cookie

نحن نستخدم ملفات تعريف الارتباط لتحسين تجربة التصفح الخاصة بك. بالنقر على "قبول الكل"، أنت توافق على استخدام ملفات تعريف الارتباط.

avatar

DAAWATSALAF 🇹🇿🇿

Jiunge nasi kwenye chanel yetu, ili upate faida zaidi za kielimu kutoka kwenye kitabu na sunna kwa ufaham wa wema walio tangulia

إظهار المزيد
لم يتم تحديد البلدلم يتم تحديد اللغةالدين والقيم الروحية44 981
مشاركات الإعلانات
1 857
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
لا توجد بيانات7 أيام
لا توجد بيانات30 أيام

جاري تحميل البيانات...

معدل نمو المشترك

جاري تحميل البيانات...

Photo unavailableShow in Telegram
*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹KWANINI WAKE WENGI HUKOSA LADHA YA IMANI❓* *قال رسول الله صلى الله عليه وسلم* *📝Amesema mtume (swallah llahu alayhi wasallam)* *ولا تجد المرأة حلاوة الإيمام حتى تؤدي حق زوجها.* *Na wala hatopata mke ladha ya imani mpaka azitekeleze haki za mume wake."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ صحيح الترغيب 1939. ❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/Il26QGJxgek* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/KCEtpPr30Pe2ITusmI8Gs9* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *🎤Kua muadilifu us'badili chochote💥* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...
[1800 -2802] هل يصح أن يتولى الخال عقد نكاح بنت أخته؟ - الشيخ صالح الفوزان

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹NINI KINAMPASA AFANYE YULE ANAE JUWA YA KWAMBA MKEWE ANAFANYA ZINAA❓* Darsa namba (3) *"Jambo la kwanza linalo mpasa ni kumpa nasaha kunako kitendo chake hiko kichafu: kwani hakika ya mtume (swallah llahu alayhi wasallam) anasema:* *النبي عليه الصلاة والسلام قال:* *📜Amesema mtume (swallah llahu alayhi wasallam):* *لا يزني الزاني حين يزني وهو مؤمن.* *Hazini mwenye kuzini muda anao fanya zinaa akawa muumini (wa kweli).* *Amesema imam Abdul Aziz bin baazi (rahimahullah)* *هذا من علامة ضعف الإيمان، أو عدم الإيمان نعوذ بالله،* *Jambo hili (zinaa) ni alama ya kupungua kwa imani, au alama ya kukosekana kwa imani Allah atuliende na jambo hili* *فعليه أن يؤدبها الأدب مع الوعظ والتذكير بالله،* *Basi juu ya mume amtie adabu (mkewe) pamoja na kumpa mawaidha na kumkumbusha kunako Allah* *وأن هذا منكر ومعصية لله،ومن أسباب الفراق،* *Kwani hakika ya huu ni uovu na maasi ya kumuasi Allah na sababu ya kuachana* *وإن لم تستقم فارقها طلقها؛ لئلا تحمل عليه أولاداً من غيره،* *Na akiwa hajaacha zinaa (baada ya kumpa nasaha na kumtia adabu) basi mpe talaka ili asije kumzalia mumeme watoto wa mume mwengine* *ومتى استقامت وتابت ورجعت إلى الله فالحمد لله،* *Na muda ambao atasiamama akawa sawa sawa na akatubia kwa Allah na akajirudi kwa Allah (kutokana na kuacha zinaa) Al-hamdu lillah* *فالتوبة بابها مفتوح ومن تاب تاب الله عليه إذا كان صادقاً،* *Toba Mlango wake uko wazi na yeyote atakae tubia basi Allah hupokea toba yake pindi akiwa mkweli* *فأما إن لم يحصل منها الرجوع والتوبة واستمرت على حالها السيئة، فإن مثل هذه لا ينبغي بقاؤها،* *Na akiwa hajajirudi kwa kuomba toba, na akaendelea na hali yake mbaya, basi mfano wa mke huyu haifai kubaki nae* *بل ينبغي فراقها وعدم بقائها؛ لأن هذا يجر عليه شراً كثيراً في نفسه وفي أولاده،* *Bali inampasa mume ampe talaka na asikae nae; Kwa sababu jambo hilo linaleta madhara makubwa kwake na kwa watoto wake."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ:❪نور على الدرب ما يجب على من علم عن زوجته أنها تفعل الفاحشة؟❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/teREVpBcX9E?si=C-1GO4_PxIPLsmqe* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹NINI KINAMPASA AFANYE YULE ANAE JUWA YA KWAMBA MKEWE ANAFANYA ZINAA❓* Darsa namba (2) *Kitu cha kwanza kinacho mpasa akifanye: ni kumpa nasaha mkewe na kumlaumu katika hilo na kumuelekeza katika kheri, na kumnasihi ya kwamba hakika ya zinaa ni uchafu na haraam na Allah kamuahidi mzinifu kwa Adhabu kali. Kwani hakika ya Allah kasema:* *وَالَّذِينَ لا يَدْعُونَ مَعَ اللَّهِ إِلَهًا آخَرَ وَلا يَقْتُلُونَ النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ وَلا يَزْنُونَ وَمَنْ يَفْعَلْ ذَلِكَ يَلْقَ أَثَامًا.* *Na wale ambao hawamuombi pamoja na Allah mungu mwengine na wala hawaiuwi nafsi ambayo Allah kaiharamisha isipokuwa kwa haki na wala hawazini na yeyote mwenye kuyafanya hayo atakutana na adhabu kali.* {A-lfurqaan 68} *يُضَاعَفْ لَهُ الْعَذَابُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَيَخْلُدْ فِيهِ مُهَانًا.* *Ataongezewa yeye Adhabu siku ya Qiyama na atadumu katika adhabu hizo haliyakua ni dhalili.* {Al-furqaan 69} *Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziz bin baazi (rahimahullah)* *توعد الزاني بأنه يضاعف له العذاب، ويخلد فيه مهاناً يوم القيامة في النار نسأل الله العافية.* *Allah kamuahidi mzinifu hakika yake ataongezewa adhabu, na atadumu katika adhabu hizo milele siku ya Qiyama katika moto wa Allah, tunamuomba Allah afya."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ:❪نور على الدرب ما يجب على من علم عن زوجته أنها تفعل الفاحشة؟❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/5XhP5YGvQCk?si=0mCHfSAChYKY4FmL* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...
اختلاف العلماء رحمة فهل هذه المقولة صحيحة / معالي الشيخ صالح الفوزان.

