ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah ameendelea na Utaratibu wake wa kila mwaka wa Kusheherekea sikukuu ya Christ
+1
Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Mohamed Salah ameendelea na Utaratibu wake wa kila mwaka wa Kusheherekea sikukuu ya Christmas. Mwaka huu ametoa wito kuwa tuwakumbuke wahanga wa vita huko Gaza. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Salah ameandika⬇️ "Krismasi ni wakati ambapo familia hukutana pamoja na kusherehekea. Na vita kali inayoendelea Mashariki ya Kati, hasa vifo na uharibifu huko Gaza, mwaka huu tunakutana na Krismasi na mioyo mizito sana na tunashiriki maumivu ya familia hizo ambazo zinaomboleza kwa kupoteza wapendwa wao. Tafadhali usiwasahau na usiyazoee mateso yao. Krismasi njema." -Mo Salah Hata hiyo baadhi ya watu wanaoyesha wazi kuchukizwa na utaratibu huo wa mchezaji huyo kutoa salamu hizo ingali yeye ni muumini wa dini ya kiislamu. Picha ya mswisho ni picha ya Mo Salah katika sikukuu ya Krismasi ya mwaka jana 2022. Nini maoni yako?

Hivi nisahihi kununua gari ikiwa kijijini kwako ulikozaliwa pako hivi👇🤔🤔? Kipi muhimu cha kuanza nacho kati ya nyumba na g
Hivi nisahihi kununua gari ikiwa kijijini kwako ulikozaliwa pako hivi👇🤔🤔? Kipi muhimu cha kuanza nacho kati ya nyumba na gari?

Ukute kuna watu walijua Masanja anabonyeza kweli hapo na Computer ipo ON maana alikuwa busy balaa🤣
Ukute kuna watu walijua Masanja anabonyeza kweli hapo na Computer ipo ON maana alikuwa busy balaa🤣

photo content

HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KWAKO MDAU WETU
HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KWAKO MDAU WETU

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK

SIMBA NA YANGA KUKIMBILIA ZANZIBAR Ameandika Ahmad Mkunda Ilichokifanya Serikali ni kumwaga Mboga, Baada ya Shirikisho TFF Ku
SIMBA NA YANGA KUKIMBILIA ZANZIBAR Ameandika Ahmad Mkunda Ilichokifanya Serikali ni kumwaga Mboga, Baada ya Shirikisho TFF Kuufungia Uwanja wa Uhuru Serikali umeamua Kuufunga Uwanja wa Mkapa Usitumike Katika Michezo Yeyote ya Ligi Kuu,FA, Klabu Bingwa N.K Serikali imesema iliamua kuufungua uwanja wa Mkapa Ili utumike Katika Michezo mikubwa Pekee hasa ya kimataifa Kimbilio pekee kwa sasa Kwa Timu za Simba Na Yanga ni Kuchagua Kutumia kiwanja cha Amaan Zanzibar Katika Michezo Yao iliyosalia ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAFCL group stage. Hii ni kutokana na kuwa Kwa Tanzania Bara kiwanja Pekee kilichobakia Baada ya Uwanja wa Mkapa Kufungwa Hadi Oktoba 2024 Huku Azam Complex kutokidhi viwango vya CAF na FIFA kucheza hatua ya makundi ya CAFCL na mechi za timu za Taifa ambapo kinashindwa kukidhi category 3 (kiwanja hakina viti eneo wanalokaa mashabiki) NB: Zile Kauli Mbiu Kwa Mkapa.Hatoki Mtu Hatutaziona Hadi Mwezi wa 10.mwaka.2024 😥 bonyeza link hii>> https://t.me/sportslite <<kwenda moja kwa moja

UWANJA WA MKAPA WAFUNGWA HADI OKTOBA 2024 Serikali imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mpaka pale uka
UWANJA WA MKAPA WAFUNGWA HADI OKTOBA 2024 Serikali imetangaza kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mpaka pale ukarabati utakapomalizika Oktoba mwakani. Timu zilizoomba kutumia uwanja huo kama viwanja vyao vya nyumbani zimeelekezwa kutafuta viwanja vingine. UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA  KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk

Kimeumana huko...😀😀😀 UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-ht
Kimeumana huko...😀😀😀 UNASUBIRI NINI CHAT NA MAFANS KIBAO WANAOSUPPORT MPIRA KUHUSU MPIRA  KWA KUJIUNGA HAPA KWENYE LINK:-https://t.me/joinchat/QZcUBeMotA8wMmNk

photo content
+7

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Habari ndugu zangu, Mungu ameniongoza kuwaomba Radhi wote waliokwazika kwa posti yangu ya Instagram, kimsingi imekuwa tofaut
"Habari ndugu zangu, Mungu ameniongoza kuwaomba Radhi wote waliokwazika kwa posti yangu ya Instagram, kimsingi imekuwa tofauti na ilivyofikiliwa lakini watu wa udaku wanatafuta kontenti tu, hivyo wanaweza kupindua meza. Niwaombe radhi wote walioguswa na kukwazika kwa kinachoendelea" "Mimi ni mtumishi wenu kwenye idara tofauti-tofauti ikiwemo ya Uigizaji na nyingine lakini pia mimi ni mtu, kukosea kwangu isikuvunje moyo wala usinifikilie kwa ubaya. Niwaombe radhi mnisamehe kijana wenu na maisha yaendelee"- Madebe Lidai, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

