ch
Feedback

不要被骗子欺骗!Telemetrio 会找到并标记这些频道 👉 如果想查看标记,请订阅 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
Kwa mujibu wa waalikwa waliofika kwenye usiku wa Hajji Manara na Zaiylisa, wanasema Lulu Diva ndiye aliyependeza zaidi kwenye
Kwa mujibu wa waalikwa waliofika kwenye usiku wa Hajji Manara na Zaiylisa, wanasema Lulu Diva ndiye aliyependeza zaidi kwenye usiku huo kuliko wenzie.

"Ila naomba niseme Diva ni King'ang'a pro max kamzidi hata Zuchu, eti linaandika kabisa hadharani mume wake anamchuna mwanamk
"Ila naomba niseme Diva ni King'ang'a pro max kamzidi hata Zuchu, eti linaandika kabisa hadharani mume wake anamchuna mwanamke mwingine anampelekea yeye, so anakubali mume wake ni mdangaji??? Haki nimeshindwa kushangaa. Alafu sijui why Diva anajiona yeye ndio anapendwa na huyo mganga, hivi Diva anajua maana ya kupendwa? Diva anatumika na huyo mganga kama Fatma (Mke mdogo) anavyotumika" "Unajiona unapendwa? Diva anachokupendea huyo mganga ni vile una stable income na fame that's it. Eti mimi Abdul simuhudumii, nyoo*** sio wewe mlipa bili za hospitali? Halali na kula kwako bure? wote wewe na Fatma mnamhudumia, na vile siku hizi hana wateja tena ndio anawategemea kwa kila kitu. Na Fatma akiacha ngazi anaingia Lamata hizo nakupa za ndani"- Mange Kimambi

SINA MAZOEA NA MTOTO WA HAMISSA MOBETTO KWASABABU SIKUWAHI KUWA NA UKARIBU NA MAMA YAKE; LULU Mwigizaji Staa wa Bongomovie nc
SINA MAZOEA NA MTOTO WA HAMISSA MOBETTO KWASABABU SIKUWAHI KUWA NA UKARIBU NA MAMA YAKE; LULU Mwigizaji Staa wa Bongomovie nchini Elizabeth Michael "Lulu" amesema ni kweli anatambua kama Hamissa Mobetto amezaa na mume wake Majizzo lakini hana mazoea na mtoto wa Hamissa Mobetto na ameweka mipaka kwasababu hata kabla ya kuolewa na Majizzo hakuwahi kuwa rafiki wa Hamissa ingawa wakikutana wanasalimiana. Lulu amesema kukaa mbali na Hamissa siyo kwamba anaogopa kumuweka karibu na Majizzo wasije wakazaa mtoto wa pili wala haogopi endapo watarudiana kwasababu hiyo inakuwa ni mipango ya Mungu ambayo alishaipanga tangu zamani na lazima itimie, anafanya hivo kwasababu hawana urafiki wowote. Hamissa Mobetto amewahi kuwa kwenye mahusiano na Majizzo miaka kadhaa ya nyuma na walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike, lakini baadae inaaminika kuwa Lulu alienda kumkwapua Majizzo na ndiyo chanzo cha penzi la Mobetto na Majizzo kuvunjika

Wakati watu wako bize kufatilia ya Manara na Dulla Makabila, Esha Buheti na mumewe wao wapo kwenye dunia yao ya mahaba.
Wakati watu wako bize kufatilia ya Manara na Dulla Makabila, Esha Buheti na mumewe wao wapo kwenye dunia yao ya mahaba.

"Mimi napenda sana kunywa pombe kuliko kula chakula, yani kwenye wanywaji mimi ni mnywaji mkubwa, asubuhi tu nakunywa bia 30.
"Mimi napenda sana kunywa pombe kuliko kula chakula, yani kwenye wanywaji mimi ni mnywaji mkubwa, asubuhi tu nakunywa bia 30. Pombe nimezianza nikiwa tumboni kwa mama yangu alikuwa anakunywa na mimi zinanifikia tumboni"- Piere Likwidi

"Zai wangu nikwambie kitu? hizi ni Trela tu, Inshaallah utaishi kuliko Malkia bbie, ni furaha kwenda mbele. Waja naombeni na
"Zai wangu nikwambie kitu? hizi ni Trela tu, Inshaallah utaishi kuliko Malkia bbie, ni furaha kwenda mbele. Waja naombeni na nyie ushauri kidogo, nifanye harusi kubwa (Royal Wedding) kama event ya juzi au nioe kimyakimya kuepusha hasadi?"- Hajji Manara

