cookie

نحن نستخدم ملفات تعريف الارتباط لتحسين تجربة التصفح الخاصة بك. بالنقر على "قبول الكل"، أنت توافق على استخدام ملفات تعريف الارتباط.

avatar

Photography Kwa Kiswahili

Channel hii ni kwaajili ya kujifunza Photography na Editing kwa kutumia njia rahisi kuwahi kutokea, Bila kusahau software za BURE! Subscribe kwenye YouTube Channel www.youtube.com/@francismtei

إظهار المزيد
لم يتم تحديد البلدلم يتم تحديد اللغةالفئة غير محددة
مشاركات الإعلانات
1 956
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
-37 أيام
-4330 أيام

جاري تحميل البيانات...

معدل نمو المشترك

جاري تحميل البيانات...

Kwanini Huwa nagusia kwa uchache Mambo ya Technial, Technical Issue kwa maana ya. - Shutter Speed - Aperture - ISO - Composition Sikia, Ukikaza It Takes a Few Month kuvielewa na vinavyofanya kazi,.. Tuje kwenye Kwanini Huwa nagusia kwa uchache Mambo ya Technial, Kwasababu The whole Business ya Photography Ipo kwenye haya Mambo matatu. 1. Quality and Consistency 2. Client Relationships and Communication 3. Marketing and Branding. Hayo ni mambo Muhimu sana ya Kuzingatia katika safari yako ya upigaji Picha. Wengi wanaona Photography hailipi na wanakata tamaa kwasababu ya Msingi mbaya... Wengi wetu ikiwemo na mimi nilikuwa nadhani Photography its all about Camera's Yaani niki Own Camera Kali, lens Kali nakuwa nimemaliza Mchezo... Ee bhana eeeh Mwisho wa Siku nikaja kujua kuwa, -Nahitaji kula -kuvaa -Kuhonga🤣 -Kusomesha -Kuongeza Vifaa vya kazi n.k Kwa Hiyo kama umeingia ama una-plan za kuingia kwenye Hiki kiwanda cha Upigaji Picha, (Photography Indrusty) Hakikisha Una msingi wa yale mambo makuu matatu pale Juu, Bila hivyo... Basi lazima uone Photography hailipi na utaishia kuwa Banyaa... #FrancisMtei
إظهار الكل...
Kila ni nachomiliki ni Inverstment, Nanunua Kitu Kwasababu hicho kitu kitafanya kazi yangu iwe Nyepesi... Mfano: Wengi wananunua iPhone kwasababu tu ya Stutus, Mimi nanunua kwa Perspective ya Kifaa Cha kazi: Sikia, Hakuna Kiwanda Expensive... Kwenye upande wa Uwekezaji wa Vifaa kama Kiwanda cha kuchakata Picha na Video... Hear me Out.. 👇🏾 Usijaribu hata siku Moja Kufanya maamuzi ya uwekezaji kwa Kutumia Mihemko au kushawishiwa tu na mtu... Hakikisha... Kila kifaa unachonunua, Kweli uwe unakihitaji na kiifanye kazi yako kuwa nyepesi... Kuna miaka... ...ulikuwa ukionekana na 70-200mm F/2.8 Basi unaonekana Bonge la Photographer, Si Nikafanya maamuzi kwa mihemko... Bhana weee Nikanunua hicho chuma, Nikajikuta nimeitumia Hiyo lens, miezi miwili tu! Nikaiuza, Unajua ni kwanini ? Kwasababu, Baada ya kuwa naitumia nikagundua, 1. Lens ni Nzito uki changanya na Hizi DSLR basi ndio labaa zaidi (Mgongo)... 2. Style yangu ya upigaji picha ilikuwa siitaji 70-200mm kwa wakati huo. In-Conclusion... Unapotaka kufanya maamuzi ya uwekezaji, -Hakikisha umefanya Research na Kujiridhisha wewe mwenyewe, Kwamba kifaa unachokihitaji kitakufaa kwenye kazi zako. - Acha kutumia Mihemko kufanya Uwekezaji wa Pesa Nyingi... Fanya Research then tumia Akili kufanya maamuzi. Anyway: Nina Kakibubu kangu kambao, Nakusanya pesa ya iPHONE 15 🤪 Nikutakie Mchana mwema.
إظهار الكل...
Photography Ni Skills inayolipa sana, Lakini Most Beginner wana kata Tamaa Stage hii... Here me Out.. Na hii sio kwa Photographer tu, Kila aliyepo kwenye hii Creative Industry, Huwa anapitia kwenye Kipindi cha kukata Tamaa... Na katika kipindi hiki, Ndio huwa tunapoteza Photographer Wazuri sana na wengi huwa wanaacha Mpunga wao mwingi mezani kwenye Hiki kiwanda😞, Sasa, Unaweza Ukaniuliza ni kipindi gani hiki... Hiki Ni kipindi ambacho "Unakosa Kazi/Wateja Kabisa" Sikia nikwambie, Katika safari yangu ya Upigaji Picha, Nimeshapitia Hivi Vipindi mara kadhaa... Kwanini... Kwasababu, Ni process.. Katika Research niliyoifanya hivi karibuni, 90% Ya professional Photographer wamepitia katika kipindi hicho... Tunarudi tena kwenye Swali la Kwanini? Ngoja nikwambie... Kila carrier uliyoamua Kui-persue lazima ikupitishe kwenye Mchakato, Through out Huo mchakato, Ndio inabidi ujifunze "HOW TO" ili utokane na Changamoto Hiyo, ok, Ngoja sasa nikurejeshe kwenye Solution. Kipindi ambacho nilikuwa nakosa Kazi Kabisa, "Hakuna simu wala mteja anayeni-book"... Badala ya kulalamika, na Kukata tamaaa Nilikuwa najiandaa kwaajili ya Future yangu. Kivipi? Nilikuwa natengeneza "Portfolio yangu" Strategy niliyokuwa naitumia, Kwasababu tayari nilikuwa na Vifaa... Nilitafuta MUA(Make Up Artist) ambaye tunaweza Exchange Value + natafuta Model... Then Natengeneza Idea ya aina ya wateja ninaowataka kwenye Portifolio yangu... kinachofuata ni ku-Excute, The Idea... Sasa Basi... Kama wewe ni Beginner na unapitia kwenye Kipindi ambacho unakosa kazi kabisa. Unachotakiwa kufanya ni... kutumia Muda huo kujitengeneza a.k.a Kujitafuta! Tengeneza Strong Portifolio ambayo in the Future itakupa Levarage kubwa... Kama upo hapa Telegram chanell utakuwa ushasoma, namna... Portifolio inaweza kukutengenezea pesa kwenye hii sanaa ya Photography... Portifolio ndio inaweza Kukutenga na kundi kubwa la Photographer... Anyway: Ukitaka kuona Portifolio yangu, Tembelea www.inframetz.com AM BACK
إظهار الكل...

