1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
Pichani ni Peter Msechu akiwa na mke wake walipokuwa kwenye harusi ya mdogo wake Peter Msechu ambaye nae ni kibonge mwepesi.
1 307
Ukiacha Mrisho Mpoto, ni msanii gani mwingine anakukosha kwenye nyimbo za maombolezo?
1 307
Hivi ndivyo Walivyokuwa Diamondplatnumz na Zarithebosslady mwaka 1993
Toa maoni yako Hapa ✍️
1 307
WARAKA WA AMANI KUTOKA KWA WOLPER
-
"Mdogo wangu Ambae ujaingia kwenye Ndoa usiombe Mungu kupata Ndoa ,Omba Mungu kukupa Mume Bora Mwenye kukuheshimu Nakukuheshimisha,usiombe Tuu kuolewa hapana ombea Mume utakae Mpata asikuitie Aibu kila kukicha, pia ombea uzao wako kama umezaa Nae wanao wasiwe Natabia za uliyezaa Nae ili hao wanao ndio wakawe Faraja yako(🤰uzao ) ombea Tumbo lako..syo Memes Nakukumbusha Tuu..
.
.
lakini kama umeshaolewa Na yakakukuta Basi Marufuku kulia omba ku move one hapo hapo kwenye ndoa kuwa nandoa yako ya Njee ili usife kwa strees za Mtoto wa mtu uliyemkuta ukubwani na ndevu zake kikubwa heshima Tuu wakikutana wapigane mshindi Baki nae🥂🍾
.
.
cha Mwisho fanya haya kama una pesa 😂😂😂syo unasubiri Matumizj unakuwa na hasra hapana utaumia.. ..
Nakukumbusha kujipenda Nakupenda wanao ili uishi Muda mrefu Mwanaume asikufanye ufe ukaacha wanao haya Tulale 🤝
Min_wolpertz na Mitindojr 🌹🌹Roho zangu"- @wolperstylish
1 307
⚠️ Fatma Karume(54) awajibu wanaume waliomtolea maneno ya kebehi kumtaka atafute mume wa kumuoa
"Mnadhani NDOA ndio THAMANI ya mwanamke?, mnaelewa statistics(takwimu) za ndoa lakini?, wanaume wenye ndoa wanaishi zaidi kuliko wanaume wasio na ndoa. Lakini wanawake wenye ndoa wanaKUFA mapema kuliko wanawake walio SINGLE. Ndoa inaua mwanamke mapema!
"Sitaki kufa mapema mie, mtu anakwambia nilikuwa nakuheshimu mpaka pale ulivyosema or ulivyofanya kitu fulani. Swali: Kwa hivyo niache ili uendelee kuniheshimu? 😂😂 maana heshima yako ni muhimu sanaaaaa? Self delusional narcissistic nonsense. 😂😂😂"
Fatma pia amesema wanaume wanapenda kuwashusha thamani wanawake kwa kutumia gia ya ndoa
Msomi huyo aliyebobea katika taaluma ya sheria, miezi ya karibuni baada ya watu kumnanga kuwa hana ndoa alijibu kwa kusema yeye hana ndoa kwasababu alishindwa kuvumilia mume asiyejiheshimu wala kuiheshimu misingi ya ndoa
"Sina ndoa kwasababu nilichoka kuwa na mume anayerudi saa 10 alfajiri na anayezaa nje kama mbuzi. Mwanaume asiyejiheshimu hana maana yoyote. Mwache arudi kwa mama'ke amsaidie kulea watoto wake wa nje ya ndoa mie nilee wangu" - Amesema Fatma Karume(Shangazi)
"Ninaweka wazi kwasababu nne
1.Kuna wanawake wengi wanapitia mambo mengi wasidhani wako pekee yao
2.Kila experience ya mtu ina mafunzo
3.Sina chochote cha kuficha wala cha kuwa na aibu nacho
4.Sijawahi kumsaliti EX wangu, ni yeye ndiye anayo aibu hizo, aishi nalo"
Kisha alimalizia kwa kusema "Neno la mwisho, dini zote zinakataza ZINAA! , ukioa au kuolewa JISITIRI, wewe mdoa mwenzako na watoto wako, binadamu si MBUZI! , Kuchepuka si UDUME ni UPUMBAVU na USALITI wa ndoa, mdoa mwenza na watoto wako ukiwa mwanaume au mwanamke !"
1 307
Ulijiunga Facebook Mwaka Gani?
Taja Pia vitu ambayo umewahi kufaidika navyo Katika Mtandao huu wenye Idadi Kubwa ya watumiaji Duniani ??
1 307
Leo ni Kumbukumbu ya Siku ya Alice Erasto , Mgombea Urais wa kwanza wa kike wa Serikali ya Wanafunzi ya chuo kikuuu Cha Dar es salaam (UDSM) .
Pia ni Waziri Mstaafu wa mikopo, wizara ya katiba na Sheria Huku cheo Cha Sasa akiwa ni Mwenyekiti wa Mabinti Vyuo Vikuu UVCCM Dar es salaam.
Happy birthday 🎉🎉