MIMI NA MKE WANGU TUMEZAA WATOTO SABA WOTE WAMEKUFA; ANDREW "Tulishangaa tu imeanza tukapata mtoto wa kwanza akafikisha kama miezi mitatu akaondoka, tukapata wa pili akafikisha wiki mbili akaondoka, tukapata wa tatu akafikisha wiki moja akaondoka, hata wa tano alifikisha miezi minne akaondoka, tukapata wa sita ambaye nae alitimiza miezi miwili baadae nae akaondoka, tukapata wa saba ambaye yeye alituacha akiwa na miezi nane, yani tulikuwa tunacheza nae ni mtu kabisa anasikia lakini pia alituacha akiwa na miezi nane" "Watoto wote walikuwa wa kiume na nilikuwa na zaa na mwanamke mmoja ambaye ndiye mke wangu wa ndoa na ndiye tuliyepata haya matatizo tukiwa pamoja. Kwa kawaida kwa mtu yoyote unapopatwa na matatizo hasa suala la kufiwa cha kwanza kuna mambo mengi unawaza na wanadamu tunamuamini Mungu lakini kuna wakati akili yetu inafikia kikomo unawaza hili na lile ujue shida ni nini, lakini kama watumishi wa Mungu tulijaribu kumuuliza Mungu kwamba kuna nini lakini kuna wakati mwingine unaweza ukamuuliza Mungu lakini akanyamaza" "Tuliendelea kuwa wavumilivu na watulivu baadae tulipata kujua kwamba zilikuwa ni vita za rohoni. Tunashukuru Mungu tumepata mtoto mwingine wa nane ambaye tuliongea na Mungu na Mungu akasema huyo mtoto lazima ataishi ambapo kwa sasa ana mwaka mmoja na miezi minne na tunamshukuru Mungu hata yeye ni wa kiume kama walivyokuwa watoto wetu wengine waliotangulia mbele za haki"- Mch. Andrew Kihwelo "

photo content

HAJJI MANARA NI MCHAWI WA KUPINDUKIA, DULLAH MAKABILA AKIENDA KWA MGANGA KUMROGA ASIMUOE ZAIYLISSA MGANGA HAMUONI KWENYE KIOO; MKALIWENU "Kwenye hili sakata la Dullah nimejifunza katika maisha wakati tunaoa tuangalie ni mwanamke wa aina gani unaoa, bora uoe mwanamke mfupi ukioa mrefu ni tatizo. Dulla alimuoa Zaiylissa kwasababu alimpenda kutoka moyoni lakini mimi sikujua kumbe wakati wapo kwenye ndoa Zaiylissa alikuwa anamdangia Dulla Makabila, Dulla aliwahi kuniambia kuwa alikuwa hapewi penzi mpaka ampe Zaiylissa hela" "Alikuwa anameza pituu ili asibebe mimba, Dulla aliniambia alikuwa anampa laki nane lakini laki saba anatumia kununua pitu anabaki na laki moja, ndio maana anakuwa mrefu kwasababu mwanamke anayetumia sana pitu lazima arefuke alafu unakuwa kama haupo sawa. Dulla anasema ndani ya wiki tatu alikuwa anapewa penzi mara mbili maana kila akimwambia wafanye alikuwa anamwambia una laki nane? Kama hauna niache" "Lakini kingine nilichogundua ni kwamba umasikini unafanya mtu akikupa pesa ndiyo unajua unapendwa, Zaiylissa kwao ni masikini kama sisi tu kwahiyo yeye ndio anataka aiinue familia yao kwa njia anayoijua yeye, na Dulla mpaka kesho anampenda sana Zaiylissa, amejaribu kwenda kwa waganga kuzuia hiyo ndoa usifungwe lakini amekuta Manara ni kisiki, ni mchawi wa kupindukia, akienda kwa waganga hawamuoni Manara kwenye kioo wanaona giza tu" "Dulla kila akiwaelezea waganga kuhusu Hajji Manara wanasema hawamjui, Manara sio wa Mchezo amesimikwa vitu yupo ngangali, anajiamini kwasababu anajijua, Dulla na uchawi wake wote lakini pale amegonga mwamba"- Mkaliwenu

photo content

"Kuhusu kuolewa mimi sina haraka mpaka Mungu atakaponijaalia maana yeye ndiye anapanga akiniletea mume nitaolewa. Kuhusu umri
"Kuhusu kuolewa mimi sina haraka mpaka Mungu atakaponijaalia maana yeye ndiye anapanga akiniletea mume nitaolewa. Kuhusu umri kuyoyoma hakuna mtu ambaye umri wake unasimama, umri lazima uende"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

