ch
Feedback

不要被骗子欺骗!Telemetrio 会找到并标记这些频道 👉 如果想查看标记,请订阅

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
Serikali ya Qatar, imesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas, yataanza kutekelezwa Ijumaa kuanzia maj
Serikali ya Qatar, imesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas, yataanza kutekelezwa Ijumaa kuanzia majira ya saa moja asubuhi. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar, ambaye ni mpatanishi mkuu kwenye makubaliano hayo, Majed al-Ansari amesema kundi la kwanza la mateka 13, litaachiliwa majira ya saa kumi za Alfajiri, na kuongeza kuwa tayari wamepokea orodha ya raia wanaotakiwa kuachiliwa.

"Wanawake wengi wa Kitanzania ni wachafu sana, unakutana na mwanamke barabarani kapendeza mpaka basi, ukienda nyumbani kwake
"Wanawake wengi wa Kitanzania ni wachafu sana, unakutana na mwanamke barabarani kapendeza mpaka basi, ukienda nyumbani kwake unakuta kunanuka kuko hovyo. Mimi najali sana usafi wa nyumbani kwangu, huwa naamka saa nane za usiku nafanya usafi wa nyumba"- Kungwi Mama Love

Lukaku Roger Menama ambaye ni Baba Mzazi wa Lukaku amesema kama Lukaku angemuomba ushauri kabla ya kujiunga na klabu ya AS Ro
Lukaku Roger Menama ambaye ni Baba Mzazi wa Lukaku amesema kama Lukaku angemuomba ushauri kabla ya kujiunga na klabu ya AS Roma ya Italia, basi angemuambia aende Nchini Saudia Arabia 🇸🇦 akachezee katika klabu ya Al Hilal. Baba huyo anaamini kuwa Lukaku huenda akawa Mshambuliaji bora Duniani siku moja. Toa maoni yako

"Kuna watu ukiwaona unaweza kudhani ni watu wa maana, na wanapendeza sana machoni, unaweza ukawakataa watu wema ukawachagua w
"Kuna watu ukiwaona unaweza kudhani ni watu wa maana, na wanapendeza sana machoni, unaweza ukawakataa watu wema ukawachagua wao kwasababu ya muonekano wao. Lakini Mungu akiamua kukuruhusu akuonyeshe kwenye ulimwengu wa roho ni watu wa namna gani moyo wako unaweza ukakinahi na ukaogopa watu kabisa"- Bahati Bukuku

