ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك 👈

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
DR MWINYI NA BAKHRESA - Mfanyabiashara Said Salim Bakhresa ni miongoni mwa waliofika nyumbani kwa Hayati Ali Hassan Mwinyi Mi
DR MWINYI NA BAKHRESA - Mfanyabiashara Said Salim Bakhresa ni miongoni mwa waliofika nyumbani kwa Hayati Ali Hassan Mwinyi Mikocheni Dar es salaam leo kutoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki

DIAMOND PLATNUMZ NI MFANO ULIO HAI. _ Mchekeshaji Maarufu hapa Tanzania Jotti Amesema Kwa Kweli Watu wanatakiwa KUTAZAMA Sana
DIAMOND PLATNUMZ NI MFANO ULIO HAI. _ Mchekeshaji Maarufu hapa Tanzania Jotti Amesema Kwa Kweli Watu wanatakiwa KUTAZAMA Sana Diamond Platnumz Hasa wale wenye ndoto za kuwa wanamziki Kutokukubali Kukata Tamaaa Hata Ukukutana na Changamoto kiasi gani. Kwa Mfano Diamond Platnumz alipogombana na Media Kubwa hapa Tanzania Watu wengi Walijua Lazima Diamond Platnumz apoteee Mazima Kwenye Tasnia ya Bongo Fleva Lakini haikuwa Hivyo ila Nazani Ndio Ulikuwa mwanzo wa Mafanikio Yake Hakukata Tamaa alipambana Sana.

Hayati Alli Hassan Mwinyi Akiwa na Mkewe enzi ya Uhai wake.
Hayati Alli Hassan Mwinyi Akiwa na Mkewe enzi ya Uhai wake.

NATAMANI NINGEKUWA MWANAMKE DIAMOND PLATNUMZ ANIOE. Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania Baba Levo Amesema Yeye Anatamani Sana ang
NATAMANI NINGEKUWA MWANAMKE DIAMOND PLATNUMZ ANIOE. Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania Baba Levo Amesema Yeye Anatamani Sana angezaliwa Mwanamke Na Kuolewa na Boss wake Pale Wasafi Fm Diamond Platnumz na Angemzalia Watoto Wengi Mno Maana Anampenda Sana Diamond Platnumz Kimapenzi. TOA MAONI YAKO HAPA 👇👇👇👇👇 USISAHAU KULIKE UKURASA HUU SASA NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Rasmi Hamisa Mobetto kaamua kumbadilisha Jina Mtoto wake (aliyezaa na Diamond Platnumz) na kuitwa Dylan Mobetto na sio Dylan
Rasmi Hamisa Mobetto kaamua kumbadilisha Jina Mtoto wake (aliyezaa na Diamond Platnumz) na kuitwa Dylan Mobetto na sio Dylan Naseeb kama inavyoonekana kwenye Bio yake ya ukurasa wake wa Instagram. Inasemekana hadi vyeti vya kuzaliwa vimebadilishwa na kufutwa jina la Diamond Platnumz yaani Naseeb Abdul. Hii ni baada ya Diamond Platnumz kumkataa Mtoto huyo kuwa sio wake. kwa mujibu wa Hamisa Mobetto alisema siku kadhaa zilizopita kuwa walipima hadi damu ya vinasaba "DNA" na kuthibitisha kuwa Dylan ni Mtoto wake lakini Diamond Platnumz alikaa kukubali kuwa Mtoto huyo ni wake. Toa maoni yako

Taarifa kwa umma kutoka katika Lebo ya WCB Wasafi
Taarifa kwa umma kutoka katika Lebo ya WCB Wasafi

Soudy Brown aanikwa 🤔
+1
Soudy Brown aanikwa 🤔

Tanzania imeondokewa na Marais 3 katika kipindi kisichozidi miaka mitano
Tanzania imeondokewa na Marais 3 katika kipindi kisichozidi miaka mitano

Kuna Watu wanatengeneza bidhaa bora na sio bora bidhaa 🤔🙌
Kuna Watu wanatengeneza bidhaa bora na sio bora bidhaa 🤔🙌

