ar
Feedback

لا تقع ضحية للمخادعين! تيليمتريو يكتشف ويُميّز هذه القنوات 👉 إذا كنت تريد رؤية العلامة، اشترك

E-PLUS MEDIA

E-PLUS MEDIA

الذهاب إلى القناة على Telegram

Get the latest news,videos,and more everyday.

إظهار المزيد
1 307
المشتركون
+124 ساعات
-27 أيام
-1330 أيام
أرشيف المشاركات
⚠️😳 Nani anastahili tuzo ya msanii bora wa kike kwa mwaka huu kwa kazi nzuri zaidi?
⚠️😳 Nani anastahili tuzo ya msanii bora wa kike kwa mwaka huu kwa kazi nzuri zaidi?

photo content
+5

KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media
+9
KUTOKA MITANDAONI Follow ukurasa wetu wa Threads👇 https://www.threads.net/@e_plus_media

YANGA YASHUSHA KIPIGO CHA 5G KWA MNYAMA SIMBA Simba inapoteza Mchezo wa Kwanza Katika Ligi Kuu NBC PREMIER LEAGUE Msimu Huu H
YANGA YASHUSHA KIPIGO CHA 5G KWA MNYAMA SIMBA Simba inapoteza Mchezo wa Kwanza Katika Ligi Kuu NBC PREMIER LEAGUE Msimu Huu Huku ikifungwa Mabao Mengi zaidi Dhidi ya Yanga FT: Simba SC 1-5 Yanga SC ⚽ Musonda ⚽ Kibu ⚽⚽ Max Zengeli ⚽Aziz Ki ⚽Pacome Follow ukurasa wetu

"Nilisema hapa bungeni kwamba tumepigwa zaidi ya trilioni 30 katika ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022, na leo nasisitiza kuwa
"Nilisema hapa bungeni kwamba tumepigwa zaidi ya trilioni 30 katika ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022, na leo nasisitiza kuwa tumepigwa zaidi ya trilioni 280 na haya maneno yangu yanadhihirishwa na taarifa ya FIU inayosema kwamba zaidi ya trilioni 280 zimehamishwa ndani ya nje na nje ya nchi kati ya hizo trilioni 56.65 zimehamishwa kama fedha taslimu kupitia mipakani na sehemu nyingine huku trilioni 222.81 zimehamishwa kupitia elektroniki. Nchi kama hii masikini kama inaweza kuwa na taarifa shuku ya trilioni 280, usalama wa nchi uko wapi?" Luhaga Mpina, Mbunge wa jimbo la Kisesa Bungeni

Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuvunja baraza la mawaziri kwa kile anachodai kuwa wames
Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuvunja baraza la mawaziri kwa kile anachodai kuwa wameshindwa kufanya kazi kwa weledi na taifa limefika katika hali mbaya. "Nchi inakufa sasa twende wapi, na nyie mnaotakiwa kuwawajibisha watu hamtaki kuwawajibisha, unawaona tu mawaziri wawili unamwona Mchengerwa anachukua hatua sasa wengine wanafanya nini, yani hela zinaliwa hivi hivi halafu tunaenda kukamata wezi wa kuku na ng'ombe jamani," amesema Mulugo.