E-PLUS MEDIA
Ir al canal en Telegram
1 307
Suscriptores
+124 horas
-27 días
-1330 días
Archivo de publicaciones
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
Msiba mzito kwa Familia ya Professor J.Mdee‼️
Pumzika kwa Amani Mwalimu (Mama Halima James Mdee) R.I.P
1 307
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya WI ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili (2) siku ya tarehe 30 Julai 2024
Taarifa za awali zinaonesha kuwa hitilafu aina hiyo husababishwa na wanyama (ngedere) au ndege (bundi) wanapogusa nyaya za umeme zilizotandazwa juu ya reli (overhead catenary system).
Aidhaa, hitilafu ilisababisha umeme kukatika kituo cha kupoozea umeme namba 7 (Godegode) na mafundi wa TRC walifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kurejesha umeme saa 6:30 usiku na treni kuendelea na safari kuelekea Dodoma ambapo iliwasili mkoani humo saa 7:57 usiku.
1 307
+2
Usiku wa kuamkia leo ilitokea ajali maeneo ya Mlima Kitonga ikihusisha basi la kampuni ya Newforce na gari ndogo.
Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya.
Ajali zinamaliza sana watu
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
1 307
MAKALA HURU:-MIPANGO (4) YA SHETANI kutawala Dunia/ UJIO WA MPINGA KRISTO/ MASIH DAJJAL.
1 307
"Habari zenu Watanzania, ni mimi hapa ndugu yenu Snura Mushi "Snura" nimekuja mbele yenu kuwaambia jambo. Mimi nimeamua kubadilika kutoka kwenye mambo ya kidunia, kuvaa nusu utupu na sasa nimemgeukia Allah nimetulia na familia yangu"
"Pamoja na kufanya mabadiliko haya lakini bado najua picha zangu nyingi ambazo ziko mtandaoni ni mbaya haziendani na maisha ninayoishi sasa hivi nyingi ni nusu utupu sana nilipiga kipindi hicho kabla sijaamua kubadilika. Nawaomba sana ikitokea nimekufa leo msiniposti na hizo picha kuniomboleza🤲"
"Nawaomba! Nawaomba msiposti hizo picha kwasababu mimi sasa hivi nina watoto, sasa mkiposti hizo picha watoto wangu wakiziona watakuwa na misiba miwili, msiba wa kumpoteza mama yao na msiba wa kudhalilishwa mama yao, hata kama mtaguswa kuja kunizika naomba msije mkiwa mmevaa nusu utupu, sitakiii sitakii na sitakiiii"- Snura (Snura Majanga), aliyekuwa Mwigizaji wa filamu na Msanii wa muziki Tanzania.
Toa
1 307
+6
KUTOKA MITANDAONI
Zaidi follow ukurasa wetu wa instagram hapa kwenye link👇👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk
1 307
+1
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
+9
KUTOKA MITANDAONI
Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link
https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK
