ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Pichani ni wanaMuziki wakongwe FID Q na B.W.V Soldier Philbert Kabago (Aliyevaa kofia) huku kushoto aliye na kanzu ni msanii
Pichani ni wanaMuziki wakongwe FID Q na B.W.V Soldier Philbert Kabago (Aliyevaa kofia) huku kushoto aliye na kanzu ni msanii tokea KENYA anayeitwa KAA LA MOTO Pia kuna BARAKA THE PRINCE n.k Hii ilikua ni siku kwenye msiba wa kwao FARID a.k.a FID Q, familia imeondokewa na MZEE KUBANDA (Baba mzazi wa FID Q) Msiba upo MWANZA na mazishi yamefanyika salama kule kijiji cha NYANGILI, tumuombee apumzike kwa amani baba mzazi wa RAPA FID Q Tumpe pole FARID KUBANDA 'Fid Q' (Photo By: Kabago)

MIMI MARS ANAENDELEA VIZURI PUUZENI TAARIFA ZA UZUSHI; VANESSA MDEE "Tunaendelea kuwashukuru kwa upendo wenu, Mimi Mars anaen
MIMI MARS ANAENDELEA VIZURI PUUZENI TAARIFA ZA UZUSHI; VANESSA MDEE "Tunaendelea kuwashukuru kwa upendo wenu, Mimi Mars anaendelea vizuri, tunamshukuru sana Mungu"- Vanessa Mdee ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram Tangu asubuhi ya leo kumekuwepo na taarifa bubu zinazosambaa mtandaoni zikisema kwamba Mimi Mars amefariki dunia kwa ajili ya gari. Mchana wa leo Mange Kimambi amekanusha taarifa hizo akisema kwamba ni kweli Mimi amepata ajali siku kadhaa zilizopita lakini anaendelea vizuri na hana dalili zozote za kufariki kwasababu anaendelea vizuri. Jioni ya leo pia Vanessa Mdee ambaye ni dada wa Mimi amethibitisha kwamba mdogo wake anaendelea vizuri na familia yao inawashukuru mashabiki kwa maombi yenu.

Pichani kushoto ni William Hanna (1910-2001) na kulia kwake ni Joseph Barbera (1911-2006) wote kutoka Marekani. Hawa wazee nd
Pichani kushoto ni William Hanna (1910-2001) na kulia kwake ni Joseph Barbera (1911-2006) wote kutoka Marekani. Hawa wazee ndo waanzilishi na watunzi wa katuni maarufu ya "TOM and JERRY" ambayo ilianza kutoka mwaka 1940, katuni hizi ni maarufu kwa watoto mpaka watu wazima, najua hata humu kuna wapenzi wake😆

⚠️😳 "Wanaume wenzangu kama tumeamua kufuata sunna za Mtume Muhammad basi tufuate zote lisiwe hili la kuoa wake wanne tu ndio
⚠️😳 "Wanaume wenzangu kama tumeamua kufuata sunna za Mtume Muhammad basi tufuate zote lisiwe hili la kuoa wake wanne tu ndio tukalifanya halafu mengine tukaachana nayo" - Ameandika Dullah Makabila kisha kusisitiza "Kiukweli tunawakosea sana wanawake na inaumiza sana hasa kwa mwanamke ambaye amekuvumilia kuanzia huna hata kitanda halafu unakuja kupata pesa unamuolea mke wa pili unasema sunna ya mtume wakati hajawahi kukuona ukiingia msikitini hata siku moja, hii sio sawa binafsi inanikwaza mno"

MOVIE IPI YA KANUMBA HUTOKUJA KUISAHAU HADI KESHO
MOVIE IPI YA KANUMBA HUTOKUJA KUISAHAU HADI KESHO

Hassan Mwakinyo~"Mwambieni Dada yenu wa Morogoro kuwa sihofii watu wenye miili mikubwa, sana sana nafurahi kuziona piko zake
Hassan Mwakinyo~"Mwambieni Dada yenu wa Morogoro kuwa sihofii watu wenye miili mikubwa, sana sana nafurahi kuziona piko zake kwakuwa Marehemu Mama yangu Bi.Fatma alikuwa kungwi hivyo nimeziona sana piko nyumbani, kama Mapromota wapo na wanalitaka pambano basi hakuna shida, tuendelee kuvuta uradi na kumswalia sana Mtume

