ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Licha ya Rema na Diamond Platnumz kuimba nyimbo zilizowapa umaarufu Ulimwenguni hawakutajwa kuwania tuzo za Grammy awards. Wi
Licha ya Rema na Diamond Platnumz kuimba nyimbo zilizowapa umaarufu Ulimwenguni hawakutajwa kuwania tuzo za Grammy awards. Wimbo wa Rema, #CalmDown ulikuwa moja ya nyimbo zilizofanya vizuri 2023 ila hakufanikiwa kuteuliwa kuwania tuzo hizo yeye na Diamond na wimbo wake wa #Shu

RAYVANNY KWA MARA NYINGINE TENA AWAMU HII IKIWA NI GRAMMY AWARDS Ngoma Ya "Mama Tetema" (Maluma & @rayvanny ) imeingia Ndani ya Tuzo Za Grammy. Wimbo Huo Umeingia Kupitia Album Ya @maluma Iitwayo "Don Juan" Katika Kipengele Cha "Best Latino Pop Album" Mama Tetema Ni Track No 21 Katika Album Hiyo Ya Maluma “Don Juan” Producer @s2kizzy ndio alitengeneza ngoma hii hivyo na yeye yumo kama Mtayarishaji wa wimbo huo. Hii ni mara ya Pili Kwa Rayvanny Jina lake Kuingia Katika Tuzo Kubwa Duniani, mara ya kwanza alitajwa Katika Tuzo za BET na alifanikiwa kunyakua Tuzo Una maoni Gani?

photo content

JUX na mtindo mpya wa suruali.
JUX na mtindo mpya wa suruali.

Mara baada ya kikao cha Mhe.Waziri Dkt. Damas Ndumbaro na Msajili wa Vyama vya Michezo Wakili Evordy Kyando, Viongozi wa Kami
Mara baada ya kikao cha Mhe.Waziri Dkt. Damas Ndumbaro na Msajili wa Vyama vya Michezo Wakili Evordy Kyando, Viongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania, Viongozi PAF Promotion na Kampuni iliyoandaa pambano la Hassan Mwakinyo ambalo lilishindwa kufanyika majuma kadhaa yaliyopita kiasi cha kupelekea bondia huyo kufungiwa taarifa za ndani zinaeleza huenda bondia huyo sasa akafutiwa kifungo hicho na TPBRC baada ya mazungumzo chanya yaliyotokea kwenye kikao hicho. #PlusXtraUpdates

Pepe is Back 🇵🇹 Mlinzi wa kati wa Fc Porto Pepe amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ureno kwaajili ya mechi za k
+1
Pepe is Back 🇵🇹 Mlinzi wa kati wa Fc Porto Pepe amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Ureno kwaajili ya mechi za kufuzu Euro. Ronaldo (38) x Pepe (40) Umri ni namba tu