"Mdogo wangu ambaye hujaingia kwenye ndoa usiombe Mungu kupata ndoa, omba Mungu kukupa mume bora mwenye kukuheshimu na kukuhe
"Mdogo wangu ambaye hujaingia kwenye ndoa usiombe Mungu kupata ndoa, omba Mungu kukupa mume bora mwenye kukuheshimu na kukuheshimisha, usiombe tuu kuolewa hapana ombea mume utakayempata asikutie aibu kila kukicha, pia ombea uzao wako kama umezaa nae wanao wasiwe na tabia za uliyezaa nae ili hao wanao ndio wakawe faraja ya uzao wako, ombea tumbo lako siyo memes nakukumbusha tuu.. Lakini kama umeshaolewa na yakakukuta basi marufuku kulia, omba ku-move on hapo hapo kwenye ndoa kuwa na ndoa yako ya nje ili usife kwa strses za mtoto wa mtu uliyemkuta ukubwani na ndevu zake, kikubwa heshima tu wakikutana wapigane mshindi baki nae Cha mwisho fanya haya, kama una pesa matumizi yasiwe ya hasara, utaumia, nakukumbusha kujipenda, nakupenda wanao ili uishi muda mrefu mwanaume asikufanye ufe ukaacha wanao" -; Jacqueline Wolper, Mwigizaji wa filamu Tanzania. Toa maoni yako

Pichani ni Daylan wa Hamissa Mobetto, mtoto mwenye historia tata lakini yenye ushindi.
Pichani ni Daylan wa Hamissa Mobetto, mtoto mwenye historia tata lakini yenye ushindi.

Baada ya kurudiana na Mume wake, Rihanna Abdulrazak (Diva) amerejea kwenye Uislamu na amewahimiza Waislamu kuunyenyekea Mwezi
Baada ya kurudiana na Mume wake, Rihanna Abdulrazak (Diva) amerejea kwenye Uislamu na amewahimiza Waislamu kuunyenyekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pasipo kufanya uzinifu, uongo na maovu mengine.

SIPENDI WANAUME MFUPI NA MASIKINI - Mwanadada kuruthumu Maarufu Kama "Judith" anayefanya vyema kwenye Tamthiria ya Jua Kali a
SIPENDI WANAUME MFUPI NA MASIKINI - Mwanadada kuruthumu Maarufu Kama "Judith" anayefanya vyema kwenye Tamthiria ya Jua Kali ameweka Wazi sifa za Mwanaume anayestahili Kupata Penzi lake. Judith ameweka Wazi kuwa havutiwi Kabisa na Wanaume Wafupi na Masikini Ila Anataka Mwanaume Mrefu na Mwenyewe Pesa za kutoka Sio za kuungaunga. Daaah Hawa Dada wetu Wa siku hizi wanajitahidi kuboresha Biashara Zao Kwa Kweli...😂😂😂😂😂

"Tangu Mange atangaze kuwa nashiriki mapenzi ya jinsia moja Mama yangu aliniblock siku hiyohiyo na nilipojaribu kuongea nae k
"Tangu Mange atangaze kuwa nashiriki mapenzi ya jinsia moja Mama yangu aliniblock siku hiyohiyo na nilipojaribu kuongea nae kupitia simu ya mdogo wangu aliniambia ili anielewe na aamini kwamba nimesingiziwa inabidi tukapime hospitali aone kama niko salama, hicho ni kitu kigumu sana kwangu" "Mimi sijihusishi na hayo mambo ingawa nikikuonyesha simu yangu wanaume wengi wananitongoza lakini mimi siwataki na huwa siwajibu. Natongozwa sana na wanaume, wengine ni maarufu na hii inatokana na uzuri wangu, hata Bob Risky alinisifia (he's cute) baada ya Gigy Money kunipost, tangu Mange aniposti ndio wameongezeka zaidi"- Dj Hancy aliyekuwa mpenzi wa Gigy Money

"Nilisema nikiingia kwenye ndoa na Diva haitapita miezi kadhaa lazima angekuwa na mimba, yes! mpaka sasa nimetimiza hilo nime
"Nilisema nikiingia kwenye ndoa na Diva haitapita miezi kadhaa lazima angekuwa na mimba, yes! mpaka sasa nimetimiza hilo nimempachika mimba tano lakini zote zimeharibika"- Abdul

Upewe milioni moja au ukale dinner na Malkia Diva, utachagua kipi?
Upewe milioni moja au ukale dinner na Malkia Diva, utachagua kipi?

"Wanaume wa Zanzibar wengi wao ni kama wanaume wa Mombassa, wengi wanapelekeshwa na wake zao"- Kungwi Mama Love
"Wanaume wa Zanzibar wengi wao ni kama wanaume wa Mombassa, wengi wanapelekeshwa na wake zao"- Kungwi Mama Love