We Capture Your Memories Forever.

💻GOOD NEWS👊🏾! Kama wewe ni mtu wa Mac, Nimesikia Kilio chako, Ndio, Nimekisikia! Kwa muda mrefu kundi kubwa la watu wanaotumia Computer za Apple, Wamekuwa wakinisumbua namna Gani wanaweza pata Sofware Bure bila kulipia chochote. Sasa Basi, unatakiwa ujue hii ni SIRI, ambayo naimwaga hapa Live! Hii taarifa njema ubaki nayo wewe tu, 🤫 Ha ha ha ha, Natania Bhana😁.. Unachotakiwa kuwa nacho kwenye Computer yako ni... Torrent Downloader yoyote ile, Downloader maarufu ni 1. BITTORRENT 2. UTORRENT Hizi zipo Google ni BURE kabisa, Baada ya hapo sasa Maelezo yote na namna ya kufanya nimekuwekea katika Video hii For Free: https://youtu.be/sfj3sxKsS5w
إظهار الكل...
Download Any of MacBook Software For Free...

Kama Umeangaika Kwa muda mrefu hujui wapi utadownload Applications za Macbook sasa hapa unaweza Downloa hizi app Bure kabisa kupitia Website Hii Downlod Kupitia Link hii ►

https://www.torrentmac.net

Kama bado hujajiunga Telegram Chanell ambapo ninafundisha Photography na Video Bure kabisa Bofya Link hii ►

https://t.me/photographykwakiswahili

Wasiliana na mimi Kupitia: _________________________________________________________ Whatsapp ►

