ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
HEBU TUAMBIE KITU GANI UNAZINGATIA UNAPOTAFUTA MKE BORA...
HEBU TUAMBIE KITU GANI UNAZINGATIA UNAPOTAFUTA MKE BORA...

Vipi Hatua Hii Mmeshaifikia Au Niachane Na Nyie 😎
Vipi Hatua Hii Mmeshaifikia Au Niachane Na Nyie 😎

"Nilikuwa sijawahi kukoment kwenye page ya Rais ila siku hiyo nilikuwa sina kazi nikawa natafakari nibuni kitu gani kipya kwakuwa mimi ni mshonaji, katika kuperuzi-peruzi Instagram nikajikuta kwenye page ya Rais Samia nikaona yupo Indonesia, mahali ambapo ndipo lilipo chimbuko la utengenezwaji wa mashine za kushonea nguo basi nikamuandikia ujumbe kwamba akirudi aniletee zawadi ya Cherehani ingawa nilijua wazi hawezi kunijibu" "Nilipopata taarifa kwamba nimejibiwa na Rais kwanza nilichanganyikiwa, ilikuwa mida ya asubuhi rafiki yangu alinipigia akaniambia mama yako amekujibu huko Instagram, sikuamini maana rafiki yangu ni mtu wa utani sana nikaingia Instagram kujihakikishia nikakuta ni kweli, sikuamini nilipiga kelele kubwa bila kujali watu watanionaje. Mpaka sasa tayari kuna mtu amenitafuta amejitambulisha kwamba ametumwa na Rais nimempa mawasiliano ya wauzaji wa Cherehani na mahali vinapouzwa, hapa nasubiri kuitwa tu"- Amesema Beatrice mrembo aliyeahidiwa kupewa Cherehani na Rais Samia baada ya kumuomba kwenye page yake ya Instagram kwa kukoment Hata hivyo licha ya kujitosa kuomba zawadi hiyo, Beatrice siyo mnyonge kihivyo, anamiliki Cherehani zaidi ya tano, amejiajili na amewaajili wafanyakazi ambapo anajikita zaidi na mambo ya Fashion ya kushona mitindo mbalimbali ya nguo.

⚠️😳 "Ninachoona katika mahusiano ya watu wawili kama mmoja haja- move on inakuwa ni shida sana. Aidha ni mwanamke au mwanaume. Mfano kwa upande wangu baba wa mtoto wangu alioa mwanamke mwingine. Wakati huo nilikuwa nimebaki 'single mother' halafu nilikuwa single, sikuwa na mahusiano. "Kwahiyo cha kwanza ilikuwa ni Mimi ku- move on ili nisibebe ile hasira. Ilikuwa ngumu sana. Mimi ni mvumilivu sana. Ilibidi mambo ya imani yahusike. Nilikuwa nasali sana. Nilikuwa namuomba Mungu ni- move on. Niikubali ile hali. Kwahiyo niliikubali ile hali. Baadae kuna ile marafiki, ndugu, wazazi ilikuwa inachanganya sana akili kuhusu mtoto ili awe na uhuru wa kuwa na baba yake" "Nilikaa nikatafakari nikasema huko mbeleni itakula kwangu. Nilijaribu kutafuta maelewano na baba mtoto. Nilimwambia tutalea mtoto pamoja. Kwamba sitaingilia mahusiano yake na ndoa yake yeye asiingilie ya kwangu. Kwahiyo pale ilisaidia mtoto kumuhusisha na baba yake. Mwanzo ilikuwa ngumu kwa sababu nilikuwa na wivu. Lakini baada ya wote ku- move on malezi yalikuwa rahisi" - amesema Perpetua Ntwale, mwanzilishi wa WOSUF wakati akihojiwa Clouds FM

photo content

"Hivi nyie wanawake ambao mnapangishiwa nyumba na masponsa wanawalipia kodi kwa mwezi milioni mbili na wanawalipia miezi sita
"Hivi nyie wanawake ambao mnapangishiwa nyumba na masponsa wanawalipia kodi kwa mwezi milioni mbili na wanawalipia miezi sita, wanawanunulia ma Range, hivi mnawatoaga wapi? Mnatumia mbinu gani kuwapata? na sisi tunawataka tunaomba hizo mbinu"- Bhoke

"We si ulisema hawezi kupika, sijui alikuwa anakumezea pitu, sasa kwanini uanze kumuonea wivu mtu ambaye hajui kupika? Niachi
"We si ulisema hawezi kupika, sijui alikuwa anakumezea pitu, sasa kwanini uanze kumuonea wivu mtu ambaye hajui kupika? Niachie mimi nitamfundisha, wewe si ulisema hawezi kupika bwana!! sasa unalialia nini?"- Hajji Manara

"Kuanzia sasa MC Garab sio rafiki yangu na simkubali kabisa kwasababu alienda kusherehesha kwenye Shughuli ya Hajji Manara na
"Kuanzia sasa MC Garab sio rafiki yangu na simkubali kabisa kwasababu alienda kusherehesha kwenye Shughuli ya Hajji Manara na Zaiylisa, sipendi watu wanafiki"- Dulla Makabila

AKOTHEE AJITOLEA KUMSAIDIA MTOTO YATIMA AMBAYE VIDEO YAKE IMEWATOA MACHOZI WATU WENGI. "Sina mzazi hata mmoja, nimesoma kwa u
AKOTHEE AJITOLEA KUMSAIDIA MTOTO YATIMA AMBAYE VIDEO YAKE IMEWATOA MACHOZI WATU WENGI. "Sina mzazi hata mmoja, nimesoma kwa uchungu, sijakula kitu kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi" maneno ya Kijana huyo ambaye video yake imewagusa watu wengi huku wengi wao wakitaka kumsaidia. Miongoni mwa watu waliojitolea kumsaidia kijana huyo wa nchini Kenya, ni mwanamama Akothee ambaye amesema hata yeye amepitia maisha ya aina hiyo na amewataka watu wa karibu wa mtoto huyo wajitokeze ili waangalie namna ya kumuendeleza kimasomo, chakula na mavazi.

"Niliondoka na Hati ya nyumba ya Chanika kwasababu ile nyumba kuna mchango wangu, kuna milioni moja na laki sita nilimpatia z
"Niliondoka na Hati ya nyumba ya Chanika kwasababu ile nyumba kuna mchango wangu, kuna milioni moja na laki sita nilimpatia zimsaidie kuendeleza ujenzi kwahiyo nilikuwa na haki ya kuondoka na hati, lakini niliirudisha baada ya Madebe kuniambia nyumba imezindikwa, ina mazindiko ya kutosha" "Ni mchawi sana yule baba alikuwa anajisifia kwamba nyumbani kwao babu yake anaweza akamuua mtu kwa dakika moja tu hakuna mtu wa kumpinga kwenye sekta hiyo. Yule baba hafai, habagui hachagui kuna mwanafunzi kampa mimba huko, kuanzia sasa mimi nimekoma sina hisia nae tena na simtaki tena"- Chanuo

