ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
photo content
+4

📍Nairobi,Kenya🇰🇪
📍Nairobi,Kenya🇰🇪

...🚨 | 𝗞𝗔𝗖𝗛𝗔𝗣𝗪𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗔 Kwa mara nyingine, Dullah Mbabe kipigwa kwa point na bondia Eric Katompa 🇨🇩 kati
...🚨 | 𝗞𝗔𝗖𝗛𝗔𝗣𝗪𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗡𝗔 Kwa mara nyingine, Dullah Mbabe kipigwa kwa point na bondia Eric Katompa 🇨🇩 katika pambano la round (10). Hii ni rematch, pambano la kwanza Dullah Mbabe alipigwa pia na Katompa. Baada ya pambano akiwa na hasira Dullah Mbabe alitaka kurejea ulingoni wazichape tena kavukavu akazuiwa na security 😄

Well,Katika kuadhimisha Siku ya Mashujaa wa Afrika,Naomba leo niishi Katika Kauli hizi Mbili. (i) "Utawaona Wanashangaa shang
Well,Katika kuadhimisha Siku ya Mashujaa wa Afrika,Naomba leo niishi Katika Kauli hizi Mbili. (i) "Utawaona Wanashangaa shangaa,Walifikiri nitakuwa pamoja nao..Never! Ni mara kumi nisiwe Rais, niende hata kuchunga na kukaa kijijini kuliko kuvumilia huu uozo unaofanyika, Nitawashughulikia kweli kweli, kama kutumbua Mimi hata kila siku nitatumbua tu,watu lazima wabadilike,..That is my direction and I will Never Change it - - JPM. (ii)"Katika kutimiza majukumu usijali sura ya mtu, maana utakapokwenda kaburini utakwenda peke yako" - JPM.

Kama mnavyofahamu ndugu zangu tuliunda tume ya kuchunguza biashara ya madini, tulichokibaini ni maajabu, ni uozo,ni ovyo, nas
Kama mnavyofahamu ndugu zangu tuliunda tume ya kuchunguza biashara ya madini, tulichokibaini ni maajabu, ni uozo,ni ovyo, nasema ni ovyo. Na wanaoleteleza uozo huu ni wasomi wetu ambao wamepewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu, tumekuta document moja inasema wawekezaji wasilipe kodi kwa miaka kumi na imesainiwa na mtanzania! Hata wanaosaidia kutorosha madini ni watanzania na ndio maana hata nchi inayoongoza kwa kuuza Tanzanite duniani sio Tanzania wakati Tanzanite inapatikana Tanzania tu, mnataka ndugu zangu ninyamazie uozo huu? Sasa nilichaguliwa kwa ajili gani? Nikae kimya kwa kumuogopa nani? Kwa sababu ya kuhofia maisha yangu? Si nafuu nizikwe kaburini lakini niuseme ukweli watanzania waujue?- Daktari John Pombe Magufuli.

MAMBO 7 aliyozungumza Rais Magufuli SENGEREMA kuhusu wanafunzi kupata Mimba wakiwa mashuleni 1)Mimi nimekusanya kodi za Watanzania,nimekupeleka shule bure,bado ukapate mimba bure urudi shule,hapana.Fuata kilichokupeleka shule-Rais Magufuli 2)Ni lazima tusimame kama wazazi tusiharibu maadili yetu.sio kwamba nawachukia wenye mimba lakini waende kwenye shule zitakazowakubali-Rais Magufuli 3)Mimi nimekaa Ulaya,kule watoto wao hawapati mimba,lakini wanataka sisi tupate mimba ili tushindwe kusoma na kuja kuitawala dunia-Rais Magufuli 4)Katika uongozi wangu mimi,nimesema hapana Na mkuu wa shule nikijua umempokea mtoto ambaye amejifungua,nakuhakikishia hautabaki hapo-Rais Magufuli 5)Wengine wanasema wamebakwa,sisi ni wabakaji sana?Wengine walikuwa wanafanya Umalaya Coco wakakamatwa juzi,wale utasema walibakwa?-Rais Magufuli 6)Mimj naziomba sana hizo NGOs zinazowatetea sana Wanafunzi wenye mimba.Zifungue Shule watakazowachukua watoto hao Lakini si serikali-Rais Magufuli 7)Waache wapige Kelele wee,lakini mimi ndio Rais na Nimeshasema kwamba Watoto wenye Mimba Shule hapana.Wafuate kilichowapeleka shule-Rais Magufuli

photo content

UKIONA WALIO HAI WANAPAMBANA NA MAITI BASI UJUE MAITI INA NGUVU KULIKO WALIO HAI.... HATA WAYAHUDI WALIPAMBANA NA MAITI WAKAW
UKIONA WALIO HAI WANAPAMBANA NA MAITI BASI UJUE MAITI INA NGUVU KULIKO WALIO HAI.... HATA WAYAHUDI WALIPAMBANA NA MAITI WAKAWEKA MPAKA JIWE KUBWA KABURINI WAKAWEKA MPAKA ASKARI WAILINDE MAITI HIYO NI ISHARA KUWA MAITI YA YESU HAIKUWA YA KAWAIDA... KWAHIYO LAZIMA TUJIULIZE MASWALI HII MAITI NI YA NAMNA GANI MPAKA WALIO HAI WANAPAMBANA NAYO? HAIONGEI...HAITINGISHIKI....HAIJIBU...INAOZA LAKINI WALIO HAI WAKO BUSY NAYO..... YAMKINI NI MAITI INAYOISHI INGALI IMEKUFA ...î

"Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mfanyabiashara ndogondogo au machinga haruhusiwi kukaa katikati ya mji. Tukianza kwe
"Hakuna sheria katika nchi hii inayosema mfanyabiashara ndogondogo au machinga haruhusiwi kukaa katikati ya mji. Tukianza kwenda na utaratibu wa namna hiyo maana yake tunatengeneza makundi ya Watanzania. Kwa hiyo wateule wangu lazima muelewe hili,kwa sababu hawa ndio waliniweka madarakani nitatue changamoto zao sio nitengeneze changamoto nyingine. Hata kama mnawahamisha msiwapeleke kwenye maeneo ambayo hayata 'facilitate business zao'(hayawezeshi kufanyika kwa biashara zao), ni lazima mtengeneze utaratibu mzuri, machinga wasijione wanyonge kwenye nchi yao"-#JPM

"nataka muamini kwamba mna rais wa kwelikweli,jiwe kwelikweli. Sitishwi na sitishiki. Mimi jukumu langu ni kwa ajili ya watan
"nataka muamini kwamba mna rais wa kwelikweli,jiwe kwelikweli. Sitishwi na sitishiki. Mimi jukumu langu ni kwa ajili ya watanzania, kuhakikisha ninawavusha kutoka mahali pa shida kwenda mahali pa raha, na hiyo ndiyo itakuwa sadaka yangu kwa watanzania. Inawezekana kuelewa ni kugumu na inawezekana mkachukua muda lakini siku moja mtanikumbuka. Na mimi najua Watanzania wana tabia ya kukumbuka mtu akishakufa, wanakwambia pengo lake halitazibika"-Dkt Magufuli

"Tumetengeneza hivi vitambulisho vya wamachinga ili kusudi wasisumbuliwe. Wananchi hawa maskini wameteseka vya kutosha, kwa k
"Tumetengeneza hivi vitambulisho vya wamachinga ili kusudi wasisumbuliwe. Wananchi hawa maskini wameteseka vya kutosha, kwa kulipishwa makodi ya ajabu,migambo wanamwaga vyakula vyao, na saa nyingine hawaendi kumwaga; wanaenda kula na wake zao. Nikasema hapana, wananchi hawa wanyonge ndio walinipigia kura wakaniambia Magufuli nenda katutumikie, siwezi nikawasaliti. Kwa hiyo machinga akishalipa elfu 20 ya kitambulisho asisumbuliwe kwa chochote kwa mwaka mzima, wafanye biashara kwa uhuru. Na mimi nataka niwahakikishe, nimedhamiria mpaka namaliza kipindi changu, wafanyabishara hawa wadogowadogo wanakuwa mamilionea" Dkt Magufuli

"Tangu wamemuua Gadafi, Libya imegeuka kuwa uwanja wa vita,watu wanakufa kwenye mediterranean sea,waliomuua Gadafi wapo na ninyi mnawajua. Nenda Iraq,walimnyonga yule mtu(Sadam Hussein) mpaka mwili ukaachanishwa na kichwa, nafikiri aliwapa laana, nenda Syria, Syria ilikuwa nchi nzuri tu, nenda Somalia,tangu kuuawa kwa Siad Barre nchi mpaka leo haijatulia.Raia wa nchi hizo wamekuwa wakimbizi, Walioziharibu nchi hizo wapo,, Watakuja na maneno mengi,mara demokrasia,kwao kuna demokrasia? Demokrasia tuliyonayo hapa inatutosha" Dkt John Pombe Magufuli. Leo ni miaka kumi tangu kuuawa kwa kiongozi wa Libya Muamar Gadafi. Gadafi aliuawa kufuatia machafuko ya ndani na baadaye uvamizi wa kijeshi wa Umoja wa kujihami wa nchi za magharibi (NATO). Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama alihutubia ulimwengu kushangilia kifo chake "Mtawala wa kimabavu wa libya aliyeua watu wengi wasio na hatia,ameuawa hii leo. Tunatumai kifo chake kitatoa fursa ya kurejesha demokrasia nchini humo". #RIPMagufuli #RIPGadafi