⚠️😳 Waafrika wana tabia mbaya(utamaduni) ambayo huwa haizungumziwi, katika familia mtu akifanikiwa kipesa ndugu au karibia ukoo mzima wanaona pesa zako zinawahusu ni lazima uwasaidie, ikitokea ukachoka kuwasaidia wanaanza kuwa maadui zako na kukutishia .- John Obi Mikel(36) Mchezaji huyo aliyeichezea Nigeria na Chelsea katika mahojiano mapya na Rio Ferdinand, amesema tabia hii ya waafrika katika familia nyingi ni mbaya na ya kukemewa kwani inawaathiri hata wachezaji mpira wa kimataifa toka Africa na kujikuta wakiwa watumwa kwa ndugu na familia zao Africa, anasema mshahara anaoupata mchezaji unakuta anaanza kuutenga nimpe mwanafamilia huyu, yule na yule na mwishowe katika mgawanyo unakuta mchezaji mwenyewe anaishia kupata kidogo sababu ya kuwajali ndugu wa familia/ukoo wasio na shukrani Anasema mara nyingi ndugu/wana ukoo hukutafuta zaidi wakiwa na shida ya kipesa sio kukujulia hali kawaida, na ikitokea muda ukawaeleza kwasasa siko sawa wanakasirika hata kama unawasaidiaga mara kwa mara Anasema unakuta mchezaji ana dada zake na wanaolewa huko ila na huyo mwanaume nae huko anaoa kimkakati maana akilini anawaza naoa katika familia ya kina fulani kaka yake yupo nje au ana pesa nitapata maokoto, mchezaji anamtumia dada yake pesa na dada mtu anampa pesa nyingi mume wake mume anazifanyia anavyotaka Anasema unakuta hata wanafamilia wa afrika hawana uwezo ila wanazaaza hovyo watoto wengi wasioweza kuwahudumia sababu tu wanawaza wana ndugu fulani ambaye ana pesa atawasaidia kuwapa pesa Anasema tabia hii ni mbaya maana mtu akiwachoka wanandugu hao hao wanaanza kuwa maadui kwa kumtishia ndugu mwenye pesa na kwa wachezaji wa kimataifa unakuta ndugu zao Afrika wanatishia kufanya mkutano na waandishi wa habari ili kumzungumzia vibaya ndugu yao ambaye kachoka kuwa mtu wa misaada isiyoisha kila mwezi. Anasema hii inaumiza sana wachezaji wa Afrika walio nje na kuwasababishia emotional blackmail Anasema yeye hili la kusaidia wanandugu aliachana nalo miaka 5 iliyopita ili aendelee na maisha yake mengine maana kama ni kuwasaidia alishawasaidia sana tangu mwanzo wa career yake ya mpira Ametaka suala hili liongelewe wazi ili hata wachezaji chipukizi wa Afrika wanaoenda Ulaya wajue wanajiandaaje kupambana nalo lisiwaathiri kama watangulizi wao Anyway, Alichosema Michael Obi Mikel, kilishampata Emmanuel Adebayor mchezaji wa zamani wa Togo na klabu ya Arsenal ambaye aliwahi kuingia kwenye mtifuano mkali na familia yake iliyopo huku Afrika akiwemo mama yake mzazi kwa kusema hawaridhiki na hawana shukurani mpaka kawachoka licha ya kuwasaidia kwa hali na mali kwa moyo wote Alisema ilifikia hatua mama yake mzazi akawa anamroga ili asifanikiwe na wakawa wanamzungumzia vibaya kwenye vyombo vya habari isivyo kweli ili tu kumuumiza baada ya kuchoka kuwa mtumwa kwao, wakati kama ni kuwasaidia alisaidia zaidi ya sana hata nyumba nzuri ya kisasa aliwapa

photo content

Re-United🤝 Mbwana Samatta alikutana na kiungo wa Genk Bilal El Khannous, walicheza wote Genk msimu uliopita.
+1
Re-United🤝 Mbwana Samatta alikutana na kiungo wa Genk Bilal El Khannous, walicheza wote Genk msimu uliopita.

Kuna ile tabia ya dada wa kazi kutodumu majumbani. Dada wa kazi wanaotokea mkoa gani wanadumu sana kwenye kazi?
Kuna ile tabia ya dada wa kazi kutodumu majumbani. Dada wa kazi wanaotokea mkoa gani wanadumu sana kwenye kazi?

Licha ya Taifa Stars kupoteza mchezo kwa bao 2-0 dhidi ya Morocco hapo juzi, hiyo haikumuzuia Kiungo wa timu ya taifa ya Moro
Licha ya Taifa Stars kupoteza mchezo kwa bao 2-0 dhidi ya Morocco hapo juzi, hiyo haikumuzuia Kiungo wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya Manchester United Sofyan Amrabat kumpa maua yake Kiungo Sospeter Bajana wa Taifa Stars. Sisi sote tuliishia kuona tu wakibadilishana jezi na kupata picha ya pamoja lakini hatukujua walizungumza nini wakati ule. Bajana amefunguka nini walicho ongea na Amrabat. "Sikutarajia kama Amrabat angeniomba jezi, lakini alinifuata mwenyewe na kupiga naye stori mbili tatu akinisifia kabla ya kubadilisha naye jezi. Aliniambia mimi ni miongoni mwa wachezaji wazuri," Sospeter Bajana ni mchezaji wa Azam FC. Ukiachilia mbali Sofyan Amrabat, watu wengi walimsifu sana Sospeter Bajana kwa kiwango kizuri alichokionesha katika mchezo huo.

