cookie

نحن نستخدم ملفات تعريف الارتباط لتحسين تجربة التصفح الخاصة بك. بالنقر على "قبول الكل"، أنت توافق على استخدام ملفات تعريف الارتباط.

avatar

Al-Manhaj_Kenya channel

PATA MAARIFA NA ILIMU KUHUSU MANHAJ SALAF/UISILAMU WA HAKI/SUNNAH WAL JAMA'A.

إظهار المزيد
لم يتم تحديد البلدلم يتم تحديد اللغةالفئة غير محددة
مشاركات الإعلانات
184
المشتركون
لا توجد بيانات24 ساعات
لا توجد بيانات7 أيام
لا توجد بيانات30 أيام

جاري تحميل البيانات...

معدل نمو المشترك

جاري تحميل البيانات...

🔊 *NEW AUDIO RECORDING* 🔊 📜 *Lesson #4:* Sharh (Explanation of) Usool al Thalatha [The Three Fundamentals] 🗓️ Wednesday 26th February 2020 ✒️🎙 Ustādh Abu Ishaaq Nadeem Ahsan-Shah حفظه الله 🔊 🔗 *To listen:* 》https://soundcloud.com/salafi-dawah-east-africa/lesson-4-usool-althalatha-ustadh-abu-ishaaq-nadeem-26-feb-20 *Salafi Da'wah East Africa SoundCloud account: 》* https://soundcloud.com/salafi-dawah-east-africa
إظهار الكل...
Lesson 4 Usool Althalatha Ustadh Abu Ishaaq Nadeem 26 Feb 20

الشيخ_البخاري_حفظه_الله_يرد_على.mp35.94 MB
*SILSILAH: RUDUUD ZA AL-'ALLAMAH AL BUKHARI KWA IBN HADI (9)* Sheikh Abdallah Al Bukhari-hafidhahullaah: *Kisha asema-baarakallaahu fiik- Sheikh Ubeid ana qawaid zake na Sheikh Abdallah ana qawaid zake na ni qawaid zinazokhalifu manhaj ssalaf, na Sheikh Rabii anawasapoti juu ya hilo, na mimi naenda nao ili kuwalazimisha, yaani nifaaq/unafiki, ni zipi qawaid tulizonazo?!, twayyib turudi jazakallaah kheir, zibainishe kwa ummah, na tubainishie sisi, ili tukiwa sisi ni wakosa turejee, na tutakutaja na kukushuru na kukusifu kwa wema, ama ikiwa ni uongo tutakurudi,* wapi haya maneno?; haya maneno hakuna sulhu, aliyasema hapa, wajazairi na watunis na shahada imeandikwa ninayo, na aliisema Bahrain na walishuhudilia hili wawili kutoka Bahrain, na aliisema al akh Abdallah Mhawish, twayyib kisha;watu kutoka sehemu ambazo ziko mbali na zingine, sehemu mbali mbali, hawawajui baadhi yao wengine, kwa hiyo yeye hawakusudii wanafunzi awakusudia mashaikh, kisha aqarrir qaidah katika hiki kikao, alisema hawa sijui nini; "tukiwapima kwa mizani yenu msitukasirikie", "tutawapima kwa mizani yao, tukiwapima kwa mizani yenu msitukasirikie!", ajeeb, *lau itakuwa mizani yetu ni mizani batil, je yajuzu kwako kuhukumu kwa mizani batil?! Yaani lau sisi tumepotoka na kukosa basi na wewe utapotea na kutaka hukumu kutoka kwa upotofu, mpaka tusikarike au usikasirike, kukasirika ndio kadhia au sheria?! Lau tumekosea basi utaamiliana kwa kosa lenyewe?! au utaamiliana kwa haki* {bali tunatupa haki juu ya batil basi inaizidi nguvu na kuiangamiza} {na sema haki imekuja na batil kuangamia} *batil hairudiwi ila kwa haki, na bid'a hairudiwi ila kwa sunnah, vipi tukija na bid'a wewe utarudi bid'a kwa bid'a?! Utarudi kosa letu kwa kosa?! Utarudi batil yetu kwa batil?!* Aiqarrir kwa ulimi wake, huyu mtu ajua asema nini?! Kisha watu masakin, yaani mambo ya kimaajabu, yaa akhi wallaah watu wamegawanyika Madina, wamegawanyika watu katika nchi nyingi, Iraq, Misri,Sudan, Bahrain, Kuwiet, Turkey, France, Germany, Holland, na kwengineko, na America, na Canada, na Nchi nyingi; na Senegal, yaa rajul Senegal kuna msikiti mmoja tu ndani ya Dakar, moja tu ya masalafi, isiyokuwa ya Turathiyyiin na wengineo, msikiti mmoja na wamegawanyika hawa, waona! Na pote miongoni mwao limeta'asab naye, na wamewakataza ndugu zetu salafiyyiin ambao si waliota'asab naye, sahii kumefanywa dawra kabla wiki mbili, nimeshiriki ndani yake mimi na Sheikh Rabii na Sheikh Al Fawzaan; Sheikh Swaleh Al Fawzaan, ndani ya Senegal, waliwakataza, na kuzuia fitna hawa ikhwa walikodisha mahali, hall ndogo waliikodisha na Sheikh Rabii azungumza na mimi nazungumza na Sheikh Al Fawzaan azungumza, fikiria, kisha walimtilia fitina huyu al akh Ibrahim na walio naye, waliwatilia fitina kuwa hawa wanataka kuigawanya safu yetu ya kisalafi, si ati imevunjika imekatika kukatika, na wakaandika kitabaat wakamtumia Sheikh Suleiman Abalkheil na flani, wanawasemea uongo ikhwa, angali waongo vipi wana bidii, ni nini hii? *Msikiti mmoja wewe waugawanya sehemu mbili?! Muhammad ibn Hadi amefunga bendera ya walaa na baraa juu ya haya maneno aliyoyatamka, 'utayasema wewe uko na mimi, huyasemi anakuwa mbali na wewe, na anakutenga na kukuzungumza' haya ndiyo yaliyotokea.* Sautiyyah ya Sheikh Al Bukhari ⬇️⬇️ ----------------------- *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* 🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_* https://chat.whatsapp.com/HqdClPjinMJ2kXMGMA9G8s https://t.me/musafiqahfitnah
إظهار الكل...
Salafi Da'wah EastAfrica1️⃣

