ch
Feedback
E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+4

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+1
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

" Nisipofanya mapenzi na nyoka huyu, kiufupi siwezi kuingiza chochote lakini pia natakiwa kukutana na mwanaume mara moja" Mme
" Nisipofanya mapenzi na nyoka huyu, kiufupi siwezi kuingiza chochote lakini pia natakiwa kukutana na mwanaume mara moja" Mmesikia huko, endeleeni kutamani Range Za watu😂😂😂😂 FULL VIDEO FOLLOW INSTAGRAM HAPA KWENYE LINK..👇👇 https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

#WAKATI #MWINGINE #KAA #KIMYA:- 1. Kaa kimya unapokuwa na hasira. 2. Kaa kimya unapokua huna uhakika wa unachokitetea. 3. Kaa
#WAKATI #MWINGINE #KAA #KIMYA:- 1. Kaa kimya unapokuwa na hasira. 2. Kaa kimya unapokua huna uhakika wa unachokitetea. 3. Kaa kimya unapokuwa hujathibitisha ukweli wa unachotaka kukisema. 4. Kaa kimya kama maneno yako yataleta maudhi. 5. Kaa kimya wakati ambao unapaswa kusikiliza. 6. Kaa kimya pale ambapo unataka kukejeli au kudhihaki mambo ya kweli. 7. Kaa kimya kama hilo suala halikuhusu. 8. Kaa kimya kama unaona utalazimika kusema uongo. 9. Kaa kimya kama unajua kuwa maneno yako yataharibu au kuumiza hadhi ya mtu. 10. Kaa kimya kama maneno yako yataharibu urafiki wenu. 11. Kaa kimya kama nia yako ni kupinga tu. 12. Kaa kimya kama maneno yako yatamuaibisha Mungu au familia yako. 13. Kaa kimya kama unajua kuwa unaweza kuyajutia maneno yako baadae. 14. Kaa kimya kama umeshazungumza tena na tena juu ya jambo hilo na hakuna kinachobadilika. 15. Kaa kimya kama unatakiwa kuwa bize na shughuli zako. #Mwenye #Masikio #Na #Asikie Akili Za kuambiwa +Na Zako #Kilahatuadua #UsikateTamaaPambana #KeshoYakoNiNzuri #ShareNaWenzakowajifunze

NENo moja hapa
NENo moja hapa

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+3
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+4
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

"Ndugu Zangu, Waandishi wa Habari mnaonitafuta na Mashabiki Kwa Ujumla Ningependa kuchukua nafasi hii kuweka baadhi ya mambo
"Ndugu Zangu, Waandishi wa Habari mnaonitafuta na Mashabiki Kwa Ujumla Ningependa kuchukua nafasi hii kuweka baadhi ya mambo sawa. 1.Najua mna maswali mengi kutokana na interviews nilizo fanya mwaka 2020 na nyingine mwaka wa 2022. Niseme tu maswali haya yote nitayajibu kikamilifu hivi punde na Ukweli utajulikana. 2.Watu wanao tumia jina langu au picha zangu kwenye online kueneza habari za upotofu na wengine kutukana: Jambo hili liko kisheria na nina Imani Hatua stahiki zitachukuliwa kwani wanasheria na Mamlaka husika wana taarifa zote. 3.Siku ya Kuongea ikifika ntaongea yote kuhusu Ndoa ili Ukweli julikane badala ya watu kueneza habari ambazo hawana undani wake. Naamini Ukweli siku zote humuweka mtu huru. Niwaombe uvumilivu swala hili linapo endelea kufanyiwa kazi " - Christina Shusho, Mwimbaji wa muziki wa Injili Tanzania. Toa maoni yako

"Msimamo wangu uko palepale mimi siwezi kuachwa na mume wangu! hawezi kuniacha na hataniacha kamwe! na uzuri huu nilionao ana
"Msimamo wangu uko palepale mimi siwezi kuachwa na mume wangu! hawezi kuniacha na hataniacha kamwe! na uzuri huu nilionao ananiacha anaenda wapi? kutafuta nini? Kama shepu ninalo, sura ninayo, mguu wa bia ninao, huko chumbani ndio kabisaaa ufundi umepata fundi" "Mtaishia kuniombea mabaya lakini mimi kuachika msahau kabisaaa wala mume wangu hawezi kuniolea mke wa pili, nimekamilika nina kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kutoka kwa mwanamke"- Mwanaheri Njaidi, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

"Sionibaya lolote anafanya vyema Sana pia na najivunia sana Kuwa na Mtoto Mpambanaji (Patrick Kanumba) kama yeye"- Hidaya Nja
"Sionibaya lolote anafanya vyema Sana pia na najivunia sana Kuwa na Mtoto Mpambanaji (Patrick Kanumba) kama yeye"- Hidaya Njaidi, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_me
+1
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU TU FOLLOW HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+3
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

Neno moja zuri hapa..😀