"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba. Kumekuwa na shi
"Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba. Kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea, nimekataa kwa sababu nisipo heshimu katiba naweka precedent [mfano] mbaya kwa watu wengine watakaokuja baadaye na siwezi semea vyama vingine kwa sababu kila chama kina katiba yake." – Zitto Kabwe, Kongozi Mkuu ACT-Wazalendo

"Sikutarajia kama Amrabat angeniomba jezi, lakini alinifuata mwenyewe na kupiga naye stori mbili tatu akinisifia kabla ya kub
"Sikutarajia kama Amrabat angeniomba jezi, lakini alinifuata mwenyewe na kupiga naye stori mbili tatu akinisifia kabla ya kubadilisha naye jezi. Aliniambia mimi ni miongoni mwa wachezaji wazuri," Sospeter Bajana, mchezaji wa klabu ya Azam FC.

Kampuni ya Tigo imekuja na fursa ya kufunga mwaka kwa staili ya kipekee! Huku Haji Manara akitangazwa kama SEMAJI LA TIGO MSI
Kampuni ya Tigo imekuja na fursa ya kufunga mwaka kwa staili ya kipekee! Huku Haji Manara akitangazwa kama SEMAJI LA TIGO MSIMU WA SIKUKUU, ambapo amesema kuwa Kupitia kampeni ya MAGIFTI DABO DABO, mteja ataweza kujigiftisha na pia kumgiftisha mpendwa wake zawadi za kufurahisha! Mbali na kupata bonus za papo hapo na fursa ya kushinda fedha taslimu hadi milioni 30!, pia wameletewa vifaa vya nyumbani vya kisasa kama vile friji, TV, microwave, na spika za muziki. Hii ni nafasi yao ya kipekee kuwa na vifaa vya kuvutia nyumbani! Washindi wa kampeni hiyo pia watapata safari za kipekee kwenda Zanzibar na Dubai! Na kubwa zaidi, wanaweza kujinyakulia gari jipya lenye ZERO KILOMITA na wapendwa wao. Manara amewataka Watanzania wasikose kushiriki kwenye kampeni hii ya kusisimua na Tigo, wajiunge na kufurahi pamoja na MAGIFTI DABO DABO, na wafunge mwaka na zawadi za kipekee.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa hali ya upweke imekuwa kipaumbele cha afya duniani ambapo limezindua Tume mpya ya ‘Uhusiano wa Kijamii’ kwa ajili ya kushughulikia suala hilo huku ikielezwa kuwa athari za upweke zinaweza kuwa mbaya kama kuvuta sigara 15 kwa siku na ni kubwa kuliko athari zinazohusiana na unene na kutofanya mazoezi ya mwili. CNN imeripoti kuwa Tume hiyo inalenga kushughulikia upweke kama tishio kubwa la kiafya, kukuza na kuwezesha mahusiano ya kijamii kuwa yenye kipaumbele na kuharakisha utafutaji wa suluhisho la upweke duniani. Tume hiyo inaongozwa na Daktari Mkuu wa Upasuaji wa Marekani Dkt. Vivek Murthy na Mjumbe wa Vijana wa Umoja wa Afrika Chido Mpemba huku ikijumuisha Mawakili 11 na Mawaziri wa Serikali kama vile Ralph Regenvanu, Waziri wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa nchini Vanuatu, na Ayuko Kato, kutokea nchini Japan. Ndani ya miaka mitatu Tume itatoa ripoti itakayobainisha jinsi upweke na hali ya kutengwa na jamii inavyoathiri afya ya kimwili, kiakili na kihisia ambapo kwa mujibu wa Dkt. Murthy, athari za upweke zinaweza kuwa mbaya kama kuvuta sigara 15 kwa siku na ni kubwa kuliko athari zinazohusiana na unene na kutofanya mazoezi ya mwili. Hali ya upweke ilizidi kuwa mbaya baada ya janga la COVID-19 wakati ambapo Watu hawakuruhusiwa kujumuika na wenzao kwenye Jamii. #MillardAyoUPDATES

