ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
photo content

Watanzania wanaowania tuzo za NXT HONORS 2023 1. Best Male Artiste : Diamond Platnumz 2. Best Male Artiste : Alikiba 3. Music
Watanzania wanaowania tuzo za NXT HONORS 2023 1. Best Male Artiste : Diamond Platnumz 2. Best Male Artiste : Alikiba 3. Music Executive Of The Year ( Next Level Music) : Rayvanny 4. Best Female Artiste : Zuchu 5. Best Music Producer (Achii by Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide) : Laizer Classic 6. Business Of The Year : WCB Wasafi 7. Business Of The Year : Hamisa Mobetto Tuzo hizi zinafanyika Nchini Nigeria na Washindi wanapatikana kwa kuamuliwa na kamati kuu ya sekta inayoendesha tuzo hizi huku Mtangazaji Fredick Bundala na Media yake ya SNS ikiwa ni moja wapo ya "Media partner" ya tuzo hizi

SISI NI WALE TULIOTOKA KWENYE FAMILIA ZA KIMASIKINI, TUSAPOTINI MSITUVUNJE MOYO; DORAH "Sisi ni wale ambao tunaishi maisha ya
SISI NI WALE TULIOTOKA KWENYE FAMILIA ZA KIMASIKINI, TUSAPOTINI MSITUVUNJE MOYO; DORAH "Sisi ni wale ambao tunaishi maisha ya kawaida, maisha ambayo ukila ugali na dagaa ni mlo mzuri wa siku, sisi ni wale ambao tulikuwa hatuufahamu umeme lakini tulikuwa tuna amani. Sisi ni wale ambao mzazi wako akikuletea pipi unafurahi wiki nzima kwasababu ni zawadi kubwa sana" "Sisi ni wale ambao tunapambana kuheshimisha familia zetu kwasababu tunajua tulipotoka haikuwa kazi rahisi. Kwahiyo ukiona napambana naomba uheshimu kile ninachokipambania na ukiweza kunisapoti naomba nisapoti kwasababu nina watu wengi sana nyuma yangu"- Dorah Mtaly (Tuma wa Juakali).

"Ukiwa kwenye mahusiano na mimi huwa najichukulia kama umenioa tu, ndiyo maana mwanaume wangu lazima nimpikie, nimfulie na ma
"Ukiwa kwenye mahusiano na mimi huwa najichukulia kama umenioa tu, ndiyo maana mwanaume wangu lazima nimpikie, nimfulie na mambo mengine anayotakiwa kufanya mwanamke kwa mume wake"- Wema Sepetu

"Mungu sio kwamba hataki kukubariki, wewe mwenyewe unajiangusha, akikupa hela kidogo tu hutulii mpaka iishe, hizo nyingi atak
"Mungu sio kwamba hataki kukubariki, wewe mwenyewe unajiangusha, akikupa hela kidogo tu hutulii mpaka iishe, hizo nyingi atakupaje? Tulia mungu hapendi kihere-here"- Irene Uwoya

"Wali wa msibani ni mtamu kwenye msiba wa wenzio na sio kwenye msiba unaokuhusu, ni sawa na kinachokuumiza wewe ukitendewa us
"Wali wa msibani ni mtamu kwenye msiba wa wenzio na sio kwenye msiba unaokuhusu, ni sawa na kinachokuumiza wewe ukitendewa usimuumize mwenzio maana kama dini yenyewe inasema kibaya utakachokifanya kwa kumuumiza mwingine, jiandae maana kinazunguka na kukurudia wewe mara mbili ya ukichomfanyia mwezako"- Wastara Juma

Pichani ni Waigizaji Batuli, Davina na Gabo. Nani staa wako?
Pichani ni Waigizaji Batuli, Davina na Gabo. Nani staa wako?

"Ili Mwanaume wako atulie inabidi umkamate kiakili, kuna hatua 18 za kuendesha akili ya mwanaume, mwanamke unatakiwa kum-cont
"Ili Mwanaume wako atulie inabidi umkamate kiakili, kuna hatua 18 za kuendesha akili ya mwanaume, mwanamke unatakiwa kum-control mwanaume wako mpaka amsahau mama yake, unatakiwa umtawale kimwili na kiakili la sivyo utamkosa. Wanawake wengi wanafikiri sex ndiyo hitaji kubwa la mwanaume, lakini mwanaume anahitaji vitu vingi kutoka kwa mwanamke wake, anahitaji ushauri, kutulizwa, kufarijika, kuliwazwa" "Ndio maana wanaume wengi wakipata mwanamke mwenye tabia hizo nje wanaacha kumzingatia mwanamke wa ndani kwasababu nje wanapata vitu vingi vizuri kuliko ndani"- Doctor Love Tanzania

⚠️😳 Mdada huyo kwa jina la Oyiza Musa anadai kwamba ndoa zilianza kukosa maana baada ya wanawake kuamua kupambana wenyewe ki
⚠️😳 Mdada huyo kwa jina la Oyiza Musa anadai kwamba ndoa zilianza kukosa maana baada ya wanawake kuamua kupambana wenyewe kikazi na kuweza kujihudumia wenyewe mambo mengi bila kutegemea mwanaume

