ar
Feedback
POWER VPN UNLIMITED

POWER VPN UNLIMITED

الذهاب إلى القناة على Telegram

KAZI HIENDELEEE KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA NA MR POWER VPN UNLIMITED

إظهار المزيد
لم يتم تحديد البلدالمراهنة والكازينو71 157
1 677
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
-207 أيام
-6330 أيام
أرشيف المشاركات
Android E_v2ray ISP:Airtel Status: 300MB Time: Any Time Vpn: E_v2ray ☛ Join Link ╮ ╭ 𝘾𝙝𝙖𝙣𝙣𝙚𝙡 @luhovero26code ╰ 𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 @Powervpn26

Android Napsternetv ISP:Airtel Status: 300MB Time: Any Time Vpn: Naspernet ☛ Join Link ╮ ╭ 𝘾𝙝𝙖𝙣𝙣𝙚𝙡 @luhovero26code ╰ 𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 @Powervpn26

POWER VPN UNLIMITED 🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆 https://t.me/luhovero26code 🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆    🏆TELEGRAM CHANNEL🏆

India try this with airtel
India try this with airtel

WANAO TAKA KUFUNDISHWA KUTENGENEZA FILES ZA E-V2RAY HTTP CUSTOM NASPERNET ZA 14DAYS INBOX NOTE SIYO BURE🏆 @PowerVpn266

*Umeshawahi kutumia intaneti kwa mfumo wa Bluetooth kupitia simu yako ? Najua wengi tunatumia simu kwenye mambo mengi tu ila wengi hatujui tunaweza share intaneti kwa kutumia Bluetooth?* Watu wengi tunatumia njia ya hotspot kuweza ku share intaneti kwenye vifaa vingine lakini sio lazima unaweza tumia Bluetooth kuweza kushare intaneti kwenye kifaa kingine kama vile simu , kompyuta pamoja na tablet. Kwenye simu zetu Kuna kitu kinaitwa Bluetooth tethering, ni njia moja wapo ya kutumia mfumo wa wireless kuweza kusambaza upendo wa intaneti kwenye vifaa vingine kupitia Bluetooth. Tusema una bando Kuna mtu anahitaji kushare na wewe kidogo sio lazima uwashe hotspot unaweza tumia tu Bluetooth kuweza kushare intaneti na wengine. Wala uhitaji password kuweza kuunganisha kwenye ivyo vifaa unafanyaje ku share intaneti kwa kutumia Bluetooth kupitia simu yako 👇 • ingia setting kwenye simu yako • Kisha hotspot & tethering • utagusa kwenye Bluetooth tethering • hakikisha data Iko Kisha kwenye simu nyingine inahitajika kupata intaneti awashe tu Bluetooth ikishakua connected anaweza tumia intaneti bila password Pia unaweza tumia njia hii kuunganisha na kompyuta yako kuweza kushare intaneti kwenye kompyuta kama upendi watu uwatajie password ya hotspot yako. Umeshawahi kutumia hii njia au ndo unasikia Leo tuachie maoni yako ?* #bluetooth sony Ericsson *Mr-power 💙 Tips*

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wiretun TIGO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

VPN Mpya Ya Tigo Natoa Kwanza Maelekezo Link Ya Kwenda Kupakua Ntaweka Chini Hapo Baada Ya Maelekezo Ukishapakua Hii VPN Utai
VPN Mpya Ya Tigo Natoa Kwanza Maelekezo Link Ya Kwenda Kupakua Ntaweka Chini Hapo Baada Ya Maelekezo Ukishapakua Hii VPN Utaingia Ndani Utaweka Tiki Hapo Nilipoweka Mie Alafu Utabonyeza Ilo Neno Hapo SHOW AD GET FREE UDP ACC Ukishabonyeza Itatokea Ads Utaangalia Baada Ya Kuisha Utatoka VPN Itakurudisha Mwanzo Hapo Hapo Sasa Connect Na Uinjoi Ina Nguvu Sana Mpaka TikTok Inasukuma Alafu Unlimited Sasa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.zi.zivpn