photo content

D VOICE HAMNA KITU; KWISA MZEE MKAVU "Promotion ya D Voice imekuwa kubwa kuliko uwezo wa msanii mwenyewe, yeye ndiye msanii p
D VOICE HAMNA KITU; KWISA MZEE MKAVU "Promotion ya D Voice imekuwa kubwa kuliko uwezo wa msanii mwenyewe, yeye ndiye msanii pekee aliyetambulishwa kwa ukubwa kuliko wasanii wote waliowahi kujiunga wasafi, lakini kwa jinsi alivyotumbuiza siku ya utambulisho na ikiwa hatajiongeza basi hamna kitu" "Ukiangalia nyimbo zake zinazofanya vizuri sasa hivi ni zile alizowashirikisha kina Zuchu, Mbosso, Lavalava na Diamond Platnumz lakini hakuna wimbo alioimba peke yake unaofanya vizuri hii inaonyesha bado hana uwezo na hata hizo nyimbo zinafanya vizuri kwasababu ya hao wasanii wengine sio yeye. Tumpe muda labda atafanya vizuri huko mbeleni saivi bado ni mapema sana"- Kwisa

HAJJI MANARA AMZAWADIA GARI ZAIYLISSA, WAONEKANA WAKIWA CHUMBANI PAMOJA. Huko Instagram habari ni moja tu, page mbalimbali zi
HAJJI MANARA AMZAWADIA GARI ZAIYLISSA, WAONEKANA WAKIWA CHUMBANI PAMOJA. Huko Instagram habari ni moja tu, page mbalimbali zimezagaa habari ya wapendanao wapya ambao ni Hajji Manara na Zaiylisa ambapo leo ni kama wameamua kulianika wazi huba lao ambalo wamelificha kwa muda kadhaa huku ukaribu wao ukiwafanya waitane kaka na dada. Katika video iliyoibua maswali zaidi, ni hii ya Hajji akiwa chumbani na Zaiylissa wakibiringika kwa mahaba, kisha Haji akaposti picha hizo Zaiylissa akiwa nyumbani kwa Manara huku pembeni yake kukiwa na gari ambayo nyuma imeandikwa EL BUGATI na wote tunafahamu kwamba Bugati ni jina la Hajji Manara mara kadhaa amekuwa akijiita hivyo. Gari hiyo inaaminika kuwa ni zawadi kwa Zaiylissa ikiwa kama pongezi yake baada ya kukubali ombi la kuwa nae kimahaba.

****Pichani ni Shakira akiwa na Umri wa 14 na Pique akiwa na umri wa miaka 4 mwaka 1991**** #EnziZìle....
****Pichani ni Shakira akiwa na Umri wa 14 na Pique akiwa na umri wa miaka 4 mwaka 1991**** #EnziZìle....

photo content
+1

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Ikitokea mume wangu ameoa mwanamke mwingine mimi nitaondoka sitaweza kuwa nae, na kama nitaendelea kuwa nae basi kwenye hiyo nyumba yetu tutagawana vyumba mimi nitakuwepo pale kwa ajili ya kulea watoto lakini nitakuwa na mpenzi wangu mwingine nje" "Kwenye DM yangu watu wananitongoza na hapo sivunji nazi, sinuii kwa mganga ni uzuri wangu tu ndio unafanya natongozwa hatari, sina mtako huuuo wa kutisha lakini gari zinagongana na hii ni kwasababu nina nyota ya kipekee. Mwanamke nyota, ukiwa na nyota kila mtu atakupenda"- Amina Vikoba, Mwigizaji wa Tamthilia lakini pia ni dada wa msanii Dulla Makabila.