E-PLUS MEDIA
Ir al canal en Telegram
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
1 307
#PICHA Rais @SuluhuSamia akiwa Pamoja na waumini wengine wa dini ya Kiislam katika ibada ya Eid El Fitri Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam, tarehe 10 Aprili, 2024. #EastAfricaTV
1 307
Eid Mubarak! Namuomba Allah akubali sala zetu zote na atusamehe makosa yetu. Hii Eid itukumbushe baraka za Allah.
“Na ukizihesabu neema za Mwenyezi Mungu, hutaweza kuzitaja. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.” - [Surah An-Nahl 16:18]
#EidMubarak #EidMubarak2024 #EidAlFitr
1 307
NASHANGAA WATU KUNIITA FREEMASON
"Mimi nimekuwa mtu wa Kupambana kila Siku Napanda mandege kila Siku,Nalala wa mwisho naamka wa Kwanza Nakesha Studio Sipatagi mda wa kupumzika lakini naumia kuona watanzania wenzangu ndo wanaongoza kwa kutengeneza vitu vya kunidharirisha mara Niko Freemason na mengine mengi Mimi ndo nimekuwa mtu wa kuongelewa mabaya mitandaoni kila Siku Mazuri Yangu hayaongelewagi Kiukweli nayachukia sana maisha yangu
ningekuwa nafatiza kila kinachoongelewa na watu kila Siku ningekuwa nimeacha mziki toka zamani" - Diamond Platnumz via Instastori.
Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
ALIEWANYIMA YANGA GOLI APANGWA KUCHEZESHA OLYMPIC
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemteua Refa DAHANE BEIDA (katikati) kutoka Nchini Mauritania, kuchezesha mechi za soka za mashindano ya Olimpiki itakayofanyika Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11, mwaka huu.
Dahane (32) ni miongoni mwa marefa 12 kutoka Afrika ambao wamepata fursa hiyo huku kiujumla wakiteuliwa marefa 89 kutoka nchi tofauti duniani.
Marefa kutoka Afrika walioteuliwa kuchezesha Olimpiki mwaka huu ni Karboubi Bouchraw wa Morocco, Mahmood Ismail(Sudan), Diana Chkotesha(Zambia), Fatiha Jermoumi(Morocco), Elvis Noupue (Cameroon), Stephen Yiembe.(Kenya), Mahmoud Ashour (Misri), Lahlou Benbraham (Algeria), Ahmed Abdoulrazack (Djibouti), Emiliano Dos Santos (Angola) na Shamirah Nabadda Uganda) pamoja na Dahane Beida
Follow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Ni kanali Nyamburi Mashauri Aide De Camp ( ADC ) Mpambe wa Mhe. Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Mmezoea kumuona kwenye Gwanda, Mara Moja Moja Bila Gwanda 📸
Follow ukurasa wetu wa Instagram
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz
1 307
𝕰𝖎𝖉 𝕸𝖚𝖇𝖆𝖗𝖆𝖐
Tunawatakia watu wetu wote wenye imani ya dini ya Kiislamu sikukuu njema ya Eid Al-Fitr ikawe yenye furaha na amani. Mwenyezi Mungu akumiminie baraka, rehema na mafanikio juu yako na familia yako, na Yale uliyoyaomba katika kipindi chote cha mfungo ukayapate kweli. 🤲🤲🤲👏👏👏
#EidAlFitr2024
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz