ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
Japhet Zabron wa Zabron Singers na mkewe Lulu wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.
Japhet Zabron wa Zabron Singers na mkewe Lulu wamebarikiwa kupata mtoto wa kike.

photo content
+8

photo content
+9

FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medi
+9
FULL VIDEO NA MATUKIO MAZIMA UTAYAPATA KWA KU BONYEZA HAPA KWENYE INSTAGRAM LINK:-https://instagram.com/e_plus_media?utm_medium=copy_link FACEBOOK PAGE FOLLOW:-https://www.facebook.com/eplusmediatv/

Watanzania waliowahi kushinda Tuzo za (AEAUSA) toka zilivyoanzishwa 2015 mpaka hivi sasa. 1. Diamond Platnumz (8) - 2015 : Hottest Male Single Of The Year "NtampataWapi" - 2016 : Best Male Single (Utanipenda) - 2018 : Best Male Of The Year - 2018 : Best Collaboration (African Beauty) - 2019 : Best Collaboration (Baila) - 2020 : Best Male Artist - 2021 : Artist Of The Year - 2022 : Album Of The Year (FOA) 2. Rayvanny (4) - 2018 : Best Vocalists - 2019 : Best Male East/South/North Africa. - 2020 : Best Male Artist East/South/North Africa - 2022 : Best Collaboration (Mama Tetema) 3. Harmonize (4) - 2016 : Best New Artist - 2023 : Artist Of The Year - 2023 : Best Music Video #SingleAgain - 2023 : Afro-Bongo King Of East Africa 4. Nandy (3) - 2018 : Best Single Female (Kivuruge) - 2019 : Best Female East/South/North Africa - 2020 : Best Female Artist 5. Alikiba 2017 - People Choice Award 6. Babu Tale 2019 - Best African Talent/Artist Manager 7.Romy jons 2018 - Best Dj 8. Navy Kenzo 2017 - Hottest Group 9. Ymoto Band 2016 - Hottest Group 10. AY 2016 - Best Collaboration (Zigo Remix) 11. Dmkglobal 2015 - Best Promoter 12. Lil Ommy 2019 - Best Host 13. Dj D.Ommy 2016 - Best Dj 14. Dj Sinyorita 2020 - Best Dj 15. Hbaajuni 2018 - Best Dancer 16. Director kenny 2021 - Video Director Of The Year Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥

photo content

Inasemekana ni huyu kijana ndiye atayetambulishwa tarehe 16,11,2023 na WCB Wasafi. 1. Diamond Platnumz 2.. Zuchu 3. Mbosso 4.
Inasemekana ni huyu kijana ndiye atayetambulishwa tarehe 16,11,2023 na WCB Wasafi. 1. Diamond Platnumz 2.. Zuchu 3. Mbosso 4. Lavalava 5. Queen Darlene 6. ???? NB : Msaga Sumu alihojiwa kuhusiana na nani atasainiwa WCB, akasema ni Dulla Makabila 😂 Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥

Orodha ya Wasanii wa muziki wa kike wenye idadi kubwa ya Wafuasi (subscribers) kwenye mtandao wa YouTube barani Afrika (Chini
Orodha ya Wasanii wa muziki wa kike wenye idadi kubwa ya Wafuasi (subscribers) kwenye mtandao wa YouTube barani Afrika (Chini ya Jangwa la Sahara). 1. Zuchu (Tanzania): +3.01M 2. Yemi Alade (Nigeria) : +2.29M 3. Snachi (Nigeria) : +2.16M 4. Ada Ehi (Nigeria) : +1.71M 5. Ayra Starr (Nigeria) : +1.5M 6. Tiwa Savage (Nigeria) : +1.35M 7. Nandy (Tanzania) : +1.21M 8. Rose Muhando (Tanzania) : +1.05M 9. Guchi (Nigeria) : +1.01M 10. Diana Bahati (Kenya) : +970K Ukihitaji matangazo ya biashara yako au Promotion ya nyimbo zako, filamu, mitandao yako ya kijamii (facebook na YouTube), njoo inbox 📥

***Vitoto vya miaka ya 2000's hivi***
***Vitoto vya miaka ya 2000's hivi***

***Panama City* Je unajua kwa nini daraja limejengwa kwa mtindo huu?***
***Panama City* Je unajua kwa nini daraja limejengwa kwa mtindo huu?***

Kiungo wa zamani wa klabu za FC Barcelona, Arsenal na timu ya Taifa ya Cameroon, Alex Song ametangaza rasmi kustaafu kucheza
Kiungo wa zamani wa klabu za FC Barcelona, Arsenal na timu ya Taifa ya Cameroon, Alex Song ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 36. Wakati Song akistaafu nyota mwenzake raia wa Burundi anayekipiga kwenye klabu ya Simba SC, Saido Ntibanzokinza mwenye umri huo huo wa MIAKA 36 bado anacheza na ni mchezaji wa kutumainiwa. Tunaweza kusema Saido anajitunza sana ndio maana ancheza kwa kiwango kizuri akiwa na umri mkubwa?