photo content
+1

"Hakuna haja ya Kuwa na Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya wakati tuna msururu wa Viongozi kama Wakurugenzi, makatibu tawala l
"Hakuna haja ya Kuwa na Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya wakati tuna msururu wa Viongozi kama Wakurugenzi, makatibu tawala lazima Kwenye Katiba tulirekebishe hilo, Viongozi wa Mikoa wachaguliwe na Wananchi wenyewe na sio kuteuliwa na Rais" "Katiba tuliyonayo inasema Wabunge wanaweza kupiga kura kumuondoa Rais madarakani Lakini Haijaweka wazi Wabunge wakikosea ni Nani wa kupiga kura kuwaondoa, Katiba lazima iwape Mamlaka Wananchi ya kuamua kwa sababu hii Nchi ni ya Wananchi" Zitto Kabwe Kupitia clouds TV" Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe Kupitia clouds360

Fally aweka historia Ufaransa Kwa hili tamasha lake 🥶🥶🥶 Bara la Afrika linazidi kuonyesha nguvu zaidi duniani upande wa bu
+2
Fally aweka historia Ufaransa Kwa hili tamasha lake 🥶🥶🥶 Bara la Afrika linazidi kuonyesha nguvu zaidi duniani upande wa burudani 🌏. Baada ya wanaijeria kuonyesha uwezo mkubwa Kwa kuzijaza kumbi mbali mbali barani Ulaya na Marekani hatimae Faly Ipupa mwanamuziki mwenye asili ya DRC Congo 🇨🇩 aweka rikodi nayeye ya kuujaza ukumbi wa La Défense Arena uliopo mjini Paris nchini Ufaransa ambapo ukumbi huo una uwezo wa kupokea watu zaidi ya 40.000 🥶🥶🥶 Hongera sana Fally Ipupa Afrika juuuu 😎😎😎 Usisahau ku Subscribe channel yetu Kwa sababu Leo tuna jambo letu humu 👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻👉🏻 KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

Kama Unamkubali taja jina lake na msemo wake ambao unaupenda zaidi 😂😂😂
Kama Unamkubali taja jina lake na msemo wake ambao unaupenda zaidi 😂😂😂

Kuna haja ya kukutana meza Moja watani mkayamaliza😅😂 haya mambo mbona yanazungumzika tu jamani😂😂
Kuna haja ya kukutana meza Moja watani mkayamaliza😅😂 haya mambo mbona yanazungumzika tu jamani😂😂

WIZI MPYA Kwa Watu wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome hii na kuielewa. Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu sisi wataalamu wa kuchokonoa simu tunauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu tayari wamekwishalizwa. Jinsi unavyofanya kazi 1 Mtandao kwenye simu yako unapotea ghafla, unaona imeandika “No Signal au Zero Bars” halafu baada ya muda unaona simu inaingia. 2 Hiyo namba iliyokupigia simu unakua huifahamu na inaweza kuwa ya mtandao wowote Tigo/Airtel/Halotel/TTCL/Vodacom na kadhalika kutegemea unatumia mtandao upi ambao muda huo sasa ndio unakuwa umekumbwa na hiyo shida ya kupotea potea kwa mtandao. 3 Huyo aliyepiga atakwambia kwamba kuna tatizo la mtandao kwenye simu yako na wewe utakubali kwa sababu kweli kuna tatizo. Atakuelekeza kubonyeza 1 ili tatizo la mtandao kwenye simu yako liweze kutatuliwa. Akikupa maelekezo hayo usifanye lolote, kata simu. Kwa sababu utakapobonyeza 1, mtandao wako utarudi ghafla na kisha kupotea (zero bars) na kwa kitendo hicho simu yako inakuwa imedukuliwa (hacked). Yaani kitaalam hao ndio ma-hacker Wizi huu unaongezeka siku baada ya siku na kama una fedha kwenye akaunti yako ya simu (Tigo Pesa, Airtel Money, etc) basi zote zinatolewa. Baada ya tukio hilo wewe utaona tu simu yako shida ni kwamba haina network lakini tayari wakati huo line yako ya simu inakuwa swapped na taarifa zote kwenye line yako anakuwa nazo huyo aliyefanya tukio. Tatizo hapa ni kwamba hutapata taarifa zozote za kufanya kwa miamala ya aina yoyote kupitia simu yako kwa hiyo kwa wale wanaotumia USSD na Mobile Banking kuweni makini. Wape faida na wengine #SHARE

photo content

Wachezaji wa Timu ya Soka ya Wanawake ya Ivory Coast 🥶🥶🥶🥶 Video kamili hapa👉🏻 https://instagram.com/sportslitetv?igshid
Wachezaji wa Timu ya Soka ya Wanawake ya Ivory Coast 🥶🥶🥶🥶 Video kamili hapa👉🏻 https://instagram.com/sportslitetv?igshid=OGQ5ZDc2ODk2ZA==