Mzee yup kakukosha kweny muv yake
Mzee yup kakukosha kweny muv yake

MLIOONA MTUPE MREJESHO BASI
MLIOONA MTUPE MREJESHO BASI

photo content

UTOFAUTI YA WATU WA DAR NA WATU WA MKOANI NI HUU Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki home wanakuja ulipokaa, wanakushika kichwani kukusalimia. Wakubwa kidogo wanakuja wanapiga magoti "shikamoo baba mkubwa!". Wanakuzunguka kuulizia habari za ndugu zao unawasimulia, huyu std 2, huyu std 7, kaka yenu form 2. Ndani kumechangamka kila mtu yuko engaged nawe in one way or another. Mama anahangaika na msichana kukuandalia chakula. Baada ya muda mke wa mdogo wako anakuja kupiga magoti kukuambia karibu chakula. Unaenda mezani, anakuja kukunawisha mikono huku akisema "tusamehe shemeji mboga zenyewe hivyo hivyo.." Unakula unashiba. Baadaye unaaga. Nyumba nzima wanafunga, wanakusindikiza hadi kituoni. Watoto wanakuaga, "ba mkubwa msalimie Jerry na Irene. Ukija tena uje nao" Unaondoka kwa heshima zote. Siku ya siku nduguyo naye kapata kitrip cha Dar. Anakuambia nakuja kukutembelea. Unamwambia tumehamia kwetu Mbezi panda mwendokasi hadi mbezi mwisho. Anafika anakupigia, unasema kuna bodaboda hapo mpe niongee naye. Unaongea na boda "huyo jamaa mlete kwangu geti linatazamana na kituo cha afya cha Mbezi, lina waya za umeme juu". Anafkishwa. Anagonga kengele, mko ndani familia, unaagiza housegirl, "si mnasikia kengele? Kafungueni geti" Housegirl anaenda kufungua. Ndugu yako anaingia sebleni anawakuta. Anawasalimu unaitikia marahaba, we mkubwa! Mkeo anaangalia tamthilia kakaa chini. Anageuka, karibu shemeji, za siku! "Nzuri". Amemaliza, anaendelea na tamthilia yake. Wanao wanacheza game kwenye computer hata hawajashituka kuna mtu kaingia. Unawaambia, nyie msalimieni baba yenu mdogo. Wanatupia shikamoo bila hata kumuangalia usoni, game limekolea! Mnazungumza kigogo, unamuuliza habari ya Dodoma. Kabla hajakujibu unashika simu unaanza kuchat, mke wako naye anachat! Sitting room imejaa watu, lakini kila mtu kama hayupo vile. Mara housegirl anawakaribisha chakula. Mama anapokea "shemeji karibuni chakula" Unamgeukia mdogo wako unamwambia "aisee we jitegemee, hapa kima mtu anakula kwa wakati wake.!". Mgeni anainuka kwenda kupambana na meza peke yake. Maji ya kunawa hakuna! Bahati nzuri dada wa kazi anakatiza, anaulizwa maji yakunawa, anajibu kanawe pale kwenye "Hw basin" maji yanatoka! Anaenda kunawa kinyonge. Anakula peke yake, anamliza na kurudi sitting room. Mnaongea issues kidogo za kifamilia na wazazi kijijini. Muda unafika wa ndugu kuaga. Unamwambia subiri kidogo. Unapiga kwa boda boda. Anakuja, unatoa elfu kumi unampa, unamwambia chukua hii utalipa hiyo bodaboda. Boda inafika, ndugu yako anaaga, unasimama unamtoa hadi mlangoni. Wanafamilia wengine wanaagia sitting room bila kuinuka. Mama bado yupo busy na simu anachat. Watoto game limekolea, hawataki kutoa macho kwenye computer. Ndugu yako anawaaga hata hawamuangalii usoni. Wanatupia kwa mbaali "kwa heri ba mdogo" wanaendelea na game. Ndugu anakamata mchuma na kuondoka. ____ Wengi tunaoishi mijini tuna maisha ya aina hii, na tunaona ni sawa. Tunajifanya tupo busy kwenye mambo yasiyo na msingi na kupuuza utu wa wengine. Hata watoto wetu tunawalea ktk mazingira ya kuthamini zaidi vitu kuliko utu. Hii si sawa hata kidogo. Tuwatendee wengine kama tunavyotaka kutendewa. Share na wengine

MTU MWENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI Iron Biby, jina lake halisi Cheick Ahmed Al-Hassan SANOU, ni bingwa wa dunia wa kubeba chuma,
MTU MWENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI Iron Biby, jina lake halisi Cheick Ahmed Al-Hassan SANOU, ni bingwa wa dunia wa kubeba chuma, amebeba kilo 230. Raia huyo wa Burkina Faso, alizaliwa akiwa na uzito wa kilo 5 katika mji wa Bobo-Dioulasso, nchini humo. Iron Biby anashikilia rekodi muhimu zaidi duniani zinazohusisha na kuinua uzito zinazomfanya mnyanyuaji bora zaidi katika historia. Ufanisi huo umemfanya Iron Biby kutunukiwa heshima na kiongozi nchini humo Kapteni Ibrahim Traore kwa kuiletea nchi hiyo sifa. Iron Biby pia ndiye mtu mwenye mikono kubwa zaidi duniani. Iron Biby amekuwa chanzo cha motisha Burkina Faso nzima, akionyesha kwamba nguvu na ujasiri unaweza kushinda vikwazo.

***Namba hizi uwa zinamaanisha nini?***
***Namba hizi uwa zinamaanisha nini?***

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+6
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

"Mume wangu ni muongo haumwi, nimejitoa sana kwake lakini hana shukrani, kweli shukrani ya punda ni mateke"- Diva
"Mume wangu ni muongo haumwi, nimejitoa sana kwake lakini hana shukrani, kweli shukrani ya punda ni mateke"- Diva

"Mume wangu ni muongo haumwi, nimejitoa sana kwake lakini hana shukrani, kweli shukrani ya punda ni mateke"- Diva

😀😀😀 KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09
😀😀😀 KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Twitter👇 https://twitter.com/EplusMediaTv?t=OOCtdqDd1L27Uq8rLZ1UJg&s=09

"Kuna vile natamani mwaka usiishe ila anyway acha uende, mwaka ulianza kwa mbwembwe nyingi na changamoto ambazo kwangu mimi z
"Kuna vile natamani mwaka usiishe ila anyway acha uende, mwaka ulianza kwa mbwembwe nyingi na changamoto ambazo kwangu mimi zilikuwa ni mafunzo tosha ya jinsi ya kuishi maisha yangu binafsi na walimwengu kwa ujumla, nimejifunza kupenda kwa dhati, kuwa mwaminifu kwa maisha yako, kunyamaza hata unapotakiwa kusema na kumwachia Mungu matatizo yako yote" "Ninaufunga mwaka kwa ushindi mkubwa wa mwili na roho, ila kubwa naufunga kwa IMANI kubwa sana nikijua kweli Mungu yupo ananipenda na hajawahi kuniacha. Nikiangalia malengo yangu ya mwaka 2024 moyo wangu unajaa tabasamu zaidi na kwa Imani najua Mungu atafanya zaidi ya alivyofanya jana🙏"- Kajala, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

Beki wa Fc Barcelona na timu ya Taifa ya Ufaransa 🇫🇷 Jules Kounde amepokea zawadi ya mchoro kutoka kwa shabiki mmoja nchini
Beki wa Fc Barcelona na timu ya Taifa ya Ufaransa 🇫🇷 Jules Kounde amepokea zawadi ya mchoro kutoka kwa shabiki mmoja nchini Senegal. Shabiki huyo alichora picha ya beki huyo kwa kutumia miguu yake. ✅ Kipaji

⚠️ By Jimmy Mafufu - "Mwaka 2023 Ulikuwa Ni Mwaka Mbaya Sana Kwangu, Ulikuwa Ni Mwaka Wa Mateso Makubwa Na Kuharibiwa Kiuchumi, Wadharimu Walikimbia Na Pesa Zangu Zaidi Ya Milioni Mia 120 Yaani Dola Za Marekani Elfu Hamsini Nikapata Kesi Nyingine Mahakamani Iliyonipotezea Muda Na Pesa Nyingi Sana, Nikakosa Muda Wa Kuandaa Kazi Zangu, Kila Kitu Changu Kiliharibika, Ukiamka Unajipata Uko Kwa Mange Vimambi, Ukitaka Kupata Chai Defender Za Polisi Zimefika Yaani Ulikuwa Mwaka Wa Kipuuzi Sana KwanguAshukuriwe Mungu Atupae Kushinda Pesa Na Mali Zangu Nyingi Zilipotea Lakini Mwamba Wa Nyanda Za Juu Kusini #GreenCityIcon Kinyamana Niko Imara Kuliko Wakati Wowote Najitabiria Kwamba Mwaka 2024 Ni Mwaka Wa Maongezeko Yangu, Chochote Kilicholiwa Na Madumadu, Nzige, Parare Na Tunutu Katika Maisha Yangu Kinakwenda Kurejeshwa Katika Mwaka Huu Wa Maongezeko, Ninaliona Sanduku La Bwana Likirejea Katika Maisha Yangu TenaHappy New Year Watu Wa Mungu Ni Maombi Yangu Mkastawi Kwa Uwezo Wa Mungu"

photo content