Wasanii Oscar Lelo 'Whozu', William Lyimo 'Billnass' na Mbwana Kilungi 'Mbosso' wamepata ahueni ya kuondolewa adhabu ya kufungiwa kujihusisha na muziki iliyokuwa imetolewa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) Novemba 4, mwaka huu. - Hata hivyo wasanii hao hawatajishughulisha na muziki hadi watakapotekeleza adhabu ya kulipa faini walizotozwa na Basata zilizokuwa zikienda pamoja na adhabu za kufungiwa. - Uamuzi huo umefikiwa leo Novemba 14, 2023 kwenye kikao kilichoongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Damas Ndumbaro kilichofanyika ofisi za wizara zilizopo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Hamis Mwinjuma, Katibu Mkuu wa wizara Gerson Msigwa na wasanii hao. - Whozu alitozwa faini ya Sh milioni tatu na Basata, lakini kutokana na uamuzi wa leo atalipa Sh milioni tano, Billnass alitozwa Sh milioni tatu, lakini sasa atalipa Sh milioni moja na Mbosso yeye atalipa Sh milioni tatu. Kulingana na uamuzi wa leo wakitekeleza adhabu hiyo wataendelea na shughuli zao za muziki. - Whozu pia amepewa muda wa saa sita kutekeleza agizo la kushusha wimbo huo kwenye mitandao yake ya kijamii. - Basata ilitangaza kumfungia Whozu miezi sita kutokana na kuchapisha video ya wimbo Ameyatimba aliowashirikisha wasanii hao ambayo inakiuka maadili na ina vitendo vyenye ishara ya matusi. Billnass na Mbosso kila mmoja alifungiwa miezi mitatu. - Akizungumza Dk Ndumbaro amewaasa wasanii na wengine nchini watumie vizuri ubunifu wao kwa kufuata taratibu zilizoanishwa katika mongozo wa uzingatiaji wa maadili katika kazi za Sanaa.

photo content

USIMRUHUSU MPENZI WAKO KWENDA GYM MWENYEWE - HARMONIZE Ameandika ..✍️.. ,'Usiruhusu Mpenzi wako Kwenda Gym Mwenyewe kukiwa Ha
USIMRUHUSU MPENZI WAKO KWENDA GYM MWENYEWE - HARMONIZE Ameandika ..✍️.. ,'Usiruhusu Mpenzi wako Kwenda Gym Mwenyewe kukiwa Hakuna Sababu za Msingi Ataanza Kukuona Mzembe na Atakae Kutana nao Huko Kila Siku Ndio Ataanza Kuwaona Bora Maana Wana passion moja!!!! Wataanza Kubadilishana Number Kesho Niamshe Tabu inaanzia Hapo !!!!! SIO Wote Lakini Make Sure You be Her personal trainer thank me Later!!! Speaking by experience Ukaribu wa Trainers na na Mwanafunzi Ni Mkubwaa Sanaa LOLOTE Linaweza toke Hawawezi Kabisa Kumaliza mazoezi Bila Kumnjoosha Viunga Mara Mgongo SIO WOTE LAKINII',

Freeman Mbowe anatokea familia tajiri, yeye mwenyewe baada ya Kuacha kazi BOT alianza kufanya biashara akiwa na Umri wa miaka
Freeman Mbowe anatokea familia tajiri, yeye mwenyewe baada ya Kuacha kazi BOT alianza kufanya biashara akiwa na Umri wa miaka 23. Amekuwa Mbunge kwa Miaka Mingi na Mwenyekiti wa CHADEMA kwa karibu Miaka 20. Yeye kumiliki nyumba kama hii tena kijijini ni jambo la kawaida sana.

Kampuni ya CableTV ya nchini Marekani imetangaza itatoa dola 2500 (zaidi ya shilingi milioni 5) kwa mtu atakayeweza kutazama
Kampuni ya CableTV ya nchini Marekani imetangaza itatoa dola 2500 (zaidi ya shilingi milioni 5) kwa mtu atakayeweza kutazama sinema 25 za Krismasi kwa muda wa siku 25. Kwa mujibu wa USA Today, CableTV ni jukwaa la mtandaoni, ambalo linatoa taarifa za televisheni, habari, na punguzo kwa wateja wapya. Linatafuta mtu wa kujaza nafasi ya Mkuu wa kitengo hicho. Wafanyakazi wataombwa kuorodhesha filamu kulingana na kumbukumbu, hadithi zenye kugusa moyo, na zenye kufurahisha nyakati za likizo.

Bila shaka umewahi kutumia kufuli, pia sio mgeni wa tundu dogo lililopo pembeni ya sehemu ya kuingizia ufunguo. Je, unajua ka
Bila shaka umewahi kutumia kufuli, pia sio mgeni wa tundu dogo lililopo pembeni ya sehemu ya kuingizia ufunguo. Je, unajua kazi ya lile tundu dogo la pembeni?

Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne m
Baada ya mapumziko ya siku mbili, mvua kubwa za El Nino sasa zinarejea tena Jijini Dar es Salaam na zitanyesha kwa siku nne mfululizo kuanzia kesho Novemba 15 na zitaendelea hadi Jumamosi ya Novemba 18 mwaka huu. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA ni kwamba, mvua hizo mbali ya Dar es Salaam pia zitapiga katika mikoa ya Tanga, Pwani, Morogoro, Lindi, Visiwa vya Unguja na Pemba ikijumuisha visiwa vya Mafia. Mikoa mingine itakayokumbwa na mvua hizo kwa Jumatano ya Novemba 15 ni Njombe na Ruvuma ambapo athari zaidi ikiwemo mafuriko na baadhi ya shughuli za kiuchumi kusimama zitajitokeza siku ya Ijumaa. TMA pia imetahadharisha mvua hizo kuweza kuambatana na upepo mkali unaofikia kasi ya Kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili ukanda wa Pwani ya Kusini ya Bahari ya Hindi mikoa ya Lindi na Mtwara.