https://wa.me/message/O5GMMYAYRWRUO1

Instagram ►

https://instagram.com/inframe_tz

Twitter ►

https://twitter.com/inframe_tz

_________________________________________________________ Website ►

https://linktr.ee/francisart

Topaz Gigapixel AI 6.3.3.rar1352.60 MB
Sababu 8 kwanini unatakiwa Kutumia hii AI Software Kutengeneza Pesa Am Back! Mambo Vipi, Natumaini u Mzima Wa Afya, Mimi Pia Niko Poa, Sasa Kama Umekuwa Ukifuatilia Tweet Zangu Za Hivi Karibuni... Nimekuwa Niki Tweet Sana Kuhusu Artificial Intelligence, Kwanini? Kwasababu, Sasa Hivi Dunia Nzima Imevamiwa Na Huu Mfumo Wa AI, Ambapo Kila Kitu Sasa Hivi Kinafanywa Na Mashine... Na Mashine Hizi Zimetengenezewa Mfumo Wenye Akili Kama Binadamu! Mfano: Umeshawahi Kuona Magari Wakiwa Kiwandani Yanatengenezwa? Kama Umewahi Ona Basi, Utaona Zile Mashine Zinavyounda, Gari Kwa Muda Wa Masaa/Dakika Chache Mnooo, Kwahiyo Kutokana Na Kukua Kwa Tech Hiyo ya AI, Sasa Hivi Kila Kitu Kimewekewa huu Mfumo... Wa "AI" Ili Kumuwezesha Binadamu Kufanya Kazi Kwa Urahisi Zaidi, Bila Kupoteza Muda, Dakika 1 ijayo utaenda kujua kila kitu kuhusu, Hii Software Ambayo Nimekuwa Nikiitumia Kwa Muda Mrefu Sana Kutengeneza Pesa, Kabla Sijaendelea... Kama Wewe Ni Mgeni Humu Ndani Nakukaribisha Sana... Napenda Nikutoe Hofu Kwamba Hujachelewa, Ndio kwanza tunaanza... Haya Tuendelee... Hii Software Inaitwa "Gigapixel AI" Ambayo Imetengenezwa Mahususi Kwa Photographer's Na Watu Waliopo Kwenye Kiwanda Hiki Cha Picha, Sasa Utaniuliza Wewe Unaitumiaje Kutengeneza Pesa Bro! Iko Hivii... Nimeona Kuna Wimbi Kubwa La Watu Wanauza Picha Za Vibao, Ikiwemo Na Mimi... Nimekuwa Na Changamoto Ya Baadhi Ya Wateja Wakinitumia Picha Zao Walizopiga Na Simu, Picha Nyingi Zinakuwa Na Noise, Hazina Resolution Kubwa n.k Sasa Hapa Ndipo "Gigapixe AI" Inapokuja Kufanya Kazi... Kazi Yake Kubwa Ni Kuondoa Noise Na Kuiongezea Picha Yoyote Hata Iliyopigwa Kwa Simu X6 Zaidi Ndio Mara 6 Zaidi Ya Ubora wa Awali, Na Hii Inakuwezesha Wewe Kuprint Picha Yako Bila Stress wa picha Kutokuwa Bora. Anyway: Kwa Wale Wanaotumia Windows Computer Unaweza Download Hapa (BURE)👇
إظهار الكل...
24. Kwanini Beginner Photographer Wengi Wanaishia Kuwa (Banyaa) Na Wengine Kukata Tamaa: https://t.me/photographykwakiswahili/85 25. Hii ni kwa yeyote anayetaka kufanya Biashara za ONLINE hasa kwa sisi Phoographer:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/86 26. 𝗭𝗶𝗷𝘂𝗲 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝗧𝗮𝗻𝗼 𝗭𝗮 𝗞𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗞𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝘆:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/10 27. “Naomba kuona kazi zako”, :👉 https://t.me/photographykwakiswahili/94 28. Je, Unataka kufanikiwa kuanzisha Biashara ya Photography Bongo 2023?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/95 29. Njia 4 zitakazo kusaidia kukuza Biashara yako ya Photography kama beginner 2023:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/98 30. Je, Midjourney nini?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/99 31. Najua karibia ya creatives wengi huwa mnahitaji Software mbalimbali lakini hamjui pa kuzipata:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/100 32. Mwaka 2023 Hautokuwa Mgumu kama ukiamua, Kwanini?