ch
Feedback
WAFALME

WAFALME

前往频道在 Telegram

Tunahamasisha Afya na Ustawi wa Wanaume, Maisha ya Utakatifu, Utambuzi, Uhuru, Uchaguzi na Maamuzi kuwa na tija na thamani ya kifalme, Twitter;https://x.com/MfalmewaX?t=OLOAYq7BPedSghp WhatsApp only +255 628 908 000 Telegram; https://t.me/ommyfitness

显示更多
6 929
订阅者
-824 小时
-557 天
-23230 天

数据加载中...

标签云
无数据
有任何问题?请刷新页面或联系我们的客服
进出提及
---
---
---
---
---
---
吸引订阅者
九月 '26
九月 '26
+4
在0个频道中
八月 '26
+32
在0个频道中
Get PRO
七月 '26
+29
在0个频道中
Get PRO
六月 '26
+21
在0个频道中
Get PRO
五月 '26
+18
在0个频道中
Get PRO
四月 '26
+24
在1个频道中
Get PRO
三月 '26
+39
在0个频道中
Get PRO
二月 '26
+27
在0个频道中
Get PRO
一月 '26
+44
在0个频道中
Get PRO
十二月 '25
+40
在0个频道中
Get PRO
十一月 '25
+40
在0个频道中
Get PRO
十月 '25
+9
在2个频道中
Get PRO
九月 '25
+14
在2个频道中
Get PRO
八月 '25
+6
在2个频道中
Get PRO
七月 '25
+51
在0个频道中
Get PRO
六月 '25
+5
在0个频道中
Get PRO
五月 '25
+9
在0个频道中
Get PRO
四月 '25
+19
在0个频道中
Get PRO
三月 '25
+37
在2个频道中
Get PRO
二月 '25
+26
在0个频道中
Get PRO
一月 '25
+9
在0个频道中
Get PRO
十二月 '24
+174
在0个频道中
Get PRO
十一月 '24
+390
在0个频道中
Get PRO
十月 '24
+316
在3个频道中
Get PRO
九月 '24
+394
在0个频道中
Get PRO
八月 '24
+1 499
在2个频道中
Get PRO
七月 '24
+727
在2个频道中
Get PRO
六月 '24
+433
在3个频道中
Get PRO
五月 '24
+511
在2个频道中
Get PRO
四月 '24
+963
在2个频道中
Get PRO
三月 '24
+1 054
在2个频道中
Get PRO
二月 '24
+521
在1个频道中
Get PRO
一月 '24
+393
在0个频道中
Get PRO
十二月 '23
+440
在0个频道中
Get PRO
十一月 '23
+267
在0个频道中
Get PRO
十月 '23
+414
在0个频道中
Get PRO
九月 '23
+3 079
在0个频道中
日期
订阅者增长
提及
频道
07 九月0
06 九月+1
05 九月+1
04 九月0
03 九月0
02 九月0
01 九月+2
频道帖子