*_MAJINA MAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE._* Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake . katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa . dhumuni kubwa lilikuwa kushindana katika soko la biashara ya magari nje ya nchi. Kimaandishi kwa kijapani TOYODA , inatumia alfabeti 10 . TOYOTA inatumia alfabeti 8 . kwa mujibu wa wajapani namba 8 ni namba ya bahati , ikampendeza mr. toyoda kuita kampuni Toyota. Katika logo ya TOYOTA kuna ubunifu , siri na maana kubwa . logo ya Toyota ambayo imechorwa kama zero na michoro ndani yake . kuna “T” iliyojificha , ikimaanisha herufi ya kwanza ya Toyota. Kuna maneno yote sita kwa alfabeti yaliyojificha yakimaanisha neno Toyota . Maana halisi ya logo hiyo , iliyoanzishwa tangu mwaka 1990 katika muundo wa overlapping ellipses logo , inamaanisha muunganiko wa moyo wa mteja na moyo wa bidhaa za Toyota. Majina mengi ya Toyota model , yalianzishwa na maana zake kwa sisi watu wa kiroho kila gari , muundaji alilinenea jambo na hayo lazima yataambatana na gari husika. Unaweza kuchagua kwa ubora na matumizi yako pia . kuna majina kama haya ya Toyota mfano. TOYOTA RAV4 Ni kifupi cha maneno recreational active vehicles with 4wd . yaani ni magari ya mapumziko hasa Kama unaenda kupumzika sehemu za pembezoni mwa mji , zisizo na barabara bora ( outdoors recreation activities ). Waliziweka katika kundi la SUV cars ( sport utility vehicles). TOYOTA HILUX Mkusanyiko wa maneno high na luxury . kiingereza TOYOTA CARINA Ni mkusanyiko wa nyota kijapani. TOYOTA HIACE Ikimaanisha TOYOACE na wakaweka HI (high) , ikiashiria kuwa imepita matoleo yote ya “ACE” ambayo yalikuwa magari kwa ajili ya kubeba wafanyakazi . TOYOTA LAND CRUISER Neno la kijapani lilitolewa likimaanisha kwenda popote . neno la kizungu likauzika zaidi na kuita land cruiser. TOYOTA SIENNA Jina hili lilitolewa kwa heshima ya mji wa sienna italia. TOYOTA ALTEZA Kwa maana ya neno la kiitaliano likimaanisha heshima na urefu wa kitu. TOYOTA VEROSSA Limepewa kutokana na neno la kiitaliano VERO( ukweli), na ROSSO ( nyekundu ). TOYOTA KLUGER Imetokana na neno la kijerumani , kisifa (adjectives) , ikimaanisha “KLUG” , ikimaanisha busara au nzuri. Kuna kuger l na v . l =liberty na v= victory . TOYOTA VANGUARD Ni neno lililomaanisha kwa wajapani , wale waliombele katika maendeleo . neno la kiingereza likauzika zaidi … na hili ndilo gari nilipendalo sana. TOYOTA COASTER Ni neno au jina la meli inayobeba mizigo kutoka bandari moja kwenda nyingine . TOYOTA NOAH Limetokana na neno la kijapani sauti nyororo, ya kuburudisha . TOYOTA HARRIER Ni ndege anayewinda kama tai au mwewe . TOYOTA PASSO Hatua ,steps TOYOTA IST Ni kifupisho cha mwisho kutokana na maneno ya mwisho kama stylist , artist nk . ambao ni watu wenye shauku na kitu Fulani. TOYOTA DYNA Ni magari ambayo yalibuniwa na wafanyakazi wenyewe wa Toyota , wakamaanisha neno , DYNAMIC kwa kiingereza C&P

photo content

"MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI" Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae #Thomas #Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua katikati ya mji kwa kutumia muda mchache. Baada ya mabishano ya kuwekeana kibunda #Tommy #Vits alikwenda kuiba ndege usiku katika chuo cha urubani #Teterboro na kwenda kutua mtaa wa #Manhattan na kuegesha karibu na #Bar waliyokuwa wanabishania. Tommy alikamatwa na kufikishwa mahakamani lakini mmiliki wa ndege hiyo alishangazwa na tukio la Tommy na kuamua kufuta kesi kwa kuona hakuna uaribifu wowote uliofanyika katika ndege hiyo. Mahakama ilimtoza Tommy faini ya dola 100 kwa kuvunja sheria za jiji na kuachiwa huru. Miaka miwili mbele Tommy alikutana na mtu mwengine Bar akiwa anashusha 'kilevi' kwa bahati mbaya mtu huyo alikuwa anabisha kwamba hakuna aliyewahi kufanya kitendo kile (kuiba ndege na kutua mtaani) bali ni hadithi za tu za kutunga. 'Mwamba' Tommy hakukubali akaweka tena dau na huyo mtu kisha kwenda kuiba tena ndege na kutua katikati ya mjini, ila safari hii kwenye upenyo mwembamba zaidi huku akiwa amekwepa nguzo za umeme na maegesho ya magari kiasi kwamba baadhi ya watu walijua ndege hiyo imeletwa hapo kwa kuvutwa na gari. Tommy alikamakamjibukufikishwani tena mahakamani. Jaji alipomuona Tommy alimwambia 'sikutegemea ungerudishwa hapa tena kwa kosa lilelile" Tommy akamjibu "ilikuwa ulevi mhe.." Akahukumiwa kwenda jela miezi sita. Baada ya matukio hayo mawili maarufu, Bar husika ya "#NewYork #CityBar" ilibuni kinywaji cha kuchanganya maarufu #Cocktail iitwayo "#TomyVitz" au "the late night flight" Tommy alijiunga na jeshi kwenye vuguvugu ya vita ya #Korea Vitz amefariki dunia mwaka 2009 akiwa na watoto watatu. Chanzo: Mtandaoni...

photo content

PICHA YA SIKU Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed
PICHA YA SIKU Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC Ally Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba Ahmed Ally na aliyekuwa Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara katika picha ya pamoja wakiwa bungeni jijini Dodoma. Neno moja kwao.