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹NINI KINAMPASA AFANYE YULE ANAE JUWA YA KWAMBA MKEWE ANAFANYA ZINAA❓* Darsa namba (1) *سئل العلامة إمام إبن باز رحمه الله تعالى* *📜Aliulizwa Al-Allaamah imam Abdul Aziz bin baazi (rahimahullah)* *أنا متزوج وبعد زواجي بخمس سنوات علمت من أحد الجيران أن زوجتي تمارس الفاحشة،* *Mimi nimeoa na baada ya kuoa kwangu ikapita miaka mitano basi nikajuwa kupitia mmoja katika majirani zangu ya kwamba hakika mkewangu anafanya zinaa* *فراقبت ذلك فوجدته صحيحاً، فما كان مني إلا أن قمت بضربها،* *Nikalifatilia jambo hilo nikagundua kuwa ni kweli, basi sikuwa na uamuzi mimi ispokuwa kumpiga mkewangu* *فطلبت مني الطلاق أكثر من مرة فلم أطلقها خوفاً من تشتت الأولاد،* *Basi akataka talaka kwangu mimi zaidi ya mara moja na wala sikumpa talaka kwa kuogopea kuwatawanya watoto* *ولو طلقتها ليس عندي مال أتزوج به، وأنا عامل عادي يوم أعمل وأكثر الأيام بدون عمل أفيدوني ماذا أفعل، بارك الله فيكم؟* *Na Lau kama nitampa talaka sina mali ya kuolea tena, na mimi ni mfanyakazi wa kawaida siku nafanya kazi na siku nyingi sina kazi, basi nipe faida nini nifanye,* Allah akubaariki❓ *فأجاب: هذه من المصائب العظيمة، والواجب علاجها بالتأديب والنصيحة،* *📝Akajibu: huu ni katika misiba mikubwa, na jambo la wajibu kwako ni kuutibu msiba huu kwa kumtia adabu na kumpa nasaha* *وتوجيه اللوم إليها وبيان أن الواجب عليها العفة،* *Na kumlaumu (kwa jambo hilo) na kum'bainishia hakika ya jambo la wajibu kwake ni kujihifadhi* *والحذر مما حرم الله عليها فإن الزنا من أقبح الجرائم ومن أعظم الكبائر،* *Na kumtahadharisha katika yale aliyo yaharamisha Allah kwani hakika ya zinaa ni miongoni mwa mambo mabaya na katika madhambi makubwa* *وقد توعد الله الزاني بالعذاب الشديد،* *Na kwa hakika umemuahidi Allah mzinifu kwa kumpa adhabu kali."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ:❪نور على الدرب ما يجب على من علم عن زوجته أنها تفعل الفاحشة؟❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/5XhP5YGvQCk?si=0mCHfSAChYKY4FmL* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹HUKMU YA NDOA YA MZAMZITO ALIE ZINI,* Darsa namba (1) *قال العلامة إمام إبن باز رحمه الله تعالى* *📜Amesema Al-Allaamah imam Abdul Aziz bin baazi (rahimahullah)* *فالحام من الزنا لا تزوج لا على عاشقها ولا على غيره،* *Mwanamke mwenye ujauzito wa zinaa haolewi na mtu anae mpenda na wala mtu mwengine* *لا على الزاني ولا على غيره،* *Na haifai kuolewa na alie zini nae na wala mtu mwengine* *إذا وضعت حملها بعد هذا تزوج وتؤمر بالتوبة والإقلاع* *Na akizaa mimba yake baada ya jambo hilo ataolewa lakini anaamrishwa kutubia kwa Allah (kutokana na dhambi hilo) na kujitoa katika dhambi hilo* *والندم وتزوج بعد ذلك على صاحبها أو على غيره.* *Na ajutie juu ya dhambi hilo na ataolewa baada ya hilo na anae mpenda au mtu mwengine."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ:حكم تزويج الحامل من الزنا بمن زنى بها❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/5XhP5YGvQCk?si=0mCHfSAChYKY4FmL* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/KCEtpPr30Pe2ITusmI8Gs9* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...
اختلاف العلماء رحمة فهل هذه المقولة صحيحة / معالي الشيخ صالح الفوزان.