"Ooh simpendi bi tuks!!! lakini umeenda kumlipa Shakib milioni mbili ili akupe umbea wa maisha yangu, kumbe wewe ni shabiki y
"Ooh simpendi bi tuks!!! lakini umeenda kumlipa Shakib milioni mbili ili akupe umbea wa maisha yangu, kumbe wewe ni shabiki yangu namba moja ni vile tu huwezi kuniambia hadharani, maisha yangu yamekuchanganya umechanganyiwa mpaka umeamua kuwekeza kwenye maisha yangu" "Kwa kung'ang'ana huko unaweza ukamuua mtu, na kinachonifurahisha zaidi ni kwamba pamoja na kuliwa milioni mbili lakini umetoka patupu, hajakupa undani wowote wa maisha yangu amekula pesa yako bure hajakupa kile ulichokuwa unataka"- Zari kwaMange Kimambi

NIMEKUSAMEHE ILA WEWE NDIO STAA WA MWISHO KUSAMEHEWA SITAKI URAFIKI NA STAA YEYOTE MTANIULIA APP YANGU"- MANGE KIMAMBI "Wema Sepetu ni Staa wa mwisho kupatana nae, sitaki kupatana na Staa mwingine kwasababu tunakoelekea sasa mtaniharibia kazi mtakuwa mkichafua hali ya hewa nitashindwa kupost maovu yenu kisa ni marafiki zangu. Sitaki sitaki urafiki na mtu tena mnikomee mtaniharibia kazi"- Mange Kimambi baada ya Wema Sepetu kusema hata kama Mange anamzungumzia vibaya yeye bado anampenda sana kwasababu anatambua mchango wake kwenye maisha yake. "Mimi simchukii Dada Mange Kimambi kwasababu najua alikonitoa, bila yeye mimi nisingekuwa Wema wa sasa hivi, kupitia yeye nimekuwa maarufu mwenye kutazamwa na mamilioni ya watu, kuna muda namjibu vibaya lakini ni kwasababu muda mwingine anapitiliza kunisema vibaya na mimi kama binadamu nina moyo wa nyama naumia naamua kumjibu lakini huwa sipendi kujibizana nae"- Wema Sepetu Kwa wasiofahamu ni kwamba Mwaka 2006 Mange Kimambi alienda nyumbani kwa kina Wema Sepetu akamuomba Mama wema mwanae ashiriki mashindano ya urembo ya Miss Tanzania kwani angeweza kushinda. Lakini mama Wema hakukubaliana na jambo hilo akamtimua Mange huku hoja yake kubwa iliwa ni kuhofia mwanae kuharibika endapo ataingia kwenye dunia ya umaarufu na pesa, lengo la mama Wema lilikuwa ni mwanae huyo aje kuwa mwanasiasa mkubwa kama alivyokuwa baba yake. Baadae Mange Kimambi alirudi tena nyumbani kwa Mama Wema na kumsisitiza amruhusu mwanae kushiriki mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2006, awamu hii Mama Wema alikubali japo kishingo upande na akamuomba yeye ndio awe msimamizi wa mwanae pindi atakapokuwa maarufu akihofia kumpoteza mwanae ukizingatia alikuwa kwenye kipindi cha balehe. Hatimae Mange aliondoka na Wema Sepetu na ikawa bahati yake mwaka 2006 akafanikiwa kutwaa taji la Miss Tanzania. Urafiki wao uliendelea, Mange akitambulika kama Dada wa Wema Sepetu hadi hapo baadae ambapo kulitokea bifu zito kati ya Paul Makonda, Wema Sepetu na Mange Kimambi. Kuna kesi iliibuka ambapo Makonda alimtuhumu Wema kujihusisha na mambo kadhaa ( ) na Mange kama dada wa Wema alilivalia njuga suala hilo kwa kupambana na Makonda ili Wema abaki salama. Matokeo yake baada ya sakata hilo kupita Wema aliungana na Paul Makonda na kuanza kumrushia vijembe Mange Kimambi ambaye ndiye alikuwa mtetezi wake. Kuanzia hapo Mange hakuwahi kumpenda Makonda mpaka leo hii na jana tu katoka kumchamba, lakini pia alikata mizizi ya urafiki na Wema Sepetu pamoja na familia yake yote wakawa maadui zake, (kama mlivyoshuhudia mwaka jana alimdhalilisha mama Wema kwa kuposti video akiongea na kibenteni). Bifu lao limedumu kwa muda mrefu kidogo hadi hapo Wema alipodai kwamba hamchukii Mange kwasababu anaelewa mchango wake kwenye maisha yake na kwa uzuri Mange pia amelipokea hilo na amesisitiza kuwa Wema ndio Staa wake wa mwisho kupatana nae ili App yake iendelee kupumua. Miongoni mwa Mastaa ambao wana bifu zito na Mange Kimambi ni pamoja na Irene Uwoya, Zamaradi Mketema, Gigy Money, Faiza Ally, Mama Dangote na mastaa wengine wengi.

photo content