ch
Feedback

不要被骗子欺骗!Telemetrio 会找到并标记这些频道 👉 如果想查看标记,请订阅 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

前往频道在 Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

显示更多
1 307
订阅者
+124 小时
-27 天
-1330 天
帖子存档
⚠️😳 Habiba Cholage mwigizaji wa Kibongo anayekuja juu anasema yeye ndie mwanamke mzuri Afrika hilo sio suala la kuanza kulij
⚠️😳 Habiba Cholage mwigizaji wa Kibongo anayekuja juu anasema yeye ndie mwanamke mzuri Afrika hilo sio suala la kuanza kulijadili Aidha, Habiba ambaye pia hujiita Malkia Mweusi, akihojiwa na Global TV Online, ameongeza kuwa kamwe yeye hajawaza kujichubua awe mweupe, anasema ukiona mtu anajichubua ili awe mweupe jua kwamba huyo hajiamini kwani mtu anayejiamini hubaki na rangi yake asilia

MOTO USIOZIMIKA TOKA MWAKA 1971 HADI LEO UNAWAKA TU Mwaka 1971, Wanajiolojia wa Soviet waliwasha moto huko Turkmenistan, Asia
MOTO USIOZIMIKA TOKA MWAKA 1971 HADI LEO UNAWAKA TU Mwaka 1971, Wanajiolojia wa Soviet waliwasha moto huko Turkmenistan, Asia ya Kati ili kuzuia kuenea kwa gesi yenye sumu wakiamini ungezimwa baada ya muda mfupi. Cha kushangaza, moto huo haujazimika hadi leo, licha ya juhudi mbalimbali zilizofanyika. Eneo hilo linajulikana kama ‘Darvaza Gas Crater’ au Mlango wa Kuzimu.

DIVA AMECHANGANYIKIWA? Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva ameenda kudanlowd picha ya mkono wa mtu huko Google kisha kupos
DIVA AMECHANGANYIKIWA? Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva ameenda kudanlowd picha ya mkono wa mtu huko Google kisha kuposti Instagram akidai kuwa huo ni mkono wa mume wake mzungu. Siku za hivi karibuni Diva alitangaza kuwa atafunga ndoa na mbaba wa kijerumani na baada ya siku kadhaa kupita, hicho ndicho alichokifanya leo. Kwa bahati mbaya watu wamemshitukia na kubaki kuwa kichekesho kwa kuzogolewa huku wengine wakisema huenda mwanamama huyo anaenda kuchanganyikiwa hayuko sawa anahitaji msaada.

Repost from Swahili Movie Tv
WATCH NOW:-Ripple Of Tears Part 1A - Steven Kanumba & Elizabeth Michael - Lulu (Swahili Bongo Movie) 2021(on swahili movie tv)

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+4
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

🎥 #Mwaka2023 Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso alipotembelea na kukagua ujenzi wa Bwawa lenye thamani ya Tsh Milioni 632 na c
🎥 #Mwaka2023 Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso alipotembelea na kukagua ujenzi wa Bwawa lenye thamani ya Tsh Milioni 632 na cha kushangaza alikuta bwawa halijajengwa angali walimpa taarifa ya kukamilisha ujenzi wa bwawa hilo. Waziri Aweso alichukizwa na Mkandarasi huyo aliyepewa fedha za serikali kukamilisha Ujenzi Mradi wa Bwawa la Maji katika Kata Mkabala Wilayani Handeni Mkoani Tanga na kuwachukulia hatua za kinidhamu dhidi yake. 📍Handeni - Tanga full video follow instagram hapa kwenye link..-https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2

Baada ya kuachika mfululizo bila kupumnzika, Dida Shaibu ageuka kuwa mshauri na hapa anawashauri walimwengu. "Hakuna kitu kiz
Baada ya kuachika mfululizo bila kupumnzika, Dida Shaibu ageuka kuwa mshauri na hapa anawashauri walimwengu. "Hakuna kitu kizuri kama amani ya moyo ❤️ tena anza kujipenda wewe kwanza maana hakuna kitu kizuri kama kujipenda wewe kwanza, tambua kuwa hakuna atakayeanza kukupenda kabla ya wewe mwenyewe kujipenda alafu jipe nafasi ya upendo kwa wengine, ishi humooo"- Dida

Wakongwe tu Ulikua unamkubali nan zaidi hapa Ray C au Lady Jaydee?
Anonymous voting

Wakongwe tu Ulikua unamkubali nan zaidi hapa Ray C au Lady Jaydee?
Wakongwe tu Ulikua unamkubali nan zaidi hapa Ray C au Lady Jaydee?

