ch
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
😃😃😃 KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link htt
😃😃😃 KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

photo content

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Haya Mashangazi mnaolialia kwenye mapenzi naomba iwe mwanzo na mwisho, tafuta hela, kula bata penda familia yako penda wanao
"Haya Mashangazi mnaolialia kwenye mapenzi naomba iwe mwanzo na mwisho, tafuta hela, kula bata penda familia yako penda wanao kama umejaaliwa acha kulialia, ila pia usikae kizembe. Mashangazi hapa tumeelewana!! au nifunguke zaidi?"- Jackline Wolper, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni

Chukua hii Kwa sasa mtandao wa Facebook imekuwa ya ajabu sana yani huwezi kuingia facebook mbele ya Watoto wako au kumpa simu
Chukua hii Kwa sasa mtandao wa Facebook imekuwa ya ajabu sana yani huwezi kuingia facebook mbele ya Watoto wako au kumpa simu Mtoto wako ambaye ni mtundu mtundu wa kuingia mtandaoni kwa kuhofia kukutana na picha za ngono. Kwanza, dhibiti akaunti yako ili "usitagiwe" na Watumiaji wa akaunti zenye "kuposti" picha zisizofaa maana "ukitagiwa" yataa kwenye akaunti yako na Watu wanaokuheshimu au kukufahamu watakuona Kama kituko, Pili, epuka kukubalia Watu urafiki ambao huwafahamu, na tatu waelekeze marafiki zako namna ya kudhibiti akaunti zao ili na wao "wasitagiwe"

Utata Umeibuka Baada ya Comedian "Mzee wa Mjegeje" Kufariki. Ni Mvutano Baina ya Waigizaji na Ndugu, Waigizaji Wanadai Kwamba
Utata Umeibuka Baada ya Comedian "Mzee wa Mjegeje" Kufariki. Ni Mvutano Baina ya Waigizaji na Ndugu, Waigizaji Wanadai Kwamba "Mzee Wa Mjegeje" Kabla ya Kufariki Alisema Kwenye Msiba Wake Hataki Ndugu Zake Washiriki Kwasababu Walimsusa Alipokuwa Mgonjwa Kwaiyo Kama Ikitokea Atafariki Basi Azikwe na Waigizaji Wenzie Ambao Walikuwa Nayeye Bega Kwa Bega Kwenye Matibabu Yake.....😥🙌 Full story ipo kwenye instagram follow us " https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

MZEE WA MJEGEJE Msiba upo Sinza Vatkan ukifika ulizia Mawela Bar na ukifika hapo uliza kwa Vicky Kamata nyumba ya pili yake💔
MZEE WA MJEGEJE Msiba upo Sinza Vatkan ukifika ulizia Mawela Bar na ukifika hapo uliza kwa Vicky Kamata nyumba ya pili yake💔🕊

Umar almaarufu Mzee wa mjegeje afariki Dunia.,....hapo akiwa na mkojani Mzee huyu alipata umaarufu zaidi baada ya kupiga goma
Umar almaarufu Mzee wa mjegeje afariki Dunia.,....hapo akiwa na mkojani Mzee huyu alipata umaarufu zaidi baada ya kupiga goma kali na harmonize lijulikanalo kama "mwaka wangu"

photo content

#TANZIA:Msanii wa vichekesho, Umar Iahbedi Issa maarufu ‘Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Ru
#TANZIA:Msanii wa vichekesho, Umar Iahbedi Issa maarufu ‘Mzee wa Mjegeje’ amefariki dunia leo alfajiri katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia katibu mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Gerson Msigwa, leo im
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia katibu mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Gerson Msigwa, leo imetia saini ya Mkataba wa ujenzi wa uwanja utakaojengwa jijini Arusha kwa gharama ya Tsh Bilioni 286 Uwanja huo ambao utakuwa unaingiza watu 30,000 ni moja ya viwanja ambavyo vitatumika katika mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania ni wenyeji, kwa kushirikiana na Kenya na Uganda.

"Mpaka sasa mimi sina mpango wowote wa kufunga ndoa kwakweli nisiwe muongo, na siyo kuoana na Kusah tu sina mpango wa kuoana
"Mpaka sasa mimi sina mpango wowote wa kufunga ndoa kwakweli nisiwe muongo, na siyo kuoana na Kusah tu sina mpango wa kuoana na mtu yeyote mimi mpango wangu ni kuishi hivihivi nilee watoto wangu Mungu akinisaidia niwaone wajukuu basi. Huko nyuma nimewahi kuolewa mara mbili lakini niliondoka na sababu kubwa ya kuondoka ilikuwa ni vipigo kwahiyo sioni umuhimu wa kurudi kwenye ndoa" "Kwa sasa pia sina mpango wa kuongeza mtoto wa tatu, hawa wawili wanatosha na uzuri Mungu kanipa wa kike na wa kiume kwahiyo wananitosha kabisa"- Aunty Ezekiel, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni

Umemtambua nani..😀?
Umemtambua nani..😀?

NIMESHUKA KIUCHUMI KISA MWANAMKE. " Ni kweli kwa sasa nimeyumba kiuchumi tofauti na Zamani kabla sijaoa. Mwanamke anaweza kuw
NIMESHUKA KIUCHUMI KISA MWANAMKE. " Ni kweli kwa sasa nimeyumba kiuchumi tofauti na Zamani kabla sijaoa. Mwanamke anaweza kuwa chanzo maana matumizi yake ni makubwa sana. Japo pesa kutumia mwanamke siyo vibaya lakini imenirudisha nyuma kiuchumi" Mcpilipili Follow ukurasa ukurasa wetu wa Instagram 👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Zamaradi Mketema na wanawe
Zamaradi Mketema na wanawe

Bondia Karim Mandoga akijisonsomola na kitoweo cha samaki kwenye fukwe za Bahari ya Hindi.
Bondia Karim Mandoga akijisonsomola na kitoweo cha samaki kwenye fukwe za Bahari ya Hindi.

MADEE ATESWA NA NDOTO NZITO/ AOMBA KUPEWA MAANA YAKE ""Leo ni mara ya tatu naota navuka Barabara yenye magari mengi nayapo ka
MADEE ATESWA NA NDOTO NZITO/ AOMBA KUPEWA MAANA YAKE ""Leo ni mara ya tatu naota navuka Barabara yenye magari mengi nayapo kasi sana, cha ajabu hakuna hata moja linalonipigia honi, na hakuna hata moja linalonigusa, ila kabla sijamaliza kufika upande wa pili nashtuka!". "Wenye kujua, hii ndoto ina maana gani?" Ameandika Madee Kupitia Ukurasa wake wa Instagram.

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+2
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK