ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Sasa wanaume siku hizi ni Kitegauchumi/ Mtaji wa mwanamke?
Sasa wanaume siku hizi ni Kitegauchumi/ Mtaji wa mwanamke?

photo content

"Hakuna mwanamke anayeweza kuniacha, mimi ni Handsome na nina pesa"- amejinadi Hajji Manara
"Hakuna mwanamke anayeweza kuniacha, mimi ni Handsome na nina pesa"- amejinadi Hajji Manara

Huyu hapa mtoto wa pili wa Elizabeth Michael "Lulu"
Huyu hapa mtoto wa pili wa Elizabeth Michael "Lulu"

Shabiby ana balaa. new 2024 LEXUS Zero Kilometer Milioni 600 😎😎 🙌🏽 Mzigo upo Bungeni Dodoma now 🤔
Shabiby ana balaa. new 2024 LEXUS Zero Kilometer Milioni 600 😎😎 🙌🏽 Mzigo upo Bungeni Dodoma now 🤔

Vijana wengi wamekuwa wakishindwa Kuomba Nafasi ya Ajira Katika vyombo vya Ulinzi na Usalama kutokana Na Kigezo kilichokuwepo
Vijana wengi wamekuwa wakishindwa Kuomba Nafasi ya Ajira Katika vyombo vya Ulinzi na Usalama kutokana Na Kigezo kilichokuwepo cha kutopitia Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Hii Leo Bunge la Tanzania limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.

WAHUBIRI KUSAJILIWA KUTOKANA NA SHUGHULI ZAO. "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na
WAHUBIRI KUSAJILIWA KUTOKANA NA SHUGHULI ZAO. "Nimeongea na watendaji wa serikali yangu kuhusu baadhi ya wahubiri kucheza na imani za wakenya. Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike kama wafanyabiashara, na serikali ijue wanauza ngapi kwa siku na walipe kodi. Huku kwa kanisa wabaki wanaoeneza neno la Mungu, sio wafanyabiashara. Hatuwezi kuruhusu imani za wakenya kuchezewa na wakora wachache, wanaotaka kujitajirisha kupitia shida za waumini wetu" William Samoei Ruto, Rais wa Kenya.

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward
Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga  akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha  Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipofika katika Makazi ya Familia Kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha tarehe 16 Februari 2024. @queen__sendiga #riplowassa

Sheria za kuvaa suti.. 1.Usikimbie 2 Usipande Baiskeli wala Pikipiki 3. Usipande Pick Up 4.Usilewe 5. Usitoke jasho. 6 Usivae
Sheria za kuvaa suti.. 1.Usikimbie 2 Usipande Baiskeli wala Pikipiki 3. Usipande Pick Up 4.Usilewe 5. Usitoke jasho. 6 Usivae ndala 7. Usilie hata kama umefiwa na mtu wa muhimu 8. Usigombane 9.Usiombe Kalamu 7. Usile kwa Mama Ntilie 8.Usile muhindi njiani 9.Usile Muwa 10.Usiambatane na mwanamke aliyevaa Khanga 11. Mwisho kabisa usichomekee koti.. 🙏🙏🙏 Ongezea yako.

Pichani ni Bugatti Voiture Noire ndio gari ya bei juu zaidi duniani, bei ya kuinunua unaweza kununua ndege ndogo aina ya Cess
Pichani ni Bugatti Voiture Noire ndio gari ya bei juu zaidi duniani, bei ya kuinunua unaweza kununua ndege ndogo aina ya Cessna 208 Caravan kumi na moja. Pili Bughat yenye thamani ya Billlion 3.4 za kibongo bila kodi ndio gari yenye speed kubwa zaidi duniani 500, 650, 700/kh).... Ikifatiwa na Porsche then Lamborghini halafu Range Rover.... C.C Comred Mbwana Camerôò Allyamtu ..

Staa wa filamu mwanadada Irene Uwoya akiwa msibani kwa Lowasa
Staa wa filamu mwanadada Irene Uwoya akiwa msibani kwa Lowasa

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Iringa kimesema rufaa ya Maria Ngoda, aliyehukumiwa miaka 22 kwa kukutwa na nyam
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoani Iringa kimesema rufaa ya Maria Ngoda, aliyehukumiwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swala, imesimamiwa na chama hicho pamoja na misaada tofauti kutoka kwa wadau. Chama hicho kimesisitiza kuwa hakuna michango yoyote ya kifedha iliyotolewa na wadau kwa ajili ya kuendesha kesi hiyo.

photo content

RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU. Richard alikuwa ni msaniii wa mwanzo kujifunza katika kituo cha Tanzania House Of Talent (THT) ambaye anaendeleza ujuzi wake katika kundi linalofanya vema kwa sasa katika medani ya bongo fleva,Tip Top Connection. Ni nani asiyekubali kwamba Tip Top Connection imezalisha, kukuza wasanii wenye vipaji vya muziki vya kuzaliwa na si kujifunza?. Tip Top iliundwa na wasanii mahiri na wasiochuja kwenye fani akiwemo Harid Tunda ‘Tundaman’, Kassim Mganga ‘Cassim’,Ahmed Ally ‘Madee’, Deso na ‘first lady’ wao Khadija Shaban ‘Keysha’. Richard Ramadhan Tunda ni mdogo wa damu wa mmoja ya nyota wa kundi la Tip Top, Tundaman ambaye kwa wanaofuatilia muziki wa bongo fleva mwaka 2007 aliwahi kutamba na kibao cha ‘Marionse’. Kabla ya kutoa ‘Marionse’ alitoka na ‘Limekushuka aliomshirikisha Mandojo na kurekodiwa studio za Baucha chini ya mtayarishaji Maneke, wimbo huo ulifanya vena na hata kutinga ‘Top 10’ katika vituo mbalimbali vya redio hapa nchini, hiyo ilikuwa mwaka 2005. Richard ni msanii aliyepata kujifunza THT akiwa ni mmoja ya wasanii wa mwanzo kabisa kwani hata kina Mwasiti, Buibui walimkuta na hiyo ilikuwa mwaka 2004 na 2008 Enzi hizo mkurugenzi wao skies ni marehemu Ruge Mutahaba. ALIPOTOKEA. Richard alizaliwa wilaya ya Kinonondi mnamo Februari 3, 1989 kwa baba Ramadhan Tunda afisa mstaafu wa serikalini na Mama Juliana Herman aliyekuwa daktari katika chuo kikuu cha Dar es Salaam (wazazi wake wote ni marehemu). Alianza kupenda muziki tangu akiwa mdogo huku akivutiwa zaid na msanii wa marekani Craig David, Dully Sykes na Cassim kwa hapa bongo, huku shule ya msingi akiipata Karume alipomaliza darasa la saba mwaka 2004 .

Mahakama ya rufaa nchini Burundi imeridhia kusalia Gerezani kwa Mwandishi wa habari Mwanamke Floriane Irangabiye baada ya kuk
+1
Mahakama ya rufaa nchini Burundi imeridhia kusalia Gerezani kwa Mwandishi wa habari Mwanamke Floriane Irangabiye baada ya kukata rufaa kuhusiana na hukumu aliyopewa. Mwandishi huyo alikuwa amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 10 baada ya kukutwa na hatia ya kushirikiana na waasi wanaovuruga usalama wa ndani wa nchi. Baada ya kuhukumiwa alipelekewa katika Gereza la Muyinga Mashariki mwa Burundi kabla ya kuhamishiwa mkoani Bubanza. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yameitaka Serikali kuachiwa huru kwa Bi.Floriane Mwandishi pekee aliyeko Gerezani.

Neno gani unalikumbuka Kutoka Kwa LOWASSA
Neno gani unalikumbuka Kutoka Kwa LOWASSA

Ukitazama hii picha ukamtazama Godbless Lema Kisha nikawatazama Mbowe na Makonda Hapa Mbowe Kasimama kama baba na akasimama k
Ukitazama hii picha ukamtazama Godbless Lema Kisha nikawatazama Mbowe na Makonda Hapa Mbowe Kasimama kama baba na akasimama kupeana hai na mwenezi wa Ccm bwana Makonda na godbless Lema yeye kama kijana wa Freeman Mbowe hajataka story Hapa kila mtu kacheza party yake 💯

"Kwa kinywa chake na hili sitanii, unaweza kumuuliza mtu yoyote najua kuna maneno mengi sana kwenye mitandao lakini kwa kinyw
"Kwa kinywa chake na hili sitanii, unaweza kumuuliza mtu yoyote najua kuna maneno mengi sana kwenye mitandao lakini kwa kinywa chake hajawahi kumtaja mtu yoyote kama adui kwake. Alisema inawezekana huyu mtu alighafilika kwenye jambo hili. Amekosea kidogo kwenye jambo hili lakini Mimi nitaishi kwenye wema wake" Fredrick Edward Ngoyai Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli na mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa.

Sio kibongo bongo😄😁
Sio kibongo bongo😄😁

KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://yo
+5
KUTOKA MITANDAONI Kwa habari zaidi SUBSCRIBE kupitia YOUTUBE channel yetu kwa ku bonyeza hapa chini.👇.kwenye link https://youtube.com/@E-PlusMediaTv?si=JjehK80_nkzrHGNK