"Tangu nimuoe Diva mambo yangu yameharibika sana, sipati kazi tena kama zamani, zamani nilikuwa naitwa kikazi nchi za Dubai n
"Tangu nimuoe Diva mambo yangu yameharibika sana, sipati kazi tena kama zamani, zamani nilikuwa naitwa kikazi nchi za Dubai na nyingine nyingi lakini baada ya kumuoa huyu mwanamke ameniharibia kazi zangu, watu wengi wameacha kuniamini wanasema kama ndoa yangu inanishinda ya kwao nitayaweza vipi? Na hii inatokana na tabia yake ya kuanika mambo yangu pindi tunapogombana"- Sheikh Abdulrazak alipokuwa akimuomba msamaha Mke wake mdogo Fatma Muzo amsamehe. Toa maoni yako

Orodha ya Waigizaji wa filamu wenye utajiri mkubwa Duniani. 1. Jerry Seinfeld 🇺🇲 (USA) : Dola Bilioni moja 2. Tyler Perry �
Orodha ya Waigizaji wa filamu wenye utajiri mkubwa Duniani. 1. Jerry Seinfeld 🇺🇲 (USA) : Dola Bilioni moja 2. Tyler Perry 🇺🇲 (USA) : Dola Bilioni moja 3. Dwayne Johnson (The Rock) 🇺🇲 (USA) : Dola milioni 800. 4. Shah Rukh Khan 🇮🇳 (India) : Dola milioni 770. 5. Tom Cruise 🇺🇲 (USA) : Dola milioni 620. 6. Jackie Chan 🇭🇰 Hong Kong (China) : Dola milioni 520. 7. George Clooney 🇺🇲 (USA) : Dola milioni 500. 8. Robert De Niro 🇺🇲 (USA) : Dola milioni 500.

photo content
+1

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+9
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Mmiliki wa Redio Mjini FM, Sallam SK (Meneja wa Diamond Platnumz na WCB) azungumza baada ya kituo cha Redio hiyo kuteketea kw
Mmiliki wa Redio Mjini FM, Sallam SK (Meneja wa Diamond Platnumz na WCB) azungumza baada ya kituo cha Redio hiyo kuteketea kwa moto siku kadhaa zilizopita.

Orodha ya Nchi kumi (10) kwa uzuri barani Afrika kwa mwaka 2023. 1. Mauritius 🇲🇺 2. Botswana 🇧🇼 3. Kenya 🇰🇪 4 .Ghana 🇬
Orodha ya Nchi kumi (10) kwa uzuri barani Afrika kwa mwaka 2023. 1. Mauritius 🇲🇺 2. Botswana 🇧🇼 3. Kenya 🇰🇪 4 .Ghana 🇬🇭 5. Senegal 🇸🇳 6 . Madagascar 🇲🇬 7 . Namibia 🇳🇦 8 . The Gambia 🇬🇲 9 . Zambia 🇿🇲 10. Liberia 🇱🇷 📸: Accra, Ghana 🇬🇭 Toa maoni yako

"Roma alikuwa anakuja kwangu ninapika maubwabwa, mayai na manyama anakula analala, lakini muda wote yeye ana hasira tu, watu
"Roma alikuwa anakuja kwangu ninapika maubwabwa, mayai na manyama anakula analala, lakini muda wote yeye ana hasira tu, watu wanakula wanapiga story lakini yeye anakula kwa hasira....watu tunaangalia movie tunafurahi tunacheka lakini yeye yupo serious tu ana hasira" - Chid Benz, Msanii wa muziki wa Hip-hop Tanzania. Toa maoni yako

Unaambiwa hiyo gauni aliyovaa Zaiylissa thamani yake ni milioni 400 za Kitanzania, hiyo ni kwa mujibu wa Hajji Manara.
Unaambiwa hiyo gauni aliyovaa Zaiylissa thamani yake ni milioni 400 za Kitanzania, hiyo ni kwa mujibu wa Hajji Manara.

⚠️😳 Callisah na muonekano wa busu kwenye shughuli ya birthday ya Manara na na kuvishana pete na Zaiylisa
⚠️😳 Callisah na muonekano wa busu kwenye shughuli ya birthday ya Manara na na kuvishana pete na Zaiylisa