Mahakama Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imemuhukumu Mkude Nziku (20) Mkazi wa Kijiji cha Kihanga Wilaya na Mkoa wa Iringa kutumikia kifungo cha Maisha Jela na fidia ya shillingi Milioni Tano baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka Binti wa kaka yake mwenye Umri wa miaka 11. Kesi hiyo ilisimamiwa na Hakimu Mkazi Mkuu Mkoa wa Iringa Said Mkasiwa ilikuwa na jumla ya mashahidi wanne akiwemo (Binti aliyedaiwa kubakwa, mama Mzazi wa Binti huyo, Daktari pamoja na Polisi aliyechukuwa maelezo ya awali). Inaelezwa siku ya tukio Mtuhumiwa aliingia chumbani kwa Binti huyo kupitia njia ya Dirisha akamchukua mtoto huyo kwa nguvu kutoka kitandani akamuweka chini kisha kumvua nguo zake na kutenda unyama huo. "Alinivua sketi akaivuta nguo yangu ya ndani akaniingiza 'LIDUDE' lake sehemu ya kukojolea nilihisi maumivu makali nikapiga kelele mama akaja chumbani kwangu lakini Mkude akakimbia" Alisema Binti huyo Naye shahidi wa pili ambaye ni mama Mzazi wa mtoto huyo anasema baada ya kusikia kelele za mwanaye alitoka haraka hadi chumbani kwa mwanaye akapishana na mtu sebuleni alianza kumkimbiza punde Mtu huyo aliyemtaja kama Mkude akaanguka chini akammulika ta Taa yake ya Solar na kumtambua, akamuuliza ulikuwa unafanya nini chumbani kwa Binti yako (Mtoto wa kaka yake) Mkude akadai kuwa alikosea nyumba kisha akakimbia.

photo content

Ndege ya kampuni ya Unity Air 5H-MJH aina ya EMBRAER 120, iliyokuwa na watalii 30, marubani wawili na mhudumu mmoja imepata a
Ndege ya kampuni ya Unity Air 5H-MJH aina ya EMBRAER 120, iliyokuwa na watalii 30, marubani wawili na mhudumu mmoja imepata ajali asubuhi ya hii leo Novemba 28, 2023, iliyotokana na tatizo la kiufundi wakati ikitua katika kiwanja cha ndege cha Kikoboga kilichopo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TANAPA imesema kwamba ndege hiyo ilikuwa ikitokea Zanzibar, ambapo kutokana na juhudi zilizofanywa na marubani wa ndege hiyo pamoja na maafisa wa kiwanja hicho walihakikisha hakuna madhara yanayotokea ambapo watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo walitoka salama na kuendelea na shughuli zao za utalii Aidha TANAPA imekwishawasiliana na idara ya uchunguzi wa ajali za ndege iliyopo Wizara ya Uchukuzi kwa ajili ya taratibu zingine na uchunguzi zaidi juu ya tukio hilo.

Grace Mwita(5), mkazi wa mtaa wa Starehe wilayani Tarime mkoani Mara amechomwa moto mikono na baba yake na kusababishiwa maum
Grace Mwita(5), mkazi wa mtaa wa Starehe wilayani Tarime mkoani Mara amechomwa moto mikono na baba yake na kusababishiwa maumivu na majeraha makubwa akidaiwa kudokoa mboga(dagaa alimaarufu kwa jina la Furu) iliyokuwa imepikwa na baba yake mzazi kwa ajili ya chakula cha mchana. Tukio hilo la kikatili limetokea usiku wa kuamkia leo, Novemba 28, 2023 ambapo baba wa motto huyo Mwita Abdala, amekiri kufanya tukio hilo la kumchoma moto mikono motto wake kisa alidokoa mboga. Nao baadhi ya ananchi wa mtaa huo wameomba serikali iweze kumchukulia hatua kali za kisheria baba huyo ili wengine waweze kujifunza na wasijaribu kutekeleza tukio hilo.

"Wanawake ambao mnachukua mikopo bila kuwahusisha waume zenu sio kitu kizuri, kuna wanawake mnaenda kukopa ili mkatunzane na
"Wanawake ambao mnachukua mikopo bila kuwahusisha waume zenu sio kitu kizuri, kuna wanawake mnaenda kukopa ili mkatunzane na mashoga zanu, haumshirikishi mume wako, mume anaangalia TV saa saba mchana anashangaa watu wamekuja kuchukua TV au makochi. Waambieni waume zenu kwamba mnaenda kuchukua mikopo, waambie kama mna shida wanaweza kuwasaidia na sio kwenda kukopa kisiri-siri mnawatia waume zenu kwenye matatizo na mnageuka kero"- Dida Shaibu

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+5
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

photo content

"Jana niliamua kuingia YouTube kitizama nini nilikifanya kwenye Filamu miaka ya nyuma na huyu bwana Sajuki nikabahatika kukutana na hii Filamu jina inaitwa KOZOPATA, hii Filamu ilikuwa na stori ya kushangaza sana, nyumba tuliyoenda kushoot hii Filamu kilishatokea hicho hicho tulichokicheza na kilishatokea mara tatu. Nilipoandika stori ile namaliza kuandika natafuta location ya kwenda kushoot nikaitwa na wenye nyumba wakaniuliza ni nani aliyekusimulia maisha yetu? Maana umekuja kushoot kwetu na unacheza stori ya maisha yetu" "Mwisho nikawa naogopa hata kuandika stori yote, yote kwa yote huyu jamaa aliniheshimu sana, haijawahi kutokea hata siku moja akatoa neno la dharau au kunidhalilisha. Mungu akupe pepo huko ulipo akuondoshee adhabu za kaburi Juma Juma Issa Kilowoko (SAJUKI)"-- Wastara Juma, Mwigizaji wa filamu na aliyekuwa Mke wa Mwigizaji Sajuki ambaye kwa sasa ni Marehemu. Toa maoni yako #MvanoUdaku #MvanoMtabgazaji #M31

photo content

"Tangu niingie kwenye balehe nimekuwa kwenye mahusiano na wanaume watatu pekee"- Cecy
"Tangu niingie kwenye balehe nimekuwa kwenye mahusiano na wanaume watatu pekee"- Cecy