"Nilikuwa sijawahi kukoment kwenye page ya Rais ila siku hiyo nilikuwa sina kazi nikawa natafakari nibuni kitu gani kipya kwakuwa mimi ni mshonaji, katika kuperuzi-peruzi Instagram nikajikuta kwenye page ya Rais Samia nikaona yupo Indonesia, mahali ambapo ndipo lilipo chimbuko la utengenezwaji wa mashine za kushonea nguo basi nikamuandikia ujumbe kwamba akirudi aniletee zawadi ya Cherehani ingawa nilijua wazi hawezi kunijibu" "Nilipopata taarifa kwamba nimejibiwa na Rais kwanza nilichanganyikiwa, ilikuwa mida ya asubuhi rafiki yangu alinipigia akaniambia mama yako amekujibu huko Instagram, sikuamini maana rafiki yangu ni mtu wa utani sana nikaingia Instagram kujihakikishia nikakuta ni kweli, sikuamini nilipiga kelele kubwa bila kujali watu watanionaje. Mpaka sasa tayari kuna mtu amenitafuta amejitambulisha kwamba ametumwa na Rais nimempa mawasiliano ya wauzaji wa Cherehani na mahali vinapouzwa, hapa nasubiri kuitwa tu"- Amesema Beatrice mrembo aliyeahidiwa kupewa Cherehani na Rais Samia baada ya kumuomba kwenye page yake ya Instagram kwa kukoment Hata hivyo licha ya kujitosa kuomba zawadi hiyo, Beatrice siyo mnyonge kihivyo, anamiliki Cherehani zaidi ya tano, amejiajili na amewaajili wafanyakazi ambapo anajikita zaidi na mambo ya Fashion ya kushona mitindo mbalimbali ya nguo.

photo content

photo content
+9

"Mke wangu anafanana sana na Rihanna, nilipomuangalia kwa mara ya kwanza nilijua naoa Rihanna"- Manara
"Mke wangu anafanana sana na Rihanna, nilipomuangalia kwa mara ya kwanza nilijua naoa Rihanna"- Manara

"Chanzo kikubwa cha ugomvi wetu na Chanuo ni kwamba alikuwa anawapeleka watoto wangu kwa mashoga, yani wanaume ambao (wamelef
"Chanzo kikubwa cha ugomvi wetu na Chanuo ni kwamba alikuwa anawapeleka watoto wangu kwa mashoga, yani wanaume ambao (wamelefti group) mimi nawapenda sana wanangu kwahiyo sikukubaliana na hilo nikampa onyo aache kuwakutanisha wanangu na hao mashoga zake, lakini yeye alilichukulia hilo tofauti akaona kama namnyima uhuru wa kwenda kucheza na marafiki zake" "Mimi ndiye nimeitengeneza brand ya Chanuo, kuanzia jina, account yake ya Instagram mpaka umaarufu kwa kumshirikisha kwenye movie zangu, sasa anaposema nimeishikilia account yake ya Instagram wakati mimi ndiye niliyeitengeneza na kumbrand watu wakamjua hapo kwakweli mimi nashangaa. Kwahiyo ni hayo tu yale aliyosema yote ni uongo"- Madebe Lidai

Pichani ni Rich Mitindo mume wa Wolper akiwa na watoto wake.
Pichani ni Rich Mitindo mume wa Wolper akiwa na watoto wake.

"Mke wangu anafanana sana na Rihanna, nilipomuangalia kwa mara ya kwanza nilijua naoa Rihanna"- Manara
"Mke wangu anafanana sana na Rihanna, nilipomuangalia kwa mara ya kwanza nilijua naoa Rihanna"- Manara

"Leo ni mwaka wa nne tangu nifunge ndoa takatifu na Mke wangu kipenzi mama Lolo. Eeh Mwenyezi Mungu nashukuru kwa kunipa mwan
"Leo ni mwaka wa nne tangu nifunge ndoa takatifu na Mke wangu kipenzi mama Lolo. Eeh Mwenyezi Mungu nashukuru kwa kunipa mwanamke mwenye Subra, Utu, Adabu, Heshima na zaidi sana malezi na familia yake"- Msechu

Acheni kujivungavunga mpe neno la kheri na la hongera Zaiylissa kwa hatua hii kubwa ambayo kila mwanamke mtimilifu anatamani
+1
Acheni kujivungavunga mpe neno la kheri na la hongera Zaiylissa kwa hatua hii kubwa ambayo kila mwanamke mtimilifu anatamani kuifikia.

⚠️👏 Mtoto wa Daynah Nyange apata division 1 matokeo ya mitihani ya taifa kidato cha nne Picha zaidi kwenye comments section
⚠️👏 Mtoto wa Daynah Nyange apata division 1 matokeo ya mitihani ya taifa kidato cha nne Picha zaidi kwenye comments section