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹SIFA ZA KUOGA JANABA,* Darsa namba (3) *ومن اقتصر على الصفة الأولى: من النية وتعميم الجسد بالماء أجزأه ذلك ولو لم يتوضأ،* *Na mwenye kufupizika katika sifa ya kwanza (ya kuoga janaba): kutokana na kutia nia katika moyo wake na kueneza maji mwili mzima basi linamtosha hilo lau hata hakutia udhu* *لدخول الوضوء في الغسل، وهذا الغسل للرجل والمرأة،* *Kwa kuingia udhu wake ndani ya kuoga, na kuoga huku ni kwa mwanaume na mwanamke* *إلا أن المرأة لا يجب عليها أن تنقض ضفيرتها إن وصل الماء إلى أصل الشعر،* *Isipokuwa mwanamke sio wajibu kwake kufumua misuko yake ya nywele ikiwa maji yatafika mpaka katika ngozi* *وبأحد هذين الاغتسالين يكون الرجل أو المرأة قد تطهر من الجنابة،* *Na moja katika aina mbili hizi za kuoga janaba atakuwa mwanaume au mwanamke ametwaharika kunako janaba* *وكذلك تطهر المرأة من الحيض والنفاس.* *Hivo hivo hutwaharika mwanamke kutokana na hedhi na nifasi."* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/5XhP5YGvQCk?si=0mCHfSAChYKY4FmL* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/KCEtpPr30Pe2ITusmI8Gs9* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹SIFA ZA KUOGA JANABA,* Darsa namba (2) *صفة الغسل الكامل وهو: ما جمع بين الواجب والمستحب، ووصفه كالآتي:* *Sifa ya pili ya kuoga janaba: nayo ni sifa ya kuoga kwa ukamilifu nako: kumekusanya baina ya mambo ya wajibu na sunna na zikasifiwa kama zitakavyo kuja:* *يغسل كفيه قبل إدخالهما في الإناء ثم يفرغ بيمينه على شماله فيغسل فرجه،* *Ataosha mikono yake kabla ya kuiingiza ndani ya chombo, kisha atasugua mkono wake wa kulia juu ya mkono wa kushoto kwake na atosha sehemu zake za siri* *ثم يتوضأ وضوءه للصلاة كاملا أو يؤخر غسل الرجلين إلى آخر الغسل،* *Kisha atatawadha udhu ulio kamili kama udhu wa swala kisha atachelewesha kuiosha miguu miwili hadi mwisho wa kuoga* *ثم يفرق شعر رأسه فيفيض ثلاث حثيات من ماء،حتى يروى كله،* *Kisha atazichana nywele za kichwani kwake kisha atapitia maji mara tatu, mpaka kilowane chote* *ثم يفيض الماء على شقه الأيمن، ثم يفيض الماء على شقه الأيسر،* *Kisha atapitisha maji upande wake wa kulia, kisha atapitisha maji upande wake wa kushoto* *هذا هو الغسل الأكمل والأفضل،* *Huku ndiko kuoga kwa ukamilifu zaidi na kiliko bora zaidi* *ودليله ما في الصحيحين من حديث ابن عباس ـ رضي الله عنهما* *Na dalili ya hayo hupatikana katika hadith iliyopo katika sahihi mbili, hadith inayo toka kwa ibn Abbas (Allah awaridhie)."* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/wAqLJ-kL8kc* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...
احفظ لسانك لمعالي الشيخ صالح الفوزان حفظه الله ورعاه