Haya ndio makabila yenye wanawake wazuri zaidi (warembo) Tanzania 🇹🇿 1. Wahiraki au wambulu (Manyara) 2. Warangi (Kondoa) 3
Haya ndio makabila yenye wanawake wazuri zaidi (warembo) Tanzania 🇹🇿 1. Wahiraki au wambulu (Manyara) 2. Warangi (Kondoa) 3.Wanyiramba (Singida) 4. Wapemba (Zanzibar) 5. Wamasai (Arusha) 6. Wahaya (Bukoba) 7. Wanyaturu (Singida,kungi) 8.Wapare (Kilimanjaro) 9.Wamakonde (Mtwara) 10. Wadigo (Tanga) 11. Wasambaa (Tanga) 12. Wamanyema (Kigoma) 13. Wanyakyusa (Mbeya) 14. Wasukuma (Mwanza) 15. Waha (Kigoma) Mtag mwenye kabila lake ajisikie 😄 Follow

MAREKANI KUWEKA MELI ZA NUCLEAR ISRAEL NI ADHABU KWA NCHI NYINGI SANA Uwepo wa vifaa vya kijeshi pale katika bahari nyekundu ni kutaka kihakikisha usalama katika pande zote mbili za Israel na watu wa Palestina Iko wazi kuna baadhi ya nchi zilitaka kuutumia mgogoro huo kufanya mambo kuwa magumu sana na hali kuwa mbaya sana mashariki ya kati uwepo wa Marekani umezuia hayo kutokea Wakati Israel anaendelea na maahambulizi yake dhidi ya Hamas basi watu wengi wamekuwa wakiuliza kwanini watu wengi wanakufa baadala ya Hamas wenyewe tu basi Iko wazi kwamba Hamas wanatumia ujanja ujanja tu wa kupigana ambapo hutumia watu kama ngao yao ambapo ni wazi kuwa katika sheria za vita zinakataza kushambulia katika baadhi ya maeneo , sasa Hamas hutumia maeneo hayo kurusha makombora kuelekea huko Israel Israel wameshatangaza sana tu kuwa raia wote wanatakiwa waondoke hapo Gaza kwakuwa hawataki wafe hovyo kutokana kuwa makombora hayachagui kama utakuwa umekaa katika target basi utashambuliwa tu 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 Ubinadamu wa Marekani unakuja hapa sasa ambapo siku ya leo waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa amewaomba Israel kila siku wasitishe mashambulizi yao kwa masaa 4 ili kupisha watu raia waendelee kutoka hapo Gaza na pia wamewaomba kuwa wajizuie kushambulia maeneo ambayo raia wapo hata kama ikiwabidi na ikiwalazimu washambulie Vitendo vya ubinadamu ambapo mpaka sasa Marekani ndiye aliyeruhusu Vyakula maji na huduma zenginezo za kibinadamu ambazo Israel walizifunga kabisa Ni jambo kubwa sana katika nyakati za vita imagine umewashauri watu jambo kubwa kama hili ambalo pengine si rahisi kwa baadhi ya mataifa Marekani wamesema kuwa hawataingilia vita hiyo na watahakikisha kuwa Israel na Hamas watapigana wao kama wao na si mtu mwengine kuweza kuingilia hapo Kumbuka kuwa kuna nyambizi kubwa za mashambulizi zimepaki hapo bahari nyekundu ambapo imekuwa kama Adhabu kwa nchi kama Urusi , Iran , Korea na hata China ambao pengine wangehitaji kuingilia mgogoro huo kwa namna moja ama nyengine Naweza kusema kuwa Marekani amelifunga eneo lote la bahari hakuna wa kutoka wala wa kuingia Na ipo wazi kabisa duniani kote hakuna nchi inayoweza kusimama dhidi ya ngome za kivita za baharini za Marekani Mimi sipo upande wowote ule ni mchambuzi huru