WhatsApp Group Invite

كذب_محمد_بن_هادي_على_أبناء_الشيخ.mp36.50 MB
*SILSILAH: RUDUUD ZA AL-'ALLAMAH AL BUKHARI KWA IBN HADI (8)* Swali: Asema je alikuja na asli aliyokhalifu usuul za salaf swaleh; kwa kudai walaa na baraa kwa hizb yake au kauli yake au pote lake? Sheikh Al 'Allaamah Abdallah Al Bukhari-hafidhahullaah: *Mimi nilikuambia huyu mtu (ibn Hadi) sasa hivi amezua hili pote na amezua huu mgawanyiko, sijui hili; kuzua pote ambalo hakutanguliwa nalo wala hakuwafikiwa juu yake, hili ni asli la kisheria sahihi? huu ni mukhalafa wa kiasli, kisha kuzua huu mgawanyiko, mgawanyiko katika ahlussunnah bila sababu ya kisheria sahihi, nani atabeba madhambi ya haya?! Yaa rajul miongoni mwa alama za ahlulbida' kubwa ya kiwote ya kijumla ni mgawanyiko (wote wanasifika nayo), {wala msiwe miongoni mwa washirikina miongoni mwa wa wale waliogawanya dini yao na wakawa mapote} {hakika wale waliogawanya dini yao} ayaat katika kuiponda mgawanyiko, twayyib hili vipi? Kisha akaweka walaa na baraa kwa dhati yake! Tab'an si mukhalafa mmoja ni mukhalafaat (aliyo nayo), yaa rajul kuwashambulia kwake ahlul ilm hawa, na kuwasema kwake vibaya mashaikh na ahlul ilm!, awasemea uongo watoto wa Sheikh Rabii!,* asema "wanikataza kuingia kwa Sheikh Rabii'" au "walinikataza kuingia kwa Sheikh Rabii", nilimuuliza Umar (ibn Sheikh Rabii) nikamwambia: yaa sheikh ni sahihi haya? Akasema: yaa sheikh uongo! Kitu gani kimzuie sheikh Muhammad!", Mimi wallaahi asema niliwauliza ndugu zangu wote katika group ya whatsapp ya watoto wa Sheikh asema, nikaandika: kuna mtu kati yenu alimzuia Sheikh Muhammad kuingia kwa babangu? Wote walisema: hatukukataza, vipi tukataze?!". Na yeye aeneza kwa watu "wanikataza, walinikataza kuingia", twayyib walikukataza mara moja tufaridhie; Shekhe ni mgonjwa au amelala au taabani au, wataka awe sanamu hataharrak, miskini hagonjeki, hachoki?! Tufaridhie, khalaas "wamenikataza" daima? "Hawanitaki" uongo gani huu?! *Sasa hivi 'wasema kwa kauli yangu wewe ni mkweli wa wakweli, husemi kwa kauli yangu wewe ni muongo wa waongo', atakutupia kuwa wewe ni muongo asubuhi jioni, wala hajali.* Muhammad bin Hadi akizungumza na wewe; azungumza na wewe kwa tawriyah, ukimbana atokea kwa uongo, ukimkaba koo atasema wewe ni mkweli na mimi sikumbuki basi, al akh mmoja (ibn Hadi) amtupia kuwa ni jasusi, aliniambia mimi haya maneno, na aliwaambia ikhwa wingine pia, "flani alinitumia flani katika majlis, anipeleleza yaa Sheikh Abdallah...wanatuma na wananiandikia majasusi" yaa rajul yaingia akilini?! Nani