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹SIFA ZA KUOGA JANABA,* Darsa namba (1) *فإن للغسل من الجنابة صفتين:* *Hakika ya kuoga janaba kuna sifa mbili:* *صفة للغسل الواجب الذي من أتى به أجزأه، وارتفع حدثه،* *Sifa ya ya kwanza: ni sifa ya kuoga josho la wajibu ambalo hupata ujira wake (mwenye kuoga) na huondoka hadathi lake* *وهو ما جمع شيئين: الأول: النية، وهي أن يغتسل بنية رفع الحدث،* *Nayo (hiyo sifa) imekusanya mambo mawili: jambo la kwanza: kutia nia nae akaoga kwa nia ya kuondoa hadath kubwa* *والثاني: تعميم الجسد بالماء.* *Jambo la pili: ni kueneza maji mwili mzima."* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/wAqLJ-kL8kc* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...

*https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *🌹🌹NASAHA KWA VIJANA WANAO CHAGUA SANA WANAWAKE* *كم من أخت سلفية تنتظر الزواج من سلفي حتى مضى عمرها وتجاوزت الثلاثين* *Ni wangapi katika maukhty wa kisalafy wanawasubiri wanaume wa kisalafy mpaka umri wao ukawa mkubwa ukavuka miaka thelathini (30)* *ولما أتى السلفي أرادها صغيرة في السن* *Na muda alipo kuja mwanaume wa kisalafy akamtaka bint mwenye umri mdogo‼️* *ألا يا أيها السلفي أنت أولى الناس أن تطبق أمر رسول الله صلى الله عليه وسلم من غيرك* *Tambua ewe mwanaume wa kisalafy wewe ni aula zaidi kumfata mtume (swallah llahu alayhi wasallam) kuliko watu wengine* *فاظفر بذات الدين تربت يداك* *Chagua mwenye dini itasalimika mikono yako* *ودع عنك البحث عن مواصفات بقرة بني إسرائيل* *Na achana na kutafuta sana mwanamke kuepukana na sifa za ng'ombe wa banii israail* *فاللهم أرزق عزاب أهل السنة زوجات صالحات ..* *Ewe wa Allah waruzuku wana sunna wake wema."* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Al-Akhy Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi)* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my channel YouTube* *https://youtu.be/HEvB2yVrm8c?si=ejejygCen25EfnyP* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kua muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*
إظهار الكل...
[868 /1350] هل يجوز أن تسمى دولة اليهود بدولة إسرائيل؟ الشيخ صالح الفوزان

اختر خطة مختلفة

تسمح خطتك الحالية بتحليلات لما لا يزيد عن 5 قنوات. للحصول على المزيد، يُرجى اختيار خطة مختلفة.