⚠️😭 Amuua mke wake kwa kumchija kisa kuchelewa kumpikia chai Tukio limetokea wiki hii huko Uttar Pradesh, India ambapo, mke
⚠️😭 Amuua mke wake kwa kumchija kisa kuchelewa kumpikia chai Tukio limetokea wiki hii huko Uttar Pradesh, India ambapo, mke kwa jina la Sundari(50) aliamka saa kumi na mbili asubuhi kujiandaa kumpikia chai mume wake kama anavyofanya siku zote Mume kwa jina la Dharamveer(52) aliamka dakika chache baadaye akataka chai , mke akamjibu bado asubiri, akawa anasubiri, dakika tano baadaye mume akaulizia tena chai, mke akamjibu bado dakika 10 ndio itakuwa tayari Mume alipandwa na hasira akawa mbogo na kuvipiga teke vyombo, akaenda chukua upanga na kuja kumchomachoma mke wake kisha kumchinja Watoto wao 4 waliokuwa wamelala chumba kingine waliamshwa na kishindo cha kilio cha mama yao akiomba msaada kuupigania uhai wake, watoto walipoingilia baba yao akataka kuwavamia pia wakakimbia , majirani nao walisikia kelele na walipofika eneo la tukio walimkuta mke akiwa kwenye dimbwi la damu tayari ameshafariki kwa mujibu wa Times Of India,.polisi wamethibitisha pia kutokea kwa tukio hilo

FAMILIA 13 ZENYE KUTAWALA DUNIA. Nguvu ni utajiri na utajiri ni nguvu zaidi. Hela ni kitu chenye kuwapa watu nguvu na jeuri ya kufanya chochote. Kwa mujibu wa Fritz Springmeier hizi ndio familia zenye nguvu kubwa duniani. Van Duyn, Merovingian, Rothschild, Russell, Rockefeller, Onassis, Li, Kennedy, Freeman, DuPont, Collins, Bundy na Astor. 99% ya uchumi wa dunia upo mikononi mwa familia hizi. Kila unachokijua wewe duniani chenye nguvu na chenye mamlaka ni chao na wao ndio wenye kuamua nani awe na ngapi nani ashuke kutoka alipo. Familia hizi zina uchawi mkubwa sana nani katili sana. Siasa za dunia zipo chini ya mikono yao. Mashirika makubwa ya usalama ni vidole vyao chochote wanaweza fanya bila yoyote kuuliza. Hata mfumo wa elimu ni wao na wao ndio wanachagua nadharia gani ifike kwenye mikono ya watu. Ndio maana wametengeneza hata nadharia za kijinga kabisa kuhusu binadamu alikuwa nyani na paka leo nadharia hiyo inaishi. Kuna siku tutakuja kuzungumzia kwanini nadharia ya unyani wa binadamu bado inaishi licha ya kuwa dunia ina teknolojia kubwa leo ya kubaini hata mambo ya zamani zaidi kwanini nadharia hii bado hai. Familia hizi 13 anasema Fritz zina nguvu za giza hata ukikutana nazo basi huwezi kuhisi kuwa upo mbele ya binadamu wa kawaida. Dunia ni yao. Wanafanya watakalo. Wanatawala dunia kwa sheria zao. Nyuma ya dunia kuna mengi yamefichwa ili tuwe chini yao. Abdulrazaki issa.

photo content

Pichani ni Mfalme Zumaridi na uzuri wa Kisukuma
Pichani ni Mfalme Zumaridi na uzuri wa Kisukuma

"Tangu video zangu na Chuma cha Chuma zivuje wanaume mmeongeza kasi ya kunitongoza mnanisifia kuwa mimi nayajua mapesa mara o
"Tangu video zangu na Chuma cha Chuma zivuje wanaume mmeongeza kasi ya kunitongoza mnanisifia kuwa mimi nayajua mapesa mara ooh nina body ya kizungu, naomba mniache nina stress sina hamu ya kufanya mapenzi, nipo singo msinisumbue"- Gigy Money

Bondia wa Uingereza Anthony Joshua ameshinda kwa TKO kwenye raundi ya tano,pambano lake dhidi ya bondia wa Sweden Otto Wallin
Bondia wa Uingereza Anthony Joshua ameshinda kwa TKO kwenye raundi ya tano,pambano lake dhidi ya bondia wa Sweden Otto Wallin lililopigwa Riyadh nchini Saudi Arabia. Huu ni ushindi wa tatu mfululizo kwa Joshua katika mwaka 2023. Mapema katika ulingo huo huo,bondia wa Marekani Deontay Wilder amekubali kipigo kutoka kwa bondia wa New Zealand Joseph Parker aliyeshinda kwa pointi 118-111,118-110&120-108. Kipigo alichopata Wilder kimetibua mipango ya pambano dhidi ya Anthony Joshua ambalo lilikuwa likitazamiwa kufanyika mwakani 2024.

Usiku wa kuamkia leo Shamsa Ford amejifungua mtoto wa kike. Huyo anakuwa ni mtoto wake wa pili.
Usiku wa kuamkia leo Shamsa Ford amejifungua mtoto wa kike. Huyo anakuwa ni mtoto wake wa pili.

Vituko vya Last Born.. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣
Vituko vya Last Born.. 😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