2
Insulin resistance ni chanzo cha ishu nyingi ikiwemo kisukari, presha, cholesterol kuzidi, magonjwa ya moyo, figo kufeli n.k
Insulin resistance ni chanzo cha ishu nyingi ikiwemo kisukari, presha, cholesterol kuzidi, magonjwa ya moyo, figo kufeli n.k Insulin resistance husababishwa na ulaji mwingiwa wanga, sukari, ngano, kula mara kwa mara, kula muda mbaya n.k Insulin resistance haina dalili wala maumivu yeyote ila dalili ya kwanza kubwa no kitambi. Mtu mwenye insulin resistance Inamchukua miaka 5-10 kupata kisukari. So kitambi sio ishara ya maisha mazuri ila ni bomu la sekunde kulipuka. Kuelekea mwezi wa 12 (December) mwezi wa sikukuu kuna program ya kupungua uzito na kujenga mwili nimeandaa kwa ajili yako. Bado miezi 6 tu kufika Christmas na Mwaka mpya, miezi hii inatosha kukufanya usherekee na familia & marafiki ukiwa na mwili mpya kabisa, anza sasa. Kama Unahitaji kusimama na kuongozwa Kwenye safari hiyo kwa diet au mazoezi nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800, nitakupa muongozo. Kujiunga na channel yangu, https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l #ommyfitness #trainerwataifa
1 567
3
Asilimia 80 ya kolesteroli yako hutengenezwa na ini. Kwa hiyo, kulingana na nadharia ya kolesteroli na ugonjwa wa moyo, je, i
Asilimia 80 ya kolesteroli yako hutengenezwa na ini. Kwa hiyo, kulingana na nadharia ya kolesteroli na ugonjwa wa moyo, je, ini lako linajaribu kukuua? Ini lako hutengeneza asilimia 80 ya kolesteroli kwa makusudi kwa sababu mwili wako unaihitaji kuendelea kuishi. Homoni. Utendaji wa ubongo. Ukarabati wa seli. Vitamini D. Kupunguza inflammation. Vyote hivi vinahitaji kolesteroli. Pia, kadiri unavyozeeka, ni kawaida kiwango cha kolesteroli kuongezeka kwa sababu ini lako linajaribu kufidia kwa kuzalisha homoni zaidi, hasa homoni za sex. Wazo kwamba ini lako mwenyewe ndilo tishio kubwa zaidi kwa afya ya moyo na mishipa yako ni mojawapo ya imani potofu zilizoingiza faida kubwa zaidi kuwahi kutokea. Dawa za statin zipo ili kurekebisha tatizo ambalo mwili wako haulitambui. Mtumie yeyote anayeamini cholesterol ni mbaya Kujiunga na program zangu nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800 Kama unaamini afya yako ni utajiri wako wa kwanza, jiunge nasi https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l
1 397
4
Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale unapokuwa Mwanaume dhaifu. Kadri unavyopunguza makali yako
Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale unapokuwa Mwanaume dhaifu. Kadri unavyopunguza makali yako ili mwanamke akupende huanza kukuchukulia wa kawaida na heshima yako hupungua. Huanza kujihisi anamudu masculinity chaos hivyo atapambana muachane na anajua Dunia na mahakama zitamsaidia. Hii ni Moja ya familia ambayo ilikuwa na Dad na sio Father. Huyu mwanamke amewachukua watoto wake wamsaidie kumpata Mwanaume atakayelipa Bill zake. Kila kitu kimepangwa kama mnavyoona. Sikia wanawake hawawezi kulea mtoto pekee yao ila udhaifu wa wanaume wa sasa umefanya wavae masculinity role. Na kumbuka pia, single mothers hawahitaji upendo wala mapenzi yako, wanachohitaji ni msaada wako na kamwe usitarajie atakupenda kama anavyowapenda watoto wake. Follow for more @mfalmewax
1 529
5
+2
没有文字...
1 371
6