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/102 33. Kama Ndio unaanza Photography 2023, Mambo 5 Yanayoweza Kukusaidi Ukapiga Hatua Kubwa:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/103 34. m-Nigeria pekee aliyebadilisha mtizamo wangu kuhusu Photography, na vipi inaweza ikakusaidia wewe kufanikiwa:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/104 35. Ijue Siri hii inayotumiwa na Proffesional Photographer karibia wote Duniani:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/105 36. Jinsi ya kuongeza Speed ya Editing kwenye Capture One Pro:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/109 37. Kama ndio unaanza photography 2023 hivi ndivyo vitu vya kuvipa vipaumbele:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/116 Hakikisha umebonyeza link iliyopo mbele ya somo utakalotaka kujifunza: Na Kama una rafiki yako anahitaji kujiunga kujifunza Photography and Video, Nitext Private nitakupa maelekezo... Ikumbukwa kwa sasa hivi kujiunga kwenye Chanell hii ni BURE, Yeyote anaweza kujiunga nasi.
إظهار الكل...
Asante sana kwa kujiunga nasi na karibu sana, #FrancisMtei
إظهار الكل...
⚠️Good News hasa kwa wewe uliyejiunga hivi sasa,👇 -Kuna Watu Walipo Humu Kuna Ambao Hawajawahi Shika Kamera Kabisa Ila Wanataka Kuingia Katika Tasnia Hii Ya Photography -Kuna Ambao Ni Beginner Photographer's Ambao Bado Hawajui Hii Biashara Ya Photography Inafanyikaje Na Wanataka Kujua... -Kuna Intermediate Photographer Ambao Tayari Wana Uzoefu Fulani, Lakini Bado Wanafikiri Kuna Vitu Hawafanyi Kwa Usahihi Ama Wanahitaji Kuongeza Value Katika Biashara Yao Ya Photography Sasa Chanell Hii Ni Kwaajili Ya Makundi Hayo Matatu, Madini Yote Ninayoweka Humu, Yanaweza Kumsaidia Yeyote Kati Ya Hao... Pia Nipende Kusema Huu Ni Utangulizi Bado Nahitaji Tuwe Na Watu Wengi Zaidi Ili Tujifunze Na Kukua Kwa Pamoja! Kwa kusema hivyo basi... Haya ndio masomo yote ambayo tayari yamesharuka hewani humu ndani... Unachotakiwa kufanya, Bonyeza Link iliyopo mbele ya kichwa... Then itakudirect kwenye Somo husika humu humu ndani (Internal Link) 1. Download Software za Editing za Bure hapa:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/89 2. 𝗚𝘂𝗻𝗱𝘂𝗮 𝗝𝗶𝗻𝘀𝗶 𝗬𝗮 𝗞𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗞𝗶𝗹𝗲 𝗨𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝗷𝘂𝗮 𝗝𝘂𝘂 𝗬𝗮 𝗟𝗲𝗻𝘀 𝗡𝗮 𝗞𝘂𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗲𝗮 𝗣𝗲𝘀𝗮 𝗡𝗱𝗲𝗳𝘂.: 👉https://t.me/photographykwakiswahili/12 3. 𝗭𝗶𝗷𝘂𝗲 𝗦𝗮𝗯𝗮𝗯𝘂 𝗞𝘂𝘂 𝟱 𝗭𝗮 𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗣𝗲𝗿𝘀𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗣𝗿𝗼𝗷𝗲𝗰𝘁 𝗡𝗶 𝗠𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗠𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝗞𝘂𝗸𝘂𝘇𝗮 𝗦𝗮𝗮𝗻𝗮𝗮 𝗬𝗮𝗸𝗼 𝗬𝗮 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝗴𝗿𝗮𝗽𝗵𝘆!: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/13 4. 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗡𝗬𝗜𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗣𝗢 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗡𝗜𝗖𝗛𝗘: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/25 5. Graphics Tablet Kwa Photographer's: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/32 6. Makosa 8 Yanayofanywa Na Beginner Photographer's:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/34 7. Kama Unaanza Photography Basi huu ni mwongozo Yakinifu Namna Ya Kununua Camera Used Au Mpya!: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/38 8. Ndani ya Dakika 2 zijazo, Nitakupa ukweli wote kuhusu Mbinu za ku-print Pesa Kupitia Kazi Mteja wa kwanza utakaye mpata!:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/39 9. Tumia Behind The Scene Kutegeneza Wateja Wapya! :👉 https://t.me/photographykwakiswahili/41 10. Hii Ni Siri Moja Kubwa Yenye Nguvu Ninayoitumia Kwa Miaka Zaidi Ya 5 Kupata Wateja Online: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/49 11. Siri Niliyoitumia Kujifunza Chochote Kile Nilichotaka Kujifunza kwa Muda Wote Wa Miaka 6: 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/51 12. Je, Unajua Unaweza Kuuza Picha Zako Mpaka $500 On-line?