atakutumia jasusi amuandika?! "illa amelifanya Muhannad" sijui nini, nilimtumia huyu kijana: wewe ulituma jasusi kwa sheikh? Akasema: yaa sheikh wallaah uongo wallaah sikutuma", na akaja al akh na wanamjua, akasema: wallaah yaa sheikh... uongo haya maneno", alipokutana naye baada ya mda alisema nini Muhammad Hadi? "Wallaahi sikusema, wallaahi nasingiziwa uongo, lau naitakidi kuwa wewe ni jasusi ningelisema kwa uso wako sahii", waona,.. 'lau naitakidi kuwa wewe ni jasusi' na hakusema 'sikusema wewe ni jasusi', kuna tofauti kati ya 'naitakidi' na 'nasema', kisha yawezekana ukimbana kuwa 'ulisema kuwa mimi ni jasusi, si kuwa waitakidi kuwa mimi ni jasusi', atasema 'la sikusema jasusi' kwa sababu adhamiria kadirio, 'kuwa wewe ni jasusi wa Israel, kuwa wewe ni jasusi wa Amerika,kuwa wewe ni jasusi..' yaani lau ningesema kuwa wewe ni jasusi wa kiamerika yaani sikusema kuwa wewe ni jasusi wa kiamerika, jasusi wa kiisraili, kuna makadirio mengi, aidhamiria, ajengea kudhamiria huku, ndio hiyo tawriyah, kisha ukimbana atokea kwa uongo...atasema wewe ni mkweli na mimi sikumbuki... ---------------------- *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* 🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_* https://chat.whatsapp.com/HqdClPjinMJ2kXMGMA9G8s https://t.me/musafiqahfitnah
إظهار الكل...
Salafi Da'wah EastAfrica1️⃣

WhatsApp Group Invite

Darsa ya kwanza inaanza 4:00pm jioni tawqit ya Mamlaka (time ya kizungu) na 5:00pm tawqit ya Emarat بإذن الله
إظهار الكل...
Photo from التميمي
إظهار الكل...
📌 #الآن_مباشر 🔸 شرح كتاب #آداب_المعلمين_والمتعلمين 🎙 فضيلة الشيخ الأستاذ الدكتور #عبدالله_بن_عبدالرحيم_البخاري حفظه الله تعالى ⏰ 01:00 ظهراً بتوقيت مكة 📹 قناة ميراث الأنبياء المرئية https://www.youtube.com/c/MiraathNetTV/live الإذاعة الرئيسية http://radio.miraath.net:7000/stream
إظهار الكل...

رد_الشيخ_البخاري_حفظه_الله_على_تخبط.mp37.44 MB
oa udhuru, akasema: natoa udhuru wa kushiriki". Kusisemwe walimweka mbali, mimi ndiye nilitoa udhuru, kwa dalili ya kutoka jina katika jedwali, kisha mashakil zilianza mwaka 34. ------------------------- *Salafi Da'wah East Africa (Salafi Da'wah Afrika Mashariki)* 🔗 *_"Tunawaunganisha na ulamaa wa umma wa kisalafi na mashekhe wanaojulikana vizuri waliopewa Tazkiyyah na ulamaa wakubwa"_* https://chat.whatsapp.com/HqdClPjinMJ2kXMGMA9G8s https://t.me/musafiqahfitnah
إظهار الكل...
Salafi Da'wah EastAfrica1️⃣

WhatsApp Group Invite

اختر خطة مختلفة

تسمح خطتك الحالية بتحليلات لما لا يزيد عن 5 قنوات. للحصول على المزيد، يُرجى اختيار خطة مختلفة.