Dear wafalme, Wanawake hawana huruma kabisa kwa wanaume laini, nice guys "Sikuwahi kumpenda" "Sikuwahi kumuomba zawadi wala gari" "Niko na yuleyule mwanaume aliyempiga kwa kunitongoza. Lol" "Tutaonana mahakamani, Bwana Nice Guy" Ninaposema Mwanaume imara sio Kimwili Bali kuhisia na ukomavu wa kiakili pia - sikia, unaweza kuwa mbavu na bado ukawa mpumbavu. Najua misuli ni ishara namba moja ya Mwanaume anayejiheshimu lakini Kuna soy boys wameingia gym wamejaza miili ila akili zao ziko empty. Huyu jamaa anaitwa Larry Wheels. Ni bodybuilder, jina lake la utani hujiita "strongman" Ameachwa na Mke wake, Influencer wa mazoezi Šejla Đakovac, na Larry bado alivyokuwa-simp, alisema ataendelea kugharamia maisha ya Šejla pamoja na kuitunza gari (Bentley) aliyomnulia. Larry ni mtu anayedhani misuli, zawadi, hela na kumnyenyekea Mwanamke ingemsaidia, fikra potofu badili hiyo, hata misuli yako iwe mikubwa kiasi gani kama utaendelea kuwa simp hakuna kitakachobadilika. Haijalishi una pesa kiasi gani au unajitoa kiasi gani, kama wewe ni simp, wanawake bado watakutumia na kukuacha. Masimp siku zote wanapoteza muda, pesa, heshima (Losers). Lesson; -Mwanamke anataka kuongozwa, sio usawa -Huwezi kumbadilisha Mwanamke asiyekupenda kwa zawadi -Pesa unazompa zinanunua uchi wake, uchi ambao mwingine anapewa Bure -Kugombana na Mwanaume mwingine kwa sababu ya mwanamke asiyekutaka ni ushamba -Hakuna kitu utafanya ili mwanamke akupende, kama asipokupenda mwenyewe -Wanawake hawana huruma juu ya wanaume dhaifu -Wanawake hawajali kuhusu sadaka wala unavyojitoa kwao Focus na michongo yako, Mwanamke anayekutaka atakufanyia wepesi kwenye kila kitu ili kumpata, sometimes anaweza kukutongoza mwenyewe kwa sababu upendo una nguvu hivyo kamwe usimuone Malaya. Jiunge nasi kwenye group la wafalme Leo, https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d #mfalme #mfalmewax
1 306
7
Kama AI angepata kansa, angefanya hivi! Hakikisha unafanya mazoezi hasa kunyanyua vitu vizito, unafunga, unakula vizuri, unat
Kama AI angepata kansa, angefanya hivi! Hakikisha unafanya mazoezi hasa kunyanyua vitu vizito, unafunga, unakula vizuri, unatembea, unapata mwanga wa jua, kulala & kunywa maji vizuri. Pia kumbuka, usichoweza kula hakikisha hukupati kwenye ngozi yako. We are moving.
1 489
8
https://youtu.be/UFqLmJ1zV9U?si=FeJnmWY5JtbbHdKJ
1 363
9
Follow for more @mfalmewax #mfalme #mfalmewax https://www.instagram.com/p/DXgBN6TCAvC/?igsh=cjliOGU4cWc4eDhj
1 608
10
Nimekuja kugundua wengi wana homa. Tumia hii; Kitunguu saumu + Tangawizi + Limao + Asali husaidia kutibu: 🌿Kifua kikuu 🌿Maf
Nimekuja kugundua wengi wana homa. Tumia hii; Kitunguu saumu + Tangawizi + Limao + Asali husaidia kutibu: 🌿Kifua kikuu 🌿Mafua na homa 🌿Kinga ya mwili iliyo dhaifu 🌿Maumivu ya viungo (arthritis) 🌿Nimonia 🌿Maumivu ya koo 🌿Homa 🌿Kikohozi 🌿Cholesterol ya juu Chukua kiasi sawa cha kitunguu saumu na tangawizi. Visage pamoja na juisi ya limao, asali, na maji kidogo. Kisha chuja ili kupata majimaji yake. Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku. Asili Inatibu.
1 556
11
没有文字...
1 316
12
Wanaume, uwezo wako kitandani unategemea kwa asilimia 80 kile unachokula kila siku - hakuna miujiza. Wanaume wengi wanakula matakataka na vyakula vya ovyo, halafu wanatarajia kuwa na nguvu za farasi dume kitandani - hiyo haiwezekani. Tilia mkazo vyakula hivi 7 na utakuwa na nguvu zaidi kitandani (Hifadhi huu ujumbe). 1. Mayai Mayai ni moja ya vyakula vyenye nguvu sana. Yamejaa protinina mafuta mazuri yanayosaidia uzalishaji wa homoni. Pia yana cholesterol, ambayo husaidia kutengeneza testosterone. Ikiwa homoni zako ziko chini, kula Mayai mwanangu. 