SIJAWAHI KULALA NAYE. " Sijawahi kulala na Nayce wala haiwezi kutokea kwasababu ni rafiki wangu wa karibu. Siwezi kulala na r
SIJAWAHI KULALA NAYE. " Sijawahi kulala na Nayce wala haiwezi kutokea kwasababu ni rafiki wangu wa karibu. Siwezi kulala na rafiki yangu maana urafiki wetu unaweza kuisha. Nayce tunapendana kama kaka na dada ila siyo kama wapenzi. Tunavyoheshimiana kwanza tutaanzaje kulala pamoja?" Mr. Mwanya. Neno moja kwake

" Simchukii Paula ila tu sioni umuhimu wa kuongelea watu ambao hatujui kazi zao, ila wanatrend kwasababu ya kubadilisha wanau
" Simchukii Paula ila tu sioni umuhimu wa kuongelea watu ambao hatujui kazi zao, ila wanatrend kwasababu ya kubadilisha wanaume"-Abby Chams

RAMADHANI BROTHERS WASHINDA AMERICAN GOT TALENT - MILIONI 600 Wanasarakasi Kutoka Tanzania @ramadhanibrothersofficial 🇹🇿 wa
RAMADHANI BROTHERS WASHINDA AMERICAN GOT TALENT - MILIONI 600 Wanasarakasi Kutoka Tanzania @ramadhanibrothersofficial 🇹🇿 wamefanikiwa Kuibuka washindi kwenye shindano la America’s Got Talent: Fantasy League Na Kujishindia Mkwanja Kiasi Cha Dola $250,000 Ambazo Ni Sawa Na Tsh Milioni 637/= Ramadhan Brothers wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza toka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo La AGT (America Got Talent: Fantasy League) https://www.instagram.com/e_plus_media?igsh=YW40cmNtdXV0OWZ2 Full cideo follow IG

Utafiti umeonesha kuwa nchi zifuatazo zinaongoza kwa wanawake warembo barani Afrika. 1. Ethiopia🇪🇹 2. Rwanda🇷🇼 3. South A
Utafiti umeonesha kuwa nchi zifuatazo zinaongoza kwa wanawake warembo barani Afrika. 1. Ethiopia🇪🇹 2. Rwanda🇷🇼 3. South Africa 🇿🇦 4. Eritrea🇪🇷 5. Ghana🇬🇭. 6. Kenya🇰🇪 7. DR Congo🇨🇩 8. Zimbabwe🇿🇼 9. Ivory Coast🇮🇪 10. Nigeria🇳🇬 11. Tanzania🇹🇿 12. Burundi🇧🇮 13. Swaziland🇸🇿 14. Liberia🇱🇷 15. Morocco🇲🇦 16. Egypt🇪🇬 (Iconic Africa) Photo 📸: Ethiopian 🇪🇹 Woman

Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Hamis Lidonge (31) mkazi wa Kitongoji cha Ukombozi, Kata ya Mahurunga katika Halmash
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Hamis Lidonge (31) mkazi wa Kitongoji cha Ukombozi, Kata ya Mahurunga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara amefariki baada ya kunywa sumu chanzo kikidaiwa ni kuachwa na mpenzi wake. Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea Februari 16, 2024 na uchunguzi uliofanywa umebaini kifo chake kilisababishwa na sumu, lakini bado haijabainika aina ya sumu hiyo. Akisimulia tukio hilo, baba mdogo wa marehemu, Said Athuman amesema ndugu yake alikuwa akiishi nyumba moja na mpenzi wake na siku tatu kabla ya tukio hilo alirudi nyumbani akidai kufukuzwa na mpenzi wake na ndipo baadaye alipochukua uamuzi huo.