photo content

Umegundua nini😀😀
Umegundua nini😀😀

Sheikh Ponda issa Ponda akawatwa na jeshi la polisi tarehe 10/11/2023. Tukio hilo limetokea maeneo ya mnazi mmoja jijini dare
Sheikh Ponda issa Ponda akawatwa na jeshi la polisi tarehe 10/11/2023. Tukio hilo limetokea maeneo ya mnazi mmoja jijini daresalam ambapo sheikh Ponda pamoja na viongozi wengine wa shura ya maimamu walikusudia kufanya maandamano ya Amani kutoka mnazi mmoja hadi manzese kwa lengo la kuonesha hisia zao juu ya kile wanachofanyiwa raia wa palestina. Jeshi la polisi kanda ya daresalam limethibitisha kumkamata. Maandamano ya namna hii yanafanyika duniani kote ikiwemo nchi zinazounga mkono Israel kama Marekani, ujerumani, ufaransa na uingereza, pamoja na nchi nyingi za mashariki ya kati zinazopinga hatua ya Israel kutofata kanuni za haki za binadamu kwa kuua raia Wasio na hatia. Hadi sasa wamekufa raia Wasio na hatia zaidi ya 10800 (elfu kumi na mia nane) huku zaidi ya 4000 wakiwa ni watoto. Ni dhulma kwa historia ya binadamu katika ardhi kufanya uharibifu wa kumwaga damu zisizo na hatia.

ASANTE BABA YANGU KWA KUUKATAA UROMAN NA KUUKUBALI UISLAMU, LEO UKWELI UNAJIDHIHIRISHA WAZI; LINDA. Baada ya Kiongozi mkuu wa kanisa la Kikatoriki Duniani Papa Francis kubainisha kwamba sasa kanisa hilo linaweza kuwabatiza wapenzi wa jinsi moja na kuwaruhusu kuwa miongoni mwa waumini wa kanisa hilo. Mwanamitindo mkongwe Linda Bezuidenhout amemshukuru Marehemu baba yake Mzee Bezuidenhout kwa kulikataa kanisani hilo na kuwajenga katika misingi ya dini ya Kiislamu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linda ameandika "Ndo maana baba yangu alikataa uroman katoriki kata kata na vitabu vyake vilimpa elimu kubwa kuhusu injili ilivyobadilishwa, leo ukweli mwingine huu hapa wa kuthibitisha Yesu hakusema waliobadili jinsia wanaweza kubatizwa. Baba yangu kipenzi ulikuwa Genius Mungu akubariki sana kwa jitihada ulizofanya kutuelimisha watoto wako na watu wengine, hakika Allah atakuzawadia Daddy" "Zawadi aliyokupa kufa na kalima ya Lah Illah Ila Allah ni ndoto ya kila Muislam hapa duniani, hiyo haiji kirahisi mpaka mwenyezi Mungu akikutunuku. Hivi sasa nikisali namuomba sana Mwenyezi Mungu anipe bahati ya kusema Lah Illah Ila Allah kabla ya kukata roho, au nikisahau basi namuomba Mungu sana amkumbushe mmoja wa watoto wangu wanikumbushe kusema Lah Illah Ila Allah"-ameandika Linda Bezuidenhout

photo content

Licha ya kuwa na Mwaka Bora sana Katika Muziki wake Msanii Diamondplatnumz ameachwa Kwa Mara nyingine tena Katika Tuzo Kubwa Duniani GRAMMY AWARDS 2023 Davido, Asake, Burnaboy, Ayrah Star ambao wote wanatokea Nchini Nigeriawametajwa Katika Tuzo hizo Huku Davido Ambae ndio ameingia Kwa Mara ya kwanza Katika Tuzo hizo akitajwa kuwania Vipingele Vitatu Hii Hapa ndio list yote ya Nomination za Tuzo za Grammy Awards ; Album of the Year Boygenius – The Record Janelle Monáe – The Age of Pleasure Jon Batiste – World Music Radio Lana Del Rey – Did You Know That There’s a Tunnel Under Ocean Blvd Miley Cyrus – Endless Summer Vacation Olivia Rodrigo – Guts SZA – SOS Taylor Swift – Midnights Record of the Year Billie Eilish – What Was I Made For? Boygenius – Not Strong Enough Jon Batiste – Worship Miley Cyrus – Flowers Olivia Rodrigo – Vampire SZA – Kill Bill Taylor Swift – Anti-Hero Victoria Monét – On My Mama Best Song Written for for Visual Media Billie Eilish – What Was I Made For? Dua Lipa – Dance the Night Nicki Minaj & Ice Spice Featuring Aqua – Barbie World Rihanna – Lift Me Up Ryan Gosling – I’m Just Ken Best Score Soundtrack for Visual Media (Includes Film and Television) John Williams – The Fabelmans John Williams – Indiana Jones and the Dial of Destiny Ludwig Göransson – Black Panther: Wakanda Forever Ludwig Göransson – Oppenheimer Mark Ronson & Andrew Wyatt – Barbie Best African Music Performance Asake & Olamide – Amapiano Ayra Starr – Rush Burna Boy – City Boys Davido Featuring Musa Keys – U

photo content