MR POWER AIRTEL.hc0.31 KB

MR POWER AIRTEL.v20.03 KB

MR POWER AIRTEL.npv40.04 KB

FREE FREE UKIJIUNGA UNAPEWA 2000 NA KILA RAFIKI UTAKAYE MWALIKA UNAPEWA 1200 KUTOA IKIFIKA AFU15 KWA MITANDAO YA SIMU🏆🏆🏆🏆
FREE FREE UKIJIUNGA UNAPEWA 2000 NA KILA RAFIKI UTAKAYE MWALIKA UNAPEWA 1200 KUTOA IKIFIKA AFU15 KWA MITANDAO YA SIMU🏆🏆🏆🏆🏆 https://tiktokpesa.com/register?ref=dab230e8-01fe-11ee-a801-17cd8a1b1a3d

NAMNA YA KUSHARE BANDO LA VPN NA RAFIKI PASIPO PROXY. 🎞 Leo Tuangalie namna tunaweza share mb za vpn na rafiki bila kutumia proxy.  Maana kuna baadh ya watu application hizo kama padnet na Everyproxy zimewia vigumu kwao kuelewa namna zinatumika pia namna ya kuset vyema . 📡Sasa tuangalie ni jinsi gani tunaweza share bando la vpn na rafiki  hata kama ni Airtel 300MB bila kutumia proxy... 🎥kwa kawaida huw ukiwasha hotspot kwako na wifi ya rafiki huwa hawezi kupata access Yoyote..   sasa Trick ni ndg tu tujifunze kwa ambao atufaham Tujue pia. Steps; ✅ Install vpn husika na configuration file kwa simu zote mbili. Yaan yako na kwa rafiki. - unaweza tumia vpn Yoyote tu kama ni http custom, ha tunnel, napsternetv, stark vpn n.k ✅ Weka line husika kwa Simu yako kisha washa data ✅ Fungua hotspot kwako - kwa kawaida ukifungua hotspot itakua default iko WPA2 na kuna password inakuepo so wew configure kwa kuweka none au kuweka password nyepesi kwako kuifaham. ✅ Fungua wifi kwa rafiki yako kisha scan available networks . - utaona Jina la wifi ambalo mara nyingi huwa ina relate kutokana na jina la simu yako mfano kama unatumia SAMSUNG S4 basi hata wifi name itaendana na jina hilo.. ✅ Connect - unaweza kuombwa password kama uliacha WPA2 na kuchange password kuweka yako. Hivyo password uliyoweka kule . -unaweza usiombwe password kama uliweka none( umetoa ulinzi maana yake yeyote anaweza kuwa connected na simu yako) ✅ Baada ya kuwa hotspot yako imeconnect na rafiki haitasoma mb kama kwako unavyotumia... Basi ingia katika Simu ya rafiki yako connect na vpn ambayo ulimuekea mule ,make sure asiwashe data bali azime na atumie ile wifi yako tu . 🛠Vpn itasoma connected✅ kupitia wifi yako na line yako... Hii process wifi yako itatumika kama wire ambayo unasupply mb kwa Simu. Hivyo unaweza connect na watu zaid ya wawili na ukawawekea vpn na settings zake kisha wakatumia wifi yako ambayo pia itasoma kama line... 🔦Kwa ambao wanakua wana host/vpn za mtandao flani either Vodacom,Tigo,Airtel,Halotel, Zantel, TTCL na uwezekano wa kupata line hizo mahali ulipo au hauna NIDA but flani anayo...  pia mnaweza tumia hii njia ya WIFI kutumia . 📲📲📲📲📲📲📲📲📲 ☎️☎️☎️☎️☎️☎️☎️☎️☎️☎️ Usisahau kushare Link ya channel yetu kwa marafiki .. Link ya channel yetu: t.me/luhovero26ode 📡📡📡📡📡📡📡📡

CHECK SPEED💙💙💙
Anonymous voting

POWER VPN UNLIMITED 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙 https://t.me/luhovero26code 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙    💙 TELEGRAM CHANNEL💙

POWER VPN UNLIMITED 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙 https://t.me/luhovero26code 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙    💙 TELEGRAM CHANNEL💙

POWER VPN UNLIMITED 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙 https://t.me/luhovero26code 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙    💙 TELEGRAM CHANNEL💙

👇👇👇👇14DAYS👇👇👇👇

7DAYS POWER VPN UNLIMITED 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙 https://t.me/luhovero26code 💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙    💙 TELEGRAM CHANNEL💙

POWER VPN UNLIMITED - إحصائيات وتحليلات قناة تيليجرام @luhovero26code