Bora hata Huyu kajitahidi
Bora hata Huyu kajitahidi

Muonekano Wema Sepetu kabla hajakutana na walimwengu wa bongo na kumshauri ale tambi kijiko kimoja tu kwa siku 😋
Muonekano Wema Sepetu kabla hajakutana na walimwengu wa bongo na kumshauri ale tambi kijiko kimoja tu kwa siku 😋

Kama una umri wa miaka 40 au zaidi, mambo ya muhimu ya kuzingatia ni haya: 1.) Ongeza activity zinazotumia nguvu. Mazoezi walau siku 4 kwa wiki, kila siku si chini ya saa moja. Ukishindwa basi walau dakika 20 za HIIT (high intensity interval training) ama za Yoga zinakutosha. 2.) Unywe maji si chini ya lita 3 kwa siku. Hakikisha unakula matunda na mboga za majani kwa wingi kila siku - ama jenga tabia ya kunywa vitamin supplements kila baada ya muda fulani. Maji yatasaidia kusafisha Figo. Vitamins zitasaidia kuongeza metabolic rate na kuchelewesha mwili wako kuchoka na kuzeeka haraka. 3.) Punguza pombe. Acha binge drinking (ile nina kiu kikali sana - unapiga bia 2 then 2 then 2 ndani ya lisaa! Au masaa mawili!) 4.) Anza kujizoesha intermittent fasting. Za rahisi kabisa ni hizi hapa 2, kutegemeana na kazi unazofanya. Ya kwanza, unakula miwili (breakfast na lunch), breakfast muda wowote kati ya saa moja na saa tatu asubuhi, na lunch isizidi saa 8 mchana. Ilimradi upate masaa yasiyopungua 16 bila kula kitu. Ya pili, unakula milo miwili (brunch na supper) - brunch isiwe kabla ya saa sita mchana na supper isiwe zaidi ya saa moja jioni. Ukifanya hivi utapata fasting ya masaa 16 bila shida! Nje ya muda huu ni kunywa chai/kahawa (isiyo na sukari) na maji tu! 5.) Jenga interest ya kujiunga kwenye clubs za veterans - soka, jogging, swimming, gym, community gym, waendesha baiskeli wikendi, wakimbiaji wikendi, wajeza golf wikendi, Basketball, wapanda milima, dojo za karate, taekwondo etc. 6.) Jenga interest ya kusoma vitabu na kuandika. Jiunge, ama anzisheni club za kusoma vitabu na kuvijadili etc 7.) Jenga interest ya kuwekeza, kufanya shughuli za biashara/uzalishaji etc. Weka miradi yako kwenye makundi matatu - ndoto kubwa ya muda mrefu, usalama wako kiuchumi na familia na kusukuma maisha ya kila siku! 8.) Jenga tabia ya kufanya ibada. 9.) Jenga tabia ya kuwacheki wazazi wako (kama una bahati kuwa bado wapo hai) - hata kwa simu, kutana na marafiki, ndugu zako. Jitahidi kuwa na interest na watoto wa ndugu na rafiki zako, uwajue majina yao, shule zao na wako wapi. Have a sense of family and community. Nitaendelea kidogo kidogo. #HK #Fighter #NjeYaBox ✍️ @Hamis Kigwangala

photo content

Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini ‘TPBRC’ George Silas amesema ili pambano kati ya Hassan Mwakinyo na Twaha
Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini ‘TPBRC’ George Silas amesema ili pambano kati ya Hassan Mwakinyo na Twaha Kassimu ‘Kiduku’ lifanyike lazima mmoja kati ya mabondia hao afuate uzito wa mwingine. Amesema Mwakinyo na Kiduku ni mabondia wanaocheza uzito tofauti lazima Watanzania wafahamu hilo, Twaha anacheza Super Middle Kilo 76 wakati Mwakinyo anacheza Super Welter Kilo 69. “Hivyo kama kamisheni ya ngumi za kulipwa hatuwezi kuruhusu pambano ambalo mabondia wanaocheza uzito tofauti wapande ulingoni bila kuzingatia vigezo.” “Mabondia wanapambana wakiwa na uzito sawa sio uzito tofauti, aidha kama Mwakinyo ana Kilo 69 anatakiwa kupambana na Twaha anapaswa kupanda uzito au kama Twaha anataka pambano na Mwakinyo ashuke,” amesema Silas. Credit; Dar24