1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
1 307
FAHAMU JINSI YA KUGUNDUA KAMA ACCOUNT YAKO IPO HACKED
Facebook ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayo tumiwa na watu wengi sana!! Kutoka sehemu mbalimbali duniani kote
....
Lakin je wajua kuwa kuna uwezekano wa account yako ya facebook kuwa inatumiwa na mtu mwingine bila ww kujua ??
..
Je unafahamu njia rahisi ya kutambua kama account yako iko salama ?? (kwa maana ya kuwa haija dukuliwa?? #hacked)
..
Ni rahisi sana !! Fuata hatua zifuatazo ili uweze kujua kama account yako unaitumia wewe peke yako au lah!!
√ andikaaa hichi kitu chote @[*4:0] hapo chin kweny comments
√ baada ya hapo ifute hii alama *
√ hakikisha hauachi nafasi afu comment
Kama litatokea jina la mwanzilishi na mmiliki wa facebook ambaye ni Mark Zuckerberg basi tambua kuwa account yako ya facebook iko salama. Ila kama kitatokea kitu kingine tofauti na hilo jina ..itabidi uelewe kuwa hauitumii account yako peke yako
..
Bila kupoteza muda ..hebu jaribu
Usiache Kufollow ukurasa wetu wa Instagram 👇
https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2
1 307
Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto.
Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha mazingira.
1 307
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum Abdallah ambaye walisoma wote Shule ya Msingi na Sekondari na mume wake Inspekta Mstaafu wa Jeshi la Polisi Rashid Zam Ali pamoja na Binti yao na mjukuu alipotembelea majirani zake wa zamani mtaa wa Mombasa, Unguja Zanzibar, tarehe 15 Aprili, 2024.
1 307
Huyu ndiye msichana aliyekuwa akiendesha gari la Mchezaji Rainford Kalaba. Ni Charlene Mkandawire mke wa rafiki mkubwa wa Kalaba. Alidanganya kwa Mume wake ameenda kwa rafiki yake wa kike huko Lusaka kumbe ameenda Kafue kula bata na Rainford Kalaba.
Alifariki papo Hapo Katika ajali hiyo Huku Kalaba akiwa Bado mahututi akipigania Uhai wake
1 307
Mtangazaji nguli wa kituo cha matangazo cha Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner ambaye wengi walimfahamu kwa jina la ‘Captain’ ni mmoja wa watangazaji waliojizolea umaarufu na na kuoata idadi kubwa ya wafuasi kupitia Kipindi cha Jahazi.
Umauti umemkuta nyota huyo wa utangazaji alipokuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa tatizo la shinikizo la Damu (Pressure)
1 307
KUTOKA MITANDAONI
Follow ukurasa wetu wa Twitter👇
https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
Alikiba amechapisha kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya Simba kufungwa 2-1 na yanga
Una maoni Gani?
1 307
Umemtambua nani kwenye picha..😀😀
UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE KWENYE GROUP LA E PLUS MEDIA UWEZE KUTOA MAONI NA KUCHAT...KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE LINK👉https://t.me/EplusMediaTz
1 307
JIUNGE NA KUCHAT KWA KUPITIA KWENYE TELEGRAM CHANNEL GROUP HAPA KWENYE LINK..👇👇
https://t.me/EplusMediaTz