2. Spinachi Spinachi ina magnesiamu kwa wingi, madini ambayo wanaume wengi wanakosa. Magnesiamu husaidia kulegeza mishipa ya damu na kuboresha mzunguko wa damu, jambo muhimu kabisa kutafuta heshima - Unahitaji damu ya kutosha mahali husika. 3. Samaki aina ya sangara & dagaa Wana mafuta ya omega-3 ambayo husaidia afya ya moyo na kupunguza inflammation mwilini. Moyo wako unasimamia mzunguko wa damu, na mzunguko huo unaamua jinsi mwili wako unavyofanya kazi. Kama damu haisafiri vizuri, hakuna kinachofanya kazi ipasavyo ikiwemo uume wako. 4. Mbegu za maboga Mbegu za maboga zina zinki kwa wingi, ambayo ni madini muhimu sana kwa wanaume. Zinki ina jukumu kubwa katika kusawazisha homoni na afya ya uzazi. Zinki kidogo = testosterone kidogo. 5. Ndizi Ndizi zina potasiamu nyingi, inayosaidia ishara za neva na utendaji wa misuli. Pia husaidia kudumisha nguvu na kuzuia uchovu. Kama nguvu zako zinashuka haraka, utendaji wako pia utashuka. 6. Kitunguu saumu Napenda kumeza kila siku - Kitunguu saumu kina viambato vinavyosaidia kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza mafuta yanayoziba mishipa. 7. Parachichi Parachichi lina mafuta mazuri na vitamini E, ambavyo husaidia afya ya homoni. Kupata Mpangilio wa chakula, program zangu za kupungua, kuondoa kitambi na kupona magonjwa sugu nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800 We Are Moving. #ommyfitness #trainerwataifa https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l
1 274
13
On point
On point
1 331
14
Habari yako mkuu lakni samahani piah!!nipo na umri wa miaka 23 natafuta kazi nipo kigambon dar es Salaam kama unaweza nisaidie kwa kupost ii memo kwa channel yako kak!! 0753832512
1 756
15
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
1 774
16
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
1 709
17
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d
1 476
18
PROGRAM YA WAFALME - RATIBA YA WIKI 1. Amka 4am 2. Kaa kwenye kona na be grateful kwa kuamka 3. Kunywa glass ya maji yenye chumvi kidogo 4. Piga push-ups 50, Squats 50 na crunches 50 5. Fanya mazoezi ya kegel kwa dakika 15 6. Piga mswaki kwa mkono wa kushoto, usitumie dawa zenye fluoride 7. Oga maji ya baridi, usitumie sabuni zenye kemikali nyingi 8. Achana na mlo wa asubuhi hupati kitu zaidi ya ngano na sukari 9. Kula aina moja ya protini kila siku aidha nyama, samaki au mayai 10. Usiangalie taarifa ya habari wiki hii 11. Soma makala za afya - Usitumie Google 12. Panda ngazi sio lift, tembea hatua 6k kila siku 13. Usile baada ya saa mbili usiku 14. Meza vitunguu swaumu punje 3 na maji ya kawaida au vuguvugu 15. Lala mapema, epuka scrolling distractions. Ikawe wiki njema kwako na familia
1 841
19
Kula chumvi
Kula chumvi
2 326
20
Nimetumia Siku nyingine ya Wapendanao nikiwa nimevaa nepi kwa sababu ya njia za uzazi wa mpango. Leo inatimiza miaka 2 tangu
Nimetumia Siku nyingine ya Wapendanao nikiwa nimevaa nepi kwa sababu ya njia za uzazi wa mpango. Leo inatimiza miaka 2 tangu nianze kuvaa nepi kwa sababu ya sindano ya uzazi wa mpango ya miezi 2 niliyopata kliniki. Nilikuwa natokwa na damu nyingi sana kila siku kwa kiwango ambacho siwezi tena kutumia pedi, bali natumia pampers badala yake. Ndugu wanawake, ni bora kuzaa watoto 2 kila mwaka kuliko kutumia njia za uzazi wa mpango. Vitu hivi havikuundwa kutusaidia, bali kutudhuru. Tuache sote kutumia njia za uzazi wa mpango. Wanawake?? Usimlazimishe mkeo kuchoma hizi sindano. https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l
2 653