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/53 13. SIRI 4 Ambazo Proffesional Wanazitumia Kutoboa Tobo la Mafanikio.:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/56 14. Zitumie Hizi SIRI 5 ili kupata wateja wapya Hata Kama Ndio Unaanza Photography Leo:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/60 15. Njia 4 Rahisi Za Kutengeneza Portfolio Yako Kama Beginner Photograher Na Kukuzalishia Pesa... (Part One): 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/63 16. Njia 4 Rahisi Za Kutengeneza Portfolio Yako Kama Beginner Photograher Na Kukuzalishia Pesa... (Part Two): 👉 https://t.me/photographykwakiswahili/64 17. How to Find YOUR STYLE in Photography as a Photographer:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/65 18. Pesa Nyingi Zipo Kwenye Jina! Kwanini?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/66 19. Wapi Unaweza Pata The Best Photography Idea's? Beginner/Intermediate Photographer Guide:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/68 20. Siri Inayokukosesha Wateja Na Pengine Kukukimbia:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/69 21. Siri Iliyopindua Soko Langu La Photography Kuanzia Mwaka 2019-2022:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/81 22. Siri Hii Nimeiutumia Kwa Muda Mrefu Kufanikisha Photoshoot Zangu Zote Kwa 100% Je, Unajua Kutumia Mood Boards? :👉 https://t.me/photographykwakiswahili/82 23. Nguvu Ya Mtandao Iliyonipelelekea Kulamba Deal La Picha, Je Wewe Unatakiwa Kufanya Nini?:👉 https://t.me/photographykwakiswahili/84
إظهار الكل...
Nashauri: Wekeza muda Mwingi kwenye kuyafanya mambo hayo, ili weze kufanikisha kuliona Tobo, Kumbuka wanaofanikisha kwenye Photography, Sio wanaojua kupiga Picha vizuri, Bali wanaojua kufanya biashara hii 2. 𝐓𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐰𝐞𝐳𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐨. 90% ya kazi zangu zote nilizowahi fanya zinatona connection niliyoitengeneza Unaweza niuliza Connection ni kitu gani, Mfano, Umesikia sehemu kuna Event na ni ya bure, Badala ya kulala Kitaa, wewe nyanyuka na kamera yako nenda kafanye kazi ukutane na watu! Siku za Nyuma nilishawahi kuandika uzi nilivyoenda na camera yangu kwenye shoo ya Mondi ndio Diamond Platnumz pale mwembe yanga... namna ambavyo nilitoka na connection na kitita bila kutegemea Social media ni sehemu ya Bure kabisa inayoweza kukuunganisha na watu kibao, Mfano wewe unayesoma hapa, Tayari unajua ninachofanya kwasababu ya ninavyoutumia huu mtandao Positively. 3. 𝐒𝐨𝐜𝐢𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐚, 𝐒𝐨𝐜𝐢𝐚𝐥 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐚! Mwaka jana ndio mwaka ambao kwangu nimefanya kazi nyingi kutoka kwa watu wa mtandaoni, Kama ndio unaanza hii tasnia ya Picha Usidharau kabisa Nguvu ya mitandao ya kijamii, Jifunze kuitumia Mitandao ya kijamii kibiashara, achana na mwaswala ua kujipost post! Tafuta position then ujulikane kupitia hiyo, Kumbuka mimi nilisha kuwa beginner kama wewe, Unachokisoma hapa ukikifanyia kazi, 9.99% kitakupa matokeo Guarantee... Mwaka 2023 sio muda wa kufukuza uPEPO!
إظهار الكل...
اختر خطة مختلفة

تسمح خطتك الحالية بتحليلات لما لا يزيد عن 5 قنوات. للحصول على المزيد، يُرجى اختيار خطة مختلفة.