwana harusi mtarajiwa na timu yake kuwa watakuja na ng’ombe wanne na mbuzi watatu, mbali na vitu vingine lakini amekuja mikono mitupu”
Samuel Maikut mwenye umri wa miaka 60 alijikuta kwenye mikono ya polisi baada ya kwenda kwa wakwe zake kwa ajili ya kujitambulisha bila kuwa na mahari
Baba mkwe wake Christopher Ngania alisema walikuwa na hamu ya kupokea wageni kwa ajili ya shughuli hiyo, lakini walishtushwa na kilichotokea
“Tulikubaliana tutakuwa na shughuli Disema 2. Hivyo tulimuita novemba 30 na kumshauri afanye sherehe moja tu. Lakini alikuja na kusisitiza kuwa atafanya shuhuli mbili”
Bwana Ngania anasema walimuhoji bwana harusi mtarajiwa na kuita polisi na kumpeleka kizuizini
Credit: BBC Swahili
1 307
KWENYE MAFURIKO YA HANANG NIMEPOTEZA MKE NA WATOTO WANGU WANNE; FANUEL JOHN
"Kwenye mafuriko ya Hanang nimepoteza Mke wangu na watoto wanne, inaumiza kwasababu kama ulikuwa na familia yako mnaishi nao vizuri hawajaugua ghafla tu unabaki mpweke inaumiza sana. Angalau hata sasa hivi ningeambiwa kwamba umepoteza kila kitu lakini uko na familia yako kidogo ningeona afadhali, lakini Nimekosa kila kitu, basi tu labda ni kwa Neema za Mungu"- Fanuel John Muathirika wa Mafuriko ya Hanang mkoani Manyara
1 307
HATUJUI TUMEBAKISHA MUDA GANI KUENDELEA KUISHI DUNIANI, TUISHI KWA UPENDO; NEDY MUSIC
"Hatujui Saa, Dakika wala Sekunde za mwisho wetu ni lini, bali tuna kipawa cha kujua kesho ni siku gani, na sio cha kutambua nani na nani watabaki duniani, tuna mioyo inayopenda na kuchukia, tuna roho za kukwazika na kufurahia. Hakuna la maana sana naweza waambia lakini ukipata wasaa ishi kwa upendo kwenye hii dunia "- Ameandika Nedy Music
1 307
LADY JAYDEE AMUOMBOLEZA ZAHARA
Kufuatia kifo cha Mwimbaji mkubwa wa nyimbo za Injili kutoka kule nchini Afrika Kusini, Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lady Jaydee ameposti picha hiyo akiwa na Marehemu Zahara kisha kuandika haya
"Asante kwa muziki na sauti, vitabaki kuwa kumbukumbu ya milele mioyoni na masikioni mwetu"- ameandika Jide
1 307
"💔 Zamani nilikuwa nakuja kijijini na Baba yangu na tukifika kijijini tunamkuta Bibi yangu. Leo nimekuja kijijini bila Baba yangu na nimefika kijijini sijamkuta Bibi yangu wote wametangulia mbele ya haki. Safari hii nimekuja kijijini na wanangu, na wao ipo siku watakuja kijijini bila Baba yao"- ameandika Ahmed Ally
1 307
"Mtandaoni kuna uongo na uzushi mwingi sana, kila unachosikia au kuona jaribu kukihakiki kwanza kama ni kweli ama uongo, kuna wengine kueneza uongo mtandaoni kwao ni kazi ya kujipatia kipato"- Mchungaji Masanja Mkandamizaji
1 307
"Wanawake mlioolewa mnisikilize kwa makini, hii sio miaka ya mume wako akikugusa unamwambia niachie, kwasababu kitu unachomkatalia wewe anaweza kukipata bure Tiktok, Instagram na Facebook. Zamani ilikuwa ili mwanaume apate mwanamke kahaba inabidi aende pale Sinza wanapojipanga na maeneo mengine wanapojipanga makahaba"
"Siku hizi hakuna haja ya kwenda huko wameweka namba zao kwenye mitandao, wameweka namba zao Instagram wana page zao wanaonyesha mapicha yao, kwahiyo mwanaume anakuwa najua kabisa mali anayoitaka anachagua ananyanyua tu simu anapiga, hii sio miaka ya kumnyanyasa mwanaume kwamba haumpi tendo la ndoa, kwasababu ukimuwekea ugumu ndani ya nyumba unampa urahisi wa kwenda kuchepuka nje"- Mchungaji Rose Shaboka
1 307
"Mtu anakupatia saa mkiachana anaanza kusema rudisha saa yangu, hivi ungenipa nyumba ingekuaje chief?😂😂😂kwa saa ipi kwanza? bei gani"- Lady Jaydee
1 307
***Hawa ndio majambazi/Vibaka/ Majahiri waliomsaidia JUMONG kibabebabe hadi akawa Mfalme wa Goguryeo nao wakapewa Vyeo vizito Kwenye Serikali hiyo ***
***Wataje majina Yao***
