ch
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Paul Makonda ametimiza siku 100 tangu ateuliwe kushika wadhifa huo. Kati
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Paul Makonda ametimiza siku 100 tangu ateuliwe kushika wadhifa huo. Katika siku 100 kazini, Haya ndio kwa ufupi aliyofanya. Ametembea mikoa 23 ya Tanzania Bara, akisafiri umbali wa kilometa zaidi ya 11,000 na kufanya mikutano zaidi ya 200 huku akisikiliza na kutatua kero za wananchi zaidi ya 2000.

Boss ingia whats up
Boss ingia whats up

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+2
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Hata kwenu hapajui ushamzalia mtoto😂😂"- Raya wa Barnaba
"Hata kwenu hapajui ushamzalia mtoto😂😂"- Raya wa Barnaba

Japan inapanga kuzindua treni ya kisasa ya risasi ili kuwapeleka wasafiri angani, Mwezini Hadi Katika Sayari ya MARS. Hatua h
Japan inapanga kuzindua treni ya kisasa ya risasi ili kuwapeleka wasafiri angani, Mwezini Hadi Katika Sayari ya MARS. Hatua hii ya kimapinduzi ya watafiti nchini Japani pia itawaruhusu wasafiri kuhama kutoka sayari moja hadi nyingine. Mradi wa Hexagon Space Track System wa Chuo Kikuu cha Kyoto kwa ushirikiano na ujenzi wa Kajima hatimaye unageuza utalii wa anga kuwa ukweli. Zaidi ya hayo, wanasayansi wanapanga pia kuunda mazingira kama ya Dunia kwenye Mirihi bila kuharibu mazingira, ambapo watalii wataweza kuishi.

Moja ya visa alivyowahi kukutana navyo Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa nchini Uingereza kwa ajili ya masomo ni pale aliposhuhudia mlango ukifunguka wenyewe akisema alidhani ni wachawi wamemfuata. Katika kitabu chake ‘Mzee Rukhsa Safari ya Maisha Yangu’ ameeleza kuwa siku ya kwanza alipofika jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kuanza masomo yake na kufikia katika jengo la Afrika Mashariki (East Africa House) lililokuwa linamilikiwa kwa ubia na nchi za Kenya, Tanganyika, Uganda na Zanzibar alipata mshtuko wa kiutamaduni. "Usiku nikapata mshtuko wa kwanza wa kitamaduni. Nilihitaji kwenda haja usiku, nikaamka na kuelekea msalani. Nilipokaribia tu nikaona mlango unafunguka wenyewe. La haula! mambo gani haya? kwa mimi niliyeishi Bumbwini nikadhani wachawi wamenifuata," inaeleza sehemu ya kitabu chake. Anaeleza kuwa baada ya ‘kukabiliana’ na hofu ya mlango kufunguka wenyewe, kesho yake alielekea chuoni Newcastle, umbali wa kilometa 400 kutoka East Africa House. Kwake ilikuwa nafuu kuondoka kwenye jumba hilo na kuhamia Methodist International House, ili awe karibu na chuo cha Durham, alikokwenda kusoma.

photo content

Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mu
Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2. Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike. Mugabe akiwa na Miaka 72 akamuoa Grace mwenye Miaka 31. Mugabe alimzidi Grace miaka 41.

“Mwinyi ndiye aliyebaini uwezo wangu..Nilikuwa katibu wa CCM Masasi, pale Masasi ndipo aliponiteua kuwa Mbunge na Naibu Wazir
“Mwinyi ndiye aliyebaini uwezo wangu..Nilikuwa katibu wa CCM Masasi, pale Masasi ndipo aliponiteua kuwa Mbunge na Naibu Waziri. Baada ya pale safari yangu ya mpaka kufikia kwenye Urais ndipo Ilipoanzia, ilianzia Mikononi mwake. Nimefika hapa nilipofika sababu yake” Jakaya Kikwete

"Nikitaka kulia nakunywa maji mengi, lazima ninywe maji mengi nikiwa eneo la kuigiza (on set), mimi huwa nalia katika uhalisi
"Nikitaka kulia nakunywa maji mengi, lazima ninywe maji mengi nikiwa eneo la kuigiza (on set), mimi huwa nalia katika uhalisia, sipendi kuongezewa machozi tukiwa tunaigiza, nakunywa maji ya kutosha' - Godliver Gordian, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni

Hii picha inaeleza mambo mengi sana
Hii picha inaeleza mambo mengi sana

Inauma sana mtoto kuondokewa na mzazi
Inauma sana mtoto kuondokewa na mzazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akishindwa kujizuia kwa huzuni wakati wa shughul
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akishindwa kujizuia kwa huzuni wakati wa shughuli za kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar Machi 02, 2024. #ripmwinyi #MtanzaniaDigital

HAYATI MZEE MWINYI AZIKWA VISIWA VYA UNGUJA..
+2
HAYATI MZEE MWINYI AZIKWA VISIWA VYA UNGUJA..

Tutakukumbua Daima Mzee Wetu Hayati Hussein Mwinyi🕊🕊
Tutakukumbua Daima Mzee Wetu Hayati Hussein Mwinyi🕊🕊

R.I.P
+2
R.I.P

Kumbe wanaweza kuvaa kiheshima
Kumbe wanaweza kuvaa kiheshima

#Picha: Wajane wa Hayati Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Bibi Siti Mwinyi na Khadija Mwinyi wakiwasili kat
#Picha: Wajane wa Hayati Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Bibi Siti Mwinyi na Khadija Mwinyi wakiwasili katika Uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar mapema Machi 02, 2024. #MtanzaniaDigital

Umegundua nini hapa
Umegundua nini hapa

PUTIN=} Tuna silaha za kupiga mahali popote duniani Raisi wa Urusi Vladimir Putin ametoa onyo kwa nchi za magharibi ya kuwa U
PUTIN=} Tuna silaha za kupiga mahali popote duniani Raisi wa Urusi Vladimir Putin ametoa onyo kwa nchi za magharibi ya kuwa Urusi ina silaha ambazo zinaweza zikapiga mahali popote duniani. Putin aliyasema hayo siku ya jana kutokana na chi za magharibi kutaka kuipa silaha Ukraine kwa ajili ya kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi na maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kutoka Ukraine